BARAKA SHAMTE AMJIA JUU MAALIM SEIF "MNAOGOPA KURA YA MAPEMA HIO DEMOCRASDIA".

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 96

  • @zubeirkhamisabdallah8090
    @zubeirkhamisabdallah8090 2 ปีที่แล้ว +22

    Tulio rud kwa ajil ya kumjua shamte tena like

    • @seifsungura6936
      @seifsungura6936 2 ปีที่แล้ว

      Hahaaaaaa kakosa ulaji huyo

    • @jaffaramani2445
      @jaffaramani2445 2 ปีที่แล้ว

      Yaan we acha tu

    • @hassanmussa3664
      @hassanmussa3664 2 ปีที่แล้ว +1

      Tumerud anaauguza majeraha aloo goes around comes around

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 2 ปีที่แล้ว +4

    Kumbe ulikua na laaanaa saiv mtamkumbuka sana maalim seif

  • @zanzigizatupu7330
    @zanzigizatupu7330 2 ปีที่แล้ว +7

    Huyu ndio raisi wa wanafiki kwa Zanzibar

  • @jumajuma8456
    @jumajuma8456 2 ปีที่แล้ว +4

    Mzeee hao hao washakutia adabu mpuuz

  • @sultansallah8772
    @sultansallah8772 2 ปีที่แล้ว +2

    Alogundua comment zote ni baada ya babu shante kupokea kichapo

  • @noffelsalim830
    @noffelsalim830 2 ปีที่แล้ว +3

    Mnafiki uyu akimpigia debe mwinyi Leo anasema hajampigia kura mwinyi,hhhhhhh😄😄😄😄

    • @wandesaid1752
      @wandesaid1752 2 ปีที่แล้ว

      Unafiki ni jambo baya sana umepata nn sasa baada ya ujinga

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 5 หลายเดือนก่อน

    Namuomba dk mwinyi amtie adabu vizuri shamte asilete chokochoko huyu shamte hana adabu hata kidogo

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 2 ปีที่แล้ว

    leo umepatikana mchimba kisima huingia mwenyewe😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @abdulhalim3840
    @abdulhalim3840 2 ปีที่แล้ว +3

    Hahaha CCM wenzio Leo wamekutia kichapo shida kwel kwel CCM wamarekani hawana rafiki wakudumu

    • @froma3732
      @froma3732 2 ปีที่แล้ว

      Hajapigwa alianguka kwenye ngazi ndio uchunguzi ulibainika lkn bado atajuwa kama hajuwi

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp 4 หลายเดือนก่อน

    Vp huyuMzee! Haya saivi uko wapi, umebaki makalio tu.

  • @floramwanja7860
    @floramwanja7860 2 ปีที่แล้ว +2

    Ccm haitaki kukosolewa,una umepigwa na upande wa ccm na wala sio wengne

  • @abdallahmkubwa6984
    @abdallahmkubwa6984 2 ปีที่แล้ว +2

    Ulicho kipanda ndicho utakacho kivuna baraka shamte

  • @kassimhaji1141
    @kassimhaji1141 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mnafiki sasa yamemkuta

  • @saidrashid5972
    @saidrashid5972 2 ปีที่แล้ว +3

    Weka hakiba ya maneno na kabla ya kuongea kumbuka uliongea nini Jana. Yanayokukuta leo ni matunda yako uliyoyachuma

  • @saidkhamis2238
    @saidkhamis2238 2 ปีที่แล้ว +2

    Ndio maana wakampiga mazombi

  • @idrisaaliy9847
    @idrisaaliy9847 2 ปีที่แล้ว +3

    Malipo Duniani

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mzee kanifundisha mengi kweli.ikiwa yeye makelele yote haya na hakumpigia kura.tena kwa maneno yake mwenyewe isha leo atuaminishe kua ccm wameshinda kwa kishindo ukiangalia maneno yake ya leo na yale yajuz ivi unamueka kundi gani huyu mzee? Nimeamini maneno ya mh mwinyi hili ni jahhil. Na usikute ana wenzie.jamani mm naichukia siasa kiukweli.

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekosa mimi Nimekosa sana wa Zanzibar nisameheni ccm nirudishieni uwanachama wangu 🤣🤣🤣.

  • @abdullkarim3681
    @abdullkarim3681 2 ปีที่แล้ว +3

    Ndo dawa yako iyoo

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 2 ปีที่แล้ว

    Uongo wako umekuweka ulipostahili ulipaswa kujielewa kwanza kama ulimkana baba yako ukamuita mkoloni ukamuacha muingereza ukawaua waislamu na waarabu na kuichukia hata maandishi ya herufi za kiarabu unadhani ulistahili nini zaidi ya ulichofanyiwa? Umeiona fadhila za ulikuwa ukiwatumikia? Matusi yote ulimaliza, uongo wote uliotumia hatimae huwezi kunena yote waliokufanyia mazombi wa kiu me hatujui uthibitisho wa daktar umesrmaje, mhh anywa pengine unaweza kukumbukwa ukapozwa kidogo kufuta machungu na kudhalilishwa kama umeepukana namaambukizi ya maradhi yanayoambukiza, corona, cholera, tb nk, pole mzee, kumbuka wazazi ni wa kuheshimiwa

  • @nabillkhamis8188
    @nabillkhamis8188 2 ปีที่แล้ว +3

    RAAZ ZA MAALIM IZO

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529
    @alhamdulillahalhamdulillah7529 2 ปีที่แล้ว +1

    Hayaweeeeeeeeee

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe Mzee ilikuwa upewe adabu Kubwa ikupate na ilikuwa utupwe kwenye bahari Fisadi mkubwa mwizi wa kura ya wezi wakubwa mnawafuata Wazungu ndio maana munainamisha makalio

  • @ashamohammed3612
    @ashamohammed3612 2 ปีที่แล้ว +2

    Hukusia wakati wa kusia wajasia makobe ya yameshalia fisadi moja wewe si ulisema kura yako hukumpa Hussein leo unasema kura umempa hao jamani zako hawakikupiga walikutekenya kitu liko pigo la M. Mungu sasa linakusubiri. Malipo ni hapa hapa Duniani Akhera ni hesabu tu.

  • @alfredcharles8029
    @alfredcharles8029 2 ปีที่แล้ว +1

    Teknolojia haimung'unyi neno na haidanganyi

  • @abdallahmkubwa6984
    @abdallahmkubwa6984 2 ปีที่แล้ว +1

    Ss ww unapapatika kitu gan si utulie tu, maalim kashaondoka ss zamu yko baraka shamte ccm mbele kw mbeleee

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 ปีที่แล้ว

    Vipi kadi usharejeshewa 😂😂😂😂

  • @fantaorange2841
    @fantaorange2841 2 ปีที่แล้ว +1

    dah siasa noma

  • @aishaaisharagp9381
    @aishaaisharagp9381 2 ปีที่แล้ว

    Ww umepata chako chamoto umekiona maluuniww wangelikuuwa hasaa

  • @rashidjuma1969
    @rashidjuma1969 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ilikua achwape hasa na mazombi

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 2 ปีที่แล้ว +1

    ndio maana ccm weziyo wanataka kukuuwa

  • @mwigaadam1179
    @mwigaadam1179 2 ปีที่แล้ว +1

    Umeyasahau hayo leo yamekutokea puani

  • @seifsungura6936
    @seifsungura6936 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahaaaaa siasa shikamoo

  • @kingmaina1151
    @kingmaina1151 2 ปีที่แล้ว +2

    Technology ni hatar

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 2 ปีที่แล้ว

    Unafiki kweli mwenziwe Uongo, watu hawa ndio waletao ufukara ktk jamii.

  • @mwanaishakhamis8069
    @mwanaishakhamis8069 2 ปีที่แล้ว +1

    Duh mmh usiseme eishh maneno yakakupotea.jee turuu🤔🇰🇪 chembelecho watu wakwetu utajuwa haujuwi.siasa ni msimu WA maembe msimu wako Kwisha tuliya uketi nti

  • @jumahamadomar9124
    @jumahamadomar9124 2 ปีที่แล้ว

    Bonge la mnafiki

  • @jokhasaid6355
    @jokhasaid6355 2 ปีที่แล้ว +2

    Tunatak maendeleo hatutak maneno

  • @specialcuty652
    @specialcuty652 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mbwa wacha yamkute

  • @ibrahimsheha215
    @ibrahimsheha215 2 ปีที่แล้ว +1

    Hhhhh

  • @ipmalu9947
    @ipmalu9947 2 ปีที่แล้ว +1

    Mnafiki Mkubwa

  • @alijuma7674
    @alijuma7674 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaaaaaah binadamu km hujafa hujaumbika na tukisema jambo tubakishe hakiba ya maneno, mzee saivi amekuwa more desperate hajuwi nini afanye

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 2 ปีที่แล้ว

    Babu mnafiki huyu ,,alisema nini ,,na leo anasema nini,,huyu anaafa kichapo kikubwa

  • @zahorosuleiman1099
    @zahorosuleiman1099 2 ปีที่แล้ว +1

    Babu ww pumzika ulee wajukuu zako huna jipya😆😆😁

  • @annamjukuu5487
    @annamjukuu5487 2 ปีที่แล้ว +1

    Siasa bhn duuuh haya ona🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mohamedsheikh6618
      @mohamedsheikh6618 2 ปีที่แล้ว

      Kaka siasa haina ubaya, ielewe siasa, ni mbadala wa nguvu na uongo ni kitu kamili kinachojitegemea

  • @asiakhamisi469
    @asiakhamisi469 2 ปีที่แล้ว

    Maskini

  • @binkassimhussein8181
    @binkassimhussein8181 2 ปีที่แล้ว

    Hahahahhahah!!!

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 2 ปีที่แล้ว +1

    Omba.radhi kwa maalim seif

    • @badeehuliya8962
      @badeehuliya8962 2 ปีที่แล้ว

      Yeye kama nani mtume au swahaba

    • @khamisjuma8501
      @khamisjuma8501 2 ปีที่แล้ว

      @@badeehuliya8962 super popular in the zanzibar understand

    • @mwalimumuhidini1544
      @mwalimumuhidini1544 2 ปีที่แล้ว

      Sio Zanzibar ni kaburini

    • @khamisjuma8501
      @khamisjuma8501 2 ปีที่แล้ว

      @@mwalimumuhidini1544 nawewe on day

    • @khamisjuma8501
      @khamisjuma8501 2 ปีที่แล้ว

      @@mwalimumuhidini1544 tuliowengi we believe nobody only God bless you and your family message for shamte no more took

  • @abdullatwifsayyid5981
    @abdullatwifsayyid5981 2 ปีที่แล้ว

    Nenda uko

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 2 ปีที่แล้ว +1

    Malipo nihapahapa dunian na bado

    • @mwanaishakhamis8069
      @mwanaishakhamis8069 2 ปีที่แล้ว

      🤔hiyo ni interval kuna picture yajaiko ndiani🇰🇪twapumzishwa kidogo Tu wanadamu kisha cinema to be continue🎥

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 2 ปีที่แล้ว

    Duu ndio maana wakamfanya vibaya wenziwe

  • @RIGHTWAYRLC
    @RIGHTWAYRLC 2 ปีที่แล้ว

    Siasa hahaha
    Napita2

  • @rajabwazir5656
    @rajabwazir5656 2 ปีที่แล้ว

    Pengine anacho chengine alichofanyiwa huyu sio bure baada akae chini astakhafiru kwa mola wake ndoo anza anamkasirisha muumba wake , daaah😪😪

  • @hamynas
    @hamynas 2 ปีที่แล้ว +1

    hawa ni mifano ya watu wanafiki
    mabingwa wa motoni hawa

    • @khatibabass3106
      @khatibabass3106 2 ปีที่แล้ว

      Unapata wapi kiburi cha kumtia MTU motoni?wewe sio Mungu na huna pepo wala moto

    • @hamynas
      @hamynas 2 ปีที่แล้ว

      @@khatibabass3106 HUYU MZEE MNAFIKI QURAN IMESEMA WANAFIKI WANAZAMA JEHANNAM SIYO MANENO YANGU
      UKITIZAMA KAMPENI ZA HUSSEIN MWINYI ALIKUA AKIMNADI KWA MBWEMBWE MAJUKWAANI LEO ANAGEUKA NA KUYASEMA HAYA ANAYOYASEMA HUU SI UNAFIKI?NIKIMWITA MTU MNAFIKI KWA KUFANYA UNAFIKI KOSA LANGU LIPO WAPI?

  • @floramwanja7860
    @floramwanja7860 2 ปีที่แล้ว

    Ccm sitaipigia kura yangu hata siku mmoja

  • @rajabwazir5656
    @rajabwazir5656 2 ปีที่แล้ว

    Wapotoshaji hawa ila ukweli asa wanaujua

  • @ipmalu9947
    @ipmalu9947 2 ปีที่แล้ว +1

    Maalim kapumzika wewe unchezea kipigo Leo mambo hugeuka

    • @mohamnedsalum2150
      @mohamnedsalum2150 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @mwalimumuhidini1544
      @mwalimumuhidini1544 2 ปีที่แล้ว

      Mnaweza kutia ushahidi Kama MAALIM kapumzika maana Siri ya kaburi anaijua maiti mwenyewe tu

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 2 ปีที่แล้ว

      @@mwalimumuhidini1544 jee wewe waweza kutuletea ushahidi kama maalimu hakupumzika

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 2 ปีที่แล้ว

      @@mwalimumuhidini1544 matendo ya mtu yanaangaliwa mwisho wake sio mwanzo wake Maalim matendo yake ya mwisho yako kwenye rekodi alizunguka Pemba na unguja kuwashajihisha watu wawe wamoja washikane mikono wasameheane na kuondoa tofauti zao tujenge nchi kwa pamoja,na baada ya hapo hakuchukuwa muda Allah akamuhitaji
      Kupatanisha watu waliotofautiana ni sadaka kubwa,hata Mtume s.a.w alipohama maka kuhamia madina alikutia makabila mawili makubwa Aus na Hazraj yalikuwa hayakielewana yeye Mtume akayapatanisha

    • @mwalimumuhidini1544
      @mwalimumuhidini1544 2 ปีที่แล้ว

      Sasa huo ndo utozobi nilimaliza kila kitu Siri ya kaburi aijuaye maiti wewe ulikua ukatae au ukubali tu Kama si mswahili sikulaumu

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 ปีที่แล้ว

    Duuuu kwelii dunia inaenda kasiiii

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 19 วันที่ผ่านมา

      Dunia haiyendi kasiii sisi ndio kunakwenda kasiii🏃‍♀️

  • @froma3732
    @froma3732 2 ปีที่แล้ว

    Njaaa kitu chingine

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 2 ปีที่แล้ว

    Wanafiki kweli wanasiasa, Jahannam inawaaubiri, ulimnadi hussein Mwinyi kiasi hiki halafu juzi baada ya kutoyapata uliyoyafikiria ukasema hukumpigia kura Mwinyi! Kumbe walikua sahihi waliokupiga

  • @bakarhamad4751
    @bakarhamad4751 2 ปีที่แล้ว

    Bado kifo chako tu Magufuli wamemuuwa jee ww weka sanda yako kabisa huna xku nyingi watakupeleka akhera hao

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp 4 หลายเดือนก่อน

    Ujinga zaidi ya upofu

  • @suleimansaid2633
    @suleimansaid2633 2 ปีที่แล้ว

    Vipi kuhusu mkokoto hayo ndio malipo yako.

  • @zahorosuleiman1099
    @zahorosuleiman1099 2 ปีที่แล้ว

    Babu ww pumzika ulee wajukuu zako huna jipya😆😆😁

    • @omanlaskara8201
      @omanlaskara8201 2 ปีที่แล้ว

      Shame mungu akuadhibu hapa hapa

    • @omanlaskara8201
      @omanlaskara8201 2 ปีที่แล้ว

      NABADO

    • @omanlaskara8201
      @omanlaskara8201 2 ปีที่แล้ว

      Kiama utakiona ukamdhalilisha mazali, Sasa wanakuzalilisha ccm wenzio ukome

    • @alijuma7674
      @alijuma7674 2 ปีที่แล้ว

      Jamani radhi za wazee zapata vooooo kutukana watu ambao hayajawahi kukutukana, jamaa yangu huyu alikuwa anamtukana almarehemu Maalim Seif Sharif Hamad hadi matusi huwezi kuyasikiliza, kuna siku alimwita mtoto wa haramu Maalim Seif Sharif Hamad, sasa kwa kosa lile hicho kichapo ni fundisho .mwisho kabisa Mwenyezi mungu amuonyeshe sehemu sahihi aelekee huko hawamtaki tena

    • @mwanaishakhamis8069
      @mwanaishakhamis8069 2 ปีที่แล้ว

      @@alijuma7674 swadakta na kumbuka kumbe ni huyu bingwa Alomuharamisha mwenziwe maalim seif Hamad nilipata kwenye clip .what goes around comes around 🤭🤭🇰🇪