HASHIM IBWE APONDA USHINDI WA YANGA SC | "AHMED ALLY NI MTOA ROHO.? | ATAMBA KUWAUA SIMBA KESHO...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2024
  • Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
    Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

ความคิดเห็น • 70

  • @issaabdi9129
    @issaabdi9129 วันที่ผ่านมา +8

    Mimi ni mpenzi wa yanga Bali Azam atachapwa na mtaani.

    • @sadih5333
      @sadih5333 วันที่ผ่านมา +3

      Kauli yako iwe ya kheri kwa Simba

    • @FaidhaDionis
      @FaidhaDionis 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Isije ikawa kinyume

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 วันที่ผ่านมา +3

    Unachezesha midomo we shoga???.....kananikeraga haka kabana pua...kaitieni buggati akikabwili

  • @VeronicaPaul-cj1yu
    @VeronicaPaul-cj1yu 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hashimu Ibwe... Unamponda Ahamedy Ally... Wakati unamgeza kuongea mpaka kucheka kwake kweli naamini semaji la caf mwalimu wenu.

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 วันที่ผ่านมา +2

    Tunachotak niushindi2 ubaya ubwela

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu วันที่ผ่านมา +1

    Uweke maneno ya ziadaaaa miwani itakua mizito

  • @ElibarikiMeori
    @ElibarikiMeori วันที่ผ่านมา +1

    Kesho tutajua ukweli upo wapi

  • @FaizaChama
    @FaizaChama วันที่ผ่านมา

    Wasemaji jmn 😅😅😅😅

  • @ramadhanisimon
    @ramadhanisimon วันที่ผ่านมา

    ukosaw kaka

  • @SABRINASHAURI
    @SABRINASHAURI วันที่ผ่านมา

    kk huogopi

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 วันที่ผ่านมา +1

    Tunashinda simba 3 bin 0 azam FC

  • @KheriAbdallah-t3s
    @KheriAbdallah-t3s วันที่ผ่านมา +4

    Mbona kama unamuiga Ahmedi Ali mbwembwe na madaha yake akisema au nyie mnaonaje hili

    • @DorahAlbert-eb9zv
      @DorahAlbert-eb9zv วันที่ผ่านมา +1

      Kabisaaa,Hiki Kinyambizi kina feel kuwa Ahmed Ally😂😂😂

    • @athmanimkangara9290
      @athmanimkangara9290 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ahmed Ally ni Sayari nyingine

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Acha kuapia na Kumtaja Mungu...kwenye mampira...Utafikili Wewe ndo Unacheza..

  • @jumaalmasjuma1700
    @jumaalmasjuma1700 วันที่ผ่านมา +2

    Viazam haviaminiki

  • @marthamsacky6973
    @marthamsacky6973 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu ibariki simba Yetu
    Ubaya ubwela❤❤❤

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig วันที่ผ่านมา +1

    wwe ashm ibwe hunaonekana kuwa huieshim simba ila kesho utaieshim

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 วันที่ผ่านมา +1

    Baada ya mechi sijui kama utaongea hivi

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimerud baad ya mechi kaone 😂😂 ,ayom naomba umtafut huyu tena aongee kama hivi.alafu usikose kumtafuta semaji ahamedi ally

  • @marthamsacky6973
    @marthamsacky6973 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nayakumbuka maneno yako Yale kabla hujaenda kucheza na APR na ulivyopigwa ukapotea. Ukatuponda sana sana ila kilichokupata huna hamu

  • @luknasmasakour8703
    @luknasmasakour8703 วันที่ผ่านมา +1

    Simba 2 -1

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 วันที่ผ่านมา

    Tunza maneno mdogo wangu hii Simba haitabiriki kirahisi hivyo ulitabiria Simba kutolewa tangu mechi ya Libya hatujasahau😂

  • @Ash-ox4xr
    @Ash-ox4xr วันที่ผ่านมา

    Tatizo azam hawana mipango ya nnje ya uwanja kama walio nayo hawa watan wawil...
    Na hata kolo nae akicheza mpira wa uwanjan angeweza kupigika vizur tuuu

  • @DenisMusa-g5z
    @DenisMusa-g5z วันที่ผ่านมา

    Pamoja nahayo sisi watu wa ubaya ubwela ni poit tatu tu hatutaki porojo nyingi mpira no dk 90

  • @JonasRobert-p9i
    @JonasRobert-p9i 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    football inamatokeo katili xnaa Ivo basi dakika 90 zieshimiwe

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 วันที่ผ่านมา

    Kistuli kinaongea
    Aka PIMBI watu wa zamani tunaelewa Pimbi kazi zake

  • @LukaSawali
    @LukaSawali 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kusema kweli binafsi nawapenda san jamaa wasemaji hawa wa vilub vitatu(utatu mtakatifu)

  • @edwindavid7037
    @edwindavid7037 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wakubet wekeni mizigo Azam anakula si chini ya goli mbili

  • @drallan6879
    @drallan6879 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    club bingwa Africa ulijigamba ibwe mkagonwa na APR

  • @deniseliuter3002
    @deniseliuter3002 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Azam ina miaka ishirini kwenye league how..???

  • @mushjosephat
    @mushjosephat วันที่ผ่านมา

    Hunaga Baya Mdogo wetu… Ila kesho tunakulamba

  • @ShabanMabula
    @ShabanMabula วันที่ผ่านมา

    mbona ulishindwa kufurukuta kimataifa nimaneno ila vitendo a a

  • @DastaniNjovu-rh2oq
    @DastaniNjovu-rh2oq 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    imbwe na Mau fundi nahisi ni ndugu maan ni fully comeddy😂

  • @ShabanMabula
    @ShabanMabula วันที่ผ่านมา

    we nikajinga hujui hata kuongea kaka maneno yako hayana mashiko we nishoga nini

  • @AsteriaPaschal
    @AsteriaPaschal วันที่ผ่านมา

    kesho utakimbia chupi kichwan we subili na uweke akiba ya maneno

  • @ZaniaMohammed
    @ZaniaMohammed วันที่ผ่านมา

    Huyu ameshajua kama kesho wanatoka patupu mana mifiko mpaka sasa imeshatuna

  • @fabianmwinuka1395
    @fabianmwinuka1395 วันที่ผ่านมา

    Ukatibiwe kifua kikuu Mana mda wore mafua unasemea sana pua we bwege

  • @ba_yu72
    @ba_yu72 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pemba jee,ilikifanya Vibaya ukabebwa,vipi hapa?

  • @mtolela12
    @mtolela12 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiki kipare nacho yaani kinaboa utadhani kinajua mpira

  • @DorahAlbert-eb9zv
    @DorahAlbert-eb9zv วันที่ผ่านมา

    Hivi AZAM nao wana timu!?😂😂😂em kwanza ninyamaze.

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wallahi leo leo azam anaenda kumuachia simba ashinde

  • @ErnestLaurent-d5c
    @ErnestLaurent-d5c ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uliongea sana kaka wewe kimekulamba kaka

  • @AbdulmajidChakusaga-ee6vk
    @AbdulmajidChakusaga-ee6vk วันที่ผ่านมา

    Nikweli bwana jamani huyujamaa anamuiga Ahmedi ally

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d วันที่ผ่านมา

    Jichanganye utalambwa kama askirimu zenu

  • @ODENILWILA
    @ODENILWILA ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe kesho utakiona cha moto

  • @KhamisAlawi-n1k
    @KhamisAlawi-n1k วันที่ผ่านมา

    Kilicho wakuta walibia azam kinawanyemelea

  • @magashaNila
    @magashaNila 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    2:46 simba kwan ashinde kwawachezaj gan

  • @MasanguMasangu-f2q
    @MasanguMasangu-f2q วันที่ผ่านมา

    Kesho lazima uruhusu magor na sio Gori tu

  • @BekaRDaffa
    @BekaRDaffa วันที่ผ่านมา

    🎉Azaa tuna mfunga kidogo5 kidogo🎉

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kijamaa kijinga kama penseli nusu

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 วันที่ผ่านมา

    Kione kimanunu ichi kijinga kabisa

  • @johnsongerald9660
    @johnsongerald9660 วันที่ผ่านมา

    Maneno mengi matendo ziroo 😂😂😂

  • @PaulChacha-s8y
    @PaulChacha-s8y 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ashim ibwe utashenyentwa ww ongoe 2

  • @amanially5834
    @amanially5834 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe Zanzibar ni Taifa

  • @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
    @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kimataifaaaaaa😅😂😂😢😢😢😢

  • @fatherjaytz
    @fatherjaytz วันที่ผ่านมา

    Una jaribu kuwa Ahmed sana

  • @amanially5834
    @amanially5834 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mda upo Limited

  • @aminabenard6506
    @aminabenard6506 วันที่ผ่านมา

    Mdomo tu kufunga aaahhh

  • @jovinkabyemera1703
    @jovinkabyemera1703 วันที่ผ่านมา

    Huyu dogo apambane na hali yake tutampasua kama kawwida

    • @namfukamaismailna8203
      @namfukamaismailna8203 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kawaida ipi wakati mara ya mwisho azam alikupasua😂😂

  • @jaspreetsinghbadwal7856
    @jaspreetsinghbadwal7856 วันที่ผ่านมา

    Best of luck

  • @angetilesamuelmwandambo1344
    @angetilesamuelmwandambo1344 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hum tu

  • @angetilesamuelmwandambo1344
    @angetilesamuelmwandambo1344 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Samake😊😊😊

  • @DorahAlbert-eb9zv
    @DorahAlbert-eb9zv วันที่ผ่านมา +1

    Tatizo we na Ally Kamwe siku mnamuiga sana Ahmed Ally,yaani Nyau hawezi kuwa SIMBA hata siku moja,mjinga we😂😂

  • @ConfusedMicrophone-rp5ku
    @ConfusedMicrophone-rp5ku วันที่ผ่านมา

    mm ni simba ila mechi itakua kal sana simba wanafungwa

  • @oswardlonginoosward9832
    @oswardlonginoosward9832 วันที่ผ่านมา

    Azamu naitakia ushind wa mbili Kwa 1