Sasa ni Roho Mtakatifu gani huyo anaye waongoza wafundishaji kufundisha uongo??? Wewe ni Mkuu wa Chuo, kwa nini vyuo vinatoa wahitimu wanaofundisha uongo? Roho Mtakatifu anaishi ndani yetu.
Mimi sikuelewi ina maana wewe unampinga hadi paulo? Kwa mfano anaposema mkiniua mnanifanya niende nikaisha na baba! sasa ni wapi huko kama si mbinguni? je weww ni nabii mpya? sitaki kukuamini maana umekuwa mwalimu unayewavunja moyo wengine,
Kama aumwelewi sisi tunamwelewa sana mungu ambariki
Amen baba 🙏
SEMA mtumishi uongo HUO UKO WAPI ? Na KWANINI KUWEPO na uongo? Bas kama HIVYO KWANINI tunapingana na wanaosema BIBLIA iandikwe upya?
Sasa ni Roho Mtakatifu gani huyo anaye waongoza wafundishaji kufundisha uongo??? Wewe ni Mkuu wa Chuo, kwa nini vyuo vinatoa wahitimu wanaofundisha uongo? Roho Mtakatifu anaishi ndani yetu.
Mimi sikuelewi ina maana wewe unampinga hadi paulo? Kwa mfano anaposema mkiniua mnanifanya niende nikaisha na baba! sasa ni wapi huko kama si mbinguni? je weww ni nabii mpya? sitaki kukuamini maana umekuwa mwalimu unayewavunja moyo wengine,
Ndg angu unavunjika moyo na nini jaman relax