But I wish u be writing for us ,than reading it only sheikh, but shukran some of us we don't no it and when u read only with out writing we get lost and get nothing, like that last swalatul nabbi used for treatments
Sheikh Asalam alaikum,Mimi ni miongoni mwa watu tunaokufatilia Naomba kuuliza mfano umeomba Dua hii ya nabii yunus (r.a) 110 au 03 na hukujibiwa maana yake Hilo Jambo unaloliomba halina kheiri na wewe? Mimi nimeomba Kwa utaratibu huo sijajibiwa NDANI ya hizo SIKU au Dakika ulizozisema ndio maana nikakuuliza Hilo swali
Safia Othman Sheikh hayupo kwa ajili ya mjadala,ameamua kutoa faida tulizoziacha waislam,ukipenda fuata upate faida,na kama hutopenda basi Baki na dalili zako huwenda zitakusaidia.
Bhana kila.kitu mnataka ushahidi mbona dini yetu mnaifanya yiwe ngumu bhana kwa nn mnataka kila kitu ushahidi ww qngalia kama inakufaa fanya kwani hapo kuna jambo baya linazungumzwa Acha hizo bhana
Hussein Omary Ndugu yangu Omary,nakuusia kuhusu kusoma,kaa kitako kwa wanachuoni usome hii Ni amri ya Allah,Achana na kusoma kwa sheikh Google utakosa faida kubwa,utabakia kuwa Ni mwenye kubisha na kuwatoa akili masheikh kwa sababu tu ya kutokujua kwako,Allah akuongoze Inshaa ALLAH.
@@allybyarushengo5727 kama wanawachuoni ndio Hawa basi elimu imeondoshwa Kwa watu wake أن لله ل يلتزع علمنتزا ولكن يكبظ بقبذ العلماء حتا لم يبقي عالما اتخذنس رحس خهلن فسءل ف افته ب غيل علمي ف ظالو و اظالو
Mashalhaaa yarabi mpe mjawako huyu mwisho mwema naumri mrefu nawenye mafanikio naakulinde nahusda za wanadamu kwamafunzo anae tupatia nakupenda kwajili ya alhaaa ❤❤❤
Shukran sana kwa kutupatia Siri kubwa kwa maisha ya mafanikio duniani Hadi Ahera Allah akubariki sana
Mwenyezi mungu akulipe ujira wako shekhe wangu
Yani sheikh wangu umenipa furaha ya maisha yangu wallahi, allah akuhifadhi maalim wangu
AlhamduliLlah thumma alhamduliLlah nimejibiwa shukran jazakaLlahu kheir
Shukran sana sheik Othman barakka Allahufik🙏
Jazak llah khaira ya sheikh
Allah maswali ala Sayyidina Muhammad
Twibil qulubi wadaaiha
Waafiyati libidani washifaaiha
Wanuril Abswari wadhiyaaiha
Wakuutil arwaih waghidhaiha
Jazaka Allahu kheir
Jazaka Allah kheir
Alahamdhulilah mm nime fahulu kwa dua hii na nilipata kutoka kwako
Plz niandikie hio Dua
Kheri nying akupe Allah na inshaslsh mungu atupe kheri kupitia dhikri hizi
Shukran shehe allah akulipe kila laheri
Maalimu shukran Maalim
hio Swalat ghala Nabii ya kupata shifau kwa Allah idadi yake Ngapi,, Maalim
Allah akuajalie kheri katika mambo Yako na akuajalie
Mwisho mwema inshallah
Alhamdulila mungu akupe mwisho mwema
Allah akubariki Shekh wetu
Jazaaka Llahu Khairah sheikh wetu
sheikh othman Michael I have subscribed to your channel, I'm benefiting a lot
Allah akulipe kheri inshallah
Ni ukweli Mwezimungu ukimuomba anakupa
Shida ni moja wengii atujui calabu
Hata Kwa lugha unayoijua unaomba
Wallaikum Sallam Warahamatullah Wabarakatuh
Shukran Wajazaukum llah khayra
Allah azid kukup kipaji
Mashaallah shukran
Shukran jazakallah
Waleikum msalaam warahmatulahi wabarakat jazakumllahu Khairan
Wabilah toufeeq
But I wish u be writing for us ,than reading it only sheikh, but shukran some of us we don't no it and when u read only with out writing we get lost and get nothing, like that last swalatul nabbi used for treatments
Asalamualaikum warahmatuu Allah wabarakatu vphli alhamdulilah salama Naam shkraan sana yasheikhuunah jazaaka allahul kheeyr an fidhunia walakheeyra
Waabadhal kheeyr janath Firdausi yarabal alamiin
Inshaallah
shekh tuandikie hyo Dua ya maradh
As'alullahal-'Azima Rabbal-'Arshil-'Azimi,an yashfiyak
"I ask Allha the Great,the lord of the Great Arsh,heal me."
Ostdh mm nfny lkn naon Allah anapend saut yng nin iman sk yyt maish yatabdilik inshallah
Maashaallah maashaallah
Assalamu alayikum naomba kuulza naaza kusoma hzo dua baada ya kuswal au
الله اكبر
Shukran kwa duaa Allah akujaze kheri ila shekh uwe una twambiya na manayake kwa kiswahili
Tafsiri hyo dua ya maradhi iandike kwa kiswahili tuweze kuisoma freely toa video ya hyo dua pekee kwa you tube
Maan.shaallaah ❤❤❤❤
Lahilla hailla Anta Subhuhanna ka ini kuntu minadhwaalimin
Unapatikana wapi shehe.. Napenda sana darasa yako
Kwa dua zako za herl
Asalaam alaykum asante mufty
Sherk hiyo dua ya maradhi sikuipata vzr
Shekhe naomba namba zako samahani sana
Shuran
Inshaallah shukran
Sheikh Asalam alaikum,Mimi ni miongoni mwa watu tunaokufatilia Naomba kuuliza mfano umeomba Dua hii ya nabii yunus (r.a) 110 au 03 na hukujibiwa maana yake Hilo Jambo unaloliomba halina kheiri na wewe? Mimi nimeomba Kwa utaratibu huo sijajibiwa NDANI ya hizo SIKU au Dakika ulizozisema ndio maana nikakuuliza Hilo swali
Hapo nikuagua nyoya tu na kisapoti serikali hata kwa upuuz
Naomba dalili ya kuisoma dua hiyo ya Nabii Yunus mara 110 na idadi ya dua hizo nyingine.
Safia Othman
Sheikh hayupo kwa ajili ya mjadala,ameamua kutoa faida tulizoziacha waislam,ukipenda fuata upate faida,na kama hutopenda basi Baki na dalili zako huwenda zitakusaidia.
Bhana kila.kitu mnataka ushahidi mbona dini yetu mnaifanya yiwe ngumu bhana kwa nn mnataka kila kitu ushahidi ww qngalia kama inakufaa fanya kwani hapo kuna jambo baya linazungumzwa Acha hizo bhana
Huyu jamaa huwaga nimuongo sana
Hussein Omary
Ndugu yangu Omary,nakuusia kuhusu kusoma,kaa kitako kwa wanachuoni usome hii Ni amri ya Allah,Achana na kusoma kwa sheikh Google utakosa faida kubwa,utabakia kuwa Ni mwenye kubisha na kuwatoa akili masheikh kwa sababu tu ya kutokujua kwako,Allah akuongoze Inshaa ALLAH.
@@allybyarushengo5727 kama wanawachuoni ndio Hawa basi elimu imeondoshwa Kwa watu wake أن لله ل يلتزع علمنتزا ولكن يكبظ بقبذ العلماء حتا لم يبقي عالما اتخذنس رحس خهلن فسءل ف افته ب غيل علمي ف ظالو و اظالو
Kama ni muongo mbona ushuhuda tunaupata alhamdulliah .
Kuswalia mtume pia ni uwingo.. Unaona hutafaulu😂😂😂
@@barwaqahassan0722 jitahidi kuwa na subira tu na imani kwa Allah utafanikiwa
mashallaah mashalaaah