They think they have buried me, but they have planted me.Amen!!! Daddy Gwajima I’m receiving the Blessings all the way across Atlantic Ocean😀 PRAISE GOD!!
Nilijua umeacha mahubiri kumbe moto upo pale pale mm upande mwingine gwajima alikuwa anamuunga mkono jpm ila alipoondoka ameona aurudishe moto ule ule ongera gwaji boy
Amen .Nikweli mimi ni wa maana kwasababu mimi sikusoma lakini walikua naulisana ....Apate kazi wapi nahajasoma?saa hii niko ng'ambo nikifanya kazi nilipanda fright na wao hawajawai ....kumbe walinipanda wakidhani wamenisika.....Amen hilo neno limeniingia..
Ubarikiwe nikweli kutimiza ndoto inafika unasalitiwa naunaempenda binafsi Mimi baada kumpokea Yesu wengi walikataa maamuzi yangu isipokuwa mume wangu tu ndie niliebaki nae hafla namuona amegeuka hivi ninavoongea amechukuwa kila kitu chake ila hajatowa talaka somo limenigusa
Daah sijui km watu wanayaelewa maneno yako km ninavyo kuelewa mimi maana unatufanya tutumie akili nyingi sana kukuelewa coz sidhani km weusi wenzangu wataelewa maana tumekwisha funikwa mno kifikra
Nta pigana vita nikitembereya kwenye fimbo mbona Mimi niko tayari ? Nasubiriya firimbi, vifaaa , magazine , mfuta etc niingiye kiwanjani. Anangoya watu nami Nina mûngoja Baba nakutuma
Mungu anaishi ndani yako mtumishi Gwajima ubarikiwe tunakutegemea uliokoe taifa letu la TANZAGIZA iwe Tanzania yenye nuru.
Gwajima we msumbufu sana yaani nakupenda saana YESU wambinguni akubariki Saana
Ujue Baba wanao tunakupenda na tunakuelewa sanaaaa
Walifikiri wamenizika kumbe wamenipanda...very powerful...
Aminaaaaa walifikili wamenizika kumbe wamenipanda ahaaaaaaaa asante Baba
Thank you so much my Father in heaven for Bishop.Dr. Gwajima, we love you so much daddy.
Amen daddy unasema kweli unanipa moyo sana mafundisho mazurii
Nabarikiwa Sana Kwa mafundisho yako,nakuelewa Sana,asante Mungu Kwa jinsi anavyomtumia,Mungu akubariki sana.
We appreciate and love you too much Bishop Gwajima.From Burundi
They think they have buried me, but they have planted me.Amen!!! Daddy Gwajima I’m receiving the Blessings all the way across Atlantic Ocean😀 PRAISE GOD!!
Teachings are so powerful in Jesus name,uncompromising message.
Amen sana my spirictual dady
Nilijua umeacha mahubiri kumbe moto upo pale pale mm upande mwingine gwajima alikuwa anamuunga mkono jpm ila alipoondoka ameona aurudishe moto ule ule ongera gwaji boy
Gwajima boy ma'ana yake nn kama mna hila mmeingiliwa mwache gwajima avushe watu wa Mungu jaman mwaacheni.gwajima.yesu amtumie
Nilikuwa sipendi kukufwatilia ila mchungaji mahubiri yako tiba
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Uishi milele
AMEN! Asanteni Sana kwa kunitesa!
Umeteseka?
My message
Hakika umenijaza na neno Amen
Ameeeen nimebarikiwa
Amen .Nikweli mimi ni wa maana kwasababu mimi sikusoma lakini walikua naulisana ....Apate kazi wapi nahajasoma?saa hii niko ng'ambo nikifanya kazi nilipanda fright na wao hawajawai ....kumbe walinipanda wakidhani wamenisika.....Amen hilo neno limeniingia..
WEWE YESU KAKUTUMA UIBE KURA KAWE????
@@salimsaid7200 Mlikuwa nae nin?
Bongo yenye weledi. Ninayo kwa jina la YESU
I connect with Bishop Josephat Gwajima
Your teacher inspired me a lot pastor ,God blessed you Amen 🙏
Ubarikiwe nikweli kutimiza ndoto inafika unasalitiwa naunaempenda binafsi Mimi baada kumpokea Yesu wengi walikataa maamuzi yangu isipokuwa mume wangu tu ndie niliebaki nae hafla namuona amegeuka hivi ninavoongea amechukuwa kila kitu chake ila hajatowa talaka somo limenigusa
Kwani mumeo ni mwislam au
Askari jasiri wa Yesu.
Asanteniiii kwa kunitesa 😅🤜🤜🤜🤜🤜🤜🤜🤜
Nakuelewa Sana Baba angu
Ameen walidhani wamenizika kumbe wame ni panda
Uko viwango baba ubarikiwee na uzidishiwee......
Ameeeen hallelujah hallelujah
Ubarikiwe sir 🕊
Very True Papaa
Amen baba ubalikiwe
Daah sijui km watu wanayaelewa maneno yako km ninavyo kuelewa mimi maana unatufanya tutumie akili nyingi sana kukuelewa coz sidhani km weusi wenzangu wataelewa maana tumekwisha funikwa mno kifikra
YOU ARE GOD I HEAR YOU MIGHTY FATHER 😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲🙌🙌🙌
This is powerful, More Grace Bishop
Amen sir.
Amen God bless you,Man of God
Erashandakapa heeee so powerful
Waliwaza wananikimbiza ..kumbe wananisidikiza. Amen
Hallelujah mulidhani mmenizika kumbe mmenipada
Asante sana Baba
Nabarikiwa Sana
Ubarikiwe sana
Amen Dada
Najivunia kuwa na daddy kama wew
Amina babangu nakupenda sana
Toka nimeshushwa chini leo mwaka wa tatu naangaika kupanda
Nta pigana vita nikitembereya kwenye fimbo mbona Mimi niko tayari ? Nasubiriya firimbi, vifaaa , magazine , mfuta etc niingiye kiwanjani. Anangoya watu nami Nina mûngoja
Baba nakutuma
Nakukubalisana shujaawamungu karibunjombee
Aminaa
AMEEN AMEEN AMEEN
Haleluya! WALIJUA WAMENIZIKA KUMBE WAMENIPANDA!
Mtumishi Barikiwa walikupiga Sana vita leo ni Mkubwa kwao. We ni Mkubwa kuliko kovakova kuliko bashite
😅🤣 kabisa. Very true daddy Gwajima
Amen
A very great messsage from the Almighty God...How to get this clips?
Ndiyo BABAAAAAAAA
Amen amen
🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Ameeeeeen
ukweli kabisa
Tunakuamini
SIJAZIKWA!!! Nimepandwa!!!
Amen amen 🙏
Amen and Amen.
Mtu anapopiga mshale huanza kurudisha nyuma.usiogope.
Ameeen
Hallelujah hallelujah!!!!
Walini tesha sasahivi wanateswa na shukuru mungu
Tuko pamoja mcungaji, umenitia moyo
Nimekuelewa Mtumishi wa Mungu kama ulikuwepo inanipatia maisha ninayopotia kabisa
Pasua anga BABA YETU
Nijazikwa nimepandwa!
YESU KAKUTUMA UIBE KURA KAWE.
Aminaa
Toka nimeshushwa chini leo mwaka wa tatu naangaika kupanda
Amen