GnG:PT:S03E15: Bwanangu hanitoshelezi kitandani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 228

  • @lemashonsylvia1334
    @lemashonsylvia1334 5 ปีที่แล้ว +9

    Waaaaah huku nje kuna visanga,,,huyu Dem angepata my mom angepata kichapo cha mbwa msikitini

  • @marynjoroge6266
    @marynjoroge6266 5 ปีที่แล้ว +8

    Felisita Tamaa mpaka unaleta kijana kwa mamako aii ata huyo kijana hayuko sawa umekosea mamako heshima.

  • @maryann4134
    @maryann4134 5 ปีที่แล้ว +10

    24yrs na mzazi anakuchapa you have already matured ,😂😂😂😂😂😂😂

    • @kenyanniggar357
      @kenyanniggar357 5 ปีที่แล้ว +1

      alifaa kufanyia mbali si kwao

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 2 ปีที่แล้ว

      Anachapwa bado analeta kijana nyumbani!

  • @justusmomanyi626
    @justusmomanyi626 3 ปีที่แล้ว +1

    I love the fact that mum has done the part of awoman, thanks mumy kama utamsamea

  • @shiilucy4560
    @shiilucy4560 5 ปีที่แล้ว +6

    Waah girl child ulikosea mum hki but mimi kma mzazi nawenza msamehe mtoto wangu

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 5 ปีที่แล้ว +5

    Felista unakaa sumbua Sana heshimu mama na maisha yako yatakua Sawa

  • @diananafula2165
    @diananafula2165 5 ปีที่แล้ว +10

    Weeeh afadhali Amejua makosa yake good girl

  • @bettyoluoch9774
    @bettyoluoch9774 5 ปีที่แล้ว +3

    Siz pole but kuwa wazi kwa mamako bwanako si poa kwa bed juu unataka ukule ufike mbinguni 💃💃💃💃

  • @conniechrist9260
    @conniechrist9260 5 ปีที่แล้ว +12

    Bona hamku~upload patanisho ya jana 20/3/2019?

    • @phoebemukhwana3058
      @phoebemukhwana3058 5 ปีที่แล้ว

      Ndo nashindwa pia thot hakuna Jana patanisho

  • @Quilant749
    @Quilant749 5 ปีที่แล้ว +6

    Hata mm mtoto wangu ananiogopa, narudi nyumbani kuongea nae nirudishe uhusiano na my one and only son, love you so much my baby

  • @shirumewairimu9672
    @shirumewairimu9672 5 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mama nikama mama yangu hunurushia mpaka sufuria 😂😂😂😂😂

  • @samueljr9105
    @samueljr9105 5 ปีที่แล้ว +4

    Waaah bwanangu hanitoshelezi ziii mimi hii imenishida

  • @aishaelias3867
    @aishaelias3867 5 ปีที่แล้ว +9

    Hakuna guest house kwa kina felista?????😂😂😂😂

    • @joma563
      @joma563 3 ปีที่แล้ว

      Wewe

  • @mariahtibbs8136
    @mariahtibbs8136 4 ปีที่แล้ว +2

    Mzazi afai kuchapa mwanae after 18years

    • @veronicacharles9993
      @veronicacharles9993 3 ปีที่แล้ว

      Nani kasema

    • @edwinochieng9014
      @edwinochieng9014 7 หลายเดือนก่อน

      Mtu akiwa mjinga lazima anyoroshwe...am thirty, but in case mum is to correct me via a slap on a mistake I know i did, i will simply respect her decision....

  • @euniceevans7780
    @euniceevans7780 5 ปีที่แล้ว +6

    Felister Huna adabu unapeleka aje mwanaume kwa mamako!! Shameless girl, but it's good umetambua makosa yako!! Felister Kuna hoteli hata za Chai ya 20sh mgeketi munywe Chai na muende mkanyanduana kuigine, 😬😬😬

    • @JeaneTerees
      @JeaneTerees 5 ปีที่แล้ว +1

      Msimtukane huyo mtoto, huyo mtoto yuko mental broken By her mother ,mtoto na Mama they need psychological help

    • @margaretm5070
      @margaretm5070 5 ปีที่แล้ว

      Don't judge others. Look at yourself on the mirror! Leave it to heavenly father to judge. She is honest and looking for mama's love

  • @faridahshisha6717
    @faridahshisha6717 5 ปีที่แล้ว +16

    Lisichana lenyewe linaongeaje

    • @melodytabjjmocbithandolond1062
      @melodytabjjmocbithandolond1062 5 ปีที่แล้ว +1

      Faridah Shisha ,,,Hahahahaha,,,aty "LISICHANA"

    • @alisaalis9218
      @alisaalis9218 5 ปีที่แล้ว +2

      Unaita msichana wa mtu eti lisichana,Wah respect plz dia kwa mtoto wa mwenzako

    • @aggycherry9400
      @aggycherry9400 5 ปีที่แล้ว +2

      You killing me ooh

    • @paulinepolly7999
      @paulinepolly7999 5 ปีที่แล้ว

      Was feeling to slap her thru the air!! She sound boring by nature !!

    • @edithombunga7293
      @edithombunga7293 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @thecargotsold
    @thecargotsold 5 ปีที่แล้ว +2

    Yaani hatoshelezwi na mumeye..na mimi hapa ni kiu tu...wah! Dunia ni duara

  • @stellaloves9879
    @stellaloves9879 5 ปีที่แล้ว +7

    Wanaume tosholezeni wanawake

  • @michaelnjuguna1017
    @michaelnjuguna1017 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 😂 ...felista mum ana kungoja

  • @davidkariuki1061
    @davidkariuki1061 3 ปีที่แล้ว

    mdame anahuzunika Sana uyo mam amsamehe tu

  • @meshacknyongesa8686
    @meshacknyongesa8686 5 ปีที่แล้ว +5

    Felista tome, I think she is right but angeenda kwa wataalam apate ushauri na bwana yake.

  • @berniceonegbmusic2324
    @berniceonegbmusic2324 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwanaume wa 2min siwezi poteza time na yeye

  • @aishaelias3867
    @aishaelias3867 5 ปีที่แล้ว +7

    Felista nyege ndio zina msimbua, namshauri atafute mume mkamba ama mgiriama ama mluyha atafurahia sana wanajua kulima kuma vizuri

  • @sareeskye3623
    @sareeskye3623 5 ปีที่แล้ว +1

    Mzazi kuwa mkali sana kwa watoto sipoa

    • @annthecook9427
      @annthecook9427 5 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @faithamaliaji4115
      @faithamaliaji4115 5 ปีที่แล้ว

      True imagine at the age of 24yrs you fear your mum na vile Mimi my mum is my friend we share alot

    • @edwinochieng9014
      @edwinochieng9014 7 หลายเดือนก่อน

      Hii yako ni ujinga, spare the rod, spoil the idiot...

  • @ديبديب-د6ف
    @ديبديب-د6ف 4 ปีที่แล้ว +1

    Wanaume mtutosheleze jamani tuwache kihanya inje ya ndoa

  • @rogersrono3301
    @rogersrono3301 4 ปีที่แล้ว

    The climate is cool BT Sunday poa...

  • @reginanjerikimani2620
    @reginanjerikimani2620 5 ปีที่แล้ว +6

    Ata kama huyo dame amekosa, you are not supposed to beat your son's wife ,wacha mume wake amchape instead Aaaai !!!!

  • @shantelgabuu5956
    @shantelgabuu5956 5 ปีที่แล้ว +1

    Waah uyo mama anasound vita hahaha uyo n councilor wakwake pekeake.... But anyway mama n mama

  • @moulinemoulinr9136
    @moulinemoulinr9136 5 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂iko shida mtu lazima a cum ndio akubali😂😂😂😂chaiiiiii vituko nazo

  • @hillaryluhai392
    @hillaryluhai392 5 ปีที่แล้ว +6

    Mwanzo mbona mama alikua anataka msichana aende kijana abaki?

    • @bonifacekisina
      @bonifacekisina 5 ปีที่แล้ว

      Nilijiuliza hii swali paka nikabaki kushanga tu

    • @nurdinimndeme2912
      @nurdinimndeme2912 5 ปีที่แล้ว

      labda ni mbabe sana hata alikua akitaka kijana abaki amchakaze

    • @bonifacekisina
      @bonifacekisina 5 ปีที่แล้ว

      @@nurdinimndeme2912 Inakaa alikuta kijana akisakata ngoma mzuri akapenda pia

    • @edithombunga7293
      @edithombunga7293 5 ปีที่แล้ว +3

      You don't get it
      She just wanted to council the boy maybe
      She's a councillor 😂😂😂

    • @bonifacekisina
      @bonifacekisina 5 ปีที่แล้ว +1

      @@edithombunga7293 Wewe usituzengue hapa. Huyu mama aliona kijana anajua kusakata ngoma. Maybe alisikizia kwa window akasikia vile msichana wake anapokea upako akajua huyu ni nabii wa ukweli si hawa mabonoko.

  • @musabuleya5662
    @musabuleya5662 5 ปีที่แล้ว

    mnipe number ya patanisho ...naomba kupatanishwa

  • @loisegitau4897
    @loisegitau4897 5 ปีที่แล้ว +3

    wewe mwanamke ni mkorofi, mimi nimeolewa na pia bwana yangu hanitoshelezi kitandani lakini bado nampenda na sijawai toka inje ya ndoa na sitawai sitaki ugonjwa.

    • @bobogitau5383
      @bobogitau5383 3 ปีที่แล้ว

      U have no right to judge her

    • @stephenkangara623
      @stephenkangara623 3 ปีที่แล้ว

      Loise mambo

    • @loisegitau4897
      @loisegitau4897 3 ปีที่แล้ว

      @@stephenkangara623 poa

    • @loisegitau4897
      @loisegitau4897 3 ปีที่แล้ว

      @@bobogitau5383 judging is underestimated kama nikutoka nje wachana na ndoa uwe single ulale na yule anakutosheleza. Simple mathematics

    • @stephenkangara623
      @stephenkangara623 3 ปีที่แล้ว

      Uko fyn lkn pls c uni hlp n ur nmbr

  • @aggycherry9400
    @aggycherry9400 5 ปีที่แล้ว

    Hamjasikiza yawa number one n two....

  • @margaretm5070
    @margaretm5070 5 ปีที่แล้ว +2

    It is same that as counsellor you cannot dig deep the source of the prob

  • @franciskaregi9467
    @franciskaregi9467 3 ปีที่แล้ว +1

    The girls need motherly love.the mother is too cold

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 5 ปีที่แล้ว

    Uyo mtoii niwa bwanake kweli ebu muulize

  • @mamayaoharistar4599
    @mamayaoharistar4599 5 ปีที่แล้ว

    Inafaa bwana ache pombe akule vitu zake vizuri hadi madam acum .

  • @favouredblessed2631
    @favouredblessed2631 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyu dem ndo ako shida it happens me nikiwa na stress i hardly enjoy my man the goid anajua huwa aniambia baby i want us to enjoy we are one nanikuforce si poa huwa tuna find solution first na kama kweli naona mzee wangu anataka we change positions or we do it somewhere else and i actually enjoy

  • @samuelkamau1777
    @samuelkamau1777 5 ปีที่แล้ว +3

    How do you call your mom through the radio to ask for forgiveness

    • @serahnduta9869
      @serahnduta9869 5 ปีที่แล้ว

      The answer mummy pliz najua nimekosea nafusi yako nanyenyekea chini unisamehe siwezi ishi bila wewe nimefika mwisho hii nafasi nisamehe nitajaribu kuto kukukosea pliz mum i cant find a mum like you that all she will feel me and 4give me

  • @osoroalfred4079
    @osoroalfred4079 5 ปีที่แล้ว

    Hii nayo hapana sjaona mwelekeo

  • @margaretm5070
    @margaretm5070 5 ปีที่แล้ว +1

    Hi gal a love you as you are. What kind of counsellor who cannot handle her own issues but she can handle and therapy others? The gal is just looking for some love.

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 5 ปีที่แล้ว +5

    number 7
    kwani kwa kitanda uwa chakula

    • @nancyruoruo1025
      @nancyruoruo1025 5 ปีที่แล้ว +3

      Swali langu pia......kwani ni chakula

    • @joiceanne8195
      @joiceanne8195 5 ปีที่แล้ว +1

      As if ni uhai

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 5 ปีที่แล้ว +1

      nashagaa miaka nikama nilisahau na hicho kina liliwa naye mwingine akona mwaka moja kwa ndoa na atosheki makubwa haya mtu analilia kumwangiliwa uchafu pwu

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 5 ปีที่แล้ว

      @@joiceanne8195 huyo ni ujinga ako nayo

  • @chullakoi1508
    @chullakoi1508 5 ปีที่แล้ว

    Bb za wasee wooote walevi waje kwangu.

  • @kentmorema2244
    @kentmorema2244 5 ปีที่แล้ว

    Entertainment.Entertainment.when you use your facilities for entertainment.Tears go falling down.Girls-Women stop using your seeds use your heads.Literally modern family is becoming a drive through affair.Just PASsiNG.

  • @darlingtonmasheti
    @darlingtonmasheti 3 ปีที่แล้ว

    Jesus dunia imeisha ghai wanawake sumu kabisa

  • @mariyanegoodone172
    @mariyanegoodone172 5 ปีที่แล้ว

    Uyo mama ako sawa apendi ujinga kama iyo ulifanya

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 5 ปีที่แล้ว +1

    24yrs uko kwa ndoa? na unalia nini?

  • @florahkimbage9571
    @florahkimbage9571 4 ปีที่แล้ว

    Kasichana kanashida haka,, ulete men kwenye nyumba ya Mama yako? Ingekuwa Mama yangu nadhani angenikata miguu! But ameomba msamaha nimejisikia huzuni sana! Vile analia mpaka na Mimi nimelia😭 naomba Mama amsamehe tu!

  • @leimblackford5551
    @leimblackford5551 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwanmke mjinga utaleta kijana Kwa Boma ya make kazia sana

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 4 ปีที่แล้ว

    At 24 dem anataka proper service...Sasa guy anakuja amelewa anachemshaa...Hadi Dem anaanza kumis ex wake...punguzeni pombe mob men..it messes men.

  • @bethwanjirugatheru2948
    @bethwanjirugatheru2948 5 ปีที่แล้ว

    Lol who can't fear such a Mother surely!!!!!!this is Crazy. Bytheway if someone is Ready to repent n change her ways.and to make matter worse your own Child who are you Not to forgive even the prodigal son alisamehewa bwana .aaaaaaiiii and she is a counsellor?????.wa wa wa Mimi ata siwezi taka anicounsel anaweza kuharibia maisha.........Bytheway there is that age inafika mtoto hapigwi u just talk with or to her. She even tells her mommy i Love you it can't even Touch her lol.....

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 5 ปีที่แล้ว +2

    which type of a lady is this? team damu moto?

  • @bobogitau5383
    @bobogitau5383 3 ปีที่แล้ว

    Woooiye guilty is killing her

  • @meshacknyongesa8686
    @meshacknyongesa8686 5 ปีที่แล้ว +1

    Na gidi kwani huyu phelister aliachana na bwanake?

  • @firstmumz7460
    @firstmumz7460 4 ปีที่แล้ว

    Never be hash to your kids always reason together n understand @other.

  • @wakiama9609
    @wakiama9609 4 ปีที่แล้ว

    Nakuuliza felista ulizaliwa na hio ujinga yote😕

  • @missblessedbellablessed
    @missblessedbellablessed 5 ปีที่แล้ว +1

    Unachapa a 24 year old😅weh....hiyo ni shida sasa sio uzazi

  • @wykerztv9069
    @wykerztv9069 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 musukumo wa tabia

  • @helenmwende6854
    @helenmwende6854 5 ปีที่แล้ว +2

    msichana ukiolewa kubali acha vituko weeee

  • @rosewairimu1217
    @rosewairimu1217 5 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Dunia ina mambo!

  • @khamisijuma3167
    @khamisijuma3167 5 ปีที่แล้ว

    Acha tabia mbaya msichana

  • @leahjoram7693
    @leahjoram7693 5 ปีที่แล้ว +8

    Lakini phelistar utaenda aje na mwanaume kwa mamako na tayari umeolewa

    • @kanakekareko7725
      @kanakekareko7725 5 ปีที่แล้ว

      Ndio nashidwa pia

    • @ThePkamau
      @ThePkamau 5 ปีที่แล้ว

      Sio kupenda kwa Felistas kwenda na mwanaume kwa mama yake ni hamu ilizidi na pia alitaka kuonysha mama yake ya kuwa bwanake ameshindwa na kazi.

    • @leahjoram7693
      @leahjoram7693 5 ปีที่แล้ว

      @@ThePkamau hyo sio njia sahihi, yy angeenda lorging na side chic wake, na aelezee mamake shida ya nyumba yake. Hyo ni kudhalilisha mama. Ingekua mm ningewajarasa Ata nakuitanisha mwizi ili huyo mwanaume apate adabu

    • @ThePkamau
      @ThePkamau 5 ปีที่แล้ว

      @@leahjoram7693DAMU NI NZITO KULIKO MAJI SO IT WILL BE HARD UNDRESS YOUR BLOOD DAUGHTER ON PUBLIC HATA KAMA NI BIBI AU BWANA YAKO ITABIDI UMZUIE NA UCHI WAKE.

    • @meshacknyongesa8686
      @meshacknyongesa8686 5 ปีที่แล้ว +1

      sure! this abomination men!!!!!!!!!!!!!!!

  • @marianmumbua8134
    @marianmumbua8134 5 ปีที่แล้ว +1

    That mama Joyce is hard eeeiiih ...no chills

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 5 ปีที่แล้ว +4

    Tuko al Rayyan kama kawa

  • @kanakekareko7725
    @kanakekareko7725 5 ปีที่แล้ว

    Mzazi hawezi ona kijana yake akikufa akihanya aende kwanza akule raha phelister ni kichaa

  • @algmobai2183
    @algmobai2183 5 ปีที่แล้ว +1

    wa sita

  • @madamboss348
    @madamboss348 5 ปีที่แล้ว

    Huyu msichana ako na mioto sana kwa matako ameudhi hata mamake

  • @alicesamuel4224
    @alicesamuel4224 5 ปีที่แล้ว

    Kama we Ni mamako ungefanya aje, we huna heshima na adabu.

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 5 ปีที่แล้ว

    unaolewa mbio,huna kazi, bwanako hana kazi?????????????

  • @EdwinG310
    @EdwinG310 5 ปีที่แล้ว +1

    Very sad. Such a sorry excuse for a mother. Your own daughter can't even feel comfortable talking to you ...ati "i love you mum", then she responds "ok". Haungempata kama humpendi.

  • @aminanzavi4267
    @aminanzavi4267 5 ปีที่แล้ว

    Patanisho ya tarehe twenty Iko wapi?

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 ปีที่แล้ว

    Dunia inambo waah

  • @rosemwangi1990
    @rosemwangi1990 5 ปีที่แล้ว

    Huyo mama ni mkali ata vile anaongea too bad kuwa mkali zaidi haisaidii

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 5 ปีที่แล้ว +1

    kumbe mtu anaweza lia juu ya kukosa kumwagiliwa uchafu makubwa haya

    • @ulemnasty1108
      @ulemnasty1108 5 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaha unaujinga

    • @benjohnson1763
      @benjohnson1763 5 ปีที่แล้ว +1

      Uchafu ni wakati wa kutumia cd.lkn ikienda ndani kwa ndani, inakuanga dawa poa sana kwa hao watu

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 5 ปีที่แล้ว

      @@benjohnson1763 i disagree with you hiyo ni kujazwa uchafu wenye wapati hiyo dawa bona tujakufa🤔

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 5 ปีที่แล้ว

      @@ulemnasty1108 dunia ingekosa wajinga kama mimi utakosa kitu ya kushagaa kucheka

    • @benjohnson1763
      @benjohnson1763 5 ปีที่แล้ว +1

      @@moreenmbatha1147 ohhh aki umekosa kitu muhimu sana maishani.sperms heal the inside of a woman.kaulize wamama wenzako.watakuambia

  • @zainafwenah7751
    @zainafwenah7751 5 ปีที่แล้ว

    Mushikila

  • @naimkangi6027
    @naimkangi6027 5 ปีที่แล้ว

    Hakuna DOA hapo , mrembo jipange no need uwe Wa search vijana wakukusugua na uko na example ya mume kwa hau,, mama hajui Yale wapitia kwako

  • @carolinemwangi7617
    @carolinemwangi7617 5 ปีที่แล้ว

    Wa kwanza tukieda

  • @algmobai2183
    @algmobai2183 5 ปีที่แล้ว +1

    wa tano

  • @algmobai2183
    @algmobai2183 5 ปีที่แล้ว +1

    wa pili

  • @yahabibiyahayatiyahayuni7339
    @yahabibiyahayatiyahayuni7339 5 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mwanadada wacha ujinga unawezaje kupeleka mwanamume kwenyu na ila hali mamako anajua mumeo na hamjatengana

  • @benjohnson1763
    @benjohnson1763 5 ปีที่แล้ว

    Akija home umchape sana huyo mtoto.sawa mum?

  • @catemumbi2082
    @catemumbi2082 5 ปีที่แล้ว +1

    You could meet somewhere else

  • @roseirungo1950
    @roseirungo1950 5 ปีที่แล้ว +1

    I think wewe msichana Tangia kitambo ulikuwa mang'aa sana Sabbu Wazazi wengi hawapendangi aibu dogo dogo kijijini

  • @carolmamakebritney5266
    @carolmamakebritney5266 5 ปีที่แล้ว

    Felister tabia muozo

  • @paulinenjoroge7953
    @paulinenjoroge7953 5 ปีที่แล้ว

    Mwanamke ww uko na ujinga mingi sana how come unalete jamaa kwa nyumba yako

  • @paulinepolly7999
    @paulinepolly7999 5 ปีที่แล้ว +1

    mmm! Astray daughter! Silly woman at 24yet she no learn. Her title of the call n her story are different ! Silly woman!

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee 5 ปีที่แล้ว

    Hapo kuna mambo kwanza atamchapa ya kupeleka kwa radio bure hangeolewa na mlevi!.BREAK the cycle of abusive relationships!

  • @njeshkaris8957
    @njeshkaris8957 5 ปีที่แล้ว

    Wah dunia inamambo kweli

  • @samkariuki9424
    @samkariuki9424 5 ปีที่แล้ว

    Felister wewe ni mkora

  • @brendaamwaya6984
    @brendaamwaya6984 5 ปีที่แล้ว

    Jaribu kutumia akili dada,,,waezaje kupeleka mwanaume kwa mamako akunyandulie kwenu??!

  • @algmobai2183
    @algmobai2183 5 ปีที่แล้ว +1

    wa tatu na wa nne

  • @chullakoi3608
    @chullakoi3608 5 ปีที่แล้ว

    Bure Kabisa!!

  • @davidkaruga1941
    @davidkaruga1941 5 ปีที่แล้ว

    Ww ni maraya mkubwa

  • @cathyshii4568
    @cathyshii4568 5 ปีที่แล้ว

    Ww n mjinga xana tena xana

  • @phoebemukhwana3058
    @phoebemukhwana3058 5 ปีที่แล้ว

    Phelister ulikosa ata ivo

  • @tabithatabitha5393
    @tabithatabitha5393 5 ปีที่แล้ว

    Counselor mums can be a nightmare very angry I pity the gal. Me no one can beat me. Why can't they go to a professional neutral counselor.

  • @JeaneTerees
    @JeaneTerees 5 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna mtu wala mtoto anae ruhusika kupigwa . Sasa wewe lijimama likubwa, wewe lijibaba likubwa unasimama mbele ya katoto kadogo una piga kwasababu wewe una nguvu hako katoto hakajui kujitetea jameni na umesema una fanya council bulsheet , nyinyi wa africa kwavile nyinyi mlipigwa na wazazi wenyu tafadhali nanyi msitumiye hiyo njia, mtoto anafa kuongeleshwa , gidi hata mtoto akose makosa gani mwongeleshe .

    • @beesimply1325
      @beesimply1325 5 ปีที่แล้ว

      the only smart comnent.

    • @beesimply1325
      @beesimply1325 5 ปีที่แล้ว

      I feel sorry for her, I feel like her mum will hit her.

    • @Susy0610
      @Susy0610 5 ปีที่แล้ว

      Poor girl, mum yake anakaa kumchapa tena

    • @shamimaoko
      @shamimaoko 2 ปีที่แล้ว

      Kweli Gidi ako na ufala bure kabisa ata sema aje kupigwa ni kitu ya kawaida..

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 2 ปีที่แล้ว

      Imagine mama anakupiga,bwana naye anakuogezea tena mlefi si unapiga nduru alafu naye anatafuta mtu wakumfinya sawasawa aki ukali puguza mum bure mtoto atachanganyikiwa!Babu yangu alikuwa mkali akina mathe walikuwa wanatoroka tuu kuolewa no man was fit enuf for them.

  • @aminanzavi4267
    @aminanzavi4267 5 ปีที่แล้ว

    Wololooo

  • @thecargotsold
    @thecargotsold 5 ปีที่แล้ว +8

    24yr old anachapwa.??..huo ni ujinga na nyinyi watu wa jambo radio..ur being silly to encourage that...this young girl is undergoing abuse..
    I support the girl felista...but she needs to grow up and move out and be her own woman

  • @sophieaden5367
    @sophieaden5367 5 ปีที่แล้ว

    Bibi hatari sana