PART17:MWENYEKITI WA WACHAWI TZ SHEKHE ALIEOKOKA/NILIUA MKE NA KUISHI NAE TENA/UCHAWI NIMESOMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 199

  • @alicekarimi6168
    @alicekarimi6168 2 ปีที่แล้ว +4

    Omar is very wise intelligent eloquent and behold since he added Jesus christ in his heart most loved from Kenya 🧡❤

  • @milkahotieno2198
    @milkahotieno2198 3 ปีที่แล้ว +7

    Tanzania mumebarikiwa sana, mungu amewafunuliwa shida ya inch yenyu.

    • @ngwanafabian9668
      @ngwanafabian9668 3 ปีที่แล้ว

      @@ikabako2454 hayo unayoorodhesha ni sehemu ya ushetani.

  • @nailabakari9494
    @nailabakari9494 3 ปีที่แล้ว +4

    Alhamdulilah,mie ni mmoja wa wazawa wa lindi ila akili yangu ipo juu,nilikuwa nawaburuza darasani.nikikosa kushika number 1 basi 2.

    • @paulndoya5805
      @paulndoya5805 3 ปีที่แล้ว

      Ukichukua vilaza kumi wenye elimu inayoendana ukawapa mtihani wa kufanana utapata wa kwanza mpaka wa kumi kiufaulu,,,,,tutajuaje kama haukua kilaza ndani ya vilaza?

    • @paulndoya5805
      @paulndoya5805 3 ปีที่แล้ว

      Natania bwana usijukulie siriaz sana

    • @sapnaabdallah1084
      @sapnaabdallah1084 3 ปีที่แล้ว

      Heheeee

    • @jersonmpeka4984
      @jersonmpeka4984 ปีที่แล้ว

      Sio akili ya darasani ya maishani

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 3 ปีที่แล้ว +3

    Davi simulizi nzuri sana na mi binafsi nimejifunza mengi ktk umri wangu huu. Kwa kweli acha tu.

    • @heritier5119
      @heritier5119 3 ปีที่แล้ว

      Siku za mwisho yote ya sirini yatawekwa wazi

  • @laurarose1521
    @laurarose1521 3 ปีที่แล้ว +4

    Dini zilitoka uzunguni na uarabuni....Saudi Kuna kanisa hapa Dubai nlipo mimi Kuna kanisa...na akuna ubaguzi lakini sisi Wafrika twajitweka dhambi

  • @heritier5119
    @heritier5119 3 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe Hakuna faida shirika na majini au kuwa freemason ya nn maisha ya masharti heri kuwa na Yesu upo huru

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja dav ulipo nami nipo 🙏🇹🇿💪💪

  • @tayanabenard4392
    @tayanabenard4392 3 ปีที่แล้ว +4

    Wacha nimfate STRATON MAGUO anipeleke eneo la zindiko nikafanye yangu...nimuondoe Majaliwa niwe Waziri mkuu....ahsante Mnyeshani kwa connection.

    • @tayanabenard4392
      @tayanabenard4392 3 ปีที่แล้ว

      @@ikabako2454 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 shauri yako wakija wenye zindiko lao mm simo.....

    • @rosepallangyo1352
      @rosepallangyo1352 ปีที่แล้ว

      Mjeuri wewe ha ha haaa

    • @gracej9648
      @gracej9648 ปีที่แล้ว

      Hahaaaa! Straton Maguo alikuwa shahidi tu, wala hajui eneo lililonunuliwa liko sehemu gani.

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +7

    Wa kwanza🎊🎊🎉🎈🎈🎈🎈🎈🎈💃

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 3 ปีที่แล้ว +1

      💞💃💃🥰

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@Laila-lz4ij ❤❤❤❤❤💃💃💃😘😘😘

    • @philipoluzege3200
      @philipoluzege3200 3 ปีที่แล้ว +1

      @@pilimusa7770 hongera❤❤

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@philipoluzege3200 asante❤❤❤❤

    • @tracyangells7595
      @tracyangells7595 3 ปีที่แล้ว

      Hongera 👍

  • @elibarikielikana1824
    @elibarikielikana1824 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuko pamoja mr davie...... 🤗🤗🌍Maarifa ya dunia tunapata ili kujinasua kiroho

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 3 ปีที่แล้ว +5

    Ukimsikia huyu jamaa kwa umakini ana mambo mengi ambayo yako systematic kabisa! Hutumii nguvu kubwa kumuelewa, nlimskiaga mwaka 2010 redio free! @davistar mata media naomba umkumbushe atuambia kuhusu Ile MIUNGU 7 ambayo kila siku kuanzia j3 mpka jpili ina Mungu wake specific ambaye ana makatazo yake mfano kumkopa mtu pesa ama kuanzisha biashara yyte siku ya jnne hairuhusiwi!

  • @heritier5119
    @heritier5119 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtu atokae kwenye ushirikina na kuokoka huwa ni muumini mzuri Sana na umshika Yesu kweli kweli

  • @allylibaku5233
    @allylibaku5233 3 ปีที่แล้ว +3

    mm nipo lindi ila mzaliwa wa morogoro hayo yote n ya kweli kuhusu ufaham mdogo na maendeleo hakuna kuhusu zindiko sijui ila maeneo anayoyataja n yapo kweny n kwel izo njia alisozema na vijiji kutajwa

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 3 ปีที่แล้ว +5

    Kwa kweli watu kama hawa wanatakiwa kutunzwa vizuri ili kijua mengi. Anaonekana najua mambo mengi y nchi yetu na dunia kwa ujumla wake. Na ni mtu katuli anasimulia kw umakini sana. Na kwa utulivu mkubwa.

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +4

    Blessed . Aysha. Kawthar. Khulood. Kawthar. Jirani. Somoe. Sapna. Zuu.Amina. fatma. Hamad. Neema. Shiza. Farhat.kevarist. bady. Dieu k. Stide justin. Fundi.Matrida. Zabiya. Amina. Faisal. Mariam. Laila. Njoon🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎊🎉🎉🎉🎈🎈🎈🎈🎊🎉🎉🎉🎈🎈🎈🎉🎉

    • @shizaarfred4059
      @shizaarfred4059 3 ปีที่แล้ว +1

      Nimechelewa kidogo kuja nilienda lindi kulikagua hilo eneo la zindiko la taifa

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว +1

      Nimekuja pamoja Sana

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว

      @@shizaarfred4059 Yani kisawasawa

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 ปีที่แล้ว

      Ndiyo nmefka wngu shkuran❤❤💃💃🇪🇭🇪🇭

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@ikabako2454 kabisa yani

  • @davidkizito6900
    @davidkizito6900 3 ปีที่แล้ว +2

    Hivi kwanini issue za majini nyingi zinahusishwa na uislam, na sio ukristu MR DM NIULIZIE BWANA MNYESHANI

  • @raheemaraheema5453
    @raheemaraheema5453 3 ปีที่แล้ว +3

    Davista acha kuchokoa maambo weewe tunakupenda vo😄😅

  • @athumanmakale8221
    @athumanmakale8221 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli Sasa nimepata kujua waliotuloga Watz akili zetu..
    Naona Tz Mambo yake yapo nyumanyuma kwasababu ya haya Mazindiko.
    Mola mlezi vunja haya maroho ya Ibilisi aliyelaaniwa.

  • @FFL-X1D
    @FFL-X1D 3 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulillah w kwanzaaa😂😂💃💃🇪🇭🇪🇭

  • @shizaarfred4059
    @shizaarfred4059 3 ปีที่แล้ว +3

    Nipale unapojiona mwamba alafu unakutana chuma cha leli 😂😂😂 eti nishakufa yani ww uuwe wenzio alafu uende mbinguni ukakutane na malaika

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 3 ปีที่แล้ว +2

    Uchawi kwa serikali mtakesha!
    Lazima wasingizie kitu kingine! Hautakaa uskie serikali inasema frani karogwa au ana pepo! Serikali haiwezi kutangaza hadharani uchawi kwamba umetumika kwa jambo flani!

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 3 ปีที่แล้ว +1

    Laiti ningeyajua haya kitambo, ningemuuliza babu, nahisi anajua haya ila kwa sasa ni marehemu 😢

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa6702 3 ปีที่แล้ว +2

    Mr. everything mupee mgeni watu maji angalao

  • @lilianatieno5026
    @lilianatieno5026 3 ปีที่แล้ว +4

    Swali, ina maana kwamba Marehemu Rais Magufuli kuna mikono ya hawa watu?🤷‍♀️🤔🤔,na uliza tuu.

    • @peterrulagora7403
      @peterrulagora7403 3 ปีที่แล้ว +1

      Hakuzungusha mwenge!🤔

    • @warrenoakley589
      @warrenoakley589 3 ปีที่แล้ว

      I know Im kinda randomly asking but does anybody know a good place to watch newly released series online ?

    • @jasezayden6383
      @jasezayden6383 3 ปีที่แล้ว

      @Warren Oakley Flixportal :P

    • @warrenoakley589
      @warrenoakley589 3 ปีที่แล้ว

      @Jase Zayden thank you, signed up and it seems to work :) I really appreciate it !

    • @jasezayden6383
      @jasezayden6383 3 ปีที่แล้ว

      @Warren Oakley you are welcome :D

  • @kijikoali8119
    @kijikoali8119 3 ปีที่แล้ว +1

    Wa elfu mbili mia saba na nane 😎

  • @joivon3038
    @joivon3038 2 ปีที่แล้ว

    Hyo anaongea n kweli hata kanisan tumefundishwa uyu jamaa anajua mengi mno maana anaongea ninayoyajua kwa kufundishwa church Mungu atatufungua Tz tu

  • @nyingos
    @nyingos 2 ปีที่แล้ว

    Stori tamu sana hii

  • @Oneofhiskind123
    @Oneofhiskind123 3 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🤣Masista akadhani yupo mbinguni

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 3 ปีที่แล้ว

    Ina kaa ni kweli si muna kumbuka kuna waziri alie shindwa kuapa enzi za magufuli na yule mdada alie shindwa kuomba

  • @margaretachieng9887
    @margaretachieng9887 3 ปีที่แล้ว

    Story nzuri 🙏

  • @reginamwikya9691
    @reginamwikya9691 3 ปีที่แล้ว +1

    On time

  • @pili3750
    @pili3750 3 ปีที่แล้ว +1

    #pili mussa njooo..zuu..laila..nawengine njoeniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 3 ปีที่แล้ว

      ❤️❤️❤️

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      Asanteee❤❤❤❤

    • @pili3750
      @pili3750 3 ปีที่แล้ว +1

      @@pilimusa7770 😍😍

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว

      Nimekuja pamoja Sana

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 ปีที่แล้ว

      Nmefka pamoja 💃💃🇪🇭🇪🇭

  • @heritier5119
    @heritier5119 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii history ifundishwe

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 3 ปีที่แล้ว +5

    Fans wa Davistar kwa nini tusiunde group la whatsapp tuwe tunatuma maswali yetu ili yawe yanapata majibu kwa wakati? Au Davistar atuunge

  • @joivon3038
    @joivon3038 2 ปีที่แล้ว

    Kunamtu ananyota y uongozi lkn freemason wanaona nyota maana nchi wanataka iendewanavotaka

  • @alimachitechi2107
    @alimachitechi2107 3 ปีที่แล้ว +1

    Na HII DUA niyakichawi

  • @alimachitechi2107
    @alimachitechi2107 3 ปีที่แล้ว +3

    Hahahaha

  • @laurarose1521
    @laurarose1521 3 ปีที่แล้ว +2

    Kuna msaudia ameokoka kwa jina yuaitwa postar Mohammed

    • @abdimohamed3953
      @abdimohamed3953 3 ปีที่แล้ว

      Anapatikana vipi huyoo kupitiaa mitandao

    • @suzansimon5296
      @suzansimon5296 3 ปีที่แล้ว

      Anapatikana vp tumfatilie

    • @laurarose1521
      @laurarose1521 3 ปีที่แล้ว +1

      @@suzansimon5296 andika pastor Mohammed..hapa you tube

  • @josephmungai544
    @josephmungai544 3 ปีที่แล้ว +1

    Si huyu mwalimu asaidiwe kutoa vitabu na hiyo busara yote

  • @binamutawa9637
    @binamutawa9637 3 ปีที่แล้ว

    Inaonyesha kunamambo zaidi anayafahamu

  • @jayamluoga8389
    @jayamluoga8389 3 ปีที่แล้ว +3

    Ule Moshi wa Lindi kwa JPM zindiko huenda linahusika

  • @credo7837
    @credo7837 3 ปีที่แล้ว +2

    Haya sasa

    • @tracyangells7595
      @tracyangells7595 3 ปีที่แล้ว

      Upo naona 👍

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว +1

      @@tracyangells7595 yea mzim wew

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว

      @@credo7837 tuendele kusikiliza story

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว

      @@fatmaalrshdii7615 pamojaa sana dada yangu

    • @tracyangells7595
      @tracyangells7595 3 ปีที่แล้ว

      @@credo7837 Kabisa 👍

  • @heritier5119
    @heritier5119 3 ปีที่แล้ว

    Siku za mwisho yote ya gizani yatawekwa wazi thus tunashuhudia mambo ya giza, freemason, ulimwengu wa giza yanakuwa wazi

  • @abdulmalickupete9015
    @abdulmalickupete9015 3 ปีที่แล้ว +5

    Naona huyu ni mshirikina tu na hana maarifa ya uislamu kumuita shekhe aliye okoka ni kuukashifu uisilamu kwa sababu uislamu hauhusiani na uchawi wake kuwa makini kwa sababu wewe siyo muilamu unakashifu uislamu ili kukidhi haja yako hapo ilifaa uandike MCHAWI ALIYE Okoka siyo SHEKHE !!! HUO NITOVU wa adabu

    • @jonathanndururutse286
      @jonathanndururutse286 3 ปีที่แล้ว +7

      Yeye mwenyewe anasema alikuwa shekhe, sasa ww unakataa nn?? Au unadhani mashekhe ni watakatifu?? Au unadhani waislamu wote ni wasafi hawana dhambi? Maana ushirikina sio dhambi peke ake, hata uzinzi pia ni dhambi lakini pia waislamu wanazini, kwahiyo nadhani huhitaji kutumia nguvu nyingi kulinda dini yako, dini inalindwa na Mwenyezi Mungu mwenyewe, Mnyeshani mwenyewe alikuwa shekhe sasa ww udini wa nn kwenye story hii

    • @mkuluwaukae2221
      @mkuluwaukae2221 3 ปีที่แล้ว +3

      @@jonathanndururutse286 kwanza jamaa anasema alikua shehe na mda huohuo ni mshirikina, anatoka kufanya madawa yake na alfajiri anaenda msikitini! Waisalaam wasiikimbie hili kwamba wana ushirikiano mkubwa sana na uchawi tena uchawi wa KIJINI!

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +3

      @@mkuluwaukae2221 kwahiyo wakristo hamna washirikina wala wachawi?

    • @mkuluwaukae2221
      @mkuluwaukae2221 3 ปีที่แล้ว +3

      @@pilimusa7770 wakristu wachawi wapo, hilo ni kweli kabisa, lkn mkiristu katika ukristu ni against na ushirikina kama mambo ya majini, uchawi! Lkn kwa upande wa waisalmu wao majini wako karibu nao na wanawatumia katika maslahi ya dini, hasa hawa mnaowaita mashehe! Wewe kwavile katika dini hiyo ni mtu mdogo tu huwezi kujua chochote, lkn siku ukisoma theology utaelewa! Ama mtafte sheh unaemwamini sana muulize atakuambia kama nayeye anakuamini!

    • @abdulmalickupete9015
      @abdulmalickupete9015 3 ปีที่แล้ว

      @@jonathanndururutse286 wapo wachungaji wachawi nenda sumbawanga uone wale ni wachawi sio wachungaji ndio maana yangu sio vingine

  • @tracyangells7595
    @tracyangells7595 3 ปีที่แล้ว +1

    Aisee 😂watu wamewahii Asubuhi. Na Mapema !!

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😊umechelewa kam mim

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😊umechelewa kam mim

    • @tracyangells7595
      @tracyangells7595 3 ปีที่แล้ว

      @@credo7837 🤣🤣 lakini bora Tumewahii Kufuatilia Stori 👍

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว +1

      @@tracyangells7595 eeee kabisaa naumependeza

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 ปีที่แล้ว +1

      Umeona ee😂😂🇪🇭🇪🇭

  • @yasinnyakitali5511
    @yasinnyakitali5511 3 ปีที่แล้ว +1

    kwel dunia inamambo

  • @credo7837
    @credo7837 3 ปีที่แล้ว +1

    imekatika patamu 🤣🤣

  • @husseinhamisi4828
    @husseinhamisi4828 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaz ihendelee

  • @dallasabinchar5128
    @dallasabinchar5128 3 ปีที่แล้ว

    Waislamu wa haqi tuko tayari kufanya Ruqya ile fasi bila kupa nunua na kuondoa kila uchawi ulipo

  • @jumakalele3796
    @jumakalele3796 3 ปีที่แล้ว +1

    18 leo

  • @rahaisacl9954
    @rahaisacl9954 3 ปีที่แล้ว

    Ila davista mjanja unamtega ili anase ataje jina 😆😆😆 ...........ila unaambiwa mengi nje ya camera mpk nakutamani

  • @alimachitechi2107
    @alimachitechi2107 3 ปีที่แล้ว

    Kwahio ya doctor via Wana baahatish TU Kwa matibabu

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว +1

    MTU makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli ulipo nipo

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 ปีที่แล้ว

      ❤❤

    • @aboubakarhidad2886
      @aboubakarhidad2886 3 ปีที่แล้ว

      hemu sikiliza vizuri dini yako innavyo sema vibaya usi koment tu

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว

      @@FFL-X1D nakupenda pia mwa mwaaaaa

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว

      @@aboubakarhidad2886 kila mtu na imani Yake sipo APA Kwa kidini wala kiukabila mwenyenzi mungu ndio ajuae dini ya aki ni ipi

    • @aboubakarhidad2886
      @aboubakarhidad2886 3 ปีที่แล้ว

      @@fatmaalrshdii7615 no sense

  • @tututz100
    @tututz100 3 ปีที่แล้ว +1

    MKE

  • @sapnaabdallah1084
    @sapnaabdallah1084 3 ปีที่แล้ว

    Hii clip sjui nitaimaliza mda gani

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 3 ปีที่แล้ว +1

    Wa 12 leo,

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 3 ปีที่แล้ว

    Kama ni chumvi ya madini joto hayo madini joto yameanza kushamili miaka ya 95 zamani ilikua chumvi ya mawe na akili zilikuepo hio kitu wanaijua

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 3 ปีที่แล้ว

    wa 3

  • @M27TVNETWORK
    @M27TVNETWORK 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahha

  • @josephmungai544
    @josephmungai544 3 ปีที่แล้ว +1

    Madini joto ni Iodine wadau

  • @mtumishijerrymwagobele6559
    @mtumishijerrymwagobele6559 3 ปีที่แล้ว +2

    Jackson makweta sialikuwa waziri mkuu

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 ปีที่แล้ว

    Moma mkoa wa nampula

  • @bensonryoba5968
    @bensonryoba5968 3 ปีที่แล้ว

    Tuko pa1 mt. Dm

  • @khadijamisayo7476
    @khadijamisayo7476 3 ปีที่แล้ว +1

    watu washawahi, duuh

  • @pili3750
    @pili3750 3 ปีที่แล้ว

    Wa1 weuweeeeeeeeeeeeeee

    • @pili3750
      @pili3750 3 ปีที่แล้ว

      😍😍😍

  • @aboubakarhidad2886
    @aboubakarhidad2886 3 ปีที่แล้ว +2

    huyo ni mshirikina tu hana uislam hata kidogo ana ikashifu tu dini yetu hana lolote huyo si shekhe ni mtu mwenye ufahamu mdogo tu wa dini ya uislamu

    • @joycemushi725
      @joycemushi725 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akuinulia mwangaza, nawewe ukiri yote nawewe ya majini na uachane nayo, mumpokee Yesu kristo akuokoe, nakuombea

    • @aboubakarhidad2886
      @aboubakarhidad2886 3 ปีที่แล้ว +1

      @@joycemushi725 mm yesu mamjua kama nimtume wetu kwa jina la nabii issa( AS ) na si mungu kama unavyo mjua ww mm nimesoma dini yangu uislamu na nikasoma ukristo pia nakupa challage kwa bibilia zote ukiniletea andiko lolote kwenye bibilia agano lolote lile linasema "mimi yesu ni mungu nisujudieni au niabuduni "mimi naritadi live ila ukitaka andiko kweny bibilia yesu ana sema mbna muna taka kuniua mimi mtu bas nitakupa bahati mbaya mimi huwez kunidanganya kwenye bibilia naijua kuliko wewe lete hilo andiko yessu ana sema mm ni mungu nisujudieni mm ni ritadi na ww nikupe andiko linasema mbona muna taka kuniua mm mtu kuna mungu anajiita mtu fungua kichwa chako na ufikirie vizuri ww umeumbwa na akili

    • @aboubakarhidad2886
      @aboubakarhidad2886 3 ปีที่แล้ว +1

      @@joycemushi725 mimi nakuombea ww huyo mnyeshani hakua muislamu alitumia uislamu kujifichia tu uchawi wake uislamu na uchawi ni vitu tofauti joyce uislamu ndio dini ya amani yy kenda kusoma uchawi na halusoma dini ya Allah (s.w) na siku ya ufufuo mnyeshani ata kwenda kumjibu Allah kwann aliritadi na huko ni kwenda motoni tu adhabu yake ww joyce una jua yesu baada ya siku sita za kuzaliwa kwake alitahiriwa unataka kuniambia mungu wenu alitahiriwa si maneno yangu ni bibilia ndio imesema usije ukadhani na kukashif au nakash dini yenu hapana ushahidi ninao ni maandiko kutoka kweny hiyo hiyo bibilia ukiitaka usha hidi niambie nikutajie ukasome than utakuja na majibu km ni kweli au si kweli halafu ujue yesu hakuwahi kuingia kanisani bali aliingia kwenye sina gogo na sina gogi km ww ni mkristo na una bibilia angalia nyuma nn maana ya sina gogo "ni msikiti " sasa siku ya ufufuo yesu ana kuja kukukana yy hakuingia kanisani bali aliingia msikitini ww kakufundisha nani kwenda kanisani andaa jibu kabisaa la kuja kumjibu na sisemi kwa mdomo tu ukitaka maandiko kweny bibilia yenu nitakupa na la mwsho na kupa kama zawadi ww kama binadamu kwenye bibilia tunambiwa yesu alikfa msalabani na baada ya siku 3 akafufuka jee jiulize hivi ni nani kwa wakati huo alikua akiendesha dunia na kutoa rizki na kuendelea kutoa roho viumbe wengine yani tumia akili yko ya kibinadamu tu kufikiria apo alafu joyce usikoment tu kwanza kasome huo ukristo ujue ndipo utakapo ni amini km dini ya uislamu ni aman tu na hakuna ayo anayo sema mnyeshani ni intrest zake tu hizo maana anaonekana ni mjanja mjanja tu mnyeshani ila dini hajui ata kidogo na hajasoma yy kenda kusoma uchawi na sio uislamu uislam sisi tunaambiwa hatukuumbwa majini na wanadamu isipokua tumuabudu Allah( S.W)

    • @aboubakarhidad2886
      @aboubakarhidad2886 3 ปีที่แล้ว

      @@ikabako2454 mashaalah hongera sana na karibu sana katika dini ya amani uislam

    • @johnwanuma7209
      @johnwanuma7209 3 ปีที่แล้ว

      Yesu Ni neno na neno Ni Mungu yohana 1:1