Willy Paul I DO love all your songs because zinaniFANYA ni feel happy.Am sad coz sijapata MPENZI wakunipa JIGIJIGI but SITOLIA wala kujitia KITANZI nawabia waache MALINGO.Niko TEMPTED kewa tell hata kama sina DIGIRI bado ntampa mapenzi TAMTAM.Na ntachunga mahater wasitie PILIPILI
Hakika shetani yuko kazini inaama hii ni gospel au mziki wa dunia maana kuna mahali harmonize anaimba ivi wapemwanya wakina flani wa kufungue zipu OMG tunapeleka wapi Injili willpaul umepoteza brother akuna Mungu anatumikiwa namna hii never rudi magotini kwa Mungu au umtumikie shetani hii siyo njimbo ya gospel
Wimbo za kidunia tu,pozee neno imetoka kwenye kitabu gani mwenye Bibilia.mwenyezi mungu kweli anaona mengi daahh!!!! Ukubali tu uko kwenye ule upande mwingine
Ndio huyu sasa I was one of your fun stone willy when I was in home kenya Nairobi bado niko na wewe hapo USA Minnesora na vile utambulika hapa waah strong willy pose
I love Willy Paul. All his songs resonate with me. Just goes to show God will use just about anybody to minister to you. Sure hes controversial, but id rather realness than fake people.
Wow Willy Paul aanze kuimba bongo tu maanake hiyo Kali sana kwani naona hiyo kolabo bomba asante zangu ni kwa wasafi kwa kumpa kakaetu mko was bidii na twasubirie vitu Vinci mno. Nasema asante sana Harmonize kwa hiyo kazi kwani hapa sie twajivunia bidii na ya yeyote anayetia kasi kwa kazi zake kana Willy P, Harmonize, Rayvanny, Diamond p, Mavoko na wengineo wengi bila ya kumsahau Lava Lava. Ila kazi nzuri hii nimeikubali kwa asilimia mia
East African artist wanafaa more and more collaborations. Sasa afadhali Kenya na Tanzania wanajaribu. Kuna collabo chache sana kama Ke x Ug ama Tz x Ug. Ama hata Tz x Ug x Ke.
Willy umegonga ndipo ur work is good, The sound of Harmonize has always been catching ears of listener, utaskiza ata ukijifanya huelewi utajikuta unaimba tu. U guys are doing good. Combination KAMILIKA. great...
My favorite musician Willy Paul 💋 My Pozze 🤗 You are a good dancer, singer, performer and comedian. Courage in your job 🥳 Always be happy, enjoy your life life. Live in the peace Blessings Greetings from Belgium ❤
Salute Harmonize n The whole of Wasafi for seeing Willy Paul Kenya's Very on Talent and Working with Him. Hope you have More in store for us. 254 and 255 champions 💪
Harmonize MTU mzima hapa.Hapepesuki wala kujirusha kwa vishindo.Willy has done well to keep off immoral and indecent styled dancers out of this video.He got a reputation to keep and boundaries to maintain.There's great Harmony in this combination
But pozeeee ni mnoma aaaai😂😂😂😂 Nimeskia hii ngoma 😂😂😂😂
Here after watching Willy Paul on mic cheque podcast 2024 very underrated 😤🤟🔥🔥🔥🔥
I'm also here from mic cheque 🔥
After watching eve mungai interview Willy Paul,here I am...I jus love willy paul
Alaa pia mm
Same here
Pozee is super talented....🔥🙌... let's support our own
2024 watching it... Willy Paul is just a masterpiece.. I will love to see Will Paul and Harmonize perform together......🔥🔥🔥🔥🔥
Watching this after Willy's interview with mungai Eve, back then it used to be my favorite
Willy Paul I DO love all your songs because zinaniFANYA ni feel happy.Am sad coz sijapata MPENZI wakunipa JIGIJIGI but SITOLIA wala kujitia KITANZI nawabia waache MALINGO.Niko TEMPTED kewa tell hata kama sina DIGIRI bado ntampa mapenzi TAMTAM.Na ntachunga mahater wasitie PILIPILI
Gibson 254 very creative bro
Its always fun to see your comment
so creative ❤❤
duro hapo sawa
Gibson 254 creativity at its best
Gibson 254 nakubali bro
Pozeee mwaka ni wako tamba king🇰🇪🇰🇪💯💯💗💗💗💗💗💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I still maintain Willy Paul is the most talented artist in Kenya, every work from you is a hit, big up 😍
I think Willy is about 75% out of mainstream Gospel!! Hii Ngoma Ni Fire!!
Ni wangapi tuko hapa kwa sababu ya harmonize 🙋🙋🙋
Here after furaha city shit pozze nini king huyu
Tanzania & Kenya. Gonga like hapa kama wakubali ngoma hii 👐
Issa tune
Yeah, awesome
Saint Bk uk
I just want to let u know uko na 177 like
Looking amazingly handsome lit up banger 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️🙏
2024 still watching
Mi sijawai jua Kuna Collab ya harmonize na Willi poul niliona kwa Eva then nikakm ku confirm ❤
pozee's sense of dressing is on another level
siuongo
Am with on that he has coolest fashion taste
Was hard for me to differentiate Willy’s voice from harmonizes...so polished voices....God bless ya
Pozee the king and you know it 💯💯
Tunadai combo ingine na konde🔥
Wimbo umejaa mafunzo kwa wasichana wote,,,to all ladies
willy pozee na harmonize mko juu tu Sanaa TZ na KE ni moto sana likes za east Africa ziflow
First to comment Kama wamkubali harmonize weka like hapa 💪💪💪💪💪
Habari Zote Tv gusa picha yangu kisha subscribers ili usipitwe na mpira
Habari Zote Tv like it
this is talent love willys vocals
I feeeeel it deep in my hrt...much luv pozee n harmoh...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥
ntakufanya ungareee...my heartbeat iyee my chokuletii iyee
I love Willy but This boy Harmonize ooh Lawd he’s pure magic !!😍
Willy Paul that's cool man jig,njiwa pilipili,go further bro 👍👍👍
kama umependa verse ya harmonize gonga like
beka Lauden Naweza gonga like lakini haki sijapenda😉
Lau updates mi napenda line ya willi Paul zaidi
👌👌
Bombs sana
Hakika shetani yuko kazini inaama hii ni gospel au mziki wa dunia maana kuna mahali harmonize anaimba ivi wapemwanya wakina flani wa kufungue zipu OMG tunapeleka wapi Injili willpaul umepoteza brother akuna Mungu anatumikiwa namna hii never rudi magotini kwa Mungu au umtumikie shetani hii siyo njimbo ya gospel
...who wants to hear POZEH more on his awesome tracks --count me in first.
spool nice pozzze
Willy Paul and Harmonize are my best mentors in music orientation; Kenya and Tz the best whim ever
unakisauti flan iv harmo daah!!! congrats bro
Wimbo za kidunia tu,pozee neno imetoka kwenye kitabu gani mwenye Bibilia.mwenyezi mungu kweli anaona mengi daahh!!!! Ukubali tu uko kwenye ule upande mwingine
Ndio huyu sasa I was one of your fun stone willy when I was in home kenya Nairobi bado niko na wewe hapo USA Minnesora na vile utambulika hapa waah strong willy pose
I love Willy Paul. All his songs resonate with me. Just goes to show God will use just about anybody to minister to you. Sure hes controversial, but id rather realness than fake people.
Can't stop listening to this song. Paul you have a great voice. You somehow sound like Mad Ice.
Wow Willy Paul aanze kuimba bongo tu maanake hiyo Kali sana kwani naona hiyo kolabo bomba asante zangu ni kwa wasafi kwa kumpa kakaetu mko was bidii na twasubirie vitu Vinci mno. Nasema asante sana Harmonize kwa hiyo kazi kwani hapa sie twajivunia bidii na ya yeyote anayetia kasi kwa kazi zake kana Willy P, Harmonize, Rayvanny, Diamond p, Mavoko na wengineo wengi bila ya kumsahau Lava Lava. Ila kazi nzuri hii nimeikubali kwa asilimia mia
East African artist wanafaa more and more collaborations. Sasa afadhali Kenya na Tanzania wanajaribu. Kuna collabo chache sana kama Ke x Ug ama Tz x Ug. Ama hata Tz x Ug x Ke.
Oganga Khadudu East Africa to the world.
Real Sauce its about time we have an East African music powerhouse, and we are right on track
Will paul unaweza wa tz tunakukubali sana kiswahili chako kimenyookaaa kama umezaliwa Dar
Mamake MTz
@@melvinwafula6379 duu kumbe
Wale wameeka interview ya mungai eve pause waangalie hii hapa mko wapi? ✋🏼✋🏼
Willy umegonga ndipo ur work is good, The sound of Harmonize has always been catching ears of listener, utaskiza ata ukijifanya huelewi utajikuta unaimba tu. U guys are doing good. Combination KAMILIKA. great...
This song is still my favorite 😍
Anaengalia hii ngom mpak 2020 agonge like kam zote hapa
Uliweza mbaya though harmonize kafunika mbiu ila tamu nyote mmetisha .....🔥🔥..
Oh my God. Harmonize sounds a lot like Diamond Platnumz. Totally love it❤❤
Sasa willy ndio mondi wetu😅😅😅😅....tamu i.seeeeeyyyy!
2021 and i still love this song 🔥
The Legit king king Mr Pozeh we blanketi unafunika tu ....Harmonize noma sana
Kenya na Tz tukiungana trust me tunaongoza hii Africa
charles Ndungu waambie bro tukiungana Africa nzima itatii
Enyewe Africa itakuwa yetu
Gibson 254 kabisa kibro nilijua sitakukosa huku
charles Ndungu hata the rest of Africa mukioungana you can’t beat Rhumba my friend.Take that from me
charles Ndungu haha Mimi lazima utanipata tu
The song is dope💯💯💥 wanatanzania uyo ni willy paul na ameokoka n anatoanga nyimbo za yesu🏃🏽
Twakaribisha wasafi Kenya au sio, Kali power👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥
kali zaidi
After bifu lake na diamond
Kenya to Tanzania and Tanzania to Kenya. Msafi na wasafi. Imeweza willypoze and harminiza. You have killed it. Likes pizzz.
Naomba niulize Pastor wangu kama tneza cheza kanisani,ngoma imesimama mno
Wow harmonize, you rocked that part you look like a holly ghost... !!
Willy Pozee, imba tu secular...😍😍😍,,,,,254🙌🙌
Pozeee kondeee ndongeeee bongeee ...harmonizee karibu kenya kwenye Matokee
😂😂😂😂😂😂😂😂
Willy paul kwisha ooh
My favorite musician Willy Paul 💋
My Pozze 🤗
You are a good dancer, singer, performer and comedian.
Courage in your job 🥳
Always be happy, enjoy your life life.
Live in the peace
Blessings
Greetings from Belgium ❤
*MDOGO WANGU HARMONIZE UMEIVAA SANA NAJIVUNIA KAZI ZAKO*
-ACHA MZIKI MZURI USONGE MBELE-
Que boa musica que tocou o meu parabéns a vocês will e nize
The two of them are my favorite
Willy pozee 254💙💪💪💪..umewera bro
Pozee yur the next diamond platinumz of +254,,,,,,,,
wow!..i rili luv this wilypaul ft harmonize song , iko juu tu sana.The message in the song depicts true reality of our society Today.Big up Guys.
Ha ha jamani ni piri piri ama pili pili aki Willy paul🤣🤣😂😘😘though uko tu sawa mad luv for African song
nyc one willy doing a collabo wit harmonize always your number one fan............... sasa tunangonja collabo yako na diamond hope itakam very soon..
Kenyans hit a like before upite
Victor Shiracko u were to slow again
Ass Kicker haha again this is witchcraft😂😂 those who 5 who commented first which WiFi do they use?
Victor Shiracko sawa
Nzuri iyo
Salute Harmonize n The whole of Wasafi for seeing Willy Paul Kenya's Very on Talent and Working with Him. Hope you have More in store for us.
254 and 255 champions 💪
Willy ulianza POA n gospel BT siku hizi sijui unaimba bongo ama n Nini??? Ebu Rudi kwa mungu.
Pozee sasa heri uimbe tu secular ju naona unajificha kwa mungu ukiimba izo vituko zako nkt!!!!!!
I just repeating someone help me this music is kiling moi , Wally Paul u nailed it with that dance step at the end. I keep loving u
Mwenyez MUNGU azidi kukupa mafanikio makubwa ww na WCB
Blessed @Harmonize kma wamkubal gonga like apa 👇
Talented crowd mover,Pilipili MWOTO SANA....HEKO MABINGWA
Pozee always making hits after hits🔥🔥
Mbona videos zote hupigwa Kenya. Proud of you Willy. Bonge la hit.
What a great Gospel song!!
Wangapi wameraukia hii jam ka Mimi,you guys are too much
Arrrg I love my African men dancing 🤩🔥🔥🔥
Ewoooooooo +254 plus +255 mambo biadddddd......nawakumbali kwa sana😍😍😍😍
Kenyans thumps up... Wcb wasafi
didn't know Willy Poze...is in this song. used to just listen to the song but never thought of watching the video clip.... it's amazing 😘😘😘
Kwetuu sisi #1M views NIKUTUU KIDOGOOO coz NO #CLOUDS wala #EATV sisi tuna radio #TH-camFM
Dejong360 TV its true
willy pozeeee.....haters wasikuambie kitu.........
Somalia 🇸🇴🙏first views
jamaal Sheeno oooh alshabab
Benjah maggati we ni mchinga sana
Benjah Magatti soo unfair
Benja Maggati! Weh huna heshima, shame on you umetuebisha sisi wakenya😡
hi jamaal😊
Harmonize MTU mzima hapa.Hapepesuki wala kujirusha kwa vishindo.Willy has done well to keep off immoral and indecent styled dancers out of this video.He got a reputation to keep and boundaries to maintain.There's great Harmony in this combination
From the pluto to kenya🔥🔥
You have killed it dear😍😍😍willypaul #thumbs up..harmonize#salute..my all time loves😘😘😘😘😘😘😘
Club banger😂
Kama unamkubali Harmonize gonga like hapo chini
+254 Team Willy Paul. Hapo sawa mwanawefu 👍👍👍👍👍👍❤️❤️❤️👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
*I am praying for my fellow generation of end times*
Typing...👣
😂😂😂
Whatta nice gospel Song. Big up Harmonize, Big wiri por poze
Who is here 2024? 🎉
Great job guys,Willy let no one judge u only God has da last word over person's life
kenya na tz tukiwa kitu kimoja naamini tutaipiga chini nigeria,,,gonga likes kama waikubali hii
Willy Paul should just join team Wasafi, gospel imemshinda huyo.... Ama ameshinda gospel, either way
Great song💯💯💯
Mon DIEU que ces tanzaniens sont monstrueux j'écoute leurs musique et je pleur de joie malgré je ne comprends rien 😫😫😫vive la Tanzanie
Wily poul unawasapot Tanzania sana hongera kwakoo
Haha ha ha wily pol
Unajua kutupia opportunities big up bro
Hujawai waste collabos...
Ngoma Kali kimono 👏👏👏👏👏👏👏👏👏💪💪💪💪💪254 kingpin