JOEL LWAGA - MPANGO (Official Lyric Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @joannemarley9925
    @joannemarley9925 8 หลายเดือนก่อน +32

    Una mpango na mm 💯🙌🙌🙌🙌🙌🙏more ❤️ ❤️ ❤️ from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 All kenyan lets gather here ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HeIsRisenW
    @HeIsRisenW 8 หลายเดือนก่อน +10

    Mtumishi wa Bwana Joel Lwaga huwa unatubaliki sana tukiwa Kenya na nyimbo zako zenye ufunuo mkubwa.
    Kwa kweli Bwana tunaamini sasa kuwa una mpango na sisi. Licha ya yale yote tuliyoyapotia wewe umetuwezesha kuyashinda na hivyo ni bayana kuwa wewe ukonao mpango mwema na mkamilifu na sisi 👌💯
    Kama wewe ni mkenya gonga like hapa 😊

  • @Jonathanmakhubela-kb6lz
    @Jonathanmakhubela-kb6lz 8 หลายเดือนก่อน +8

    joel yuko vizuri sana nyimbo ni kali
    ushauri kwa wale wanaoigia anavyoimba mtapotea kama tope kwenye bahari tafuteni code nyengine maana sasaivi ni kama kumbi kumbi haya kachange igieni
    badilikeni watu wa gospel imbeni kwa imani na utulivu sio macopy copy OG NDO HIYO SASA
    SAFI JOEL SAFI WIMBO MZURI SANA MUNGI ANA MPANGO NA WEWE MUNGU ANA MPANGO NA WEWE UNAESOMA COMMENT

  • @StanzaMata
    @StanzaMata 8 หลายเดือนก่อน +1

    From Rwanda 🇷🇼 Joel anajua sana,Mungu aendelee kubariki sauti yake ❤

  • @ElizabethMwasasi
    @ElizabethMwasasi 8 หลายเดือนก่อน +15

    God you know that am really tired .of everything happening to me, 😢😢 I won't give up coz I know una mpango na mimi 🥺 AMEN 🙏

  • @EstherMark-pd9tj
    @EstherMark-pd9tj 8 หลายเดือนก่อน +9

    And lord this is the confidence we have in you ya kwamba una mipango na mm.hata giza likitanda asubuhi kutakuwa na mwangaza ili nikapate kuona Tena.

  • @nancydenis.9231
    @nancydenis.9231 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤ inaweza kuwa n usiku mzito Sana ,siwez omba kama awal hii imeingia deep in my heart😢

  • @tukuyufm
    @tukuyufm 8 หลายเดือนก่อน +4

    Jitu la gospel kazini hatupoi mtumishi, ni mchakamchaka #inalipa bado haijapoa umejua kuufurahisha usikivu wetu. Ngoja tuanze na #mpango ubarikiwe sana mtumishi wa mungu

  • @isaackasong9404
    @isaackasong9404 6 หลายเดือนก่อน +2

    This song edifies me thank you very much Lord Jesus Christ for this man Joël lwaga☺️🙆

  • @SifaWangyaShabani-nt5ww
    @SifaWangyaShabani-nt5ww 8 หลายเดือนก่อน +20

    Kama unaamini Mungu anampango na sisi bas like zako zinahitajika Pia Mungu akubariki sana dear Pia akuweke nguvu kuku kubali ndo kitu najuwa Amena sana kweli🙏

    • @SamPaul-q3j
      @SamPaul-q3j 6 หลายเดือนก่อน

      nipe namba yako

  • @davidndaha9607
    @davidndaha9607 8 หลายเดือนก่อน +9

    Ndugu zangu tuwe tuna suport waimbaji wetu duniani wanyimbo za injiri njema.Ili wapate kipato na baraka kupitia jumbe za neno.Wasanii wanyimbo za dunia wameneemeka sana ila wa injiri wamesuswa sio sana kivilee.

    • @MoosaMd-h6b
      @MoosaMd-h6b 8 หลายเดือนก่อน +1

      For sure you talk truth

  • @DablickSimkoko-fp5bc
    @DablickSimkoko-fp5bc 8 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Mungu mwema kwasababu unampango na mm , nice kak joel God bless you

  • @emmanuelbuganga4918
    @emmanuelbuganga4918 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huu wimbo ni mzuri sana! Hongera!

  • @victorjohn8671
    @victorjohn8671 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mtumishi kwa wimbo mzuri unaogusa mioyo,Mungu azidi kukuinua

  • @NyedaChantal
    @NyedaChantal หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙌❤ mungu akubari sana brother

  • @annendanu0
    @annendanu0 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hallelujah.... For I know the plans I have for you", declares the Lord, "Plans to prosper you not to harm you, plans to give you hope and future .
    This is exactly what I wanted to hear .

  • @ministerlunas
    @ministerlunas 8 หลายเดือนก่อน +1

    I love the hidden message behind this song, you have sang "mpango" with revelation minister Joel. Eti huenda kuna Joshua baaada ya Musa ila haku mwingine badala ya Yona, huenda ninaishi kwa kusudi moja..... eeeiish this song 🔥 🔥 🔥 🔥
    🎶 🎶 🎵 imeenda shule

  • @pascaldealoyce7978
    @pascaldealoyce7978 8 หลายเดือนก่อน +88

    Kama unaamini Mungu anao mpango na maisha yetu like na emoji zito hapa 🙌🙌

  • @teddymasuka7802
    @teddymasuka7802 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yes my Lord,una mpango na sisi 😭😭🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @fridakennedy6476
    @fridakennedy6476 8 หลายเดือนก่อน +4

    😔kama binadamu tunapitia mengine sana hata yeye alisema hapa duniani Kuna dhiki nyingi 😢 kwa yeye kuruhusu au sisi kujiingiza katika hayo matatizo, ila Mungu bado anasema rehema zake ni nyingi na mpya kila siku ❤ ni nani kama yeye jamanii... Nakupenda Mungu najua nakuumiza ila Nakupenda tu naamini unatuelewa sisi binadam hata tukiwa wachafu kiasi ganj😢🫂

  • @veronicaemmanuelmapalala6533
    @veronicaemmanuelmapalala6533 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli Mungu anampango na mimi maana ningekuwa nimeshakufa kitambo sanaa❤🙏🏽

  • @enidkirumba
    @enidkirumba 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mpaka umeruhusu basi umeniamini🔥🔥🔥🙌

  • @agneskalekye8409
    @agneskalekye8409 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amina🙏🙏una mpango na Mimi Baba

  • @dianenijimbere2958
    @dianenijimbere2958 8 หลายเดือนก่อน

    Ninepokea na nimerudisha nguvu 😢na tumaini kwa Mungu bro songa mbele ❤

  • @goodjobnjoroge
    @goodjobnjoroge 8 หลายเดือนก่อน +3

    From Kenya this is master piece wow ❤ he has plans for me he who has allowed it all didn't just allow all this in vain

  • @dannyshilla7350
    @dannyshilla7350 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo mzuri sana! Una mpango na mimi Mungu

  • @joycewambui2270
    @joycewambui2270 8 หลายเดือนก่อน

    Wimbo umekuwa baraka nafaraja blesse mtumishi akuna wakukuweka chini endelea kumsikia mungu tuu

  • @MoiseNkurunziza-j2w
    @MoiseNkurunziza-j2w 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ningependa kuona Joel Luaga na Madam Upendo Nkone waki shirikishana kuimba

  • @RehemaKomba-d6t
    @RehemaKomba-d6t 27 วันที่ผ่านมา

    Asante mtumishi nabarikiwa sana na nyimbo zako yesu una mpango na mimi

  • @mugoliciroyi5088
    @mugoliciroyi5088 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏 asante kwa yote Mungu wangu sita tupa imani yangu na sito kufuru 🙏na ku aminiya Mungu maana una mupango na Mimi tangu nilipokuwa tumboni mwa mama yangu 🙏usikubali shetani ani tishiye imani kwa ku ni jaribu kwa maisha yangu .
    Na ku amini Mungu usi niachiliye timiza mupango wako kwangu maana wewe ndiwe boss yangu

  • @neemambena7021
    @neemambena7021 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika Yesu ana mpango na Mimi 🙌🙌🙌.

  • @LeahTweve-h9g
    @LeahTweve-h9g 8 หลายเดือนก่อน

    Amina barikiwa Sana mtumishi wa MUNGU nyimbo zinanibariki 🙏

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 8 หลายเดือนก่อน +4

    Hakika Mungu mwenye enzi anampango na mimi

  • @tracyopati4404
    @tracyopati4404 8 หลายเดือนก่อน +2

    Sometimes when it seems like nothing is working out just Trust in Him,Remember His plan not yours,His Will and not yours...Anampango na wewe.....mob love from kenya🇰🇪

  • @LucienWalola
    @LucienWalola 6 หลายเดือนก่อน

    Belle chanson pour la gloire de Dieu vraiment, courage frère, Mungu akubariki❣️🇨🇩

  • @elishavictoire374
    @elishavictoire374 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Joël, mimi niko Congo Ila nimeguswa nawimbo huu

  • @aloycekomba1
    @aloycekomba1 8 หลายเดือนก่อน

    Mziki kama baiskeli ukijua umejua ONE LOVE BROTHER JOEL

  • @DeboraKyembela
    @DeboraKyembela 8 หลายเดือนก่อน

    Safii sanaaa . Wimbo uko deep huu...
    Mungu azidi kukutumia. Nimefurahia...

  • @esterkimath1214
    @esterkimath1214 8 หลายเดือนก่อน +1

    Unampango na mimi❤❤❤

  • @PastorJaphetDJ
    @PastorJaphetDJ 8 หลายเดือนก่อน

    Kweli JEHOVA unampango na Mimi katika Hali zote naamini MUNGU una mpango na Mimi sitaogopa ❤❤❤❤ mtumishi wa mungu ubalikiwe ufike mbali🙏

  • @justinministry001
    @justinministry001 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ningelikua kaburini sai lakini Bwana wangu amenihifadhi mpaka sasa...Ana mpango na mimi❤

  • @ndeanaeddy
    @ndeanaeddy 8 หลายเดือนก่อน

    Kamaa bado na ishi bado KUNA MPANGO wake kwangu ❤🙏 thank you minister 🇧🇮🙏

  • @mbwaggermndali2038
    @mbwaggermndali2038 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishii....love forever

  • @fistonntwari2532
    @fistonntwari2532 3 หลายเดือนก่อน

    God bless you servant you are blessing in the body of Christ

  • @leontineflorance5198
    @leontineflorance5198 8 หลายเดือนก่อน +1

    This song 😢oh Lord my uncle died last week I feel so down I don’t prayer 🙏 anymore feeling bad but God has a good plan for me for really 😭😭😭😭

  • @agathajuma4827
    @agathajuma4827 8 หลายเดือนก่อน

    Amina sana God is good ubarikiwe my brother

  • @YvetteGitoka
    @YvetteGitoka 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikwe sana Joel Lwanga 🙏

  • @LucianaKitonga
    @LucianaKitonga 7 หลายเดือนก่อน

    Enyewe Mungu Una Mpango na Mimi🙌🙌🙌🙌my Brother Joel be Blessed 🙏🙏🙏

  • @mirrynyamz8048
    @mirrynyamz8048 8 หลายเดือนก่อน

    Amen...wonderful song,encouraging that God has good plans for us

  • @francis-s1
    @francis-s1 7 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa mtumishi, kuna wengine wanatafuta like kwa nguvu Kupitia kazi za wengine, tafuta vyakwako ili Mungu nea atiye makao yake ndani na uta fanyikiwa🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️

  • @rahelijuliusmngulwi3235
    @rahelijuliusmngulwi3235 8 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana kaka this is powerful

  • @FlorahMark-w2r
    @FlorahMark-w2r 8 หลายเดือนก่อน

    Amina barikiwa sana myumishi wa Mungu👏🏾👏🏾🙏🏾

  • @Beny_Daniel
    @Beny_Daniel 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika Mungu anampango na sisi...🙏👍💯

  • @MUGOBOZIMABIRAJEAN
    @MUGOBOZIMABIRAJEAN หลายเดือนก่อน

    Amen nyimbo.ya kututiya Imani tena

  • @bahatialainnzungundi9457
    @bahatialainnzungundi9457 6 หลายเดือนก่อน

    Aminaaaaa, Mungu anampano na mimi
    Ubarikiwe sana ndugu JOEL LWAGA

  • @patrickndizeye2190
    @patrickndizeye2190 8 หลายเดือนก่อน

    Ahsante Mungu. Mpango wako katika maisha yangu ni Amina ❤

  • @marialucas8351
    @marialucas8351 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimebarikiwa sana na huu wimbo

  • @etonyemyaesau1433
    @etonyemyaesau1433 8 หลายเดือนก่อน

    Joel kakayangu umenibariki kiasi manenohayoyote unayo yaimba nikama nilikuambia Maombi yangu Uyu Munguwangu akubarikisana nakupemaono kama Yabesi unaenda mbali kakaangu usilolijuwa tuninamengi ila siwezi ongeayote mtandaoni😢😢

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
    @kwayaviwawaparokiayabashne9281 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu Anatupenda Sana tuzidi kuomba msamaha na kurudi kwake ilituzidi kua waaminifu kwake

  • @gak-j6167
    @gak-j6167 8 หลายเดือนก่อน

    Kila wimbo unaoutoa unanibariki❤ from 🇧🇮 🇧🇮

  • @rizickizraeltaick2935
    @rizickizraeltaick2935 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu anampango na mimi that's what I believe always 🙏

  • @Kenya7358
    @Kenya7358 8 หลายเดือนก่อน

    Indeed God has a great plan for me , thank you from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @cecilabel5540
    @cecilabel5540 6 หลายเดือนก่อน

    Always bringing me closer to God with your music. Thanks bro

  • @teddymasuka7802
    @teddymasuka7802 8 หลายเดือนก่อน

    This is deeep📌📌📌 God bless you Joel wetu🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @leomaren5740
    @leomaren5740 8 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo za upako kubwa kabisa Mungu amuiniuwe tena zaidi

  • @lilywani3862
    @lilywani3862 8 หลายเดือนก่อน

    Utukufu umurudi Mungu pekee Kwa mupango anao na mimi,barikiwa zaidi bro Kwa huu ufunuo🎉

  • @paulinewangari4554
    @paulinewangari4554 8 หลายเดือนก่อน +1

    Had to subscribe and give a like for He deserves. You are blessed, and a blessing to many. Life is full of challenges but once you accept God, He will always have good plans for you. Indeed He does wonders. He answers prayers for those who pray strongly believing that its gonna happen and that Lord is listening to them. I pray that May The Almighty God open doors for all souls that are praying secretly and waiting for that great day when God is gonna make it be

  • @15otieno
    @15otieno 8 หลายเดือนก่อน +3

    The song is Speaking to Many of us ❤🎉🎉

  • @JohnMewa
    @JohnMewa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana mtumishi

  • @RamadhanDelAdolphe
    @RamadhanDelAdolphe 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu mbere rafiki yangu

  • @RICHARDIBRAHIM-yg5ws
    @RICHARDIBRAHIM-yg5ws 8 หลายเดือนก่อน

    God bless you much nimebarikiwa sana na hii nyimbo na nimetiwa moyo sana

  • @queenmapunda7868
    @queenmapunda7868 8 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri.nimebarikiwa sana.Mungu anampango na mimi.

  • @RobertBeda-n8t
    @RobertBeda-n8t 8 หลายเดือนก่อน

    Amen.
    Ubarikiwe kaka mkubwa.
    Mungu akupe NGUVU mpya kila LEO.

  • @Namarashallon-c2o
    @Namarashallon-c2o 8 หลายเดือนก่อน

    Lord am passing through hard times but I know you planing something good for my future

  • @mgibson8570
    @mgibson8570 8 หลายเดือนก่อน

    He who has called me has a plan, He's not clueless about my tomorrow. I'll trust even more

  • @AlbinaSoka
    @AlbinaSoka 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika Joel Mungu ana mpango nasi. Mungu azidi kukuinua.

  • @lovenessabraham7416
    @lovenessabraham7416 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika mungu ana mpango na mm🇿🇲🇿🇲❤️❤️❤️🙏🙏🙏

  • @doncolionthereferee254
    @doncolionthereferee254 8 หลายเดือนก่อน

    Yes We do declare that in Jesus Christ he do still have good plans for us , for his poeple.

  • @kundi_steve
    @kundi_steve 8 หลายเดือนก่อน

    Una mpango na mimi Mungu mkuu🙏

  • @valeryjalenga8409
    @valeryjalenga8409 8 หลายเดือนก่อน

    Powerful song and just right on time ❤️

  • @veronicahwangeci2361
    @veronicahwangeci2361 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli una mpango na Mimi Jeremiah 29:11,Lord help me to continue trusting You,in every pursuit of my life

  • @JoshuaMahona
    @JoshuaMahona 8 หลายเดือนก่อน

    Nikweli kuwa kula aliyepo duniani mungu ana mpango nae "my brother GOD bless you so much"

  • @FabianSokoni
    @FabianSokoni 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera! Kaka good song.
    God bless you in this song

  • @arthurdidiermanirambona8103
    @arthurdidiermanirambona8103 7 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo nzuria when I am praying i feel that God has been so good to me and has good plan for me. Thanks a lot Brother 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ManirakizaFabrice-w4r
    @ManirakizaFabrice-w4r 8 หลายเดือนก่อน

    Tunakupenda sana from Burundi Minister Joel

  • @MaryJuma-zx4tw
    @MaryJuma-zx4tw 8 หลายเดือนก่อน

    God bless umenibariki Sana huu wimbo 🙏🙏

  • @enockgogy5458
    @enockgogy5458 8 หลายเดือนก่อน +3

    Tuko pamoja ujawai niangusha katika uduma ya mungu

  • @yemzrickx4009
    @yemzrickx4009 8 หลายเดือนก่อน +1

    Is always right that mungu ana mpango na mimi😢🎉❤

  • @eliasbahati4561
    @eliasbahati4561 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mnaimba vzr ila nawapa changamoto ya nyimbo zenu nyingi amuimbi watu kuacha dhambi ,yesu anakuja upesi bali mme base kweny nyimbo inspiration tu

  • @RICHARDIBRAHIM-yg5ws
    @RICHARDIBRAHIM-yg5ws 8 หลายเดือนก่อน

    God bless you much nimebarikiwa sana na nimetiwa moyo sana na wimbo huu

  • @MoosaMd-h6b
    @MoosaMd-h6b 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu wetu ni mwema, hakika hata kuwa hai leo ni mpango wa Mungu. Utukufu kwa Mungu wetu juu mbinguni amen.

  • @NyabonyiKairo
    @NyabonyiKairo 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen.. Mungu najua unampango na MIMI

  • @aidaniSevelin
    @aidaniSevelin 8 หลายเดือนก่อน +1

    Umenipa faraja bro hata uku nilipo sasa una mpango na mm mungu wangu atafanya wakati wwte amina mungu akubariki sana

    • @Bise270
      @Bise270 8 หลายเดือนก่อน

      Mimi pia kuna wakati napitia ila kupitia Wimbo huu kwa hakika naamini Mungu ananipitisha kote huku kwa sababu ana Mpango na mimi

  • @vincentkivaya7005
    @vincentkivaya7005 8 หลายเดือนก่อน

    Great ministration.God lifts you Minister Joel Lwaga to higher level

  • @faithnyambura245
    @faithnyambura245 8 หลายเดือนก่อน

    God am waiting for your plan.....am ready 🙏🇰🇪

  • @Jujan1235
    @Jujan1235 8 หลายเดือนก่อน +2

    God bless you🎉🎉❤

  • @rachelmazimpaka6195
    @rachelmazimpaka6195 8 หลายเดือนก่อน

    Be blessed , very touched by this single

  • @joycewambui2270
    @joycewambui2270 8 หลายเดือนก่อน

    Waoooo blessed bro goog job,inuliwazaidi

  • @paulinemuraguri8686
    @paulinemuraguri8686 8 หลายเดือนก่อน

    Yes Lord unampango na mimi 🙏

  • @witneyblessed.9300
    @witneyblessed.9300 8 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 indeed he has a plan for me ,the song is speaking to me ,I'll leave this comment here and I believe that I'll back with Testimonies 🙏 🙏