DARASA LA UMEME madhara ya Earth Rod fake.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ค. 2021

ความคิดเห็น • 26

  • @pambepvisionchannel2955
    @pambepvisionchannel2955 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu unawezaje kuweka esi rod kwenye nyumba ilio jengwa juu ya mwamba , yan eneo hilo halina halizi

  • @ubwaussi393
    @ubwaussi393 หลายเดือนก่อน

    Mwalim nataka nataka nijifunze

  • @ubwaussi393
    @ubwaussi393 หลายเดือนก่อน

    Mwalim nataka nijifuze

  • @fundiazamdstvstartimes6556
    @fundiazamdstvstartimes6556 2 ปีที่แล้ว

    Mwalim kaz nzuri sana

  • @veronicalory27
    @veronicalory27 ปีที่แล้ว

    Nashukuru Sana mwalimu Kwa mafunzo mazurii Leo nimejifuz jinsi ya kujua earth nzuri na mbovi

  • @rasavicent
    @rasavicent ปีที่แล้ว

    Ahsante teachr

  • @ramakatonyongo8932
    @ramakatonyongo8932 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubalisana teacher

  • @user-gc7pn6co1e
    @user-gc7pn6co1e 11 หลายเดือนก่อน

    Niunge na Mimi mwari fundi kwa wasap

  • @johnkasela5823
    @johnkasela5823 ปีที่แล้ว

    Sana mkuu

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Asante Mwalimu

  • @johnmosha7670
    @johnmosha7670 3 ปีที่แล้ว

    Uko poa sana teacher

  • @ezekielikagine9168
    @ezekielikagine9168 ปีที่แล้ว

    Je nisahihi kuweka waya tupu wa earth bila chuma ya shaba kuifukia ardhini?

  • @amosimkumbo7193
    @amosimkumbo7193 2 ปีที่แล้ว

    katika kufanya testing ya earth hio taaa inatakiwa iwake muda gani na nikichukua Earth wire nikaikata ya kutoka kwenye maini nikaipa moto na nikafunga holder hapo nilipo kata yaa ya chini na ya juuu kwenye nyumba yenye umeme hio ni sawa ili nijue kama iko sawa tchaa

  • @abrahamomar7496
    @abrahamomar7496 2 ปีที่แล้ว

    asante muwalim

  • @salehekilewa1247
    @salehekilewa1247 ปีที่แล้ว

    Earth rod sikuizi zipo nyengine sio za kopa na azinasi kwenye smaku

  • @emanuelminde632
    @emanuelminde632 3 ปีที่แล้ว

    Tunaomba kufundishwa kuchora ramani baada ya wayaringi

  • @robertmagaga
    @robertmagaga 2 ปีที่แล้ว

    Asanteeeeee

  • @leudkihanza898
    @leudkihanza898 3 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @johnkasela5823
    @johnkasela5823 ปีที่แล้ว

    Niunge mwalim watsap

  • @pamelajudicate3907
    @pamelajudicate3907 ปีที่แล้ว

    Kipindi ni kinzuri xana

  • @momylaviel
    @momylaviel ปีที่แล้ว

    Kaka unapatikana wap

  • @mundhirvayman5407
    @mundhirvayman5407 2 ปีที่แล้ว

    Kuna nyumba earthing yake inatoka moshi kwanini

    • @salehekilewa1247
      @salehekilewa1247 ปีที่แล้ว

      Kwasababu Earth rod yake itakua feki yani hapo itakuwa imeshika kutu na aifanyi kazi vizuri ndugu

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Asante Mwalimu