watu wazima mlishaambiwa msicheze hivyo kama shoo jmn, hlf bibi kharusi kuna sehemu hpo kajitanda kanga kifua kipo wazi""" ila ujumbe ni mzr mashaallah
Wewe KHADIJA SEPETU Muombe Msamaha Mola wako na kumbuka kua ayo munayoyafanya sio ktk dini yetu kama unataka kuwakumbusha watu wasijeingize ktk maasi na wetende mema basi jua kwamba Quran ni mawaidha tosha na pia kua hadithi za mtume huenda ukawa unavijua ivo na km huvijui nenda kasome ili uzidi kua na elimu na uwaokoe watu na kufanya maasi lkn si kwa njia hii uloitumia iyo ni njia ya kishetani anayokupambia kwa sura nzuri na ionekane ni jambo ktk dini ila sio kweli tunajidanganya ebu tueni waumini wa kweli kuonekana,sifa na kutaka hela kupitia mgongo wa dini havitakufaa kitu ila jua kua kuna watu wanakusaport unachokifanya na kukusifia kua ni kizuri au hukwambia ni jambo ktk dini ulifanyalo Nakushauri ziba masikio yako na waambie nimetubu na narudi kwa Mola wangu na nyinyi pia tubuni TUMUOMBE ALLAH ATUDUMISHE KTK DINI NA TUFE KTK DINI YA UISLAMU AMIN
subhanallah jaman tumuogopen Allah wanawake wa kiislam stara stara surat nuru 31 imelezea mwanamke wakiislam stara yake na mapambo na mipaka yake pia inakuwaje tunajisahau hv jaman tukumbuke kuna maisha baada ya kufa jaman kama kwel sheria waifaham hauwez post vdeo kama hyo ambayo mwanamke amejiremba alafau anaimba kwa saut nzr na jicho analegeza kwel alafu tunasema n qaswida subhanallah jaman tubadilike na tuifuate Qur'an na sunnah jaman na s nafs zetu kwaajili ya Allah
mmh.hii ni nyimbo aina tofauti na taarabu. ni.msiba mkubwa sana mwili wa mwanamke na mapambo yako ni haramu jamani kuwacha hadharani leo mwaonekana. na waume wangapi. humu
Tamtam hiv alokwambia waarabu ndiyo wanojua Dini nani Allah kasema tutahukumiwa kwa Amal zetu na c kabila zetu ao warabu na cc hatuna tofauti mm nshakaa nao na nawajua ila kwa hapo iyo video c maadili ya kiislam hata kidogo
Usiongee hivyo hakuna alozaliwa nakujuwa nikujifunza mm pia mzanzibar usiweke mabataka uslam dunia nzima samahani kma ntakukera usikubali kumbaguwa binadam mwenzako tujifunze kupitia kwa mtume wetu Inshallah
NAZD TAM TAM.POLE.HUJITAMBUI WATAKA KUSEMAJE.HIVYO UWISLAM UPI.YARUHUSU.HIVYO. AMA KWA ELIMU ULO NAYO WEWE UMESOMA UKAFAHAMU KWAMBA NIHALALI KWA MWANAMKE KUONESHA MAPAMBO YAKE. SIO WAROPOKA TU.
Mana unaropoka tu. wewe kama ni muislam penye ukweli lazima tuambiane. kama nimekukwaza samahani. ila ALLAH NDIE MJUZI KAMA..KUTWA NZIMA NISHINDA.KWQ KUFANYA ZINAA.
Basi wewe kama yakukwaza usiiangalie na unaambiwa fata maneno usifata mavazi lililojema libebe lilobaya mwachie mwenyewe huenda ikawa yeye ni bora kuliko wewe ila Allah atustiri kila mmoja wetu na aijue nafsi yake
Assalamualaykum Warahmatullah.. Maashallah tumeipokea video yako na Alhamdulillah iko vizuri..kikubwa uongeze juhudi ktk kazi yako..Inshaallah... by brother #akili_Nyingi_Nguvu_Kidogo
WAHARABU SIO DALILI (QURAN) KWANI WARABU MAQAFILI WAPO PIA WENGI TU,, HIVYO USIJIFUNZE KWA WAARABU JIFUNZE KTK QURAN NA SUNNA,, BILA UBISHI MAPAMBO YAO NIMATAMZNIO KWA WAUME RIJALI, HAWANA TOFAUTI NA VIJIDALILI VYA KIKAFILI,, WAMEJIPODOA HADI WABOWA KWA WATAZAMAJI KAMA WANAPENDA KUWA WAKRISTO SI WAJITOE TU, KULIKO KUEKTI WISLAAM KUMBE 2 IN ONE, HAKUNA KURAEIMISHANA KTK DINI,, NAONA MWAIZIHIRISHA AYA ILE ISEMAYO HAWATAKUWA RADHI MAYAUDI NA MANASWALA HADI MTAKAPO AMINI MILA ZAO:
watu wazima mlishaambiwa msicheze hivyo kama shoo jmn, hlf bibi kharusi kuna sehemu hpo kajitanda kanga kifua kipo wazi""" ila ujumbe ni mzr mashaallah
Qaswida mashaallah! Imebeba ujumbe mzuri ila mlivyo tofauti na mafundisho ya dini jamani mungu atusamehe duuu!
Maana KWA kwakuchinja kuku na mdomo Allah tusitir waja wako
Mashallah nimeipenda sana hii qaswida mwenye zimungu akubariki sana khadija sepetu
Fauziya Faiz nzuriii sana hiyo fauziya
qaswida ilomfanya khadijasepetu kua Yy queen of steg
Hii si kawaida,hii ni taarab.M.Mungu tuongoze.
Safi nimekuona ITV upo vzr kwa kazi yako
Mashalah mungu akujalie
Masha allah, Allah aibariki ndoa yenu.
Naipenda Sanaa qaswida hiii
Mashaallah khadija sepenga 😄😄😄jast funny but hongera unasauti nzuri
hongera mumy una ghani hadi raha
Wewe KHADIJA SEPETU Muombe Msamaha Mola wako na kumbuka kua ayo munayoyafanya sio ktk dini yetu kama unataka kuwakumbusha watu wasijeingize ktk maasi na wetende mema basi jua kwamba Quran ni mawaidha tosha na pia kua hadithi za mtume huenda ukawa unavijua ivo na km huvijui nenda kasome ili uzidi kua na elimu na uwaokoe watu na kufanya maasi lkn si kwa njia hii uloitumia iyo ni njia ya kishetani anayokupambia kwa sura nzuri na ionekane ni jambo ktk dini ila sio kweli tunajidanganya ebu tueni waumini wa kweli kuonekana,sifa na kutaka hela kupitia mgongo wa dini havitakufaa kitu ila jua kua kuna watu wanakusaport unachokifanya na kukusifia kua ni kizuri au hukwambia ni jambo ktk dini ulifanyalo Nakushauri ziba masikio yako na waambie nimetubu na narudi kwa Mola wangu na nyinyi pia tubuni TUMUOMBE ALLAH ATUDUMISHE KTK DINI NA TUFE KTK DINI YA UISLAMU AMIN
Abubakar Seif kama wajua hayo mbona huswali ww pia kuwaita waislam wenzenu makafiri huko unguja sasa jirekebishe ww kwanza ulopotea
Abubakar Seif kwenda huko unavozini ww mbona hulisemi
Kimaoni yangu kina dada wakatazwe kuimba qaswida twaelekea kubaya
Beautiful n i don't understand a word but black pple all cultures we are just AWESOME
Blaxinexx Pussy NICE I HOPE TO SEE THESE BEAUTIFUL PPLE UP CLOSE ONE DAY BEAUTIFUL SOUND N PPLE
Blaxinexx Pussy ooh n i need that hand tattoo now👍
subhana llah,majini ya kiswahili yanaendelea kufata mkumbo
subhanallah jaman tumuogopen Allah wanawake wa kiislam stara stara surat nuru 31 imelezea mwanamke wakiislam stara yake na mapambo na mipaka yake pia inakuwaje tunajisahau hv jaman tukumbuke kuna maisha baada ya kufa jaman kama kwel sheria waifaham hauwez post vdeo kama hyo ambayo mwanamke amejiremba alafau anaimba kwa saut nzr na jicho analegeza kwel alafu tunasema n qaswida subhanallah jaman tubadilike na tuifuate Qur'an na sunnah jaman na s nafs zetu kwaajili ya Allah
Warda Khamis Marsha allah Dadangu kwa ukumbusho iyo aya
Kweli vile... Tumwogopeni Allah... Yani sheria zote zimevunjwa apo
Dah hata mie niliesilimu sijaijua vizuli uwisilam ila imenishangaza wamebandika kope hanalinga kama yu kwenye twaarabu mtihani huu
ok
@@hadijadamumbaya5423 mashallah ukhty hadij kalb kweny din ya khakiii
Maa shaa Allah,
mmh.hii ni nyimbo aina tofauti na taarabu.
ni.msiba mkubwa sana mwili wa mwanamke na mapambo yako ni haramu jamani kuwacha hadharani leo mwaonekana. na waume wangapi. humu
Achahizo ww kibayakipii hapo ww mabaya mangapi wafanya
Rahma M kweli
Rahma M umesema ukwel mamy hawa wanao wasifia badala wawape ukwel watajua wenyew kikibwa ujumbe umewafikishia na huo ndo uislam kukumbushana
Tamtam hiv alokwambia waarabu ndiyo wanojua Dini nani Allah kasema tutahukumiwa kwa Amal zetu na c kabila zetu ao warabu na cc hatuna tofauti mm nshakaa nao na nawajua ila kwa hapo iyo video c maadili ya kiislam hata kidogo
Kweli kabsaa
Kuangalia ndoto zetu
Basi asiye muislam anaweza kusema wanachokifanya hawa waswahili ndo uislam.subhaanallaah.!?
Nzuri, bi harusi yuko vizuri
Hamujui mambo haya tuachieni wenyewe wazanzibar
Usiongee hivyo hakuna alozaliwa nakujuwa nikujifunza mm pia mzanzibar usiweke mabataka uslam dunia nzima samahani kma ntakukera usikubali kumbaguwa binadam mwenzako tujifunze kupitia kwa mtume wetu Inshallah
nasshukuruu Kwa maoni yenu yapo yano Furahisha Nayapo Yano Umiza Kwakwel Ila Naomba Mungu Asinivunje Nguvu Nanyie Mashabiki Wangu Msichoke Kunikosoa Nipo Tayari Kupokea Maoni Yenu
yani rah unajuwa kuhan
amin😋😋😘😘😘😘😘😘😘
Sawasawa
Dad anaxaut huy dah mashallah
Sisi wa swaili tuna lombaya sana jamani mbona wamejita idi uila amu ishi kukosoa
Binadamu atupendani wangeimba wao sasa mimi pia naona wameimba vizur
Maa sha allaah
Mwanamkeee wenyewe hana xauti halafuuu anaxoma vibaya
Qaswida nzuri MashaAllah ila punguzeni kujipambabb haruc kishunuuu
Aminaksh Amoona kweli wallah mzuri sana huyu khaddyja
Maa Shaa Allah, Maa Shaa Allah.
kweli naswah muhimu Sana
MASHALLAH KHADIJAA
Mashallah kipenzi changu
NAZD TAM TAM.POLE.HUJITAMBUI WATAKA KUSEMAJE.HIVYO UWISLAM UPI.YARUHUSU.HIVYO. AMA KWA ELIMU ULO NAYO WEWE UMESOMA UKAFAHAMU KWAMBA NIHALALI KWA MWANAMKE KUONESHA MAPAMBO YAKE.
SIO WAROPOKA TU.
Rahma M kosa liko wapi washanga hivo haram mangapi waya faya kutwa wazini umeonahilo
Rahma M
sasa ulo. mwenyewe jiangAlie
Mashaallah nikweli sana
Nzuri maashaallh ila kujipamba mupunguze kdg
Zuwena Kombo mambos
Mashallah nimeipenda sana
Naipenda Sana ila uyo mwingne amefanana sana na wema
Rashid Said ni mdogo wake wema
+Ashuhuna Mohammed mashallah
Rashid Said saana
Kweli kabisaa ss hio sio kaswida bali nyimbo tu km taarabu
Mashalllah
Hii ni nyimbo waz kasida watu hawaimbi ivo tafteni la kufanya co kutupotezea mb zetu
Tatizo hiloooo
Kwasida nzuri ila anaye jua dini vizur hii sikaswida ni nyimbo ya harusi
asha kauli kweli maneno mazuri ila hakuna kitu kwa matendo yanoyo oneshwa hayafaii ktk dini VIP wajipamba ivyo
hii nyimbo co kasida jitahidini sana kuweka tafauti kasida na nyimbo
Ma sha Allah
mashaallah
Naipenda sn nahongera sn
Hii nyimbo tamu
Masha Allah 😘😘
Ma shaa llah tabbaraka llah
Hifadhini kur an
MashaALLAH
Qaswida nzur but mjitahid cn stara Akhwaty zang.....
Innalillahi wainnaillahi rajiun
Siku hizi hakuna kasida shetan anatupeleka kwenye mizik
Coz niharam mwanamke ambaye ashabalehe kuimba kuskika sauti yake na kucheza so hiyo ninyimbo yaharusu haina tofauti na tarabu
mashaa allah
Kaz nzuri ila angalieni dada zetu msijipambe kupitiliza
Tujisitiri jamni
Mashallawh
Mashallah
jmn mm napenda kasid lkn mnajipamba sana
mashaallah.
Mnafanya tu mnavyojaaliwa
Hipo vzr sana
Mashaalah kichuna wang
sawasawa na nyimbo
MashaAllah
izo piko waonyesheni waume zenu so munaziuzisha sura munapatata madhambi naivo munavojiremba
Hakika hii kashwida ninzuli sana nimeipenda alla awalipe inshalla
nzur but video Sio nzuri
maaha Allah
Hey
Hi si kaswida tafauti mashairi tu
Ni maneno mazur ila mbona tunazihirish mapambo yetu
Mpo vzr wadada
Jaman kaungansha kope
Mana unaropoka tu. wewe kama ni muislam penye ukweli lazima tuambiane.
kama nimekukwaza samahani.
ila ALLAH NDIE MJUZI KAMA..KUTWA NZIMA NISHINDA.KWQ KUFANYA ZINAA.
Rahma M hiyo ni Qaswida yaharusi sasa ujumbe unaeleza jinsi yakutulia kwenye ndoa sasa baya lipi hapoo hujalazimishwa sana
Basi wewe kama yakukwaza usiiangalie na unaambiwa fata maneno usifata mavazi lililojema libebe lilobaya mwachie mwenyewe huenda ikawa yeye ni bora kuliko wewe ila Allah atustiri kila mmoja wetu na aijue nafsi yake
Rahma M upo sahihi kaka
Rahma Manu
taarabu Tu Kama hizo nyingne na Ni haraam
Mashaallah 😚😚😚😚
Mashaallah
nimeipenda
Nzuri Mashallah
NAZD.TAM TAM. BASI TUTAKUA TUNADHINI PAMOJA MIMI NA WEWE.
Rahma M ndio
Hii ni taarab kabisa
qaxweeda tam xana jaman axanten
Video
😏😏😏😏
ni meipenda sana
kweli usemayo
Mariam Suleiman mimi pia nimeipenda sanaaaa
Napenda mnavyovyaa
Ashura Atanas hoyeee
Holle
hata wewe sijakulazimisha unijibu.
Assalamualaykum Warahmatullah..
Maashallah tumeipokea video yako na Alhamdulillah iko vizuri..kikubwa uongeze juhudi ktk kazi yako..Inshaallah...
by brother
#akili_Nyingi_Nguvu_Kidogo
Zumo
ila mume jipama sana haramu dini airuhusu kwa hayo mapambo kuyaonesha adarani
Mariam Suleiman na mapiko juu kuchezea mungu ila tuwape swadta 2547
nic
Km mmekosayakufanya njooni oman
Kwakweli maana so qwaswida hii
Khadija Seputu ni yupi apo?
mwenye anaenda sokoni na muimbaji ndio Sepetu
iko poa
Binadam bwana naona mwaponda kujipamba huyo maiti jipmba sasa sijui mwataka vidio iweje kujipamba pico au kitukipikibaya mbona mko hivo tizameni vidio zakiarabu sijuii mlitakaje
NAZD TAM TAM wako Sawa kabisa,waache fitina na masufuria
TAMTAM TV
TAMTAM TV umenkosha we kaka
WAHARABU SIO DALILI (QURAN) KWANI WARABU MAQAFILI WAPO PIA WENGI TU,, HIVYO USIJIFUNZE KWA WAARABU JIFUNZE KTK QURAN NA SUNNA,,
BILA UBISHI MAPAMBO YAO NIMATAMZNIO KWA WAUME RIJALI, HAWANA TOFAUTI NA VIJIDALILI VYA KIKAFILI,, WAMEJIPODOA HADI WABOWA KWA WATAZAMAJI KAMA WANAPENDA KUWA WAKRISTO SI WAJITOE TU, KULIKO KUEKTI WISLAAM KUMBE 2 IN ONE, HAKUNA KURAEIMISHANA KTK DINI,, NAONA MWAIZIHIRISHA AYA ILE ISEMAYO HAWATAKUWA RADHI MAYAUDI NA MANASWALA HADI MTAKAPO AMINI MILA ZAO:
Not bad
kweli lkn
Fairfield
m ninachojua nyimbo yeyote ni haramu
M
N
Fauziya Faiz nc
sasa watasema ni uislam? au usanii