JINSI YA KUTUMIA COPPER WAYA KAMA EARTH ROD

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @chachawambura4030
    @chachawambura4030 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana hako kaplaizi ni kazuri xn

  • @edikiumbe7391
    @edikiumbe7391 ปีที่แล้ว

    Asante Teacher Nipo Zanzibar Nakupata vyema tena Nakukubali Maana Unajua kufundisha Istoshe Masomo yako ukisha kuyatoa Nafanya PRATCLE Mwenyewe Nyumbani Basi Nikifaulu Kama Ulivofanya wewe Huwa Najiskia Raaaha kwakweli IWISH YOU GOOD LUCK

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 ปีที่แล้ว

    Safi tchr

  • @hamisiselemani6631
    @hamisiselemani6631 ปีที่แล้ว

    Daah iko pw,ila ile jinsi ya kuamisha umeme kwenye somo liliopita haujamalizia wengi tunasubilia teacher

  • @panchobway3245
    @panchobway3245 ปีที่แล้ว

    Sawa nimeelewa ila hii Earth ya nyumba kwa nini ikigusana na Phase haileti mzinga tofaut na tanesco...?

  • @deodatussylvester342
    @deodatussylvester342 ปีที่แล้ว +1

    Kaka nategemea kua mwanafunzi wako very soon. Nakukubali sana

  • @simonlurai7033
    @simonlurai7033 ปีที่แล้ว

    inatakiwa uwe na urefu wa mita ngapi au saizi ya earth ya chuma

  • @emmanuelwilliam1515
    @emmanuelwilliam1515 ปีที่แล้ว

    Hii copper wire inabid iwe na urefu wa metre ngapi

  • @sokanavitabusokavi8322
    @sokanavitabusokavi8322 ปีที่แล้ว

    Corrossion?