BWANA YESU NISAIDIE MIMI NISIKENGEUKE, NA KUIACHA NJIA YAKO NYEMBAMBA YA UTAKATIFU, USHUHUDA HUU UMENITIA NGUVU SANA YA KUENDELEA KUYAISHI MAISHA MATAKATIFU, NA KUJITOA KWA MALI ZANGU KUIFANYA KAZI YAKO BWANA YESU.
Amina niliambiwa na Roho Mtakatifu tumbee kanisa nguvu ya unyakuo ,Hushuda huo nikweli,kabisa ,Mungu hawezi kufanya Jambo bila kuwajulisha wateule wake,,watu wamekuwa wagumu kuokaka ,na kufanywa upya ,Haleluya tunaondoka,
Eeee Bwana yesus christon wanazareth alie hai tusamehee sisiwakosaji samehe ulimwenguwote mzima baba sameh wa mama sameh wa baba vijana na watoto samehee wote kwadamu yako iliomwangika msalabani sameh watumishiwako wote hapo dunia uwarudisha kwanjia yako iliosahihi samehe waimbaji wa injili bwana samehe. Dunia nzima kupitia ushuudahii yakutisha bwana tusamee sisiwote namafamilia zetu zote tusamee eeee christon yesus
Eee YESU BWANA wangu wewe wajua hatuwezipekeyetu lakini kwakoyoteyawezekana unisaidie kazininayo kutumikia isifebure Asante kwa tafsiri hii MUNGU akubariki
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Amen MUNGU wangu nisahidiy kuacha kutenda dhambi nijeninyakulikuwe siku hiy ya mwisho 🙏
BWANA YESU NISAIDIE MIMI NISIKENGEUKE, NA KUIACHA NJIA YAKO NYEMBAMBA YA UTAKATIFU, USHUHUDA HUU UMENITIA NGUVU SANA YA KUENDELEA KUYAISHI MAISHA MATAKATIFU, NA KUJITOA KWA MALI ZANGU KUIFANYA KAZI YAKO BWANA YESU.
Ameen. Usizimie moyo!Bwana Yesu anarudi upesi
Yesu yuarudi
Asante kwa kutukumbusha kujakwake yesu
Tuzid kumcha bwana tusijichanganye na mambo ya dunia hii. Ameen!!
Amina Amina
Heri wazifuao nguo zao,wawe amri kuuendea mti wa uzima niwajibu wetu kujitakasa ,barikiwa mtumishi
Haleluya Roho Mtakatifu anashuhudia ndani yangu Safari yetu imeiva ,omba Sana Neema ya kunyakuliwa
Amina niliambiwa na Roho Mtakatifu tumbee kanisa nguvu ya unyakuo ,Hushuda huo nikweli,kabisa ,Mungu hawezi kufanya Jambo bila kuwajulisha wateule wake,,watu wamekuwa wagumu kuokaka ,na kufanywa upya ,Haleluya tunaondoka,
Amen🙌mungu wang nisahidiy kuacha kutend dhambi il nij ninyakuliwe sik hiy ya mwisho🙏🙏
Aiseee nilipitwa kidgo but YESU n mwemaa kabsaaa bado tuko pamoja blessed my lovely sister
Eeee Bwana yesus christon wanazareth alie hai tusamehee sisiwakosaji samehe ulimwenguwote mzima baba sameh wa mama sameh wa baba vijana na watoto samehee wote kwadamu yako iliomwangika msalabani sameh watumishiwako wote hapo dunia uwarudisha kwanjia yako iliosahihi samehe waimbaji wa injili bwana samehe. Dunia nzima kupitia ushuudahii yakutisha bwana tusamee sisiwote namafamilia zetu zote tusamee eeee christon yesus
Amen mungu atusaidie tusikie nebo lake, ktk neema yake.
Eee YESU BWANA wangu wewe wajua hatuwezipekeyetu lakini kwakoyoteyawezekana unisaidie kazininayo kutumikia isifebure Asante kwa tafsiri hii MUNGU akubariki
Napenda roho yangu ambayo nimepewa na Bwana Yesu Kristo Amen Amen Amen Amen Amen 😇
Amina hallelujah YESU kristo nimwanzo namwisho sifa nashukran na utukufu tunamregesheya MUNGU wambinguni
Yesu jina langu lidumu kwenye kitabu cha uzima,na unisaidie kuhubiri ukweli
Mungu akubariki kwa huu ujumbe Amina
Niwezeshe kuishi maisha matakatifu,ee Yesu.
Eeh .Mungu nakuomba nisaidie .. ninyakuliwe na watoto wangu wote wa kiroho na kimwili wooooteeee !!
Mungu nisaidie na unichungu ili siku ya mwisho niwe tiyari kwenda mbinguni kwa jina la yesu amen!!!
Asante kwa kunipa ujumbe huu nisaidie nisikose njia ya kweli. NimlakinYesu mawinguni na kwenda pamoja naye.
Asante kwa ushuhuda mzuri sana kuna kitu nimejifunza hapa.
Amen 🙏mungu wangu nilehemu papa n unikumbuke
Ee BABA wa Yesu kristo nijalie jina langu lidumu kwenye kitabu Cha uzima
Bwana yesu unijaliye Neena.
Yes nisaidie nipite katikajia zako
HALLELLUA HALLELLUA ASAANTE SAANAA YESU CHRISTO 👏👏👏👏📯📯📯📯📯📢📢📢🎸🎸🎸🎸
Amen mchungaji
Yesu nisaidie nimalize salama
Eee mungu nisamehe zambi zangu , nitakase Yesu nisaidie Bwanawangu, nipe mwisho mwema😭😭😭😭
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
YESU wew ndiye njia yangu ya wokovu
Eee BWANA YESU naomba unisaidie nimalize mwendo wangu salama
Hakika hii ni siku ya kutisha eeeh Mungu tuhurumie na utusamehe dhambi zetu 😢😢😢tusaidie ili siku hiyo utukute tukiwa tayari wasafi wa moyo 😢😢
❤❤ Amen 🙏 jina la bwana libarikiwe milele
Amen
Yesu nisaidie kukaa kwenye utakatifu
Mungu nisaidie
Amen.
Kweli nami ushuhuda huu umeniamsha naomba Bwana anishike mkono
Mungu atuhurumie sana 😔
BWANA WETU YESU KRISTO UNIREHEMU NA UTUREHEMU UNINYAKUE NA UTUNYAKUE BWANA
❤❤
Bwanaunisaidie nimalize salama
YESU NDIYE Yuko ambaye Yuko
Amina
Mungu nisaidie nisikose mbingu
Eeeee Mungu nisaaidie niuishi utakatifu.
Eebwana nisaidie nishikilie mpaka mwisho !!
Eee YESU😭😂🙆
Wakati wa unyakuzi bwana usinipite
😢😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏
Ee BWANA tusaidie tuuone ufalme wa mbinguni. Kukutumikia kwetu kusiwe bure tuone faida ya kukutumikia.
ⓔⓔ ⓜⓤⓝⓖⓤ ⓝⓘⓞⓚⓞⓔ ⓝⓐⓜⓐⓣⓐⓣⓔⓩⓞ ⓨⓞⓣⓔ
Yes nisaidie nipite katikajia zako
Amen