My Testimony ( Amefanya Mungu ) - Paul Clement : Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ส.ค. 2023
  • เพลง

ความคิดเห็น • 55

  • @hannahskitchenke
    @hannahskitchenke ปีที่แล้ว +5

    Enyewe Mungu AMEFANYA 🙌🏾🙌🏾

  • @briella6899
    @briella6899 ปีที่แล้ว +7

    Mara nyingi watu wanaokataliwa na wanadamu , Mungu anawainua juu sana, asante kaka nmejifunza kitu

  • @briella6899
    @briella6899 ปีที่แล้ว +3

    Kweli Mungu uinua wanyonge

  • @deniswolfganglyimo
    @deniswolfganglyimo ปีที่แล้ว +4

    Studio zmenikatisha sna tamaa,ntaimba ila kwenda studio sdhani,bora niimbe kwaya daima na milele 🙏

  • @Jimmymanasseh_Official
    @Jimmymanasseh_Official ปีที่แล้ว +3

    Akijaja bure kimeacha kitu ndani yangu🙏🙏🙏🙏

  • @godfreysanziki1461
    @godfreysanziki1461 ปีที่แล้ว +3

    Kukatishwa tamaa ni changamoto inayowakumba wengi ambao kimsingi Mungu anakuwa na kusudi nao na hiyo ni Kwa sababu Wana hiyo ziada ndani yao katika ulimwengu wa kiroho. I get you ☑️✔️☑️✔️☑️🙏

  • @leahluhwavi7850
    @leahluhwavi7850 ปีที่แล้ว +6

    Kaka Bwana Yesu akutunze uendelee kufanya kazi ya Mungu🙏🙏 hakika hata Mimi wimbo wa amefanya Mungu umenibariki sana 🙏🙏

  • @bilhahw
    @bilhahw ปีที่แล้ว +6

    Ushuhuda mzuri sana, hakika Mungu pekee ndiye ajuaye mema aliyotuandalia, wanaomtumaini.

  • @salomembiku4256
    @salomembiku4256 ปีที่แล้ว +4

    AMEN....KUBWAA....

  • @ahuriladaniel9849
    @ahuriladaniel9849 ปีที่แล้ว +4

    Mungu azidi kukuinua🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️

  • @mussandutalevenmwampamba689
    @mussandutalevenmwampamba689 ปีที่แล้ว +5

    Ubarikiwe kaka ushuhuda mzury ,nimejifunza kitu 🔥🔥

  • @tausipaschel155
    @tausipaschel155 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe kwa USHUHUDA sio tu kuambiwa hujui Bali na kunyanyaswa kazini kudhulumiwa na unazibwa mdomo unaambiwa usifuatilie Haki wala kujaribu kuiulizia unaambiwa ukiendelea utafukuzwa kazi. MUNGU. aliyekuinua wewe atatuinua na sisi pia barikiwa sana mdogo wangu

  • @AbednegoJoseph-tq1ks
    @AbednegoJoseph-tq1ks ปีที่แล้ว +3

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @r.jgospel9769
    @r.jgospel9769 ปีที่แล้ว +3

    Brother natamani sana kua kama wewe🙏

  • @tukuyufm
    @tukuyufm ปีที่แล้ว +4

    Pole sana kaka mtumishi, dah! ila haya mambo ya STUDIO yamewakatisha tamaa wengi, tumepoteza waimbaji wengi kupitia NASAHA chovu za MAPRODUCER. tunamshukuru mungu kwa Upandikizo wa pando imara aliloliachilia ndani yako likimea pembeni mwa mafyekeo ya changamoto nyingi, kwa neema ya mungu tunaona umestawi hivi. MUNGU aendelee kuitunza huduma yako.

  • @noahmisholi1080
    @noahmisholi1080 ปีที่แล้ว +1

    🙌🙌🙌
    Amefanya Mungu

  • @user-us9ds9dd3z
    @user-us9ds9dd3z 7 หลายเดือนก่อน +1

    It is such an amazing story a lesson to trust in God.

  • @AbednegoJoseph-mr9lc
    @AbednegoJoseph-mr9lc ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @lifewithNekoye
    @lifewithNekoye ปีที่แล้ว +6

    You are a great minister of the gospel.

  • @godfreymhoja5306
    @godfreymhoja5306 ปีที่แล้ว +2

    Ww n man of God kaka nafatilia sana interview zako kaka n critical saana upo na roho saana

  • @christianbalume
    @christianbalume ปีที่แล้ว

    Pamoja na Mungu kila kitu kina wezekana zaidi kwa bidii atazidi kufanya makuu

  • @nickluca1512
    @nickluca1512 ปีที่แล้ว +4

    Imewahi nikuta ata mim brother 😔

  • @janeymhando
    @janeymhando ปีที่แล้ว +2

    Thank youu

  • @newupdate257
    @newupdate257 ปีที่แล้ว +2

    Amen amen ... BURUNDI we love you Sir and we love your songs 🇧🇮⚡😍

  • @laurawatosia
    @laurawatosia ปีที่แล้ว +4

    There's nothing impossible with God ,,when HE says yes no one can deny it,, God 's Grace was sufficient to you man of God,,Be blessed so much for this 🙏

  • @ritaaliela7401
    @ritaaliela7401 ปีที่แล้ว +3

    Hakika ya Mungu ni makuu, Hallelujah

  • @user-yh9pj6ue3o
    @user-yh9pj6ue3o ปีที่แล้ว +1

    Jamani Paul Mungu akubariki tunakupenda Sana tunatamani Sana uinuliwe zaidi ya hapoin Jesus name amen

  • @messievictorsong7724
    @messievictorsong7724 6 หลายเดือนก่อน

    Amen sana mttumishi wa Mungu ata nni kwa sasa napitia mambo mazito sana kwa uduma but nishindwa nifanye lipi kaka yangu natama skumoja tuh Mungu ataniinuwa kwaajili ya utukufu wake

  • @Jimmymanasseh_Official
    @Jimmymanasseh_Official ปีที่แล้ว +2

    Dah powerful massage

  • @ministereem9491
    @ministereem9491 ปีที่แล้ว +1

    Hakika mitazamo hiyo mara nyingi hujitokeza maishani kwa tunamini kuvuka ila Mungu ni mwema tunavuka, ubarikiwe brother kwa ushuhuda huu

  • @franelkibe_s5105
    @franelkibe_s5105 ปีที่แล้ว +2

    Amen.

  • @chikondiclement
    @chikondiclement ปีที่แล้ว +4

    Am a number one fun of your Work Brother 🎉🎉🎉

  • @vernaalivitsa3639
    @vernaalivitsa3639 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuzidishie neema. Wewe ni baraka

  • @JaneLongo-dm5hl
    @JaneLongo-dm5hl 11 หลายเดือนก่อน

    Aminaaaaaa sana hata kwangu atafanya🙏

  • @lawrencejoshua4476
    @lawrencejoshua4476 11 หลายเดือนก่อน

    Brouw 🙌🙌
    Nitaendeleza ninayojifunza Toka kwako

  • @pip_genesis
    @pip_genesis ปีที่แล้ว +1

    Amefanya

  • @neemasomi8841
    @neemasomi8841 ปีที่แล้ว +1

    My All time favourite Minister.. May God integrate your blessings 😊😊

  • @user-vy1dy3tb4c
    @user-vy1dy3tb4c 7 หลายเดือนก่อน

    Stay blessed brother Paul!

  • @zephaniamanyasi9110
    @zephaniamanyasi9110 ปีที่แล้ว

    Amna kwa shuuda nzur

  • @evelynmwendapeke6718
    @evelynmwendapeke6718 ปีที่แล้ว +1

    You are my Top Gospel Singer. Mungu akubariki sana

  • @breethewish
    @breethewish 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Ubarikiwe Sana Mtumishi Paul Clement kwa ushuhuda unaotukumbusha Ukuu wa Mungu...endelea kujinyenyekeza ndivyo unavyozidi kupandishwa Viwango🙏 🙌You're an inspiration and you're going places💯🙏🙏

  • @meshackmurhabazi8754
    @meshackmurhabazi8754 ปีที่แล้ว +1

    Hi🙏🌹🙏🙏🌹🙏

  • @huldavagheni6186
    @huldavagheni6186 ปีที่แล้ว +1

    My pick of the Month. God bless you, Paul Clement. Mungu aji funue kwako zaidi na zaidi. Merci beaucoup. Mungu Amefanya, Zawadi, and so on... this album is all the time ringing into my ears... you are blessed. songa mbele

  • @paulinakalakai8369
    @paulinakalakai8369 10 หลายเดือนก่อน

    💪🙌

  • @faithshalom6192
    @faithshalom6192 11 หลายเดือนก่อน

    May God keep elevating you to new levels Minister Paul Clement. Your story is encouraging and your Songs are touching.

  • @arrfamush3285
    @arrfamush3285 ปีที่แล้ว

    Part 2

  • @margaretwamutegi
    @margaretwamutegi ปีที่แล้ว

    Amen 🙌🙌

  • @ambakisyekediely
    @ambakisyekediely ปีที่แล้ว

    THANKS BROTHER

  • @simoninjili8111
    @simoninjili8111 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa brother

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga 11 หลายเดือนก่อน

    AMEN KAKA NIKUULIZE SWALI?

  • @joshuasilwano2622
    @joshuasilwano2622 ปีที่แล้ว

    Ushuhuda wako umenigusa sana hata mm niliambiwa hivyo hivyo kuwa sijui kupiga drums now wananita wenyewe niwapigie drums japo sijui sana

  • @user-nb6je1gg3g
    @user-nb6je1gg3g ปีที่แล้ว +2

    😡😡😡😡