FAMILIA: Sam Waukweli Hajafa na UKIMWI Jamani..!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • FAMILIA YALIA: Sam Waukweli Hajafa na UKIMWI Jamani..!
    Kufuatia kifo cha msanii, Sam wa Ukweli, kilichotokea usiku wa kuamkia leo kwa tatizo linalodaiwa kuwa ni Ukimwi wa Kurogwa, mdogo wa marehemu amezungumza na Global TV na kukanusha taarifa hizo na kusema wao kama familia hawakuwahi kufahamu kwamba ndugu yao anaumwa Ukimwi.
    Mdogo huyo wa Sam amesema familia yao imesikitishwa sana baada ya kusikia taarifa hizo zilizotolewa na Prodyuza wake anayefahamika kwa jina la Baba Baysa ambaye mpaka Global TV inaondoka msibani maeneo ya Tandale hakuwa amefika kabisa.
    SAM WAUKWELI, SAM WA UKWELI, SAM WAUKWELI
    lnstal GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

ความคิดเห็น • 148

  • @jacqdiidi7694
    @jacqdiidi7694 6 ปีที่แล้ว +1

    Swali Tanzania yote kwani Sam ndio wakwanza kufa kwa ukimwi. (kurogezewa ukimwi wakupewa) marafiki na majirani ndo walimroga kwa kusema anaugua midomo zao zilimpa sam ukimwi na wakamtenga bila ya kumtembelea .kama marafiki wadhati mgemtembelea sam mngejua ana nini kinachomsumbua.na ndio maanake alikataa musijulishwe aliko hakuwa na imani tena, tuombe roho yake hiyo ni njia yetu sisi wote.

  • @bakarinassoro529
    @bakarinassoro529 6 ปีที่แล้ว +6

    Kikweli Sam aliona kifochoke na ndio maaaana akatoa hiyo nyimbo RIP SAM naomba nyimbo yake mpya kwani inaujumbe mzito kwa jamiii

  • @latifaayoub5750
    @latifaayoub5750 6 ปีที่แล้ว +4

    Yule produza atakua alikua navisasi vyake haiwezekani aongee ujinga vile mbele yacamera niupuuzi mtupu hakufanya jambo lakistaarabu

  • @jonaselias7729
    @jonaselias7729 6 ปีที่แล้ว +4

    Hee mmemgeuka tena aliyekua anamsaidia...??? tuomuogope Mungu...malaria siku hizi MTU anaharisha mpaka kufungwa pampers...yule jamaa alipanic kifo sio kitu rahisi jaman msameheni Mungu anamakusudi na yote Mimi nimemshukuru Sam kanipa funzo kubwa sanaaa....

  • @pilirajabu6853
    @pilirajabu6853 6 ปีที่แล้ว +6

    We kaka kua nahaya bayser co mjinga alopoke kitu ambacho hakipo nakua na shukrani ndungu yenu kamfia kwenye mikono take mshukuru hata alipata kuhifadhiwa je wangemkimbia mngesema nn kwan ujui kukiwa na mcba mtu unaweza kulopoka kila kitu shukuru mungu apo ulipo hata mia yakumpeleka Hosp hujatoa wala yakumpeleka hiyo laboratory mfyuuuuuuu!!

    • @tuphujekumuhkunonyiile3739
      @tuphujekumuhkunonyiile3739 6 ปีที่แล้ว

      PILI RAJABU yakikukuta kwanza unachanganyikuwa unaongea hata chandani wewe unaona sawa kumbe unakosea

    • @pilirajabu6853
      @pilirajabu6853 6 ปีที่แล้ว

      Sawa ila yule bayser hajakosea mm naww hatujui anaejua nimarehemu ukweli wote kwan nae vilevile kachanganyikiwa nandomana karopoka had yandani ila nijambo lakushukuru kwan walitoa msaada na ckumlaumu

  • @denniskalisti2570
    @denniskalisti2570 6 ปีที่แล้ว +3

    Anayekufa kwa ukmwi na anayekufa kwa magonjwa mengine tofauti iko wapi wote wanakufa tu maana toka neno ukimwi lickike bac watu ndo wamekazia hapo hapo ukimwi! ukimwi! ukimwi!

  • @mwanakhatibu3722
    @mwanakhatibu3722 6 ปีที่แล้ว +42

    binadamu hatukosi lakusema iwe kafa naukimwi iwe kafa naugonjwa wowote ule lkn tukae tukijua sote pua zetu zimeinamia chini hakika ss sote njia nimoja pumzika kwaamani kaka mbele yako nyuma yetu Allah akufanyie wepesi kaburini mwako

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 6 ปีที่แล้ว +4

    Kifo ni kifo tu haijalsh ume kufa kwa ugonjwa gani kaaeni mkijuwa kila nafusi itaonja umauti Mauti ni gilasi kila moja atainyoeya maji so tumuomben kwa Allah ampmnz kwa Aman kifo cha mwenzetu ni ukumbusho kwetu so tjuwe mda wote nasi twaondoka R. I. P Sam

  • @hamismbekae3050
    @hamismbekae3050 6 ปีที่แล้ว

    Kweli Mjomba Maghufuli anakazi sana . Yani, wa Tanzania ndugu zagu.Kweli muna akili timamu au jua lime wawakia mpka mumepoteza akili some how!!!!!!! Since when mtu arogwe UKIMWI !!!!????? Mweshimiwa Maghufuli nakuomba baba tena kwa magoti. Achana na projects za kujenga barabara kwanza, So you invest in health community workers kuwa elimisha wa Tanzania kuhusu UKIMWI na njia ambae mtu anaweza ku athirika. Eti karogwa UKIMWI nyie machizi kweli duh!

  • @christinemariah9622
    @christinemariah9622 6 ปีที่แล้ว

    U guys make AIDS look like the most horrible sickness on earth, mbona mtu akiwa na cancer hamuogopi kusema amekufa na cancer, mna create stigma Bure, I lost a family member due to HIV and I talk about it to educate people, because I see it as malaria. Tanzanian wake up. Gosh

  • @wildflowgang4823
    @wildflowgang4823 6 ปีที่แล้ว +3

    Niko Kenya nalia machozi..nilikuwa nampenda na ngoma zake

  • @adamzakaria2463
    @adamzakaria2463 6 ปีที่แล้ว +6

    jamaaaa anakua mwongo Wakt producer alisema ukwel

  • @aldanaudana2633
    @aldanaudana2633 6 ปีที่แล้ว +3

    Mmezoeya tu uko kuzua ukweli halisi hamuusemi km mnapenda kuuwa wasanii nyooni wajinga wakubwa

  • @rukiaissaganga8112
    @rukiaissaganga8112 6 ปีที่แล้ว

    we kaka kwani malaliya c ugonjwa na ukwimwi piya c mgonjwa? so amekoseya nini bwana produced? na wewe ulijuwaje kuwa marehem aligomba na produce wakati huku wepo. kuwa mkweli tu. r.ip. Sam tuta kukumbuka daima

  • @babycandy1153
    @babycandy1153 6 ปีที่แล้ว

    This is not fair watanzania.Mwenzenu yuko msibani nanyi mainterview fyuu

  • @khloealfan7924
    @khloealfan7924 6 ปีที่แล้ว +4

    Ila alikuwa mgonjwa kweli ...tena wa mda tu...mungu ampuunzishe samala...

  • @crevamuhando2428
    @crevamuhando2428 6 ปีที่แล้ว

    wekaka mbonahuereweki unachoongea nikweri, kwakweriurimi hauna mufupa

  • @amiriramadhan7753
    @amiriramadhan7753 6 ปีที่แล้ว +3

    ila yule producer hakutakiwa aongee abari za ukimwi alitakiwa amstili mshikaji kwanini aongee kweupe vile kiwana wana sio fresh!!

  • @lovekyungai2658
    @lovekyungai2658 6 ปีที่แล้ว +1

    Uyo producer Mshenz kweli kweli kwanza labda ndo kamuua mwenzake Akamatwe haojiwe Uyo mbwa

  • @asmasturamwanza693
    @asmasturamwanza693 6 ปีที่แล้ว +2

    plojuza hana kosa kasema ukweli,ila pumzika kwa amani

  • @luhalanyati9353
    @luhalanyati9353 6 ปีที่แล้ว +2

    Rip Sam mtu akifa hawakosi la kuongea pumzika kwa aman mtoa hukum ni Mung pekee midomo ya watu hailipiwi kila mmoja anatamka lake

  • @muyasalo4880
    @muyasalo4880 6 ปีที่แล้ว +7

    We kaka mnafiki tena mnafiki kabisa muombee ndug yako apumzike tu Salama ila kuhusu ugomvi cyo kweli,

  • @jumamakuri9176
    @jumamakuri9176 6 ปีที่แล้ว +2

    Waandishi buana !!!! Wanakosaga vya kuuliza!?!?!?!!!

  • @marcymbegab9066
    @marcymbegab9066 6 ปีที่แล้ว +1

    Mercy from Kenya binadamu hawa kosi lakusema wenye wana sema alikufa na ukimwi wali kuepo hapo yeye akifa jamani sote tuta kufa please tujifunye kuonge yeye kafa mimi na wewe hatujui tukifa watu watesama tulikufa na nini sam R I P mungu akueke Mahalia pema peponi

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 6 ปีที่แล้ว +9

    Kila nafsi itaonja umati mbele yake nyuma yetu

  • @وليدعلي-ظ3د
    @وليدعلي-ظ3د 6 ปีที่แล้ว +1

    lnnallillaah wainna ilayh rajiuun polen ndug, jamaa na marafik mung awatie nguvu ktk kipind hiki kigumu

  • @rizmarahmed1196
    @rizmarahmed1196 6 ปีที่แล้ว +2

    ya sam tushayajua Huyo bayser Kwli hakufurahisha Kauli yk ila sote njia no hiyohiyo ukimwi cjui nn zote sababu tu Mola amlaze Pahala Pema peponi na awape subra fmly yote

  • @bkaymartine2696
    @bkaymartine2696 6 ปีที่แล้ว +4

    RIP Sam, nyuma yako tunafata

  • @nadiahussein9669
    @nadiahussein9669 6 ปีที่แล้ว +1

    Before kabla mtangazaji Veep! Pumzika kwa amani Sam Wa ukweli

  • @venancebasil4656
    @venancebasil4656 6 ปีที่แล้ว +12

    Ukimwi wa kulogwa! daah aisee wabongo tuna mambo..

    • @aishaabdul1360
      @aishaabdul1360 6 ปีที่แล้ว +1

      Venance Basil nikweli upo? ??ukijua mapema unatibika bt utasumbuka sana

    • @sangooabdallah9246
      @sangooabdallah9246 6 ปีที่แล้ว

      Venance Basil Upo. Kweli. Ndugu

    • @antoineakimanayase5996
      @antoineakimanayase5996 6 ปีที่แล้ว

      Venance Basil Bongo ni shida tupu

    • @tuphujekumuhkunonyiile3739
      @tuphujekumuhkunonyiile3739 6 ปีที่แล้ว

      Ukimwi wakulogezewa upo jamani tena ukianza kutumua dawa za ukimwi auchukui mda mwingi unakufa siomasiala lakini kwa hawa kuna mshangao kidogo kauli ya mjomba .mdogoake na yule mwenye studio nani mkweli ila mungu ndie anaejua yooote ss tunalopoka buule na kuchuma dhambi

  • @josejuma103
    @josejuma103 6 ปีที่แล้ว +3

    Mtu kaangaika na ndugu yenu hadi kamfia bado unamlaumu,r.i.p sam

  • @elizabetandrew7954
    @elizabetandrew7954 6 ปีที่แล้ว

    projuza anakosa kwani kaongea kile alichoambiwa na mwenyewe, sasa malaria sugu ninini?,,, mficha maradhi umauti umfichua .

  • @millicentshilavira3477
    @millicentshilavira3477 6 ปีที่แล้ว

    Ukimwi kajia sisi binadamu.iwe kafa na ukimwi ama hajafa na ukimwi shida ya producer ni ipi ndo akamwanike dunia mzima??binadama wanyama huyo producer.sam si wakwanza na ila si wamwisho kuaga na ukimwi.producer we uchunge.leo sam kesho ww.utaskia vizuri ukianikwa pia ww.remember what goes round always comes back around..nakuombea sana ww producer.mungu tu ndio atakaye kulipiza kisasi.r.i.p sam.

  • @lovekyungai2658
    @lovekyungai2658 6 ปีที่แล้ว

    duh!!!!/hama kweli walimwengu bora wali nyama unaanzaje kumdis marehemu jamaniii Acheni UMBEA

  • @aminakassim8272
    @aminakassim8272 6 ปีที่แล้ว +2

    muongo muongo huyu

  • @kitalalarobert956
    @kitalalarobert956 6 ปีที่แล้ว +2

    Rest in peace bro

  • @marywambui3033
    @marywambui3033 6 ปีที่แล้ว +1

    poleni xna kwa familia y sam wa ukweli.mungua alimpenda xna

  • @masatumasatu1818
    @masatumasatu1818 6 ปีที่แล้ว

    Nyimbo ya Sam inamaanisha kabisa Sam mwenyewe anatambua kaugua mda mrefu Sanaa kiasi cha watu kuhisi anaumwa UKIMWI ss huyu dogo anaongopa yy haya kwenye hiyo nyimbo sam anazidi kusisitiza kuna uchawi ambao ndo umaduni wa kiafrika na tunashika dini imani za kizungu utamaduni usio wetu Then dogo anazingua huyo

  • @lashalashira3003
    @lashalashira3003 6 ปีที่แล้ว

    Hiv doesn't kill as long as you take medication you can live more years so you people should stop bragging yourself on something you don't know rest in peace dear Sam wa ukweli

  • @bintabdallahjuma3331
    @bintabdallahjuma3331 6 ปีที่แล้ว

    huyu mdogo mtu muongo sana....yy hakuwepo huko studio hayo ya kugombana Sam na producer wake ameyajuaje?!

  • @bahatimginabahatistanry9367
    @bahatimginabahatistanry9367 6 ปีที่แล้ว +1

    R I P Sam nilikuanampenda sana mungu awenayeye

  • @sorayasalim2634
    @sorayasalim2634 6 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P kk

  • @moshimongelwa7795
    @moshimongelwa7795 6 ปีที่แล้ว +2

    Rip 😭😭 Sam

  • @deborakomba947
    @deborakomba947 6 ปีที่แล้ว

    huyo mtu mchunguzeni anawezaje kutoa taarifa za mtu hata km kweli alikuwa na ukimwi? Mungu ampokee Sam kwa amani

  • @stevenkipara9310
    @stevenkipara9310 6 ปีที่แล้ว

    Hajasema amekufa kwa ukimwi,bali kwa ukimwi wakuambukizwa,na hata nyiye ndungu muna bisha nini? ata wimbo wenyewe upo wazi,uyo kafa kwa ukimwi wa kurogwa mimi na muunga mkono produce.

  • @lovekyungai2658
    @lovekyungai2658 6 ปีที่แล้ว

    huo wimbo Uachiliwe plzzzzz Unatufundisha sana watu wengi naomba sana

  • @divynahkwamboka7388
    @divynahkwamboka7388 6 ปีที่แล้ว

    Rip ila tuambiane ukweli ili hata jamii ijifunze pia siamini sana kakake ila ya mungu ayana makosa.Kama kweli aliumwa na ukimwi basi iwe funzo kwetu sisi .Tusimulaumu sana producer yawezekana kweli upo kidogo japo kumwelewa atuwezi kwa kipindi iki.Ila siku za usoni tutamwelewa ......

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 6 ปีที่แล้ว

    Kulu nafc dhalikali mauti Allah amfanyie wepec iyo safari ni zito yaitaji zawadi mmi na wwe tuombe mwisho mwema mwezetu kafa kitandani je mmi na wwe itakuwa wp? Na itakuwaje tujiandae na hii safari ulale pema sem ukweli kama jina lako na umeondoka umewambia ukweli binadamu ndio cc inaniuma sna lkn kazi ya mungu mbele yke nyuma yetu

  • @naomybenedict3321
    @naomybenedict3321 6 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P Sam dah polen wafiwa

  • @emmabays9963
    @emmabays9963 6 ปีที่แล้ว +1

    daaah rest in peace sam wa ukweli,l remember you always

  • @aishaelias6826
    @aishaelias6826 6 ปีที่แล้ว

    Ifikia mahali hadi mtu mzima avae pumpers,aliumwa zamani huyo,alafu hangeimba akiwa mgonjwa alilazimisha pumzi huyo.jamani njaa mbaya

  • @hellenanthony4441
    @hellenanthony4441 6 ปีที่แล้ว

    Produza mnafk kwan ilikuw lazima aongee habar za ukimwi? yey amepima?

  • @سبحانالله-ح7د
    @سبحانالله-ح7د 6 ปีที่แล้ว

    Innalillah waina ilayh rajiuna. Mungu amlaze mahalapema marehem amjalie kauli thabit.poleni wafiwa kwa msiba.ungu atawajalia subra.Alhamdulillah ndio njia yetu sote. Nasi mungu atujalie khusnal-khatma.

  • @mwajabungoma5246
    @mwajabungoma5246 6 ปีที่แล้ว +3

    R.I.P sam waukweli

  • @swabrinamasoud106
    @swabrinamasoud106 6 ปีที่แล้ว

    akuna aja ya kusema mengi ndguyangu dua ndo muhmu kwke Allah ampokee vzr kkayetu Sam yote anayajua mungu😭😭😭

  • @saimonmgeta5239
    @saimonmgeta5239 6 ปีที่แล้ว +1

    Ukimwi hauui mtu siku hii
    Acheni ufala

  • @kirakabogo5923
    @kirakabogo5923 6 ปีที่แล้ว +4

    I think he could have taken medication

  • @christinajonas374
    @christinajonas374 6 ปีที่แล้ว

    Najuwa unamajonzi Lkn ukimwi wa kurogezea upo kaka but ni mipango ya Mungu Lkn ukimwi wa kurogezea upo kaka but pole sana

  • @lameckmagandi6982
    @lameckmagandi6982 6 ปีที่แล้ว

    Jaman sam umetoweka dunian gafula mungu aiweke roho yasam maali pema pepon amin

  • @mashaurijames
    @mashaurijames 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akulaze mahala pema peponi Sam kwakwel inauma sana mbele yetu nyuma yako

  • @mamudimpostotodimpo3507
    @mamudimpostotodimpo3507 6 ปีที่แล้ว +1

    Polen sana

  • @rebeccahkerubo4151
    @rebeccahkerubo4151 6 ปีที่แล้ว

    Msimlaumu tafadhali...sote Tu safarini

  • @beckamuziki2785
    @beckamuziki2785 6 ปีที่แล้ว

    Baba Baisa Kazingua Hakutakiwa Kaongea Unazi Ule

  • @zuriathkajwangya1724
    @zuriathkajwangya1724 6 ปีที่แล้ว

    Hivi Tanzania huwa hawafanyi postmortem kwani jamani?And mtu yoyote ambaye sio next of kin hatakiwi kuzungumzia kifo cha mtu asiyemuhusu jamani we need to change

    • @msaflus2492
      @msaflus2492 6 ปีที่แล้ว

      postmortem inafanyika sana hata marehem babaangu alifanyiwa ... huyo producer akili hana.....

  • @yahayakiobya234
    @yahayakiobya234 6 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana

  • @veeveesokka8258
    @veeveesokka8258 6 ปีที่แล้ว +1

    uyu kaka muongo

  • @anneamor6192
    @anneamor6192 6 ปีที่แล้ว

    njia moja sote muhimu kujiandaa ...r.I.p bro sam

  • @امينهامينه-ع6ه
    @امينهامينه-ع6ه 6 ปีที่แล้ว +1

    pole sana kaka ghangu

  • @alisaalis9218
    @alisaalis9218 6 ปีที่แล้ว

    Kwani producer ni daktari, mwendo umeumaliza imani umeilinda,mungu tuma malaika wako wampokee ee bwana

  • @Dannielyjohn
    @Dannielyjohn 6 ปีที่แล้ว

    kifo ni kifo tuu hata ukimwi au maralia kifo ni kifo tuuu

  • @mohammedsalim6398
    @mohammedsalim6398 6 ปีที่แล้ว +9

    Yule producer Hana busara swala LA kusema hadharani kafa kwA ukimwi, Yeye kapima? Halafu katoa ngoma yake haraka haraka kabla hatA hajazikwa? Hao studio wakaisaidie POLICE wanajua chanzo si bure.

    • @muyasalo4880
      @muyasalo4880 6 ปีที่แล้ว

      Mohammed Salim unaongea vitu ambavyo uvijui kueni na busara watu wameomba waickilize iyo nyimbo nandugu ndio wamekubali iachiwe usilopoke wew ujui chochote tumuombee tu SAM apumzike vzr

    • @mohammedsalim6398
      @mohammedsalim6398 6 ปีที่แล้ว

      Muya Salo OK ni sawa wangeuweka ktk utaratibu wa biashara na sio kiuwazi uwazi hivi ungeisaidia familia yake. Pia sio uungwana huyo producer kumtangazia ukimwi huu ni ugonjwa kama mwingine tu kamsema vibaya si vizuri kumsema marehemu

  • @mohamedlazaro6373
    @mohamedlazaro6373 6 ปีที่แล้ว +1

    mungu amlehem one day 2taonana kwa god!

    • @priscaryona1099
      @priscaryona1099 5 ปีที่แล้ว

      Pole sana said kwa kuondokewa na kaka yako kipenz

  • @deodathfideris8293
    @deodathfideris8293 6 ปีที่แล้ว +1

    aise poleni sana familia zima kiujumla

  • @k.dwamasimbamasimba6108
    @k.dwamasimbamasimba6108 6 ปีที่แล้ว +2

    daaaaaa!!!

  • @bonephasbenjamin4848
    @bonephasbenjamin4848 6 ปีที่แล้ว +2

    R I P

  • @shayoleeshy1958
    @shayoleeshy1958 6 ปีที่แล้ว +2

    Rip sam

  • @priscasaid1429
    @priscasaid1429 6 ปีที่แล้ว +4

    Jamani yule kaka amesema ukweli sasa kosa lake nini

  • @edwintaitaz6147
    @edwintaitaz6147 6 ปีที่แล้ว +9

    Daah..huyu jamaa anaweza kujitia ktk matatzo kwahzi kauli zake...ucpende kuongea ki2 km huna uhakika nacho..any way pumzika kwa amani sam wa ukweli

    • @manasri5262
      @manasri5262 6 ปีที่แล้ว

      Kila lakheri ndugu Saam sote njia ndiyo hiyo

    • @abdullaisa184
      @abdullaisa184 6 ปีที่แล้ว

      edwin taitaz

  • @saitotilemahati5176
    @saitotilemahati5176 6 ปีที่แล้ว

    mungu amlase roho sam peponi amin

  • @paulinyoisrael6079
    @paulinyoisrael6079 6 ปีที่แล้ว

    Mungu wake si Athumani tutaelewa tuu

  • @maureenmuhonja722
    @maureenmuhonja722 6 ปีที่แล้ว +1

    rip

    • @musahezron4584
      @musahezron4584 6 ปีที่แล้ว

      daa!jamani haya yote ni mipango ya mungu tu tusiyachunguze sana mwisho tukavuka mipaka Sam wa ukweli pumzika salama kaka.

  • @ashuranassoro9294
    @ashuranassoro9294 6 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P sam wa ukweli

  • @sharifahamisi9091
    @sharifahamisi9091 6 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli huyo kaka amekosea tena Sanaaaa,huwezi kumtangaza MTU kafa ukimwi,alikuambia umfunge sijui nini, ungekaa kimya usingeonekana umemsaidia? Duh tutarudi mavumbini.

    • @jamaadjumapili6986
      @jamaadjumapili6986 6 ปีที่แล้ว +1

      Sharifa Hamisi Kwa nini wa Africa munapenda kuficha magonjwa? Elimikeni

    • @sharifahamisi9091
      @sharifahamisi9091 6 ปีที่แล้ว

      Sawa,lakini ndio utangaze kwenye vyombo vya habari?

    • @jamaadjumapili6986
      @jamaadjumapili6986 6 ปีที่แล้ว

      Sharifa Hamisi mimi naishi mbali wasanii wakubwa dunia nzima au wanasiasa wakifa inatangazwa wazi kwenye vyombo vya Habari kuanzia mwazo wa magonjwa au Kama alikufa kwakutumia ma dawa wala hakuna kitu inafichwa Kwa nini Africa ndio watu kusema ugonjwa ina kuwa big deal?

    • @sharifahamisi9091
      @sharifahamisi9091 6 ปีที่แล้ว

      Umenishinda bwana,asubui njema

    • @sharifahamisi9091
      @sharifahamisi9091 6 ปีที่แล้ว

      Na karibu tz

  • @laurentjohn6822
    @laurentjohn6822 6 ปีที่แล้ว

    R. I. P. Sam wa ukweli

  • @elizabetandrew7954
    @elizabetandrew7954 6 ปีที่แล้ว

    broo muogope mungu ,,

  • @jamesombati6445
    @jamesombati6445 6 ปีที่แล้ว

    Pole kwa familia

  • @sultanmganzira4388
    @sultanmganzira4388 6 ปีที่แล้ว +4

    Kueni nashukrani mtu kamfia ndugu yenu baada yakumshukuru mnalaumu

    • @ramadizzo6031
      @ramadizzo6031 6 ปีที่แล้ว

      kila nanfisi itaonja umauti mbele yake yuma yetu

    • @muyasalo4880
      @muyasalo4880 6 ปีที่แล้ว

      Sultan Mganzira binaadam hawan shukran kabisa dah

  • @shaibumkanda9194
    @shaibumkanda9194 6 ปีที่แล้ว +1

    K gizo pole sana kaka

  • @shaibumkanda9194
    @shaibumkanda9194 6 ปีที่แล้ว +1

    K gizo pole sana kaka

  • @paulinyoisrael6079
    @paulinyoisrael6079 6 ปีที่แล้ว

    Polen sana

  • @nuhukihegulo141
    @nuhukihegulo141 6 ปีที่แล้ว

    ulichopanda Sam wa ukweli umekivuna, matokeo michepuko always ni ukimwi, tujifunze sana

    • @munashabanimunashabani9976
      @munashabanimunashabani9976 6 ปีที่แล้ว

      Nuhu Kihegulo acha kumkashifu maiti wewe huna jua utakufajee unaweza usiulete wewe akauleta mpenzi wako na ukawa nao una msimaga maiti duuu binadam bwana

    • @fazzlemwakalebe6741
      @fazzlemwakalebe6741 6 ปีที่แล้ว

      Huijui kesho yako na kufa kwa ukimwi haina maana ya kwamba lazima uwe na michepuko,, kwahyo ndugu yangu jaribu kuwa na lugha za kibinadamu,,,ipo siku yatakufika

    • @nuhukihegulo141
      @nuhukihegulo141 6 ปีที่แล้ว

      +احمدmiziwa tuu basi مختار alikuwa Charlie yangu huyu

  • @allanmushi4687
    @allanmushi4687 6 ปีที่แล้ว

    R.I.P SAM

  • @muyasalo4880
    @muyasalo4880 6 ปีที่แล้ว +1

    R,i,p SAM

  • @sheilabushirsheilabushir9929
    @sheilabushirsheilabushir9929 6 ปีที่แล้ว +2

    wewe mnafk sana tena wewe usfanyiwe itaviu tena hunalakuongea mbona hajafa kwako kafa huko kwa baba baisa

  • @chifuhaji2597
    @chifuhaji2597 6 ปีที่แล้ว +3

    kwanza frikilieni kumstili mingine badae

  • @glesimohamme692
    @glesimohamme692 6 ปีที่แล้ว +3

    jamani mwanga wamilele umuangazie malehem

  • @kingkiwango1435
    @kingkiwango1435 6 ปีที่แล้ว +2

    Kutofautiana akat wa kurekod n mambo ya kawaida kikubwa n kumwombea tu sam...

  • @aishajeaninejeanine8934
    @aishajeaninejeanine8934 6 ปีที่แล้ว +1

    poleni saana wafia

  • @helenamusa432
    @helenamusa432 6 ปีที่แล้ว +2

    Polen sana ndug wa Sam yote mwachien Allah

  • @hawazinga1852
    @hawazinga1852 6 ปีที่แล้ว +3

    Sasa hv nd kukwaluzana! Hayo c mambo tu yakawaida lkn sam yy mwenyew nd kasema km kalogezewa. Kuhusu swal la kutowaambia nyie c alitaka mwenyew sam