AINA YA MIZIKI YA KISHEANI INAVO HALIBU KANISA EV PASCHAL 🇹🇿CASSIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2023
  • #0766998994 #call0688199370 #0788871769 #

ความคิดเห็น • 14

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 8 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa mapenzi yako Mungu, naomba kuisikia sauti itokayo kwako na kutazama neno lako kwa kulisoma na kulitafakari zaidi kiroho. Nisije nikatekwa na mkumbo wa dunia ulivyo sasa.

  • @user-ii1qk9xn9z
    @user-ii1qk9xn9z 8 หลายเดือนก่อน +4

    Asante mtumishi kwa kufichua siri hizi za kishetani.. Mungu wa Mbinguni awe pamoja nawe siku zote akutie nguvu zaidi nyakati hizi za mwisho.
    Mungu aturehemu sana maana kupitia kusikia makanisa yashakamatwa na badala ya kujazwa Roho mtakatifu wanajazwa roho za mapepo.

  • @swai.edentv5273
    @swai.edentv5273 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli kabisa Dunia Iko ukingoni.ubarikiwe Sana kaka yangu

  • @mosesndimgwanko1079
    @mosesndimgwanko1079 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe maisha maref mtumishi ili kweli iwafikie wengi

  • @user-vs6tp5gi5u
    @user-vs6tp5gi5u 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde sana mtumishi wetu

  • @MneneEbengo-tn7dd
    @MneneEbengo-tn7dd 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amina kubwa, Mtumishi Mungu akubariki

  • @user-wg7tt9qo2d
    @user-wg7tt9qo2d 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikie Sana mtumishe

  • @KulekatsengeHaruni-sb6qc
    @KulekatsengeHaruni-sb6qc 8 หลายเดือนก่อน

    Amen ubarikiwe.

  • @SimaoromaojoseSimaoromao
    @SimaoromaojoseSimaoromao 3 หลายเดือนก่อน

    Amém

  • @athonysaimon4958
    @athonysaimon4958 8 หลายเดือนก่อน

    Mmmh!! Tunaangamia kwa kukosa uwelewa

  • @remigioushofa2817
    @remigioushofa2817 8 หลายเดือนก่อน +1

    amen amen

  • @Dukeswanya-vm7cb
    @Dukeswanya-vm7cb 8 หลายเดือนก่อน

    Ukweli mtupu Evng Paschal

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 8 หลายเดือนก่อน

    Mikumbo yashetani haiepukiki kwakizazi tunaoishi sasa hivi maanatunapenda raha namaishabora bilakujishugulisha nakazizamikonoyetu kamatulivyotakiwa naMungu.

    • @PascalJohn-it1xp
      @PascalJohn-it1xp 8 หลายเดือนก่อน

      Ubarikiw sana mtumishi hata ni kizisikiliza nyombo zako tu na barikiwa!