Speed 120 kwenye kona yani shaa kimya kimya, g hai allah east zuu a.k.a ni mwana fa so pekee uko ngwear two player east zuu ndo natokea hongera sana waziri wetu mpendwa mungu akupe nguvu na maisha marefu na hekima na busara
Tafuta hela acha kutamani riziki za watu hao Mungu amewateua mama.anakamilisha tu ila Mungu akisema yes ni yes. Usitamani neema za wenzako fanya kazi omba Mungu atakusaidia
Speed 120 kwenye kona yani shaa kimya kimya, g hai allah east zuu a.k.a ni mwana fa so pekee uko ngwear two player east zuu ndo natokea hongera sana waziri wetu mpendwa mungu akupe nguvu na maisha marefu na hekima na busara
Hongera ndugu yan gu
Watu wanapewa kula tu ukichoka kula huku unakula huk kuna mwisho wenu mung yupo
Tafuta hela acha kutamani riziki za watu hao Mungu amewateua mama.anakamilisha tu ila Mungu akisema yes ni yes.
Usitamani neema za wenzako fanya kazi omba Mungu atakusaidia
Is appointing and reappointing an indication of work performance?
Mtajua wenyewe haters wa SSH
Mbunge wangu.
Upumbavu tuu
Mbona anatetemeka
kiapo kinatoka moyoni
Pale mbele si mchezo ndugu
Kwanza akiitwa jina tu anahisi ametumbuliwa
Hapo panatisha, si pakawaida.