TOFAUTI YA CAMERA YA SIMU NA CAMERA | IPI INAKUFAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • Kwa swali lolote weka maoni kwenye comment

ความคิดเห็น • 18

  • @jifunzekiitalianonajohnson9144
    @jifunzekiitalianonajohnson9144 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa elimu ya video production

    • @teknohamaleo
      @teknohamaleo  3 หลายเดือนก่อน

      Karibu sana boss

  • @SekaMaster45
    @SekaMaster45 3 หลายเดือนก่อน +1

    Upo sahihi sana Brother🎉🎉🎉

    • @teknohamaleo
      @teknohamaleo  3 หลายเดือนก่อน

      pamoja sana bro

  • @EliaKiyaulilo-gg4cb
    @EliaKiyaulilo-gg4cb 3 หลายเดือนก่อน +1

    Shukraani Kwa Elimu hii.

    • @teknohamaleo
      @teknohamaleo  3 หลายเดือนก่อน

      Pamoja sana boss

  • @g.aproductiontv5569
    @g.aproductiontv5569 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa mkuu🎉🎉

  • @eliasaston
    @eliasaston 3 หลายเดือนก่อน +1

    Umemaliza kila kitu kaka

    • @teknohamaleo
      @teknohamaleo  3 หลายเดือนก่อน +1

      Pamoja sana mtaalamu

  • @user-cm6dq1oz8n
    @user-cm6dq1oz8n หลายเดือนก่อน +1

    Dah mwenye anataka S24ultra nauza ninunue camera

    • @teknohamaleo
      @teknohamaleo  หลายเดือนก่อน

      Hahahaa😀 nunua camera boss

  • @afyanjematz2686
    @afyanjematz2686 3 หลายเดือนก่อน +1

    bro unatumia camera gani kujirecord hapo maana umekaa kwenye posittion nzur sana

    • @teknohamaleo
      @teknohamaleo  3 หลายเดือนก่อน

      SONY A7C kaka

  • @VincentPancras
    @VincentPancras 3 หลายเดือนก่อน +1

    Je computer kwa ajili ya coding inatakiwakuwa je!?

    • @teknohamaleo
      @teknohamaleo  3 หลายเดือนก่อน

      Kwenye issue ya coding kikubwa sana RAM atleast iwe 8GB na kuendelea inategemea na unadevelop nini kama vitu vinahitaji graphics kama games nk hapo RAM inatakiwa iwe 16GB nakuendelea, issue nyingine ni display resolution atleast 1080, na processor pia Core i5 kuanzia 2Ghz inatosha coding

  • @SwahiliChallenge255
    @SwahiliChallenge255 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo camera inaweza kupiga picha peke yake bila hyo lens?