PART.3.HAPA NDIPO UNAPOANZIA USHUHUDA MZITO WA ADAM HAJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 302

  • @hilarymatheka5048
    @hilarymatheka5048 ปีที่แล้ว +2

    Waislam hawapendi kusikia habari ya Yesu kisa na maana wengi wao hufunga majini....nayo majini na maroho za kuzimu zote zimeshindwa katika jina la Yesu..semeni Aminaa

    • @safianamani1375
      @safianamani1375 6 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣

    • @Aminaamina-us5yj
      @Aminaamina-us5yj 5 หลายเดือนก่อน

      AMEN 🙏 🙏 🙏 🙏

    • @MussaHamadi-s5c
      @MussaHamadi-s5c 4 หลายเดือนก่อน

      Acheni ufala nyieeee mnafuata hela2

    • @MuslimYouthman
      @MuslimYouthman 11 วันที่ผ่านมา

      Umekalisha tako lako hapo unadanganywa tu

    • @hilarymatheka5048
      @hilarymatheka5048 11 วันที่ผ่านมา

      ​@@MuslimYouthmanshindwe we pepo....

  • @BeathaSelestin
    @BeathaSelestin ปีที่แล้ว +3

    Asante Yesu kwa kuondoa kuokoa watu,tunawaombea na wengi wasioamini wapate neema hii ya wokovu.

    • @adamkhamis1973
      @adamkhamis1973 ปีที่แล้ว

      Yesu yupi? Wa Shakahola Kilifi, Kenya… Waislamu wanamuamini yesu, wanamuenzi na kumuheshimu…. Soma Quran… kuna chapter nzima ya kumsifu yesu kama nabii Quran chapter 19 (chapter mary)… ukifuata maandiko…Torati,Zaburi,Injili na Quran hutadanganywa kama hao mafala wa shakahola. Vipi unakaa njaa wewe na watoto wako mpaka unakufa.
      Mnarambwa pesa kila siku na wakora kanisani… hakuna miujiza yeyote wako nayo theyre just taking advantage of your ignorance,stress, depression and desperation . Kama kweli wanaponya watu mbona HAWAENDI MA HOSPITALI KUTIBU WAGONJWA. Wake up… YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOMETIME BUT YOU CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME.
      Na huyo Adan Wario Jirmo anaejiita Adam Hajj MBONA HAKUWEZA KUJITIBU ALIPOEKEWA SUMU NA WAKRISTO WENZAKE KAMA ANAVYODAI…ALIKIMBIA HOSPITALI… roho mtakatifu na maombi yalikua wapi… wacheni kudanganywa kama watu wa shakahola

    • @Aminaamina-us5yj
      @Aminaamina-us5yj 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@adamkhamis1973kama muna mu enzi na kumjua mbona wakristo wakihubiri juu ya matendo yake mbona hunachukia kisa ni nini? Kila wakati oh ukristo ni uongo na munasema munamjua yes wanafik nyinyi

  • @PatricisAmani-ip4pm
    @PatricisAmani-ip4pm ปีที่แล้ว +3

    Jina la Bwana wetu kristo litukuzwe huyu mtumishi juzi nlimuona Mungu amemkuza sana

  • @HalimaPaskal
    @HalimaPaskal หลายเดือนก่อน

    AMEEN umechagua njia nzuri sana mtumish adam haji

  • @LabaniAkyoo
    @LabaniAkyoo 11 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe kwa kuijua Dini ya kweli, ya Ukristo

  • @agnesmangale3163
    @agnesmangale3163 ปีที่แล้ว +3

    Kwa Yesu ni Rahaa❤❤

  • @apostledebora999
    @apostledebora999 4 หลายเดือนก่อน

    Be blesst servant of God

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว +5

    Waislamu wanaumia kweli kuona waislamu wao wanabatizwa na kuokoka kama hawa 😂😂 hongera sana msomali kwa kuuona utukufu wa Mungu wa kweli Jehova

    • @adamkhamis1973
      @adamkhamis1973 ปีที่แล้ว +1

      Yesu yupi? Wa Shakahola Kilifi, Kenya… Waislamu wanamuamini yesu, wanamuenzi na kumuheshimu…. Soma Quran… kuna chapter nzima ya kumsifu yesu kama nabii Quran chapter 19 (chapter mary)… ukifuata maandiko…Torati,Zaburi,Injili na Quran hutadanganywa kama hao mafala wa shakahola. Vipi unakaa njaa wewe na watoto wako mpaka unakufa.
      Mnarambwa pesa kila siku na wakora kanisani… hakuna miujiza yeyote wako nayo theyre just taking advantage of your ignorance,stress, depression and desperation . Kama kweli wanaponya watu mbona HAWAENDI MA HOSPITALI KUTIBU WAGONJWA. Wake up… YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOMETIME BUT YOU CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME.
      Na huyo Adan Wario Jirmo anaejiita Adam Hajj MBONA HAKUWEZA KUJITIBU ALIPOEKEWA SUMU NA WAKRISTO WENZAKE KAMA ANAVYODAI…ALIKIMBIA HOSPITALI… roho mtakatifu na maombi yalikua wapi… wacheni kudanganywa kama watu wa shakahola

    • @OscarGerald-vp9kx
      @OscarGerald-vp9kx หลายเดือนก่อน

      ​@@adamkhamis1973hao ni vipofu mioyo yao imeshapigwa muhuri

  • @IbrahimMatofali
    @IbrahimMatofali ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe mtumishi

  • @agnesmangale3163
    @agnesmangale3163 ปีที่แล้ว +1

    Amen❤❤1 God Bless u

  • @davidwainaina3899
    @davidwainaina3899 ปีที่แล้ว +5

    This man was sent by God,huyu man of God has special blissing from Jesus

    • @ahmaduun6523
      @ahmaduun6523 ปีที่แล้ว

      idiots christians beleves everything, someone comes and said that he sent by god, you take it easy and beleive it.

    • @adamkhamis1973
      @adamkhamis1973 ปีที่แล้ว

      Yesu yupi? Wa Shakahola Kilifi, Kenya… Waislamu wanamuamini yesu, wanamuenzi na kumuheshimu…. Soma Quran… kuna chapter nzima ya kumsifu yesu kama nabii Quran chapter 19 (chapter mary)… ukifuata maandiko…Torati,Zaburi,Injili na Quran hutadanganywa kama hao mafala wa shakahola. Vipi unakaa njaa wewe na watoto wako mpaka unakufa.
      Mnarambwa pesa kila siku na wakora kanisani… hakuna miujiza yeyote wako nayo theyre just taking advantage of your ignorance,stress, depression and desperation . Kama kweli wanaponya watu mbona HAWAENDI MA HOSPITALI KUTIBU WAGONJWA. Wake up… YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOMETIME BUT YOU CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME.
      Na huyo Adan Wario Jirmo anaejiita Adam Hajj MBONA HAKUWEZA KUJITIBU ALIPOEKEWA SUMU NA WAKRISTO WENZAKE KAMA ANAVYODAI…ALIKIMBIA HOSPITALI… roho mtakatifu na maombi yalikua wapi… wacheni kudanganywa kama watu wa shakahola

    • @emmanuelyambo4143
      @emmanuelyambo4143 ปีที่แล้ว

      @@adamkhamis1973huyo Issa kwenye quaran yenyu sio Yesu bali ni upumbavu maanake Yesu alisulubiwa kufa na kufufuka!!! Nyie hamu mpendi Yesu!? Uislamu ni ushetani

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane ปีที่แล้ว

      @@emmanuelyambo4143Mh ??!

  • @shalomkind4575
    @shalomkind4575 ปีที่แล้ว +4

    Great man of GOD !Hata wakupinge wewe ni mteule !

    • @adamkhamis1973
      @adamkhamis1973 ปีที่แล้ว

      Yesu yupi? Wa Shakahola Kilifi, Kenya… Waislamu wanamuamini yesu, wanamuenzi na kumuheshimu…. Soma Quran… kuna chapter nzima ya kumsifu yesu kama nabii Quran chapter 19 (chapter mary)… ukifuata maandiko…Torati,Zaburi,Injili na Quran hutadanganywa kama hao mafala wa shakahola. Vipi unakaa njaa wewe na watoto wako mpaka unakufa.
      Mnarambwa pesa kila siku na wakora kanisani… hakuna miujiza yeyote wako nayo theyre just taking advantage of your ignorance,stress, depression and desperation . Kama kweli wanaponya watu mbona HAWAENDI MA HOSPITALI KUTIBU WAGONJWA. Wake up… YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOMETIME BUT YOU CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME.
      Na huyo Adan Wario Jirmo anaejiita Adam Hajj MBONA HAKUWEZA KUJITIBU ALIPOEKEWA SUMU NA WAKRISTO WENZAKE KAMA ANAVYODAI…ALIKIMBIA HOSPITALI… roho mtakatifu na maombi yalikua wapi… wacheni kudanganywa kama watu wa shakahola

  • @christabeldorothy8023
    @christabeldorothy8023 ปีที่แล้ว +4

    Halleluya! Utukufu Kwa Mungu. Nabarikiwa kweli

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 ปีที่แล้ว +7

    Huyumtu anavitu hadimu ukijulisha na ndacha niwatu muhimu sana ingawa watuwenyeuwezo hawawapi support

  • @richardbwire4747
    @richardbwire4747 ปีที่แล้ว +2

    God is great

  • @ibrahimalwafa1738
    @ibrahimalwafa1738 ปีที่แล้ว +4

    Afadhali ungekufuru na unyamaze the problem umeamua kupiga dini vita nataka ufahamu hii dini imepigwa maqarne na imezidi na itazidi na ujue Allah ndie anae ihifadhi dini yake kwa hivo vita vyako ni wewe na Allah langu nakuombea Allah akuongoze

    • @lilianluhasi311
      @lilianluhasi311 6 หลายเดือนก่อน

      Wasomali wengi wamatokewa na Yesu huko Somalia. Jamani amkeni, Yesu anarudi, kiama

    • @OscarGerald-vp9kx
      @OscarGerald-vp9kx หลายเดือนก่อน

      ​@@lilianluhasi311YESU yupi? mbona ye alisema Mkiambiwa yupo huku msiende!!!!!!

    • @OscarGerald-vp9kx
      @OscarGerald-vp9kx หลายเดือนก่อน

      ​@@lilianluhasi311endeleeni kupigwaaaa na hao waislam majina

  • @VeronicaNyambu
    @VeronicaNyambu 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen 🙏 Yesu ni mzuri

  • @JohnBalyowabo
    @JohnBalyowabo ปีที่แล้ว +3

    Mungu anaokoa amtakaye

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 ปีที่แล้ว +2

    Yesu wewe rafiki mwema, have mercy on us.

  • @faza4023
    @faza4023 ปีที่แล้ว +3

    Waislamu sijui kwann wanaumiaga sana kusikia hivi ..Yesu ni Mungu, unabisha leo kesho utakubali kama huyu .

    • @adamkhamis1973
      @adamkhamis1973 ปีที่แล้ว

      Yesu yupi? Wa Shakahola Kilifi, Kenya… Waislamu wanamuamini yesu, wanamuenzi na kumuheshimu…. Soma Quran… kuna chapter nzima ya kumsifu yesu kama nabii Quran chapter 19 (chapter mary)… ukifuata maandiko…Torati,Zaburi,Injili na Quran hutadanganywa kama hao mafala wa shakahola. Vipi unakaa njaa wewe na watoto wako mpaka unakufa.
      Mnarambwa pesa kila siku na wakora kanisani… hakuna miujiza yeyote wako nayo theyre just taking advantage of your ignorance,stress, depression and desperation . Kama kweli wanaponya watu mbona HAWAENDI MA HOSPITALI KUTIBU WAGONJWA. Wake up… YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOMETIME BUT YOU CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME.
      Na huyo Adan Wario Jirmo anaejiita Adam Hajj MBONA HAKUWEZA KUJITIBU ALIPOEKEWA SUMU NA WAKRISTO WENZAKE KAMA ANAVYODAI…ALIKIMBIA HOSPITALI… roho mtakatifu na maombi yalikua wapi… wacheni kudanganywa kama watu wa shakahola

  • @salimsaid3292
    @salimsaid3292 ปีที่แล้ว

    Mungu Akuhidi

  • @rachelsamwel5359
    @rachelsamwel5359 ปีที่แล้ว

    Sijasikia kuhusu familia ya Mama je ana mume na watoto wangapi

  • @VeronicaNazareth
    @VeronicaNazareth 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa

  • @MchwauRukas
    @MchwauRukas 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa. Yesu Raha wapendwa

  • @DanielChore-w2m
    @DanielChore-w2m หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mkuu

  • @ZabronMagufwa
    @ZabronMagufwa 14 วันที่ผ่านมา

    Unabii unasema YESU ataigizwa na Shetani ili kuwaadaa watu wa Mungu wamukubali,fikiria YESU wa waislam eti anakuja kuoa na kuzaa na kufa.pili nabii wa uongo atawatoa watu kweny amri za Mungu ( ijumaa sio sabato) mtawatambua Kwa matunda yao

  • @Baromoz
    @Baromoz ปีที่แล้ว +2

    What am wondering is y r muslims hurt when they see there brother becoming a Christian while as we see our brothers n sisters becoming muslims n we have no hate at all.kwani dini ya kislamu inafunza watu kua na chuki.lord have mercy upon them

  • @devothamichael636
    @devothamichael636 ปีที่แล้ว +7

    Hata wakasilike ukweli utabaki palepale

  • @kissahjackobmwakatobe-re3kg
    @kissahjackobmwakatobe-re3kg 6 หลายเดือนก่อน

    YESU NI RAFIKI MWEMA JAMANI 😊

  • @NasiboBonaya
    @NasiboBonaya 7 หลายเดือนก่อน

    Innallilahi waina ilehyi rajiuun 😢

  • @KutosiJulius-mv3yn
    @KutosiJulius-mv3yn ปีที่แล้ว

    Mungu nimweme

  • @veronicahkhaikwa4929
    @veronicahkhaikwa4929 ปีที่แล้ว +3

    Jamani kuna fununu kua anaugua yeyote anaye contacts zake share please tumsaidie na chochote

    • @ahmaduun6523
      @ahmaduun6523 ปีที่แล้ว +1

      karibu atakufa na anaenda jehannam

  • @mariamomar1572
    @mariamomar1572 6 หลายเดือนก่อน

    Heeeeheee😂 Natamani apeleke watu hiyo sehemu alikuwa Imam heeehee

  • @ziyadanyandwi2908
    @ziyadanyandwi2908 ปีที่แล้ว

    Yesu ni njia ya uzima

  • @magretjohnas8105
    @magretjohnas8105 ปีที่แล้ว +8

    Huu ushuda utasikia waislam wanamsema ni muongo mala ooh kwanza haujui kutaja yaan hapend kuambiwa ukweli

  • @evelyinipaja7022
    @evelyinipaja7022 ปีที่แล้ว +1

    Hii seminar ilifanyika mwaka gani?

  • @florenceronoh2904
    @florenceronoh2904 ปีที่แล้ว +1

    This is the true grace of God

  • @jeremiahkariuki3639
    @jeremiahkariuki3639 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mkubwa na mtu wa mungu hapotei na ana sababu ya Kila mtu

  • @ReenRehema
    @ReenRehema ปีที่แล้ว +3

    Waislam wanampga vita, uyu ametoka kwa mungu sio rahc

    • @venacyibrahim5056
      @venacyibrahim5056 ปีที่แล้ว

      Hiyo ni ushuhuda wake sawa unatujenga kwa kiasi fulani. Lakini kwa majira tuliyo nayo anatakiwa atuambie Lipi au yapi yatupaso kufanya ili Yesu akirudi tuwe na neno la kusema na kuita.
      Inatakiwa atwambie Yesu anasemaje kuhusu maisha yetu.
      Maana ushuhuda wake hauwezi kutufanya tukaacha dhambi😢

    • @dani72130
      @dani72130 ปีที่แล้ว

      @@venacyibrahim5056 wew ndo unatakiwa uache dhambi kwa amri ya mwenyezi Mungu, usisubiri ushuhuda wa mtu, ili uokoke fata amri kumi, Quran 3:195

    • @adamkhamis1973
      @adamkhamis1973 ปีที่แล้ว

      Yesu yupi? Wa Shakahola Kilifi, Kenya… Waislamu wanamuamini yesu, wanamuenzi na kumuheshimu…. Soma Quran… kuna chapter nzima ya kumsifu yesu kama nabii Quran chapter 19 (chapter mary)… ukifuata maandiko…Torati,Zaburi,Injili na Quran hutadanganywa kama hao mafala wa shakahola. Vipi unakaa njaa wewe na watoto wako mpaka unakufa.
      Mnarambwa pesa kila siku na wakora kanisani… hakuna miujiza yeyote wako nayo theyre just taking advantage of your ignorance,stress, depression and desperation . Kama kweli wanaponya watu mbona HAWAENDI MA HOSPITALI KUTIBU WAGONJWA. Wake up… YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOMETIME BUT YOU CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME.
      Na huyo Adan Wario Jirmo anaejiita Adam Hajj MBONA HAKUWEZA KUJITIBU ALIPOEKEWA SUMU NA WAKRISTO WENZAKE KAMA ANAVYODAI…ALIKIMBIA HOSPITALI… roho mtakatifu na maombi yalikua wapi… wacheni kudanganywa kama watu wa shakahola

  • @AzizaHamisi-o6z
    @AzizaHamisi-o6z หลายเดือนก่อน

    Dunia ni mapito endeleeni kula matango pori mbeleenu Kuna Giza Kila mtu ni mtumishi mnaoigwa ela mnabaki na ujinga weny na wewe uza akhera yako kwa samani ndogo ya pesa muogope mungu nafsi yako Ina ukweli

  • @safianamani1375
    @safianamani1375 ปีที่แล้ว +1

    A comedian. Actions plus talking😂😂😂😂😂😂

    • @frankbella4271
      @frankbella4271 6 หลายเดือนก่อน

      mtarud wotee huku

    • @safianamani1375
      @safianamani1375 6 หลายเดือนก่อน

      @@frankbella4271 🤣🤣🤣

    • @safianamani1375
      @safianamani1375 6 หลายเดือนก่อน

      @@frankbella4271 funny... Real comedian...ur..

    • @AbrahamMisanti
      @AbrahamMisanti 22 วันที่ผ่านมา

      What I think is right

    • @safianamani1375
      @safianamani1375 22 วันที่ผ่านมา

      @@AbrahamMisanti 🤣🤣🤣

  • @jansenezekiel5329
    @jansenezekiel5329 6 หลายเดือนก่อน

    waislam tulieni msipaniki sikilize habari za yesu muokoke

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +2

    Subuhanallah. Pote hilo naiyazu billah

    • @dani72130
      @dani72130 ปีที่แล้ว

      wanaobatizwa mara nyingi ni wa kweli, lkn wale wa mamdogo ni feki wote.

  • @mudhakirmwarabu2088
    @mudhakirmwarabu2088 ปีที่แล้ว +3

    Waikristo mnatapatapa mpk mnakodisha uongo na utapeli.....

    • @ngendakumanalewis1472
      @ngendakumanalewis1472 ปีที่แล้ว +1

      Hata mpinge kiasi Gani , YESU Atahubiriwa

    • @mudhakirmwarabu2088
      @mudhakirmwarabu2088 ปีที่แล้ว

      @@ngendakumanalewis1472 hakuna anayepinga Yesu kuhubiriwa.. kinachopingwa ni kuhubiriwa kibubusa na kiupogo na kupewa mambo ambayo asiyostahiki...

    • @ngendakumanalewis1472
      @ngendakumanalewis1472 ปีที่แล้ว

      Hakuna kitu kinacho skitisha kama kuona vitu ambavyo vinaimarisha wamoja kwako Wewe hunaona havistahili , haya ulitaka iweje Sasa ?

    • @mudhakirmwarabu2088
      @mudhakirmwarabu2088 ปีที่แล้ว

      @@ngendakumanalewis1472 Si suala la kutaka mimi bro.... Bali ni uhalisia kuwa Yesu si mwana wa mungu wala mungu ktk utatu unaosemwa mtakatifu... Bali ni nabii kama manabii wengine mfano Musa, Ibrahim, Nuhu, Yakobo, Yohana (Yahya), Suleyman n.k.... wote hao wamekuja kumtangaza Mungu mmoja na wa mwisho wao ni Mtume Muhammad.

  • @issamanirakiza-rx6dl
    @issamanirakiza-rx6dl ปีที่แล้ว +2

    Nakushangaa sana kwa kuchukua njia yaupotovu haliyakuwa unajua. Hapo unasikia raha ukisema maneno hayo nakushangiliwa nawatu munaochangia upotovu, lakini ujue mwisho utakuwa mbaya, eti umeokoka kwakuwa hivi uko katika watu wenye wako na mke mmoja. Je wewe nimchaMungu kushinda hata Nabii wa Mungu Ibrahim na Dawuudi na Sulayman ambao walikuwa na wake zaidi ya mmoja? Unataka imani au unataka dunia? Mwenyezi mungu anasema katika sura ya 11 aya ya 15_16 (Wale wanaotaka maisha ya dunia tutawalipa vitendo vyao kamili humo, na wao humo hawatopunjwa. Hao niwale ambao hawatakuwa nakitu akhera isipokuwa moto, yameharibika waliotenda humo na yamepotea bure yale waliokuwa wakiyatenda.) Sasa wewe unachotaka utapata lakini ujue kwamba havitakusaidia chochote isipokuwa kupata mwisho mubaya wa kuondoka ukiwa kafiri ikiwa hautatubia kwa Mwenyezi Mungu kwa uliyoyasema ukitaka kusifiwa na wanadamu au kupatata chochote kutoka kwao ukaamua kukufuru. Hiyo ndiyo nasaha yangu kwako

    • @neemamarko176
      @neemamarko176 ปีที่แล้ว +1

      Yesu anakupenda karibu kwa Yesu Kristo wa Nazareth

    • @agnesmangale3163
      @agnesmangale3163 ปีที่แล้ว

      KARIBU KWA YESU KRISTO MWOKOZI WA ULIMWENGU...

    • @Baromoz
      @Baromoz ปีที่แล้ว

      May Jesus reveal Himself to you brother.Akuna ata siku moja mohamed amewai tokea Muslims.ukitaka kujua ukweli ongea ns unlike mungu ukweli utajua Jesus Is the only way the truth n the life

    • @bernadethajoseph
      @bernadethajoseph ปีที่แล้ว

      @@Baromoz .

    • @EmmanuelMenza-ek8rk
      @EmmanuelMenza-ek8rk 11 หลายเดือนก่อน

      Kuoa mke mmoja au zaidi inatafautishwa na agano la kale na agano jipya...

  • @fatmathomas9698
    @fatmathomas9698 ปีที่แล้ว

    Wakristo mnapokuwa mnasikiliza hizi story jaribu uwe unajiuliza kichwan usishabikie kwanza

  • @tocaworld7864
    @tocaworld7864 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ni muislamu nafurahi sana wakristo wakidanganywa na kutoa sadaka kumpa huyu jamaa mrongo ati alimuona yesu daah 😅😅😅.

  • @fadumoabdullahi8409
    @fadumoabdullahi8409 ปีที่แล้ว +1

    Shaiadani

  • @abdallakahuria93
    @abdallakahuria93 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mwenda wazimu.mudir wa wapi?

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 6 หลายเดือนก่อน

    Upo sahihi yesu alisema yoyote anae taka kumfata aikane nafis yake

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 ปีที่แล้ว +3

    Ila wakristo mnapigwa pesa
    ,Acha jamaa akuibien pesa

    • @dani72130
      @dani72130 ปีที่แล้ว

      hakuna pesa inapigwa hapo, wakristo sio kama wengine wanaotengeza fitnah kwa kuwanunua watu waongee uongo kama kina mwaipopo na mazinge.

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว +1

      ​@@dani72130 mimi naomba tuanze kusoma maandiko nataka andiko ukristo ni dini km huna sema huna je unalo andiko ukristo dini

    • @gadielshedaffa3333
      @gadielshedaffa3333 ปีที่แล้ว

      Kivipi!? Unafikiri damu ya Yesu msalabani haina nguvu ya kuokoa mwanadamu yeyote

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว +1

      @@gadielshedaffa3333 unalo andiko damu ya yesu salabani imewaokowa

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว +1

      @@gadielshedaffa3333 hiyo damu ya yesu mpaka leo ipo mnakunywa alikuwa na pipa zima aw

  • @abdulbari5573
    @abdulbari5573 ปีที่แล้ว

    Naalatulah aleyk

  • @fatmathomas9698
    @fatmathomas9698 ปีที่แล้ว

    Naomba kuuliza swali moja unamvunja mtoto wa mtu mkono kisa hajakusalimia halafu wazazi wake wasije kwanza hapa umetupiga

  • @SoudabdallaAbdalla
    @SoudabdallaAbdalla ปีที่แล้ว

    Wacha uongo ndugu😊

  • @DanKanu-ox4hx
    @DanKanu-ox4hx 5 หลายเดือนก่อน

    Akuna mtu anaumia 😂😂😂tunajua ni uongo to😂

  • @abdulgadiralahdal901
    @abdulgadiralahdal901 ปีที่แล้ว

    Kisha nawaambia waafrika mujue uislam unavamia kploni zilizo watawala na kuwatumia pesa

  • @MohamedKhamis-mi8lp
    @MohamedKhamis-mi8lp 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu Jamaa anasema ni msomali ila lafudhi yake ni ya kenya

  • @jumanjaidi6921
    @jumanjaidi6921 ปีที่แล้ว

    Endelea kutafuta umaalufu katka huu ulimwengu kwa kumkashifu Allah na kumtukana Allah ila utakuja kujua cku moja mbele za allah

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 ปีที่แล้ว +1

      Allah yule pepo mwenye mguu mmoja atakayetumbukizwa kuzimu kwanza. Yupo Mungu mbinguni ambaye aliupenda ulimwengu hata akautoa mwanawe wa pekee ili kila mtu amwaminiye asipotee

    • @gadielshedaffa3333
      @gadielshedaffa3333 ปีที่แล้ว

      Usimchukie Baba huyu.Hata wewe Yesu anakupenda uokoke!

  • @mwassamwassa7264
    @mwassamwassa7264 ปีที่แล้ว +23

    Waislam hawapendi kusikia shuhuda kama hizi

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 ปีที่แล้ว +5

      tusipende nini kila mtu ana haki ya kuchagua kwenda peponi au motoni

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 ปีที่แล้ว +4

      Iyo hiari yenu dini ya kiislam imesimama haina mbamba

    • @evaristamwinuka6494
      @evaristamwinuka6494 ปีที่แล้ว +1

      Watazipenda tuu kwasababu nizakweli

    • @shabanihugo8332
      @shabanihugo8332 ปีที่แล้ว +2

      Kweli gani hapo

    • @adaboychibu1659
      @adaboychibu1659 ปีที่แล้ว +2

      @@evaristamwinuka6494 Njaa ina msumbua huyo hana lolote

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 ปีที่แล้ว +2

    Njàa mbaya

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc ปีที่แล้ว

    Kumamayo muongo muislam hana kiswahili kibovu

  • @onyaluoma848
    @onyaluoma848 ปีที่แล้ว +1

    mnafik

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 ปีที่แล้ว

      Kuliko ww ndo keshatoka nduki hivyoooo

  • @jumanjaidi6921
    @jumanjaidi6921 ปีที่แล้ว +1

    Danganya watu ila IPO cku yako utafika mbele ya Allah alafu ndio utajua adhabu za Allah....then unavaa mavazi yetu yenye heshima katka uislam ili mladi watu wakupigie makofi na vigelegele endelea kuongopea watu ila IPO cku utaingia kwenye imaya ya Allah ao watu wote wanaokuchekea awatakuwepo utakuwa wewe kama wewe endelea kuongopea watu

    • @gadielshedaffa3333
      @gadielshedaffa3333 ปีที่แล้ว +2

      Usimchukie hata wewe Yesu alikufia msalabani! Anakupenda pia

  • @habicigombacabdikarim6543
    @habicigombacabdikarim6543 ปีที่แล้ว +3

    Huyo sio msomalia

    • @shalomkind4575
      @shalomkind4575 ปีที่แล้ว

      Ni msomali haswa !

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 ปีที่แล้ว

      Shida iko wp alikuwa Akimswalia allah sasa kaingia kumuabudu Mungu

    • @lilianluhasi311
      @lilianluhasi311 6 หลายเดือนก่อน

      Ni msomali, wasomali wengi wamatokewa na Yesu

  • @54plus41
    @54plus41 ปีที่แล้ว +1

    Sijui sana lakini Kuran imeongea sana kuhusu yesu,mamake na babake. Huyu alikuwa mwalimu wa dini gani jameni!!

    • @Baromoz
      @Baromoz ปีที่แล้ว

      Jiulize iyo swali vizuri koz anajua dini ya kislamu yote na yesu alimuonekania ata wewe ukitaka akuonekanie lmba utashuhudia na ujue ukweli yeye ni mfalme wa wafalme yeye ni njia ya uzima

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 ปีที่แล้ว +1

    ♥️👏

  • @georgeurembo4553
    @georgeurembo4553 ปีที่แล้ว +2

    Anaendeleaje huyu mtumishi nilickia anaumwa, tupeni taarifa ht tuchange

    • @antoniamiho
      @antoniamiho 6 หลายเดือนก่อน

      Alipewa sumu amepona

  • @MuslimYouthman
    @MuslimYouthman 11 วันที่ผ่านมา

    Chek watu wanavyodanganywa yaani majitu mazima yamekalisha matako yao kusikiliza uongo

  • @goodboy6139
    @goodboy6139 ปีที่แล้ว +1

    Wazimu ambaye amepatiwa pesa .......wacha awadaganye huyu....

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 ปีที่แล้ว +1

    mjinga wewe mnataka pesa tu njaa yote hiyo

  • @criminalminds7723
    @criminalminds7723 ปีที่แล้ว +2

    Haka kajamaa ni kaongo sana yani,hahaha Somalia hatuna mambo ya falaq bana,ww ni Somalia njaa kabisa

    • @lilianluhasi311
      @lilianluhasi311 6 หลายเดือนก่อน

      Wasomali wengi wamatokewa na Yesu, kazi kwako kuamini na kuokoka

  • @mohammedamour4930
    @mohammedamour4930 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa liongo hili kiboko

    • @benisobenjamin1373
      @benisobenjamin1373 ปีที่แล้ว +1

      Uongo wake ukoapi?

    • @zawadilutufyo8771
      @zawadilutufyo8771 ปีที่แล้ว +1

      Danganya na wew

    • @shukulutumaini
      @shukulutumaini ปีที่แล้ว

      Lazima useme ni muongo

    • @florarog548
      @florarog548 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/8z0tonxcWmQ/w-d-xo.html

    • @lilianluhasi311
      @lilianluhasi311 6 หลายเดือนก่อน

      Kweli siyo uongo. Wasomali wengi wamatokewa na Yesu. Mpokee Yesu Leo ili ufike mbinguni kwa mwenyezi Mungu, peponi

  • @rashidsalim3272
    @rashidsalim3272 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa mjinga sana na tapeli, unawatajia watu Sheikh Abdulkader Jailan na hata hawajamsikia wala hawamjui. Vua kangu hio na kilemba muongo mkubwa....

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 ปีที่แล้ว

      Kwani ww ndo umemnunulia?c vazi km vazi jingine

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว

      ​@@irenekaluse3213 we dini gani mwenzangu

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 ปีที่แล้ว

      Waislam nyie kilakitu ni kupinga tu coz mnajisikia hovyo kuumbuliwa na Waislam wenzenu walio shitukia Iman yenu ya uongo.

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว

      @@georgekimasaofficial1629 sisi tunaishahidi wa maandiko hatupingi bila kujua ukitudanganya tutakwambia unatudanganya wewe nimekuuliza unao ushahidi katika biblia yako ukristo ni dini umeshindwa kujibu kwa sababu ukiristo sio dini

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว +1

      @@georgekimasaofficial1629 nipe andiko linalo seme ukristo dini ili nami niwe mkristo nijue kama ukristo dini kuwa muislamu ndugi yangu ukristo sio dini ni biashara tu ya wachungaji

  • @mohammedamour4930
    @mohammedamour4930 ปีที่แล้ว +2

    Akimaliza msimsahau mapambio ndio alichoijia

  • @Baromoz
    @Baromoz ปีที่แล้ว +1

    I want to ask all muslims a question y is it that mohamed has never appeared to them and has never performed any miracle and Jesus appears to both christian n muslims n He still performes many miracles to all of us.Muslims i pray that the lord almighty to reveal the truth to you koz Jesus is lord n saviour n without Him theres no salvation.u better ask Allah the truth abt ur religion

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 ปีที่แล้ว

    washez nyie shida yote hiyo

  • @mbarakbinzoo
    @mbarakbinzoo ปีที่แล้ว

    Ufukara mtihani ikiwa imani ndogo. Mbinu alotumia kwa hawa jamaa msomali hapo atatoka

  • @abdulgadiralahdal901
    @abdulgadiralahdal901 ปีที่แล้ว +1

    Muftah ndio nini?.
    Maskini hata uislam huujui.
    Kisha kweli mudir ni cheo katika dini?.
    Dah hivi mtu mjinga kama hiyu katika dini ndie anae toa ni ushahidi?.

    • @lilianluhasi311
      @lilianluhasi311 6 หลายเดือนก่อน

      Siku ya hukumu utamkumbuka huyu na utakuwa umechelewa, amua sasa

  • @richardbwire4747
    @richardbwire4747 ปีที่แล้ว

    Acts 9:5, wasn't that Jesus? Jesus your great and merciful

  • @meshackmasehe5634
    @meshackmasehe5634 ปีที่แล้ว +1

    Good seminar but pastor don't cover your head before God . please 🙏

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 ปีที่แล้ว

      Bado ni muislamu,Anaruhusiwa

    • @simioneliufoo4517
      @simioneliufoo4517 ปีที่แล้ว

      @@trophywilson7211 Bado ni muislamu kivipi ndugu

    • @simioneliufoo4517
      @simioneliufoo4517 ปีที่แล้ว

      May I know how is that wrong please.

    • @abdumgungulo715
      @abdumgungulo715 ปีที่แล้ว

      Haawezi kuwauislammu huyu

    • @moseschege4491
      @moseschege4491 ปีที่แล้ว

      Am born again Christian but can you kindly explain why,,

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว +2

    Kama kuna kafiri yeyote anaye sema ukristo dini anipe andiko ukristo ni dini

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 ปีที่แล้ว +2

      Hiyo maada siyo mda wake msingi ni haji kutoka kwenye DINi ya Nabii wa uongo mwenye dhambi aliyekufa akiwa na dhambi na kila siku mnamuombea 🤣🤣

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว

      @@georgekimasaofficial1629 asante kwa kujijua km huna dini na haitatokea ukiristo kuwa dini mungu hadanganyi wala hasemi uwongo

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว

      @George Kimasa Official manabi wote walikuwa binaadamu na binaadamu hajakamilika hukosea husahau husikia njaa na huenda haja km yesu alivyo sikia njaa Akaenda kuomba samaki na ilivyo fika mda wakamtahiri govi

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 6 หลายเดือนก่อน

      ​@alzawahirabdallah2299 Hakuna Cha Manabii Wote Wala Nini, Wewe Unatakiwa Umtetee Mtume Wako Kwamba Kwanini Mnamswalia Kila Siku? Hiyo Midhambi Yake Haiishi Tu?!

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 6 หลายเดือนก่อน

      @@yakobomkristo872 Mathayo 12
      7 Lakini kama mngalijua maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka, msingaliwalaumu wasio na hatia.
      Yesu huyo anataka rehem ndio ile unayo ona rehma na amani iwe juu yake tatizo lenu makafiri hamsomi biblia yenu yesu mwenyewe anataka muswalie mumuombe remember

  • @bintialichaga-qn5hr
    @bintialichaga-qn5hr ปีที่แล้ว +1

    Shetani yuko na mbinu nyingi

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc ปีที่แล้ว

    Acha kudangawanya wenzio chukua sadaka zao

  • @HassanAli-lb6wy
    @HassanAli-lb6wy ปีที่แล้ว

    Msanii sana huyu ......LA IORAA FI DDIN

  • @rashbash645
    @rashbash645 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni comedian tu hana lolote.

  • @abdulbari5573
    @abdulbari5573 ปีที่แล้ว +2

    Huyo ni borana not somali

  • @hassanadam3007
    @hassanadam3007 ปีที่แล้ว +1

    Wacha uwongo unchekesha sana

    • @dani72130
      @dani72130 ปีที่แล้ว

      utawaona tu wakisema huyu ni muongo kwa sababu kule wanajenga na kutengeza fitnah sana, halafu utawasikia wakisema wanamjua Yesu Kristo zaidi ya Wakristo wenyewe.

  • @saiddester9819
    @saiddester9819 ปีที่แล้ว +1

    mtoto kutoka kenya akasema samahani big lai kenya akuna kitu kama samahani lies

  • @mohamedomar2005
    @mohamedomar2005 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni muongo na hajawai ona Somalia ni mkenya kutoka isiolo.

  • @AzizaHamisi-o6z
    @AzizaHamisi-o6z หลายเดือนก่อน

    Kila mtu anaota ndoto wanaota nitumie acheni kusabganya watu Sasa nyie mtadangantwa sana

  • @KadsonRoja
    @KadsonRoja หลายเดือนก่อน

    Huyo mtumish wa mchongo.wasomal wote n waslam anawazuga vichwa mpira

  • @abdallahrenatus6677
    @abdallahrenatus6677 ปีที่แล้ว +1

    Badili na mavazi sasa.....

  • @adamkausy871
    @adamkausy871 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu jama ni muongo kweli

  • @hafidhiomar3768
    @hafidhiomar3768 ปีที่แล้ว +2

    Wewe kafiri acha kupindisha ulimi mnafki mkubwa wewe unaropokwa tu hujui chochote

  • @amyassyassin7909
    @amyassyassin7909 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa muongo wa kimataifa, anapotosha watu

  • @MohamedKhamis-mi8lp
    @MohamedKhamis-mi8lp 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu Jamaa muongo Tena anatafuta matatzo na alishababa somaliya hakuna vitu kama hivyo

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 ปีที่แล้ว +2

    Umekutana na iblis

    • @dani72130
      @dani72130 ปีที่แล้ว

      ibilisi hafundishi mema bali anafundisha mabaya. kule somalia ni waislam asilimia 99.99% lakini uchawi uliopo ni kama jehanam ndogo, sasa unajiuliza dini ya haki inakuwa na wachawi na washirikina na ni seshemu ya maisha yao. lakini hakuna anaesema hilo anaogopa kukatwa kichwa, tunajua hayo yote, wao wanajifanya hawajui. Iran na saudi Arabia wanapigana kule Yemen, hizo ni nchi za kiislama, lakini utasikia uislam ni dini ya amani na haki. lkn wanaruhusiwa kuuwa watu wasio nahatia katika nchi ya waislam wenzao. sasa najiuliza sana sipati jibu. lkn uislam ni siasa za waarabu sio dini, kitabu chao kimekuja kupinga Bible, sio kwajili ya Mungu Mwenyezi. someni Bible muendelee kutengeza fitnah za kuwapoteza wakristo wasiojua kusoma Bible, Quran 3:199
      hamjamaliza kuwafundisha waislam, mtu kuwa mwuislam au Mkristo haina maana utaingia peponi ila kwa kufuata maagizo ya Mwenyezi Mungu ,amri kumi (wakristo).

  • @majondejohali5259
    @majondejohali5259 ปีที่แล้ว

    Wapige pesa mafala hao

  • @fadumoabdullahi8409
    @fadumoabdullahi8409 ปีที่แล้ว

    Huyu sio momali

  • @abdulbari5573
    @abdulbari5573 ปีที่แล้ว +2

    Murtad towa kanzu

    • @zawadilutufyo8771
      @zawadilutufyo8771 ปีที่แล้ว

      Kanzu ni vazi halina dini broo

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 ปีที่แล้ว

      Munauelewa mdogo sana nyie watu knzu ndio nn c gauni km magauni mengine tu

    • @dani72130
      @dani72130 ปีที่แล้ว

      @@irenekaluse3213 hawa jamaa wakiambiwa wana ibada za sananmu wanakataa, kanzu sio dini ni vazi la kiarabu, na vazi la mashariki ya kati, ni vazi la utamaduni wa mashariki ya kati, israel, urabuni na asia. sio vazi la dini, uislam ni utamaduni wa kiarabu . utajiuliza vp mtu akivaa kanzu ni muislam, hapana, hata padre, mchungaji , winjilist wanavaa kanzu, je ni waislam?