MUNGU ANASEMEHE MADHAMBI YOTE/TOBA ZA AINA MBILI HAZIKUBALIWI/USIMCHUKIE MTU/MUOMBE DUA/SHEKH WALID
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- MUNGU ANASEMEHE MADHAMBI YOTE/TOBA ZA AINA MBILI HAZIKUBALIWI/USIMCHUKIE MTU/MUOMBE DUA/SHEKH WALID
#DARSA#SHEIKHWALID#TOBA
PLease Dont forget to subscribe our Channel for more Videos
USISAHAU KU SUBSCRIBE NA KUACHA MAONI YAKO KWENYE COMMENT KUFANYA HIVYO NDO KUTU SUPPORT SISI THANKS
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / darsatv
► LIKE DARSA TV on Facebook: / darsatv
Subscribe
Comment
Like
And share
Thanks
Shukran jazakallahu khair sheikh..ALLAH akuhifadh
Maashallah shekh Allah akulipe kheri za dunia na akhra aaamin
Ee, Mola Tusamehe mazambi yetu tuepushe na Adhabu ya Moto🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Amin
Vijana wengi tunafanya madhambi makubwa, na kushindwa kutubia kutokana na kumkosa elmu ya dini na hawajui kwamba Allah ni mwingi wa huruma! Mwenye kusamehe, madhambi Yetu, kama tukiacha maovu Yetu, na kuomba Toba! Kinyume chake, wanaendelea kifanya maovu huku wamekata tamaa ya kusamehewa! Sisi tunapohukumiana vilevile, hatuwaokoi waliopo kwenye maasi na kurejea kwenye uchamungu! Hakika mwenyez Mungu anasamehe! Kwa Toba ya Haraka!
Allah atuongoze,
Tuombeane Hidaya...
Allah akupe afya njema shekh Walid
Shukran Sana Allah akulipe shehe wetu...
shukraan Sana Sheikh wetu Allah akujaze kheri. nyingi
Shukrani sheikh
Mashalla nimekupenda kwa ajili ya Allah
شكراً لك
Darasa nzuri manshaalllah
Inshaallah
Masha Allah
Shukran sana
Mnashare kitu kizuri mashaAllah lkn kabla hamjashare mfanye control..shukran
Sawa shukraan
Mwenye nambaa ya shekhe naombaa anisaidie
Quran 4;48(Quran 4;116..) shekh umetudanganya hapo
Soma vizuri hiyo aya: Ree ر ina dhwama na wala sio fatha
مَا يَتَذَكَّرُ ( بضم الراء وليس بفتح الراء)
saut inakata sana fundi mitambo+camera man
Sawa jaka tutalishighulikia hilo
Hii clip inamatatizo gani mabwana mbona kama kuna maneno mlikuwa hamtaki tuyasikie?...sasa nin maana ya kuirekodi eeh....mmetunyima uhondo kweli kweli ....achen hizo mambo....
nilidhani spika zangu zinamatatizo
Kwanini
@@DarsaTV. sauti inakatakata
@@fahadfahmy wakati ilirikodiwa kulikua Kuna tatizo kwenye camera
@@DarsaTV. shukran sana