SIKU UKIFUNGUKIWA KUTAMBUA HILI,UTABADILIKA FIKRA KABISA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
  • SIKILIZA HADI MWISHO

ความคิดเห็น • 98

  • @joyestherbagarura954
    @joyestherbagarura954 4 ปีที่แล้ว +7

    Eh!!! This man of God is addictive!!! I have to listen to his preachings every day!!!! En i dont regret!!! I should start praying for Him Mungu aendelee kumpa neno la kutulisha!!!!♥♥♥

  • @zabrongermanus-co1jj
    @zabrongermanus-co1jj ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi uko vizur

  • @upendobaina2171
    @upendobaina2171 2 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana namafundisho yako mch Mmbaga Mungu akutie nguvu

  • @bettyforssell5445
    @bettyforssell5445 4 ปีที่แล้ว +2

    Napenda na ninafuatilia mafundisho yako pastor. Mungu aendelee kukulinda na kukujaza Roho Mtakatifu ili uendelee kutuelimisha elimu ya kiroho

  • @jordanmashaka50
    @jordanmashaka50 5 ปีที่แล้ว +9

    Ahimidiwe Mungu wa miungu kwa ujumbe huu madhubuti. Katika jina lake Yesu Kristo, amina.

  • @eutropiangido9684
    @eutropiangido9684 4 ปีที่แล้ว +1

    Assnte Mungu kwa ufunuo huu. Ni kweli ni kwa neema tu ya Yesu. Pastor kweli viatu tumeshindwa kuvivua. Mungu atusaidie. Ubarikiwe Pastor

  • @selfaakinyi512
    @selfaakinyi512 5 ปีที่แล้ว +4

    Mbinu zote zimenishindikana nimejaribu ila bado. Eeh yesu naikabidhi kwako kuanzia leo
    Navua viatu kama musa na yeshua. Amen from Qatar.

  • @roselineombati670
    @roselineombati670 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen and amen,hakika unanibariki neno hili limenipa faraja na funzo kwa changamoto ninazopitia,niombee mungu anisaidie kumwelewa

  • @watwegopnina6480
    @watwegopnina6480 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina na Amina, Mungu akubariki, ila maombi yako kwakweli nazidi kukumbea sana sana na familia yako. Amina

  • @queemwalongo9339
    @queemwalongo9339 5 ปีที่แล้ว +2

    asante mchungaji kwa somo zuri sana , mimi sio msabato lakini nafwatilia sana mafundisho yako leo yamenitoa kwenye mzigo mkubwa sana ambao umenisumbua kwa muda mrefu sana MUNGU wa mbinguni akuinue zaidi

  • @sanfanrioba258
    @sanfanrioba258 4 ปีที่แล้ว +3

    I love the way God has used you pastor, may God's blessing be with you always, hope to meet at jesus's feet.

  • @Neema-wy4mh
    @Neema-wy4mh ปีที่แล้ว

    Amen Amen pastor mungu akubariki ansante kwakuniondolea. Kujitwika mizingo mwenye we.

  • @jamesmboga7325
    @jamesmboga7325 5 ปีที่แล้ว +3

    let us give God a chance when we are empty, will fill us, change us and give direction.Thanks for a promising sermon .May the Lord bless you.

  • @esthermajogoro6119
    @esthermajogoro6119 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana pastor, Akutangulie sana. Naamini watu wengi watabarikiwa sana kupitia masomo na mahubiri haya.

  • @wiza2309
    @wiza2309 4 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu nami naungana na Mtumishi wako huyu Mbaga, kwa Neno uliloliweka ndani yake, namuombea Afya ya Roho na mwili, mtunze mkirimu na umpe tele Neema yako, asimame katika kweli yote, muondolee dhambi ya kujikinai ili adumu katika kweli, siku zote.
    Ninaponywa na kuimarishwa kila siku ninapomsikiliza kupitia channel hii ya Mahubiri TV. Asante kwa somo hili, nami Bwana ninavua viatu vyangu na niko tayari Bwana kukusikiliza, nisaidie Bwana, nifanye nini katika kuujenga mwili wa Kristo

  • @MildredShinali
    @MildredShinali ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe kunitia moyo mtumishi wa mungu Kwa hakika ulitumwa kutuokoa sisi ili tuwe na imani Kwa yesu

  • @florencenyaruri5695
    @florencenyaruri5695 3 ปีที่แล้ว +1

    I am blessed all the time I listen to your presentation. God is using you in a powerful way.

  • @esternaftari4553
    @esternaftari4553 5 ปีที่แล้ว +3

    Amina mtumishi unanisaidia sana Mungu akuzidishie

  • @roseweeterkasikila9449
    @roseweeterkasikila9449 4 ปีที่แล้ว +2

    Heri tumbo lililokuzaa na ziwa ulilo nyonya,,, mahubiri na mafundisho yako hakika yamebadili maisha yangu ya kiroho,, Barikiwa

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  4 ปีที่แล้ว +1

      Mungu atukuzwe sana

    • @upendobaina2171
      @upendobaina2171 2 ปีที่แล้ว

      Heri wale walisikialo neno la Mungu na kutenda Yesu alisema

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 4 ปีที่แล้ว +2

    Muchungaji una maneno ya makali ya kumuchomo shatani ndani ya maisha yetu. Ubarikiwa muchungaji

  • @SigwaLusaja
    @SigwaLusaja 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ndo mwalim wangu hakika yesu anakutumia vema ubarikiwe

  • @Janetmoraa-t8f
    @Janetmoraa-t8f ปีที่แล้ว

    Asante sana mutumishi wa Mungu umenigusa sana kwa maisha yangu balikiwa sana nakutasama kutoka Saudi Arabia ❤❤❤❤🎉

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 4 ปีที่แล้ว

    Asante baba nasikia amani moyoni mwangu kusikiliza mafundisho yako.Mungu azidi kukubariki baba tunapona

  • @maxlove2668
    @maxlove2668 5 ปีที่แล้ว +4

    Amen,Mungu ni Mkuu

  • @deborahmakokha5418
    @deborahmakokha5418 4 ปีที่แล้ว

    Amen barikiwa sana mchungaji nimebarikiwa sana na hili neno

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen!Mungu akubariki mch.David Mmbaga na familia yako.

  • @maryotieno7910
    @maryotieno7910 3 ปีที่แล้ว

    Mahubiri imenigusa sana sana God bless you Pastor

  • @SermonsRoom
    @SermonsRoom 5 ปีที่แล้ว +2

    nimejifunza mengi ubarikiwe Pr

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 3 ปีที่แล้ว

    AMINA🙏.nimecheka,nikabarikiwa na nitaishia kisema asante sana kwa mahubiri yako mchungaji mmbaga;.mungu akubariki sana🙏

  • @imangregory8392
    @imangregory8392 5 ปีที่แล้ว +3

    namshukuru Mungu aliye juu toka nimekufaham nimekuwa najifunza mapya kila siku

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki ww na familia yako aifunulie neno kla wakati baraka zishuke juu yako na familia yako

  • @lreneauma1762
    @lreneauma1762 4 ปีที่แล้ว

    Amen ubarikiwe sana PR mmbanga kwa mafuso masuri sana 🙏🙏🙌

  • @JohnThadayo
    @JohnThadayo ปีที่แล้ว

    Aminiamini nawaambia mtu yoyote akitaka kunifuata na ajikanye mwenyewe,nitakufuata daima e Mungu wangu niongoze niufukie uflume wako,Mchungaji unatubari kwa mahubiri yako

  • @DaveOndiek85
    @DaveOndiek85 3 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah!

  • @DavidKisuya
    @DavidKisuya 11 หลายเดือนก่อน

    I love the sermon

  • @ephrasienasifiwe3393
    @ephrasienasifiwe3393 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Pastor 🙏

  • @navokisembo
    @navokisembo 4 ปีที่แล้ว

    Ameeen Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @elienew3788
    @elienew3788 หลายเดือนก่อน

    Congratulations Man of God

  • @dorcasrhobi8211
    @dorcasrhobi8211 ปีที่แล้ว

    Kabisaa mungu akusaidie umeongea kweli mkundi yameuwankanisaa

  • @marycheupe8613
    @marycheupe8613 5 ปีที่แล้ว +4

    Haki mtumishi mungu akulinde sikuzote cz ni kweli kabsa kama tutakua tunauliza kila kuchao tufanye nini wengi tungekua mbali sana

  • @TommyLee-ib5pk
    @TommyLee-ib5pk 5 ปีที่แล้ว +17

    Tuliambiwa tutawatambua kwa matendo hakika wewe ni mtumishi wa Mungu umenifunza vingi sana wewe ndio unatumia 90% ya bundle langu

  • @latestfunnyvideo2187
    @latestfunnyvideo2187 3 ปีที่แล้ว

    Amina sana ubarikiwe

  • @TommyLee-ib5pk
    @TommyLee-ib5pk 5 ปีที่แล้ว +9

    Mimi sio msabato lakini tangu nimekufahamu haiwezi kupita siku bila kusikiliza Mungu anataka kunifundisha kitu gani kupitia wewe

  • @maliyadinas9645
    @maliyadinas9645 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu Wangu niurumie Mimi mwenye kiso baba

  • @rehemakuyega9979
    @rehemakuyega9979 5 ปีที่แล้ว

    Pr.Mungu akubariki kwa mafundisho yenye kuleta hisia za kutuinua kiroho tunaoelemewa na matatizo .

  • @MaombiJofre-k8m
    @MaombiJofre-k8m ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏

  • @janejoseph9009
    @janejoseph9009 5 ปีที่แล้ว +12

    yaan hata kama nikiwa namawazo mengi ila pindi nisikilizapo mahubiri yako mm napona nasonga mbele na naamini huu mwaka lazm nitavuka mahali nilipo kwama kwa mda mrefu mm na familia yangu

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 3 ปีที่แล้ว

    Kweli unanibariki kwa maombi yako yananifariji nnapokuwa na matatizo bwana akubariki uzidi kudumu katika neno hakika bwana ni mwema tumshangilie daima

  • @ellenkasuthaadventistekim
    @ellenkasuthaadventistekim ปีที่แล้ว

    Amina, Amina,Amina.

  • @magrethngasan6165
    @magrethngasan6165 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa ajabu

  • @shigazuelias4896
    @shigazuelias4896 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana pastor mmbaga, mengi kwenye biblia nimeyajua kupitia wewe

  • @drchachamatiko7447
    @drchachamatiko7447 4 ปีที่แล้ว

    barikiwa sana pr kwa ujumbe huu

  • @JosephinaBoni-ex8nd
    @JosephinaBoni-ex8nd ปีที่แล้ว +1

    ASANTE nimefurahi na nimepona na kupokea maarifa

  • @stevenbenson1499
    @stevenbenson1499 5 ปีที่แล้ว +7

    yani we pasta umebarikiwa zaidi na zaidi kwenye ufundishaji wa neno la MUNGU

  • @mirajiomary6037
    @mirajiomary6037 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante mungu kwamahubiri haya. Yamenijenga

  • @lucynyigana2801
    @lucynyigana2801 ปีที่แล้ว

    AMINAA!!

  • @sammywanje2686
    @sammywanje2686 4 ปีที่แล้ว

    Bwana asifiwe...........Asanteni sana muhubiri TV kwa kutuletea NENO hili zuri linalo hubiriwa na mchungaji Mmbaga,,, niko Kenya na ningeomba kuzungumza na mchungaji,, je nifanyeje ili niweze kuongea na mchungaji?

  • @yvonneamekakaombeniwimbomu8312
    @yvonneamekakaombeniwimbomu8312 5 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @damchone9478
    @damchone9478 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sana

  • @mustaphagairo1936
    @mustaphagairo1936 5 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana kutazama mahubir yako

  • @pawalupandisha1316
    @pawalupandisha1316 5 ปีที่แล้ว

    Mchungaji unazidi kunielimishaaa sana mungu akuongozeeee

  • @wilbertcharles9129
    @wilbertcharles9129 5 ปีที่แล้ว +1

    NIONGOZE EE YESU

  • @janejoseph9009
    @janejoseph9009 5 ปีที่แล้ว +22

    Ee MUNGU endelea kumtunza huyu pastor maana amenijenga mm kukujua ww

  • @revocatuschinato8139
    @revocatuschinato8139 2 ปีที่แล้ว +1

    Pastor kwakwel leo ndo Yesu kajifunua kwangu

  • @kifacem8248
    @kifacem8248 5 ปีที่แล้ว

    Amen and Amen 🙏🏾 Mungu akubariki mchungaji. Mrungu ni wedi🙏🏾

  • @IsaacHategeka
    @IsaacHategeka ปีที่แล้ว

    Unasema kweri Muke akasilika chochotte hakiendeki

  • @MuhangwaMagembe
    @MuhangwaMagembe ปีที่แล้ว

    Naomba kuwasilia tafazari

  • @scholarsticahmaluki9371
    @scholarsticahmaluki9371 2 ปีที่แล้ว

    TV

  • @dukeoyugi4467
    @dukeoyugi4467 4 ปีที่แล้ว

    Pray for me nipone

  • @CadoStudio9898
    @CadoStudio9898 ปีที่แล้ว

    Naomba link ya group lenu la telegram

  • @wazainakigomaboy2724
    @wazainakigomaboy2724 5 ปีที่แล้ว +2

    Kuvua viatu ni utakatifu tu usipindishe kabisa

    • @tonnsimbasportsclub7168
      @tonnsimbasportsclub7168 5 ปีที่แล้ว

      Sio viatu vya miguuni ndugu kuwa makini

    • @wazainakigomaboy2724
      @wazainakigomaboy2724 5 ปีที่แล้ว

      @@tonnsimbasportsclub7168 unamaanisha roho inavaa viatu tafsri aliotoa ni ya uwongo tu basi

    • @tonnsimbasportsclub7168
      @tonnsimbasportsclub7168 5 ปีที่แล้ว +1

      @@wazainakigomaboy2724 elewa hivo unavoelewa

    • @drwinnie7145
      @drwinnie7145 5 ปีที่แล้ว

      WAZAINA tv maana halisi io ni ipi

    • @drwinnie7145
      @drwinnie7145 5 ปีที่แล้ว

      WAZAINA tv maana halisi io ni ipi

  • @nyotamabanga8873
    @nyotamabanga8873 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @racinecarine818
    @racinecarine818 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sana

  • @dorcasrhobi8211
    @dorcasrhobi8211 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @TommyLee-ib5pk
    @TommyLee-ib5pk 5 ปีที่แล้ว +3

    Mimi sio msabato lakini tangu nimekufahamu haiwezi kupita siku bila kusikiliza Mungu anataka kunifundisha kitu gani kupitia wewe

    • @jordanmashaka50
      @jordanmashaka50 5 ปีที่แล้ว

      Mungu akutie nguvu uendelee kujifunza na kumfahamu yeye.