MZEE DAUD AJENGA MSIKITI WA UDONGO BAADA YA KUSILIMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 150

  • @suleimanabdull1958
    @suleimanabdull1958 2 ปีที่แล้ว +16

    Wallah uislam ni neema kubwa tumshukuru Allah kwa kutuchagua kuwa Waislam angalia Mzee na mama walivobadilika nuru ya uislam imewabadilisha Allah amjalie mzee ampe elimu haraka anatamani kuwa Daai.

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 2 ปีที่แล้ว +14

    Kusilimu na umri huu vizuri sana allah ampe mwisho mwema ameen

    • @missfuyuza5573
      @missfuyuza5573 2 ปีที่แล้ว

      اللهم امين يارب العالمين

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 2 ปีที่แล้ว +12

    Masha Allah mzee mungu akupe mwisho mwema umeijua haki na ukaifuata

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 2 ปีที่แล้ว +12

    Masha Allah, Allahu Akbar, Allah azidi kuwapa imani ya dini hii ya kiislamu mzee Daud, mke wake na familia yao yote na awape mwisho mwema wote Amiin Thumma Amiin

    • @missfuyuza5573
      @missfuyuza5573 2 ปีที่แล้ว

      اللهم امين يارب العالمين

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 2 ปีที่แล้ว +13

    Manshaal mzee mungu akupe kheyri na akujengee nyumba kwa jannah yaani peponi Amiin ya rabi.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 ปีที่แล้ว +7

    Imenichukua dk kadhaa kumtambua Mzee Daudi 😆😆wallah kabadilika na mavazi yamempendeza sanaa ! Nuru ya Uislam imemuingia mashallah.

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 2 ปีที่แล้ว +9

    Mashallah mashallah 🥰 Allah wazidi kuwapamba na uislaam

  • @faridahussein4962
    @faridahussein4962 2 ปีที่แล้ว +14

    MashaAllah family nzuri wanependeza mungu agape mwisho mwema na jannat Firdaus pamoja na Ramadhan Kuria na team yako

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 2 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah ubarikiwe ishallah hâta sura zake zimebadilika mzee anapendeza

  • @salmakisolo8703
    @salmakisolo8703 2 ปีที่แล้ว +8

    Mashaallah,natamani kuona wazazi wangu kwa hii nuru ya uislamu.

    • @saifalhussaini9702
      @saifalhussaini9702 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa uwezo wa Allah atawafanyia wepesi katika mioyo yao wataingia katika nuru ya uislam.

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 ปีที่แล้ว +10

    MASHA ALLAH 😭 mungu Azidi kuiongoza hii familia kajenga msikitin masikini nigekua na uwezo nigetuma pesa ajenge msikitin wa kisasa😭😭🙏mungu atukuzwe

    • @aflahabdula4084
      @aflahabdula4084 2 ปีที่แล้ว

      😭😭naima na mimi imeniliza Inshaallah allah atupa tuwajengee unaona raha mpaka unaliya

    • @azizajuma1633
      @azizajuma1633 2 ปีที่แล้ว

      Mashalla

  • @linetkikin4023
    @linetkikin4023 2 ปีที่แล้ว +6

    Allah awazidishia wazee wetu neema na kheri zaidi

  • @mohamedbakari4106
    @mohamedbakari4106 2 ปีที่แล้ว +4

    Maa Shaa Allah 😭😭😭 machozi yananitoka kwa kuona jitihada unazozifanya kwa kweli Allah akujalie kila lililo na kheri pamoja na familia ya mzee Daudi

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah Mashallah wallah huu nimfano kwetu sisi tulio zaliwa waislamu wengi wao hawajali Dini oneni mtu kaslim kapata mapenzi ya kujenga msikiti . Allah ndie atakae kulipa Mzee Daudi nakuombea kwa Allah peponi ikawe makazi yako wewe na mke wako Amiin.

  • @fridahmulongo2697
    @fridahmulongo2697 2 ปีที่แล้ว +5

    Ma shaa Allah kazi njema sheikh ,babu na familia yote kwa jumla Allah awajalie kheri katika maisha yenu hapa duniani na kesho akhera

    • @yunusramadhan2546
      @yunusramadhan2546 2 ปีที่แล้ว

      اللهم آمين يارب العالمين ماشاء الله تبارك الله

  • @zamzamsalimu6772
    @zamzamsalimu6772 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah wainaileyhum rajjiun,mzee Daud Allah akuweke palipo na wema

  • @عبداللهباحميد-ن4ق
    @عبداللهباحميد-ن4ق ปีที่แล้ว

    MASHA ALLAH MUNGU AMJAZEE HUU MAMA NA WENZAKE ALFU KHEER DUNIANI NA KESHO KHEERA AMIN

  • @hanifajuma6121
    @hanifajuma6121 2 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah family nzuri wamependeza Alhamdulillah

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 2 ปีที่แล้ว +3

    Bismilah masha Allah Allah atakulipa kwa kazi nzuri inayompe deza Allah na hii familia Allah awape maisha mema ya dunia na akhera ishallah

    • @missfuyuza5573
      @missfuyuza5573 2 ปีที่แล้ว

      اللهم امين يارب العالمين

  • @saumkisira9328
    @saumkisira9328 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah Allah awajalie janati Firdaus inshallah

  • @shamimibrahim1089
    @shamimibrahim1089 2 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah sheikh

  • @aishathaishath4056
    @aishathaishath4056 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah mungu Amjalie mwisho mwema inshallah

  • @kessymlimbo253
    @kessymlimbo253 2 ปีที่แล้ว +4

    MaaSha Allah, Allah Atamuongoza mzee wetu aupate mwisho mwema na Sisi wote Inshaa Allah

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 2 ปีที่แล้ว +3

    AlhamdulillahAlhamdulillah allah awabariki

  • @fauzenkassim8424
    @fauzenkassim8424 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani babu nampenda bureeee mashaallah mcheshi na anaupenda kweli uwisilamu allah akujaalie mwisho mwema inshaallah 🥰😍

  • @furahamossi3199
    @furahamossi3199 2 ปีที่แล้ว +2

    Waleikussalam warahmatullah wabarakat, Mansha Allah sheikh tabarakallah, Allah awape ujira kwa kazi unazo zifanya

  • @fatmabhai2812
    @fatmabhai2812 2 ปีที่แล้ว

    Alhamdulilah.. 🤲 mashaallah Babu daud. Umeslimu umeitambua dini yako ya hakki na Sasa mwenyezmungu amekuchukua na hupo tena kwenye ulimwengu huu namuomba Allah akuweke mahala pema peponi, akupe nuru kwenye kabri yako, akuteremshie malaika wema wawe ndio wazungumzaji wako akupe kauli thabbit mzee wng . Na sisi tulio hai mungu atupe khucnil khatima 🤲

  • @ummuhammad7571
    @ummuhammad7571 ปีที่แล้ว

    MashaAllah mzee Daud Allah kamunesha njia Allah amraham ampe kaul thabit ampokee akiwa radhi nae Ameen

  • @aflahabdula4084
    @aflahabdula4084 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mashaallah alhamdulilah sijui mara ngapi nairejea kwa furaha uislam raha kapendeza sana mzee daud

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 ปีที่แล้ว +3

    Jamani msikitin huo mungu amempa Imani ya kweli mzee wet kutowa eneo lake hivyo Hina hima jamani saada unahitajika hapa. Mapk machozi watu wanataka malipo Kwa mungu 😭😭😭😭😭😭 mungu atusaidie

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 ปีที่แล้ว +17

    Huyu mzee Allah ampe mwisho mwema

  • @aishaally6602
    @aishaally6602 2 ปีที่แล้ว +7

    ALLAHUMA BARIK jamani uislam umewapendeza wananuru na furaha ALLAH azidi kuwahidi

  • @nooor1120
    @nooor1120 2 ปีที่แล้ว

    Allah akutilie nuru ktk kaburi lako mzee wetu Daud.Allah atukutanishe ktk firdaws al a'ala .
    Aamiin yaarabb al alamiin

  • @aslamchannelonline3541
    @aslamchannelonline3541 2 ปีที่แล้ว +3

    Allahu Akbar kabira Walthamdulilahi kathira, vile wafanya Daawah ni Raha sana
    Allah akujaze kheyr Jazaa na Ingine

    • @missfuyuza5573
      @missfuyuza5573 2 ปีที่แล้ว

      اللهم امين يارب العالمين

  • @ambbabu4122
    @ambbabu4122 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah... ALLAH awajalie kila la kher Inshaa'Allah

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah Wazee wetu Allah hawape afya njema na umuli mrefu na pepo ya fildas lnshaallah

  • @nuriatihdjasumin1548
    @nuriatihdjasumin1548 2 ปีที่แล้ว +5

    Asalam alaykum waramatulah wabarakatuh ndugu zanguni mashaallah ❤️ 🙏💝Allah awalipe mema mashaallah 🙏 ♥️ ❤️ 😍 💖 💕 🙏 ♥️ ❤️ 😍 💖 💕

  • @zubedaabass6766
    @zubedaabass6766 2 ปีที่แล้ว +2

    Waaleykumsalam warahmatulwahi wabarakatu Mwenyezi mungu amlinde huyu babu ña hasadi na chuki za binadamu na wanyama ampe mwisho mwema

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah Mama kapendeza Allah ampe afya njema na umuli mrefu lnshaallah

  • @shamimibrahim1089
    @shamimibrahim1089 2 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah Alhamdullah

  • @hatujuanisalum9354
    @hatujuanisalum9354 2 ปีที่แล้ว

    Inapendeza maashallah mzee Saudi Mungu akuongoze ktk kheri

  • @bongo39
    @bongo39 ปีที่แล้ว

    Subhanallah mashaallah mzee na mama wameslimu na kujitolea eneo lao kwa ajili ya msikiti Subhanallah 😢alhamdulilah

  • @ramadhankisingile6539
    @ramadhankisingile6539 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah awafanyie wepesi kwa kazi nzuri. mwenyezi mungu anatimiza ahadi atawalipa inshaAllah.

  • @nooor1120
    @nooor1120 2 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah mzee Daud kaukata, kapendwa na mmungu
    Yaa Allah tupende na sisi waja wako.

  • @allyidowa5965
    @allyidowa5965 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah ustadh
    Ramadhani Allah akuhifadhi

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 2 ปีที่แล้ว

    Mzee kapiga bao extra time, In sha Allah Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi, yani km ilivyo anza KAABA

  • @fauzenkassim8424
    @fauzenkassim8424 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah 🥰 allah awazidishie inshallah awajaalie mwisho mwema alhamdulilah

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah mzee Daud analingania watu mwenyeezi mungu ampe maisha marefu

  • @mufid707
    @mufid707 2 ปีที่แล้ว

    Jazakallah kher Sheikh Ramadhan.

  • @gakobwaadija7949
    @gakobwaadija7949 ปีที่แล้ว

    Allah amweke maala pema peponi mzee daud allah aongoze familia yake ilio baki

  • @aminaamina3972
    @aminaamina3972 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah akuhafadhni

  • @nasseralhabsi1483
    @nasseralhabsi1483 2 ปีที่แล้ว +1

    Ma sha Allah, Allah kamuona huyu mzee na mke wake ktk. dakika za mwisho za uhao. Tunamwomba Allah awajaalie kuwa ni watu wa peponi, amin.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe Ramadhani tukimaliza kujenga kule Mkurweini tuje tujenge msikiti na madrasa hapa kwa mzee Daudi In shaa Allah. Wacha waanze kuswali na huu msikiti wa udongo baadae tutafanya kitu kikubwa na kizuri kwa uwezo wa Allah.

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah Allah 💕

  • @Asiyah2000
    @Asiyah2000 2 ปีที่แล้ว +2

    الحمد لله الذي هدانا لهذا وما كنا لنهتدي لولا أن هدانا الله 🤲🏼☝🏾

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Ustaz.good job.

  • @halimazuberi1036
    @halimazuberi1036 2 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah

  • @mhjgkgjfjzuzu9545
    @mhjgkgjfjzuzu9545 2 ปีที่แล้ว +3

    MashaaAllah

  • @saudahassan6550
    @saudahassan6550 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah, Allah SWT awazidishie umri na awajengee pia nanyi nyumba peponi

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah mashaallah

  • @allyussene
    @allyussene 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah. Allah awalipe yaliyo mema.

  • @hadimohammed8414
    @hadimohammed8414 2 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH atawalipa jannah familia hii, inshaa'a'rahmaan... Ameen 🤲

  • @abuhaneefa4141
    @abuhaneefa4141 ปีที่แล้ว

    Mashallah Daud Allah azidi kukuongoza

  • @alhabsi6430
    @alhabsi6430 2 ปีที่แล้ว

    Kweli baba raha gani hiyo MashaAllah na mama MashaAllah

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah. Nawasalimia Mzee Daud na familia yake wanapedeza sana. Tunaona Waislamu wa Machakos wamefurahia kuungana na ndugu zao . Natazama nikiwa Riyadh. Kwetu ni Tala. Na tulihusika kujenga Msikiti wa Kakuyuni.

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 2 ปีที่แล้ว +4

    Assalam alaikum warahmatu-llahi wabarakatuh

  • @alhabsi6430
    @alhabsi6430 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah baba Dauud

  • @mgeninaima9866
    @mgeninaima9866 2 ปีที่แล้ว

    Mungu amrehemu Mzee daudi

  • @mkongomanidrc849
    @mkongomanidrc849 2 ปีที่แล้ว

    Mash'Allah dini yetu nzuri ❤️❤️🇨🇩🇨🇩

  • @yahyaburugu8819
    @yahyaburugu8819 2 ปีที่แล้ว

    Ma sha'Allah Tabarak'Allah 💫

  • @Thetruthfulone422
    @Thetruthfulone422 2 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah ❤️❤️❤️

  • @salimomary1922
    @salimomary1922 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah waislam wa kenya nawapenda kwa ajili ya Allah

  • @IbrahimMohamed-pp8eo
    @IbrahimMohamed-pp8eo 2 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah continue doing what your doing..and may Allah bless you

  • @sakinat2527
    @sakinat2527 2 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah tabarak Rahman

  • @yasinsalim6179
    @yasinsalim6179 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah

  • @abdishakurosmanraahid5141
    @abdishakurosmanraahid5141 2 ปีที่แล้ว +2

    ManshaAllah

  • @KATOPE1
    @KATOPE1 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah mpka machozi yananitoka

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 ปีที่แล้ว +3

    ITABIDI MZEE AJENGEWE MSIKITI WA MATUFALI.

  • @najaasalim8942
    @najaasalim8942 2 ปีที่แล้ว +1

    Waaleikum salam mzeewetu daudi na na mama nanyote ramadhan na teem yko ni furaha kubwa tunayo kw huyu mzee hakika amejitolea

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 2 ปีที่แล้ว

    Allah akbar mashalla

  • @fauziaabdullah3733
    @fauziaabdullah3733 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah Allah barik

  • @aishaomarry6996
    @aishaomarry6996 2 ปีที่แล้ว +1

    MASHAALLAH

  • @rashidalfan8274
    @rashidalfan8274 2 ปีที่แล้ว +3

    Allahu Akbar, Allah Akbar Mzee huyo Allah amuongoze yy na family yake waipende dini y kiislamu

    • @missfuyuza5573
      @missfuyuza5573 2 ปีที่แล้ว

      اللهم امين يارب العالمين

  • @bahatikenia39
    @bahatikenia39 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaalah

  • @allyhussein9855
    @allyhussein9855 ปีที่แล้ว

    Mashalla

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 ปีที่แล้ว

    Allah amuweke maala pema peponi

  • @Kaka_Mswazi
    @Kaka_Mswazi 2 ปีที่แล้ว

    Yarabi mpe mwisho mwema 🙏

  • @athumanishabani1143
    @athumanishabani1143 2 ปีที่แล้ว

    Madhaallah

  • @anlaueanzizi1286
    @anlaueanzizi1286 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah naomba number ya abubacar m niko mozambique

  • @zubedaabass6766
    @zubedaabass6766 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @ramadhanmombo3483
    @ramadhanmombo3483 2 ปีที่แล้ว +1

    Allahu akbar

  • @sulesumry9766
    @sulesumry9766 2 ปีที่แล้ว +2

    Asalam alaykum hamna sauti

  • @fatmamuhamad3762
    @fatmamuhamad3762 2 ปีที่แล้ว

    Asalamu aleikum pongezi baba NA mama

  • @mufunyiibrahim3655
    @mufunyiibrahim3655 2 ปีที่แล้ว +2

    SAUTI HAKUNA SHEIKH

  • @Abdulqafar26
    @Abdulqafar26 ปีที่แล้ว

    Allahu Akbar!

  • @abdrizackadanali5047
    @abdrizackadanali5047 2 ปีที่แล้ว

    Hii ni town gani?

  • @mohamedabdi2062
    @mohamedabdi2062 2 ปีที่แล้ว +2

    Nuru ya uislamu umeingia hiyo nyumba

    • @aflahabdula4084
      @aflahabdula4084 2 ปีที่แล้ว

      Mashaallah mashaallah

    • @barkehamdoun3702
      @barkehamdoun3702 2 ปีที่แล้ว

      Allah ampe afya na amjaalie moyo wa fahamu zaidi katika uislamu

    • @farhiaabbas6002
      @farhiaabbas6002 2 ปีที่แล้ว

      Inshallah

    • @Asiyah2000
      @Asiyah2000 2 ปีที่แล้ว

      Indeed Allahu akbar Alhamdulilaah🤲🏼

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukiona mtu anasema yeye ni Muislamu lakini matendo yake hayakubaliki jua ana upungufu ima wa imaan au wa ilmu au anapotoshwa na matamanio ya mambo ya kidunia kama vile kupenda anasa au pombe nk. Kwa hivyo, usitamani kuwa kama yeye.

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 3 หลายเดือนก่อน

    WakristoSuti.

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 2 ปีที่แล้ว +2

    Samahani ustadh Ramadhan mbona video haina sauti

    • @AliIbrahim-lv5cq
      @AliIbrahim-lv5cq 2 ปีที่แล้ว +1

      Restart simu yako bro,sauti iko loud and clear