Tafadhali endelea kutazama channel ya Straight Path Dawah na utapata faida nyingi. Pia tunakuomba usubscribe kwenye channel hii ili kazi hii ifike mbali InshaAllah.
ajabu sana, mafikira yao kuwa Mungu ni nani ndogo, Ukubwa wa Allah unazidi viumbe vyake vyote, wangejuwa Kuna mbingu Saba na ukubwa wa mbingu zenyewe hawangesema yesu mungu, Allah awafungue akili awape knowledge, Ramadhan Allah akupe umri na afya uzidi kuwafunza Hawa ndugu zetu, Ameen
Mashaalah sheikh Ramadhan Allah azidi kukuongoza inshaalah ili uwaonyeshe haqi wapate kuamka coz wamelala kama mungu wao subhana llah eti yesu ni mungu inna lillah waina ilyhi rajiun
Mashaallah 🥰🥰 uislam Raha wallah mung awalipe kher kwa elim mnayotupatia ahsant mung kwa kunifanya kuwa muislam Yaan hawa ndug zetu wallah ni weny kupotea ht maelezo yao hayana mashiko kabisa😅😅😅
Tz kumepoa San natamn hii mtaa kwa mtaa na kwet iwep kwa Kasi Kam Kenya kunusur huu Ummat Muhammad Swalallahu alyhi wasallam. Allah awape shifaa na awalipe kher kwa juhud zenu Dini yetu inazd kupata Nuru Masha Allah 🤲
I wish to see Christians themselves commenting about their "pastors" their money and material squanders. Alhamdulillah am a proud Muslim who seeks to remain in the right path of Allah.
MaashaAllah it’s amazing our sheikhs don’t look at the Bible because they memorised the Koran and the Bible. They know them off head. You call yourself the pastor but you can’t even say a verse straight without looking at the Bible.
Tesna sana eti waislam wanajuwa Yesu ni Mungu nimemsikitikia sana kwa sababu hajui alisemalo halafu anachukuwa Quran surah za kati ndio anazitoa ili aunganishe madam zake
YAKOBO 1:17 Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili, hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga; kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeuka-geuka.
Ai, MaKafiri wame fika mpaka Jomvu, a Muslim fishing Town!? JOMVU, wake up! Hawa Wa Sabato ni WARONGO wote! Hawa oni hawa waki manipulate words, both in THE QURAN and Bible? Well done Ustad. A very well orchestrated presentation of the only Truth contained in the FINAL Testament, the QURAN!
@@StraightPathDawah brother Ramadhan I've heard you say severally that you read the hindu scriptures, I would just like to recommend to you that you check out Dawah wise on TH-cam they have a stream called dimistifying hinduism and have invited several Hindu scholars to challenge them. I think you would be interested maybe benefit inshaAllah
Wameona wanaambiwa ukweli wanapunguza eti bado dakik3 si wangekupa huo mda ili uwafundishe wapate kuelewa kuliko wao wanachukua mda na hawana lolote wanalofundisha ila kupoteza waja wa Allah
Hata nami pia ndio maana nimetoa macho sijui kakosea au kakusudia kama kakosea Mwenyeezi Mungu amsamehe na kama kafanya kusudi anapaswa kusema astaghafillah maana hata sisi waislam tunamwamini Issa bin Mariam (Yesu)ni mtume wa Mwenyeezi Mungu hatupaswi kwa ubaya
Enough evidence sheikh Ramadhan Kuria. It’s already a knockout. If Jesus is God. He could have carried his own lunch without begging or asking food from his own creations. He should be self sufficient if he is the provider of sustenance , power and everything else. I can’t imagine you laughed sheikh Kuria because you know for sure this all full of laughter.
@@hassanimouigni6648 ajabu sio.Unaona vile wa Afrika wali shawishiwa na kuchanganywa na Wazungu over a hundred years now mpaka nothing however small make sense to them.
Assalam alleykum. Mchungaji ababanya maandiko katika Al-Qur'an Tukufu: andiko lasema yesu kachagua wanafunzi, / ila yeye kachomekea Mtume na manabii😜. "UKRISTO FULL KOROGETION" Ukweli uko wazi kwa Mchungaji bali yeye ni kwamba achunga maslahi.
Shekh Ramadhan hao wakiongea uongo kupindisha haya za QURA'AN inabidi uzisome kama zilivyo hiyo ni faida kwa wasikilizaji maana wao wanaujua ukweli ila wapo kimaslai
Jamaa anaandika andika anapoelezwa Yesu kama Mungu, Ndie utuma mitume. Anaandika ili aende akajandiliane na mashelkh wenzie maanake apo haana corner. Hahaha, saa nzingine unashidwa unajadiliana na nani??? Dunia hii, tumechanganywa! Roho isiyo mtabua Yesu, ni Roho ya mpinga Kristo! Hallooo waislamu!!!!! Kama hamuingii mbinguni, acheni kuzuia wengine kuingia.
Unajua hawa wakristo sijui nyi munawaonaje kama waislamu wenzangu lakini kimimi naona nikama wako na mzaha katika kijadiniliana kama hivi saingine unakuya mkiristo ana unga unga kuprove ukristio ndani ya quran kama uyu ana taka kuprove uungu wa yesu kwenye quran huyu kwani ametubeba aje hivi yesu angekuwa mungu kwa quran sheikh hapo kuria angekuja muonge kweli kungekuwa na mjadala kweli kama hawa wanatubeba aje
Why would God walk the earth for 33 years? Pastor you don’t make sense. Even my 6 year old is confused with your statement. Ana shangaa kabisa., Jesus himself amezaliwa juzi tu. So who was in charge of our world before him. It’s only a group of Christians believe Jesus is God but so many believe he is the son of God and there are others who say he is neither. Unless you have consensus among your Christian friends it’s very illogic and impossible to build a commentary on what you all believe. You are all disconnected pastor. You are telling us that Jesus is God and then he changes into flesh and now he becomes the son. Don’t you see you are confusing yourself and us audience. Ajaabu stick with one thing you can really defend. It seems you are all over. He cannot be both unless he was schizophrenic where he has two different personalities.
Itabidi maandiko mengine kwenye bibilia zenu muyafute,maana yesu aliposema USINISHIKE KWA MAANA SIJAPAA KWENDA KWA BABA, LAKINI ENENDA KWA NDUGU ZANGU UKAWAAMBIE, NINAPAA KWENDA KWA BABA YANGU NAE NI BABA YENU, MUNGU WANGU NAE NI MUNGU WENU, yani hata bila yakutumia maandiko yesu sio MUNGU, ni binadamu, na ni mtume kwa wana wa EZRAEL, lakini kwakua makanisa ni biashara basi lazima wajitoe fahamu mithili ya walevi
Nimejitahidi kumuelewa mchungaji alikuwa anaongea nini nimeshindwa kabisa kuelewa maana ametoa maandiko kibao na hakuna hata moja yesu anasema yeye ni mungu
Hawa wanaojiita wakiristo sijui kama wanajitambua!!! Nandio maana bibilia yao inasema, WATU WANGU WAMEKUA KONDOO WALIOPOTEA NA WACHUNGAJI WAO WAMEWAPOTEZA, ndio hawa
Pastor hana akili, bible inasema Mwenyezi Mungu hutuma mitume na manabii, ambao wengine mtawasulubu na kuwaua. Swali - Nani alisulubiwa, Yesu au Mungu ?
Masha Allah hustadhi ramadhan ww nikiboko Allah akupe hafya na uzima naakuzidshiye eelimu
Ahsant Mungu kunitoa ktk Giza hil,cjui upofu wa hawa wakristo utaisha Lin aisee
ajabu sana, mafikira yao kuwa Mungu ni nani ndogo, Ukubwa wa Allah unazidi viumbe vyake vyote, wangejuwa Kuna mbingu Saba na ukubwa wa mbingu zenyewe hawangesema yesu mungu, Allah awafungue akili awape knowledge, Ramadhan Allah akupe umri na afya uzidi kuwafunza Hawa ndugu zetu, Ameen
Sheikh Ramadan may Allah sw bless, protect, reward u in this Dunya and akheera
Ma asha ALLAH , Mungu akuzidishie kheir na elmu zaidi na ukujalie wepesi kwa kila lililozito , na akujalie pepo ya juu siku ya malipo amiin
Mashallah tabaraka Rakhman mjadala mzuri shehe ramadhani unajibu kwa umakini na kueleweka
5 against 1...surely islam is the light and truth for mankind. I seek refuge in Allah from the cursed shaytaan
Yesu ni mungu APO apo Allah kasema anachaguwa mitume
Mashaalah sheikh Ramadhan Allah azidi kukuongoza inshaalah ili uwaonyeshe haqi wapate kuamka coz wamelala kama mungu wao subhana llah eti yesu ni mungu inna lillah waina ilyhi rajiun
Mungu akuzidishie ujasiri na nguvu na uvumilivu kwenye kazi ya MUNGU
MASHA ALLAH vp Leo hujamchukua msaidi akusaidie kufungua vitabu maana kazi ngumu hio
Mashaallah 🥰🥰 uislam Raha wallah mung awalipe kher kwa elim mnayotupatia ahsant mung kwa kunifanya kuwa muislam
Yaan hawa ndug zetu wallah ni weny kupotea ht maelezo yao hayana mashiko kabisa😅😅😅
mashaAllah shekh Allah akujalie afya na umri mrefu
Amin
Amyn
1 sheikh V 3 pastors... incredible!
Correction, 5 Pastors, including the Sabato presenter and the macho4 who is asking sillyQuestions!
It is 5 against 1!
@@Sal.0 Haye
Tz kumepoa San natamn hii mtaa kwa mtaa na kwet iwep kwa Kasi Kam Kenya kunusur huu Ummat Muhammad Swalallahu alyhi wasallam. Allah awape shifaa na awalipe kher kwa juhud zenu Dini yetu inazd kupata Nuru Masha Allah 🤲
Kumepoa sana Tz sijui masheikh wana lkn itakuwa kuna kitu
Allah atafny wepec In Sha Allah @SAM XX
Mungu awalinde wote na awape umri mrefu mashekhe. Wote wanaoisimamia hii chanali
Amyn
Mashallah Mashallah Mashekhe wetu wa dhahabu Allah awaweke.
I wish to see Christians themselves commenting about their "pastors" their money and material squanders. Alhamdulillah am a proud Muslim who seeks to remain in the right path of Allah.
@@jkewl999 🙏
Usihofu ye pekeyake atawaweza anaji amini unawajuwa waislam
MaashaAllah it’s amazing our sheikhs don’t look at the Bible because they memorised the Koran and the Bible. They know them off head. You call yourself the pastor but you can’t even say a verse straight without looking at the Bible.
Allah akubarik sheikhe Ramadan
Asalaam alaikum warahmatullah wabarakatuh
Tuna ku shukru shk kuria
Tunakukaribisha na hapa Uganda
Much love from Uganda
Mchungaji ana upeo mdg sana
Tesna sana eti waislam wanajuwa Yesu ni Mungu nimemsikitikia sana kwa sababu hajui alisemalo halafu anachukuwa Quran surah za kati ndio anazitoa ili aunganishe madam zake
YAKOBO 1:17 Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili, hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga; kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeuka-geuka.
Mashallah Tabarakallah
Jamaa kanza kujikoroga mapema yesu mungu anachaguwa mitume kamchaguwa yakubu na wengine mweynewe bado hazaliwa
Maashallah tabarakallah mashehe zetu Allah Awape Afya na subra
Allaah awalipe kila la kheri
Amiin
Ai, MaKafiri wame fika mpaka Jomvu, a Muslim fishing Town!? JOMVU, wake up!
Hawa Wa Sabato ni WARONGO wote! Hawa oni hawa waki manipulate words, both in THE QURAN and Bible?
Well done Ustad.
A very well orchestrated presentation of the only Truth contained in the FINAL Testament, the QURAN!
Kwa Hakika Yesu si mungu.
Assalam aleykum...ALLAHU AKBAR
Wa aleyikum salam warahmatullahi wabarakatuh
Mashaallh Ustadhi ramadhan Allah akuhifadhi 🤲🇹🇿
Good job bro...
Masha Allah
Allah awaongoze njia ilionyooka
Masha'Allah ❤
yani pastor alipoanza kwa ayubu na iliposomwa utajua amechemsha. ust Ramadhan Allah akubariki na akufungulie milango ya kheri
Amiin
MashaAllah
Ramadhani jeshi la mtu mmoja 1. Naomba الله siku ya mwisho ayalete maojiani yote anayo ya fanya shekhe na hawa watu. Mtashangaa.
Yes jeshi la mtu mmoja anajiamini kimaandiko. Amewapanga kwa foleni akiwapa dose
@@maherzain615 kweli anajiamn n anawamudu wote kwa hoja zao maan wahangika kufunua vitabu lkn Shekhe wetu mashaallah kila kitu kipo kichwani ❤
Waowapo 3 lakini wanababaika. Kwamtumooja anawamudu . Hawamajamaa kweri maboya😂
Masha Allah 🥰
Mashallah
Hawa wachungaji hawajielewi kabisa kuanzatu ovyoovyo eti Yesu Mungu subuhanallah
Ila sihaba nimewahi
Laila ah hail Allah wakiristu mnamkufuru mungu walahi
Mimi nilibaki huko kwa " Asalamu walaykum Alhamdhulillahi wataala wabarakatuh!" 😅
Salamu mpya
@@StraightPathDawah brother Ramadhan I've heard you say severally that you read the hindu scriptures, I would just like to recommend to you that you check out Dawah wise on TH-cam they have a stream called dimistifying hinduism and have invited several Hindu scholars to challenge them. I think you would be interested maybe benefit inshaAllah
🤣🤣🤣🤣
Katika dakika 15 tayari sheikh Rama umemaliza kilakitu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jamani jamani jamani, nimecheka sana, maana siyo kwa salamu hii ya leo.
Hahaaa
Inatisha tena ni mpya
Hahaha mimi pia nimecheka sana kabla hajamaliza..yani ni mtihani kwa kweli
Knock out Islam always give fact
Uppercut Chini Ya Chembe Cha Moy❤️
Time kumisi jamani 😂 shekhe wetu kipenzi chetu
Wameona wanaambiwa ukweli wanapunguza eti bado dakik3 si wangekupa huo mda ili uwafundishe wapate kuelewa kuliko wao wanachukua mda na hawana lolote wanalofundisha ila kupoteza waja wa Allah
One man army!
Mashallah
Akufire yesu
🥺🥺🥺
Hii comment yako mbona inatatiza?
Ukiandika rejea usome ulicho kiandika
Hata nami pia ndio maana nimetoa macho sijui kakosea au kakusudia kama kakosea Mwenyeezi Mungu amsamehe na kama kafanya kusudi anapaswa kusema astaghafillah maana hata sisi waislam tunamwamini Issa bin Mariam (Yesu)ni mtume wa Mwenyeezi Mungu hatupaswi kwa ubaya
Samahani ndugu comment yko irudie urekebishe please
Kwa kweli pasta hujui usemalo bado kajufunze tena
Enough evidence sheikh Ramadhan Kuria. It’s already a knockout. If Jesus is God. He could have carried his own lunch without begging or asking food from his own creations. He should be self sufficient if he is the provider of sustenance , power and everything else. I can’t imagine you laughed sheikh Kuria because you know for sure this all full of laughter.
Ukiwaambia hivo wanasema unamuongelea kimwili😂
@@maherzain615 kabisaaaaa.
Amen
Waskilize wanatowa Aya mungu kaumba bingu na ardhi halaf mungu yesu alikwa wapi bingu na ardhi kuumbwa
@@hassanimouigni6648 ajabu sio.Unaona vile wa Afrika wali shawishiwa na kuchanganywa na Wazungu over a hundred years now mpaka nothing however small make sense to them.
Hii si dini ya hoja kbisa
Mungu wa wakristo ukimuongelea kwa udhaifu wake kama kula,kwenda choo,kulala wanasema unamuongelea kimwili.ss akiwa na mwili roho huwa iko wapi??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nashagaa!!
Kila asemaye mimi ni mkiristo hana dini na ni kafiri kuni ktk moto.
Assalam alleykum. Mchungaji ababanya maandiko katika Al-Qur'an Tukufu: andiko lasema yesu kachagua wanafunzi, / ila yeye kachomekea Mtume na manabii😜.
"UKRISTO FULL KOROGETION"
Ukweli uko wazi kwa Mchungaji bali yeye ni kwamba achunga maslahi.
Tunasubiraa Kwa hamu part 2
Shekh Ramadhan hao wakiongea uongo kupindisha haya za QURA'AN inabidi uzisome kama zilivyo hiyo ni faida kwa wasikilizaji maana wao wanaujua ukweli ila wapo kimaslai
maandiko ya pastor ni sawa na kulazimisha yai la kuku kuliingiza ndani ya chupa ya soda
Umeonaee
@@samxx411 kwa macho
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Apo msumari umemuingia pastor...
Nabii ISSA katabiri Nabii Muhammad km atakuja kwa vile yy alikuja mwanzo
Shekhe mung akupe umri mrefu uzidi kuelewesh uma
Haiyaa !!! Kwani Kuna salamu mpya sikuizi 🤣🤣🤣 Raha sana
Jamani mimi ndo mbavu cna.
@@myunaniniahmad6463 Hahahaha 🤣🤣🤣 Hata Discussion haijaanza tusha vunjwa mbavu.
Mtihani huu!! 😅
Mchungazi umeconfuce kabisa kutoka mwanzo...ata haujaenda dakika ishirini na ushapotoka....hauelewi maandiko kaka😂😂😂😂
Astaghafillah wapo waislam wanajuwa Yesu ni Mungu Hahaha 🤣🤣🤣 pole sana muumini wa kikristo
kuckiliza kufru za hyu pastor yataka moyo !!
Yani wakristo munachokifanya munakesi ya kujibu kwa mungu
Kweli wew huna atawezaje mtume Muhammad amtabiri nabii ISSA wakati nabiii Muhammad kaja mwismwisho
Time keeper ni muongo ameibia dakika za muislam , mbn dakika 20 za wakristo zilikuwa nyingi kwa waislam zimeisha haraka
Jamaa anaandika andika anapoelezwa Yesu kama Mungu, Ndie utuma mitume. Anaandika ili aende akajandiliane na mashelkh wenzie maanake apo haana corner. Hahaha, saa nzingine unashidwa unajadiliana na nani??? Dunia hii, tumechanganywa! Roho isiyo mtabua Yesu, ni Roho ya mpinga Kristo! Hallooo waislamu!!!!! Kama hamuingii mbinguni, acheni kuzuia wengine kuingia.
Haitawahi tokea katika Dunia hii mkristo akamshinda muislam kwa hoja labda huyo muislame hajasoma dini
We jifarij tu wenzio tulikuwa wabish kuliko ww ila leo ni waislam sasa ww endelea kujipa moyo na kukariri
Mbigu zitaondoka kaa ujue sisi waislam tutaigia janatul firdaus yaani paradise
Toa andiko yesu a.s anasema mm n Mungu enyi Wana waezraeli niabuduni.swali nasubir jibu
Mm kila cku ninawaambia wakristo kuwa cku ya mwisho mtajua au hamjui.
😂👍watakiona Cha mzee makuni
@@naimaabuualii578 yani unakuta mtu anapinga ukweli ulio wazi.
Wanadaganyw n maisha y temporary apa dunian kufuata nafsi zao
Unajua hawa wakristo sijui nyi munawaonaje kama waislamu wenzangu lakini kimimi naona nikama wako na mzaha katika kijadiniliana kama hivi saingine unakuya mkiristo ana unga unga kuprove ukristio ndani ya quran kama uyu ana taka kuprove uungu wa yesu kwenye quran huyu kwani ametubeba aje hivi yesu angekuwa mungu kwa quran sheikh hapo kuria angekuja muonge kweli kungekuwa na mjadala kweli kama hawa wanatubeba aje
Why would God walk the earth for 33 years? Pastor you don’t make sense. Even my 6 year old is confused with your statement. Ana shangaa kabisa., Jesus himself amezaliwa juzi tu. So who was in charge of our world before him. It’s only a group of Christians believe Jesus is God but so many believe he is the son of God and there are others who say he is neither. Unless you have consensus among your Christian friends it’s very illogic and impossible to build a commentary on what you all believe. You are all disconnected pastor. You are telling us that Jesus is God and then he changes into flesh and now he becomes the son. Don’t you see you are confusing yourself and us audience. Ajaabu stick with one thing you can really defend. It seems you are all over. He cannot be both unless he was schizophrenic where he has two different personalities.
🤣🤣🤣🤣🤣
Sheikh Ramadhan Leo Umejikaza hujacheka baada ya Mhubiri wa kikristo kutoa salam ya kiislam hahahahha.
Umeona eeeeh?
Itabidi maandiko mengine kwenye bibilia zenu muyafute,maana yesu aliposema USINISHIKE KWA MAANA SIJAPAA KWENDA KWA BABA, LAKINI ENENDA KWA NDUGU ZANGU UKAWAAMBIE, NINAPAA KWENDA KWA BABA YANGU NAE NI BABA YENU, MUNGU WANGU NAE NI MUNGU WENU, yani hata bila yakutumia maandiko yesu sio MUNGU, ni binadamu, na ni mtume kwa wana wa EZRAEL, lakini kwakua makanisa ni biashara basi lazima wajitoe fahamu mithili ya walevi
Nimejitahidi kumuelewa mchungaji alikuwa anaongea nini nimeshindwa kabisa kuelewa maana ametoa maandiko kibao na hakuna hata moja yesu anasema yeye ni mungu
Nyinyi fungueni akili bado mnaogelea kwenye upagani wa warumi uliotangazwa na Paulo warumi Romans 1:7-8
Hawa wanaojiita wakiristo sijui kama wanajitambua!!! Nandio maana bibilia yao inasema, WATU WANGU WAMEKUA KONDOO WALIOPOTEA NA WACHUNGAJI WAO WAMEWAPOTEZA, ndio hawa
Kuhusu Yote yanayomhusu Yesu,Kawaulize Vatican.sio mnawaokota makristo
Aliye wapoteza hawa wakristo aliwapata kwa saa zake,maana hata hawafunguki akili hata sijui hiyo bible aliifanyaje mbaka wakawa akili haifunguki
Wapi comments za christians umu ndani?
Pastor muongo huyo hana haya
Point of correction hao kumi na mbili wafwasi sio Mitume🤣
Yusu ni mtu unavigirya ni muhamedi Yusu awasaetiye
Hii wap kuwapata waislam wanoamin yesu Ni mungu?
😂hiii uyo Alie pewa dakika amedhulumu RADHANI kuria ameruka hmmm 🤔 ila ndio mambo 😂😂 😂
Tena amenda fasta Shekh wetu Masha Allah kufungua vitabu halafu pia dakika
Ndugu zetu walivyo ng'ang'ania kuwa yesu atabeba dhambi zao 😂😂😂 wee... yani ulewe wewe uzini wewe uuwe ww ila dhambi abebe mwengine Lol
Alafu awa hawana uadilifu kabisa!! Mtu wao wamempa dakika 20 lakini mwalimu wa kiislam amemaliza dakika 12 wanasema bado dakika 3!!!
Niliwaona lakini nikawafanyia subira
@@StraightPathDawah wanahubiria ndio maana wamekula dakika ila ndio mambo 😂
Pastor hana akili, bible inasema Mwenyezi Mungu hutuma mitume na manabii, ambao wengine mtawasulubu na kuwaua.
Swali - Nani alisulubiwa, Yesu au Mungu ?
Hawana hata jibu
Huyu pasta
Elimu yake ni ndogo mno
Usitusingizie waislam sote kwamba tushakuaminini nyie. Acha uongo!wewe mkristo
Endeleeni kufanya dhambi yesu yupo kwa ajili yenu 😏😏 ovyoo
Mashallah tabarakallah
mashaallah