USTADH YUSUF WAMBUGU AVUNJA HOJA ZOTE ZA MUIJIRIST NIKOLAS KATIKA MJADALA KUHUSU MSALABA MERU MAUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 50

  • @MuhammadMuhammad-gr2qv
    @MuhammadMuhammad-gr2qv 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah.. Allah awalipe jannatul Firdaus Kwa kazi yenu mzuri ya daawa...

  • @thechallangeboystheawadh5195
    @thechallangeboystheawadh5195 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah Mashekhe Allah awalipe duniani na Akhera InshaAllah

  • @mohamilah
    @mohamilah ปีที่แล้ว +1

    Waleykum musalaam warhmatulwahi wa barakatuh shukraan Amiyn Jezaka'allahu kheir

  • @nailahsaeed837
    @nailahsaeed837 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Shekh Yusuf Allah awalipe kher Ameen.

  • @maryammagenyo5087
    @maryammagenyo5087 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Awape umri murefu mukaweze kuokoa mioyo ya wengi Ameen

  • @hafsakirao398
    @hafsakirao398 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha'Allah ❤

  • @mohamilah
    @mohamilah ปีที่แล้ว +1

    Jezaka'allahu kheir

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah!

  • @faridahussein4962
    @faridahussein4962 2 ปีที่แล้ว +3

    B for sidiria Hahahhhh mwalimu wetu Yusuf mwenyezi mungu akupe umri mrefu na afya pamoja na team yako

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 2 ปีที่แล้ว +6

    ALLAH awaondoshee kila zito vipenzi vyetu..Tunawapenda kwa ajili ya ALLAH

  • @bahatikenia39
    @bahatikenia39 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaalah

  • @aminaabu1599
    @aminaabu1599 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @dinakipingo1905
    @dinakipingo1905 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah sheikh wetu Yusuf na team yako Allah awalipe kheri hapa na Kesho awape pepo ya juu.

  • @ambbabu4122
    @ambbabu4122 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa Allah...kazi nzuri sana masheikh wetu mtihani n hao tu yani hawaelewi kabisaa mwenyezi mungu awaongoze waweze kuijua haki

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah Shekhe Yusuphu na wenzio kwa mafundisho mazuri. Alhamdulilah mnawapa somo watu .

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 ปีที่แล้ว +1

    Makubwa haya hawa wagalatia wametokea wapi maana kiswahili kina wachanganya 😄😃. Alafu wanajifanya wanasoma Quran ndio wana zidi kuharibu. Shekhe Yusuphu leo unakazi mbili kuwafundisha lugha na kuwafundisha maandiko. Pole Shekhe wetu.

  • @ggv866
    @ggv866 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Tabaraka Allah Allah akupe kila la kheri na familia yako

  • @samxx411
    @samxx411 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah sheikh yussuf kazi kubwa unafanya ya kufikisha daawa

  • @mishijuma5558
    @mishijuma5558 2 ปีที่แล้ว +4

    Masha ALLAH walimu wetu ALLAH awafanyie wepesi

  • @abdilatifhashi9659
    @abdilatifhashi9659 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah mashehe wetu

  • @mohamednurmohamed8812
    @mohamednurmohamed8812 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mash ALLAH Neema alhamdulilah

  • @Ahluzikr-show
    @Ahluzikr-show 2 ปีที่แล้ว +3

    Maashaa Allah May Allaah Bless You Here And After With Jannaah

  • @aliadawi5181
    @aliadawi5181 2 ปีที่แล้ว +5

    تبارك الله

  • @mohamednoormuhamud1371
    @mohamednoormuhamud1371 2 ปีที่แล้ว +3

    Thanks 🙏 Mr jusuf and muthiri but those other guys everything is Lost in translation....

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 2 ปีที่แล้ว +5

    Kusoma mtihani, kuelewa mtihani, duh!!

  • @ibrahimetale9999
    @ibrahimetale9999 4 หลายเดือนก่อน +1

    ASALAAM ALLEIKUM. AMIR YUSUF ALLAH AKUPEE SHIFAA

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @mohammadsarai3373
    @mohammadsarai3373 2 ปีที่แล้ว +3

    Tabaaraka ALLAH.

  • @ghuluemmanuel
    @ghuluemmanuel ปีที่แล้ว +1

    Mletee huu mhadhara chavakali pia tunamisss sana

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 ปีที่แล้ว +5

    Wa pastors wako library na ku text boss zao. MaashaAllah Sheikh Yusuf bibilia iko kwa left side of his brain. He doesn’t have to look at the Bible.

  • @ggv866
    @ggv866 2 ปีที่แล้ว

    Inshaallah

  • @muhsinmohamed3489
    @muhsinmohamed3489 2 ปีที่แล้ว +2

    Ustadh plz ask where is the grave of jesus if he dies ... hio hakuna jibu .

  • @cabdikarimck1421
    @cabdikarimck1421 2 ปีที่แล้ว +2

    Nitakufisha bado si nilikufisha

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 ปีที่แล้ว +2

    Ss kiwa yesu alikufa kwa dhambi zenu na mbona alimlilia mungu eloi eloi Ili amuokoe? Kisha kama yesu ni mungu mbna analilia kusaidiwa nayy ni mungu? Kisha hayo maandiko mwayasoma wenyewe hata hamuoni haya.hii mijitu Ina mabombwe kichwani mwao

  • @swalehabdullahi4257
    @swalehabdullahi4257 2 ปีที่แล้ว +2

    Siku ya nyani kufa miti yote huteleza... Hawa wainjilisi hawana bahati wameona moto

  • @msafiriibrahim5104
    @msafiriibrahim5104 2 ปีที่แล้ว +2

    mCHUNGAJI HIO AYA YA qUR 7:124 INAHUSIANAJE NA KUSULUBIWA KWA yESU??
    Hapo ni Firauni aliwaambia wachawi wake kwa kumuamini Musa
    unafunza aya huzijui ama ni kusudi tu?

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah