Ctv tz online
Ctv tz online
  • 92
  • 67 712

วีดีโอ

POLISI ZANZIBAR YAFAFANUA ONGEZEKO LA AJALI ZANZIBAR KWA MWEZI MAY MWAKA HUU.
มุมมอง 2.4K4 หลายเดือนก่อน
POLISI ZANZIBAR YAFAFANUA ONGEZEKO LA AJALI ZANZIBAR KWA MWEZI MAY MWAKA HUU.
MH: MASOUDI AWEKA WAZI UTARATIBU WA KUFANYA BIASHARA SOKO JIPYA JUMBI. AWAONYA WATAKAOKIUKA.
มุมมอง 525 หลายเดือนก่อน
MH: MASOUDI AWEKA WAZI UTARATIBU WA KUFANYA BIASHARA SOKO JIPYA JUMBI. AWAONYA WATAKAOKIUKA.
JESHI LA POLISI ZNZ LATANGAZA MIKAKATI MIZITO YA KIULINZI KUELEKEA SIKUKUU YA EIDD-EL-FITRY
มุมมอง 1746 หลายเดือนก่อน
JESHI LA POLISI ZNZ LATANGAZA MIKAKATI MIZITO YA KIULINZI KUELEKEA SIKUKUU YA EIDD-EL-FITRY
MKUU WA MKOA MJINI MAGHARIB ATOA ONYO KALI KWA WATAKAOKIUKA MAAGIZO KUFUATIA MWEZI WA RAMADHANI
มุมมอง 947 หลายเดือนก่อน
MKUU WA MKOA MJINI MAGHARIB ATOA ONYO KALI KWA WATAKAOKIUKA MAAGIZO KUFUATIA MWEZI WA RAMADHANI
WAZIRI WA BIASHARA ZNZ ATOA BEI ELEKEZI ZA BIDHAA KUFUATIA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN.
มุมมอง 477 หลายเดือนก่อน
WAZIRI WA BIASHARA ZNZ ATOA BEI ELEKEZI ZA BIDHAA KUFUATIA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN.
MELI KUBWA YA KITALII YAINGIA VISIWANI ZANZIBAR.
มุมมอง 1129 หลายเดือนก่อน
MELI KUBWA YA KITALII YAINGIA VISIWANI ZANZIBAR.
KIKAO KIZITO WIZARA UTALII KUHAKIKISHA WANAFIKA MALENGO HAYA
มุมมอง 589 หลายเดือนก่อน
KIKAO KIZITO WIZARA UTALII KUHAKIKISHA WANAFIKA MALENGO HAYA
USHIRIKA WA MAISHA GEMU WAWEKA HISTORIA HAIJAWAHI KUTOKEA.
มุมมอง 803 ปีที่แล้ว
USHIRIKA WA MAISHA GEMU WAWEKA HISTORIA HAIJAWAHI KUTOKEA.
MH: HEMEDI AZUA GUMZO, WAPANDISHAJI BEI BIDHAA ROHO JUU.
มุมมอง 263 ปีที่แล้ว
MH: HEMEDI AZUA GUMZO, WAPANDISHAJI BEI BIDHAA ROHO JUU.
TIMU ZILIZOFUNGANA MAGOLI 50 ZAPEWA HUKUMU NZITO..
มุมมอง 163 ปีที่แล้ว
TIMU ZILIZOFUNGANA MAGOLI 50 ZAPEWA HUKUMU NZITO..
ZIFAHAMU BEI MPYA ZA MAFUTA ZANZIBAR ZITAKAZOANZA KUTUMIKA 10/11/2020.
มุมมอง 243 ปีที่แล้ว
ZIFAHAMU BEI MPYA ZA MAFUTA ZANZIBAR ZITAKAZOANZA KUTUMIKA 10/11/2020.
ND: TAUHIDA AWEKA HISTORIA, AFUNGA KAMPENI KWA KISHINDO CHA AJABU.
มุมมอง 374 ปีที่แล้ว
ND: TAUHIDA AWEKA HISTORIA, AFUNGA KAMPENI KWA KISHINDO CHA AJABU.
KAMA WEWE N MTANZANIA UPO ZNZ INAKUHUSU HII.KAMISHNA ATOA KAULI NZITO "TAREHE 27/10/2020".
มุมมอง 674 ปีที่แล้ว
KAMA WEWE N MTANZANIA UPO ZNZ INAKUHUSU HII.KAMISHNA ATOA KAULI NZITO "TAREHE 27/10/2020".
HIZI NDIO SALAMU KALI ZA MGOMBEA UBUNGE ND: TAUHIDA, AWAFUNDISHA NJIA SAHIHI WANACHAMA WA CCM.
มุมมอง 374 ปีที่แล้ว
HIZI NDIO SALAMU KALI ZA MGOMBEA UBUNGE ND: TAUHIDA, AWAFUNDISHA NJIA SAHIHI WANACHAMA WA CCM.
WAAZIRI HAMADI RASHID AFANYA KAMPENI ZA KIPEKEE HAIJAWAHI KUTOKEA, AJIBU SUALA LA KURA YA MAPEMA.
มุมมอง 514 ปีที่แล้ว
WAAZIRI HAMADI RASHID AFANYA KAMPENI ZA KIPEKEE HAIJAWAHI KUTOKEA, AJIBU SUALA LA KURA YA MAPEMA.
WAZIRI CASTICO ATOA SULUHISHO LA UDHALILISHAJI "TUTAENDELEA KUFANYA HIVYO HADI MWISHO UFIKE"
มุมมอง 274 ปีที่แล้ว
WAZIRI CASTICO ATOA SULUHISHO LA UDHALILISHAJI "TUTAENDELEA KUFANYA HIVYO HADI MWISHO UFIKE"
WAZIRI JAFO AFAFANUA MAKUBWA STAND MPYA DAR. "KUNA WATU WATAPOTEA WAKIJA BILA YA KUULIZA"
มุมมอง 134 ปีที่แล้ว
WAZIRI JAFO AFAFANUA MAKUBWA STAND MPYA DAR. "KUNA WATU WATAPOTEA WAKIJA BILA YA KUULIZA"
DR. MAGUFULI ATENGUA TANGAZO LA WIZARA YA ELIMU "LIMETOLEWA NA WABAYA WENU"
มุมมอง 214 ปีที่แล้ว
DR. MAGUFULI ATENGUA TANGAZO LA WIZARA YA ELIMU "LIMETOLEWA NA WABAYA WENU"
BARAKA SHAMTE AMJIA JUU MAALIM SEIF "MNAOGOPA KURA YA MAPEMA HIO DEMOCRASDIA".
มุมมอง 27K4 ปีที่แล้ว
BARAKA SHAMTE AMJIA JUU MAALIM SEIF "MNAOGOPA KURA YA MAPEMA HIO DEMOCRASDIA".
SAMATTA AFUNGUKA SABABU ZA KUONDOKA ASTON VILLA "CHANGAMOTO NI NYINGI KUHAMIA TIMU MPYA"
มุมมอง 294 ปีที่แล้ว
SAMATTA AFUNGUKA SABABU ZA KUONDOKA ASTON VILLA "CHANGAMOTO NI NYINGI KUHAMIA TIMU MPYA"
TAKUKURU JIJINI MWANZA IMEMKAMATA AFISA WA TRA KWA TUHUMA ZA RUSHWA SHILINGI MILIONI NANE.
มุมมอง 2534 ปีที่แล้ว
TAKUKURU JIJINI MWANZA IMEMKAMATA AFISA WA TRA KWA TUHUMA ZA RUSHWA SHILINGI MILIONI NANE.
ASLAY APAGAWISHA WANACHAMA WA CCM UZINDUZI WA TERMINAL 3 ZANZIBAR AANDIKA HISTORIA...
มุมมอง 3.1K4 ปีที่แล้ว
ASLAY APAGAWISHA WANACHAMA WA CCM UZINDUZI WA TERMINAL 3 ZANZIBAR AANDIKA HISTORIA...
ASIMULIA SAKATA LA KUTEKWA NA AL-SHABAB NA JINSI WALIVYOOKOKA KATIKA MIKONO YAO...
มุมมอง 10K4 ปีที่แล้ว
ASIMULIA SAKATA LA KUTEKWA NA AL-SHABAB NA JINSI WALIVYOOKOKA KATIKA MIKONO YAO...
AFANYA MAAJABU MAKUBWA HAIJAWAHI KUTOKEA, UZINDUZI WA KAMPENI KIWENGWA.....
มุมมอง 554 ปีที่แล้ว
AFANYA MAAJABU MAKUBWA HAIJAWAHI KUTOKEA, UZINDUZI WA KAMPENI KIWENGWA.....
IGP SIMON SIRRO "WATU 64 WAMESHAKAMATWA KWA KUWAPIGA WATU MAPANGA PEMBA"..
มุมมอง 1144 ปีที่แล้ว
IGP SIMON SIRRO "WATU 64 WAMESHAKAMATWA KWA KUWAPIGA WATU MAPANGA PEMBA"..
POLISI WAOKOA KARAFUU ZA MAGENDO WATOA ONYA KWA WANAOJIHUSISHA..
มุมมอง 464 ปีที่แล้ว
POLISI WAOKOA KARAFUU ZA MAGENDO WATOA ONYA KWA WANAOJIHUSISHA..
DR JOHN MAGUFULI AWAKEMEA VIKALI WAGOMBEA WA CCM WENYE LENGO HILI KWA SERIKALI..
มุมมอง 364 ปีที่แล้ว
DR JOHN MAGUFULI AWAKEMEA VIKALI WAGOMBEA WA CCM WENYE LENGO HILI KWA SERIKALI..
"SALAM HIZI ZIMFIKIE IGP "FAHAMU MSIMAMO MKALI WA VYAMA VYA SIASA ZANZIBAR KUELEKEA UCHAGUZI MKUU..
มุมมอง 1054 ปีที่แล้ว
"SALAM HIZI ZIMFIKIE IGP "FAHAMU MSIMAMO MKALI WA VYAMA VYA SIASA ZANZIBAR KUELEKEA UCHAGUZI MKUU..
DR. SHEIN ATOA SALAM ZA RAMBI RAMBI KWA FAMILIA YA RAISI MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA WATANZANIA WOTE..
มุมมอง 194 ปีที่แล้ว
DR. SHEIN ATOA SALAM ZA RAMBI RAMBI KWA FAMILIA YA RAISI MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA WATANZANIA WOTE..

ความคิดเห็น

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp 6 หลายเดือนก่อน

    Ujinga zaidi ya upofu

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp 6 หลายเดือนก่อน

    Vp huyuMzee! Haya saivi uko wapi, umebaki makalio tu.

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 7 หลายเดือนก่อน

    Namuomba dk mwinyi amtie adabu vizuri shamte asilete chokochoko huyu shamte hana adabu hata kidogo

  • @jakayajakab
    @jakayajakab 9 หลายเดือนก่อน

    Maendeleo kwa vitendo

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 10 หลายเดือนก่อน

    Wewe Mzee ilikuwa upewe adabu Kubwa ikupate na ilikuwa utupwe kwenye bahari Fisadi mkubwa mwizi wa kura ya wezi wakubwa mnawafuata Wazungu ndio maana munainamisha makalio

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 ปีที่แล้ว

    Vipi kadi usharejeshewa 😂😂😂😂

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 2 ปีที่แล้ว

    Nimekosa mimi Nimekosa sana wa Zanzibar nisameheni ccm nirudishieni uwanachama wangu 🤣🤣🤣.

  • @abdullatwifsayyid5981
    @abdullatwifsayyid5981 2 ปีที่แล้ว

    Nenda uko

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 2 ปีที่แล้ว

    Uongo wako umekuweka ulipostahili ulipaswa kujielewa kwanza kama ulimkana baba yako ukamuita mkoloni ukamuacha muingereza ukawaua waislamu na waarabu na kuichukia hata maandishi ya herufi za kiarabu unadhani ulistahili nini zaidi ya ulichofanyiwa? Umeiona fadhila za ulikuwa ukiwatumikia? Matusi yote ulimaliza, uongo wote uliotumia hatimae huwezi kunena yote waliokufanyia mazombi wa kiu me hatujui uthibitisho wa daktar umesrmaje, mhh anywa pengine unaweza kukumbukwa ukapozwa kidogo kufuta machungu na kudhalilishwa kama umeepukana namaambukizi ya maradhi yanayoambukiza, corona, cholera, tb nk, pole mzee, kumbuka wazazi ni wa kuheshimiwa

  • @binkassimhussein8181
    @binkassimhussein8181 2 ปีที่แล้ว

    Hahahahhahah!!!

  • @jumahamadomar9124
    @jumahamadomar9124 2 ปีที่แล้ว

    Bonge la mnafiki

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 2 ปีที่แล้ว

    Unafiki kweli mwenziwe Uongo, watu hawa ndio waletao ufukara ktk jamii.

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 2 ปีที่แล้ว

    leo umepatikana mchimba kisima huingia mwenyewe😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 ปีที่แล้ว

    Duuuu kwelii dunia inaenda kasiiii

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 หลายเดือนก่อน

      Dunia haiyendi kasiii sisi ndio kunakwenda kasiii🏃‍♀️

  • @rashidjuma1969
    @rashidjuma1969 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ilikua achwape hasa na mazombi

  • @specialcuty652
    @specialcuty652 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mbwa wacha yamkute

  • @RIGHTWAYRLC
    @RIGHTWAYRLC 2 ปีที่แล้ว

    Siasa hahaha Napita2

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 2 ปีที่แล้ว

    Duu ndio maana wakamfanya vibaya wenziwe

  • @suleimansaid2633
    @suleimansaid2633 2 ปีที่แล้ว

    Vipi kuhusu mkokoto hayo ndio malipo yako.

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 2 ปีที่แล้ว

    Babu mnafiki huyu ,,alisema nini ,,na leo anasema nini,,huyu anaafa kichapo kikubwa

  • @ibrahimkasim4299
    @ibrahimkasim4299 2 ปีที่แล้ว

    Uzee umemchangany mnafiki

  • @asiakhamisi469
    @asiakhamisi469 2 ปีที่แล้ว

    Maskini

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 2 ปีที่แล้ว

    Wanafiki kweli wanasiasa, Jahannam inawaaubiri, ulimnadi hussein Mwinyi kiasi hiki halafu juzi baada ya kutoyapata uliyoyafikiria ukasema hukumpigia kura Mwinyi! Kumbe walikua sahihi waliokupiga

  • @aishaaisharagp9381
    @aishaaisharagp9381 2 ปีที่แล้ว

    Ww umepata chako chamoto umekiona maluuniww wangelikuuwa hasaa

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee kanifundisha mengi kweli.ikiwa yeye makelele yote haya na hakumpigia kura.tena kwa maneno yake mwenyewe isha leo atuaminishe kua ccm wameshinda kwa kishindo ukiangalia maneno yake ya leo na yale yajuz ivi unamueka kundi gani huyu mzee? Nimeamini maneno ya mh mwinyi hili ni jahhil. Na usikute ana wenzie.jamani mm naichukia siasa kiukweli.

  • @rajabwazir5656
    @rajabwazir5656 2 ปีที่แล้ว

    Pengine anacho chengine alichofanyiwa huyu sio bure baada akae chini astakhafiru kwa mola wake ndoo anza anamkasirisha muumba wake , daaah😪😪

  • @rajabwazir5656
    @rajabwazir5656 2 ปีที่แล้ว

    Wapotoshaji hawa ila ukweli asa wanaujua

  • @froma3732
    @froma3732 2 ปีที่แล้ว

    Njaaa kitu chingine

  • @akidanyanje9072
    @akidanyanje9072 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂🏂🏻🏂🏻

  • @ashamohammed3612
    @ashamohammed3612 2 ปีที่แล้ว

    Hukusia wakati wa kusia wajasia makobe ya yameshalia fisadi moja wewe si ulisema kura yako hukumpa Hussein leo unasema kura umempa hao jamani zako hawakikupiga walikutekenya kitu liko pigo la M. Mungu sasa linakusubiri. Malipo ni hapa hapa Duniani Akhera ni hesabu tu.

  • @bakarhamad4751
    @bakarhamad4751 2 ปีที่แล้ว

    Bado kifo chako tu Magufuli wamemuuwa jee ww weka sanda yako kabisa huna xku nyingi watakupeleka akhera hao

  • @abdallahmkubwa6984
    @abdallahmkubwa6984 2 ปีที่แล้ว

    Ss ww unapapatika kitu gan si utulie tu, maalim kashaondoka ss zamu yko baraka shamte ccm mbele kw mbeleee

  • @abdallahmkubwa6984
    @abdallahmkubwa6984 2 ปีที่แล้ว

    Ulicho kipanda ndicho utakacho kivuna baraka shamte

  • @alijuma7674
    @alijuma7674 2 ปีที่แล้ว

    Daaaaaaah binadamu km hujafa hujaumbika na tukisema jambo tubakishe hakiba ya maneno, mzee saivi amekuwa more desperate hajuwi nini afanye

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe ulikua na laaanaa saiv mtamkumbuka sana maalim seif

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 2 ปีที่แล้ว

    ndio maana ccm weziyo wanataka kukuuwa

  • @floramwanja7860
    @floramwanja7860 2 ปีที่แล้ว

    Ccm sitaipigia kura yangu hata siku mmoja

  • @floramwanja7860
    @floramwanja7860 2 ปีที่แล้ว

    Ccm haitaki kukosolewa,una umepigwa na upande wa ccm na wala sio wengne

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529
    @alhamdulillahalhamdulillah7529 2 ปีที่แล้ว

    Hayaweeeeeeeeee

  • @seifsungura6936
    @seifsungura6936 2 ปีที่แล้ว

    Hahaaaaa siasa shikamoo

  • @saidkhamis2238
    @saidkhamis2238 2 ปีที่แล้ว

    Ndio maana wakampiga mazombi

  • @annamjukuu5487
    @annamjukuu5487 2 ปีที่แล้ว

    Siasa bhn duuuh haya ona🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mohamedsheikh6618
      @mohamedsheikh6618 2 ปีที่แล้ว

      Kaka siasa haina ubaya, ielewe siasa, ni mbadala wa nguvu na uongo ni kitu kamili kinachojitegemea

  • @idrisaaliy9847
    @idrisaaliy9847 2 ปีที่แล้ว

    Malipo Duniani

  • @mwanaishakhamis8069
    @mwanaishakhamis8069 2 ปีที่แล้ว

    Ulipokuwa kwenye jukwa ulikuwa huogopi dudu wala mende.sasa karati imegeukiya kwao wataka kukuuwa KIFO cha Mende.siasa mtezo mchafu🙆🇰🇪

  • @mwanaishakhamis8069
    @mwanaishakhamis8069 2 ปีที่แล้ว

    Duh mmh usiseme eishh maneno yakakupotea.jee turuu🤔🇰🇪 chembelecho watu wakwetu utajuwa haujuwi.siasa ni msimu WA maembe msimu wako Kwisha tuliya uketi nti

  • @ipmalu9947
    @ipmalu9947 2 ปีที่แล้ว

    Maalim kapumzika wewe unchezea kipigo Leo mambo hugeuka

    • @mohamnedsalum2150
      @mohamnedsalum2150 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @mwalimumuhidini1544
      @mwalimumuhidini1544 2 ปีที่แล้ว

      Mnaweza kutia ushahidi Kama MAALIM kapumzika maana Siri ya kaburi anaijua maiti mwenyewe tu

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 2 ปีที่แล้ว

      @@mwalimumuhidini1544 jee wewe waweza kutuletea ushahidi kama maalimu hakupumzika

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 2 ปีที่แล้ว

      @@mwalimumuhidini1544 matendo ya mtu yanaangaliwa mwisho wake sio mwanzo wake Maalim matendo yake ya mwisho yako kwenye rekodi alizunguka Pemba na unguja kuwashajihisha watu wawe wamoja washikane mikono wasameheane na kuondoa tofauti zao tujenge nchi kwa pamoja,na baada ya hapo hakuchukuwa muda Allah akamuhitaji Kupatanisha watu waliotofautiana ni sadaka kubwa,hata Mtume s.a.w alipohama maka kuhamia madina alikutia makabila mawili makubwa Aus na Hazraj yalikuwa hayakielewana yeye Mtume akayapatanisha

    • @mwalimumuhidini1544
      @mwalimumuhidini1544 2 ปีที่แล้ว

      Sasa huo ndo utozobi nilimaliza kila kitu Siri ya kaburi aijuaye maiti wewe ulikua ukatae au ukubali tu Kama si mswahili sikulaumu

  • @ipmalu9947
    @ipmalu9947 2 ปีที่แล้ว

    Mnafiki Mkubwa

  • @zahorosuleiman1099
    @zahorosuleiman1099 2 ปีที่แล้ว

    Babu ww pumzika ulee wajukuu zako huna jipya😆😆😁

  • @zahorosuleiman1099
    @zahorosuleiman1099 2 ปีที่แล้ว

    Babu ww pumzika ulee wajukuu zako huna jipya😆😆😁

    • @omanlaskara8201
      @omanlaskara8201 2 ปีที่แล้ว

      Shame mungu akuadhibu hapa hapa

    • @omanlaskara8201
      @omanlaskara8201 2 ปีที่แล้ว

      NABADO

    • @omanlaskara8201
      @omanlaskara8201 2 ปีที่แล้ว

      Kiama utakiona ukamdhalilisha mazali, Sasa wanakuzalilisha ccm wenzio ukome

    • @alijuma7674
      @alijuma7674 2 ปีที่แล้ว

      Jamani radhi za wazee zapata vooooo kutukana watu ambao hayajawahi kukutukana, jamaa yangu huyu alikuwa anamtukana almarehemu Maalim Seif Sharif Hamad hadi matusi huwezi kuyasikiliza, kuna siku alimwita mtoto wa haramu Maalim Seif Sharif Hamad, sasa kwa kosa lile hicho kichapo ni fundisho .mwisho kabisa Mwenyezi mungu amuonyeshe sehemu sahihi aelekee huko hawamtaki tena

    • @mwanaishakhamis8069
      @mwanaishakhamis8069 2 ปีที่แล้ว

      @@alijuma7674 swadakta na kumbuka kumbe ni huyu bingwa Alomuharamisha mwenziwe maalim seif Hamad nilipata kwenye clip .what goes around comes around 🤭🤭🇰🇪

  • @kassimhaji1141
    @kassimhaji1141 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mnafiki sasa yamemkuta