PATANISHO: Niligundua mume wangu ana wake wawili na watoto 9 (Episode 12, June 2019)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 103

  • @kanakekareko7725
    @kanakekareko7725 5 ปีที่แล้ว +21

    No 1 wapi like

  • @sweetmumwake9729
    @sweetmumwake9729 5 ปีที่แล้ว +2

    I love that my sister ashaamuwa Uamuzi wakutosha

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 5 ปีที่แล้ว +2

    Watu walifika lini huku sure 😁
    Huyo madam azimwe atawaka wallai

  • @everlynmanigamaniga818
    @everlynmanigamaniga818 5 ปีที่แล้ว +2

    Gidi ati niwache kazi ya redio nikutaftie bibiako nimecheka walai😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @tinasanta4080
    @tinasanta4080 5 ปีที่แล้ว +1

    Keep it up Dhahabu,usirudie huyo muongo

  • @estherkibui2371
    @estherkibui2371 5 ปีที่แล้ว +6

    You didn't know if love someone antil you let it go 😌😥

  • @Quilant749
    @Quilant749 5 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂hapo hata hangekua na wanawake, huyu mwanamke fire dont mess with her, boychild hana sauti ndio maana anaozwa

  • @wakiama9609
    @wakiama9609 4 ปีที่แล้ว +1

    Kiswahili nayo 👍tamu

  • @swashabdul
    @swashabdul 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimempenda huyu Dada Mwalimu👌🤩😍😘

  • @sweetmumwake9729
    @sweetmumwake9729 5 ปีที่แล้ว +3

    Aki Leo nimejaribu naona nikirudi number 1 yangu..Leo Number 6

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 5 ปีที่แล้ว +1

      enyewe pia mimi leo nimeshika dog mkia

    • @sweetmumwake9729
      @sweetmumwake9729 5 ปีที่แล้ว +1

      @@moreenmbatha1147 Hahahaha🐒🐒🐒pole kabisa

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 5 ปีที่แล้ว +1

      @@sweetmumwake9729 nimejua sijui😂😂😂😂 leo

    • @sweetmumwake9729
      @sweetmumwake9729 5 ปีที่แล้ว

      @@moreenmbatha1147 Umekutuwa Wewe 😆😆😆

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 5 ปีที่แล้ว

      @@sweetmumwake9729 ndio mahana nime nyamaza juu ya kushika dog mkia leo

  • @fridahkimilu7626
    @fridahkimilu7626 5 ปีที่แล้ว +7

    Team free wifi wako wapi?

    • @irenei1450
      @irenei1450 5 ปีที่แล้ว

      Kumove on ndio Nini🤣🤣🤣🤣🤣🤣help Nicholas pls .

    • @gfugffufgh2928
      @gfugffufgh2928 5 ปีที่แล้ว

      Kuwa stress free bdo nko hamam 😏😏😏🙄

  • @gfugffufgh2928
    @gfugffufgh2928 5 ปีที่แล้ว +2

    Utashinda ukisema wololo
    Tumesa move on
    Waah kicheko nayo wana habari 🙄🤗

  • @prettybabygalmichelson6557
    @prettybabygalmichelson6557 5 ปีที่แล้ว +4

    Relationship ama doa inafaa kua na trust..ww Nicolas umevuja doa yako mwenyewe

  • @housekeeping977
    @housekeeping977 5 ปีที่แล้ว +1

    Wangu aliniambia hakushindwa kuoa Bibi aliye soma bado yaniuma hadi wa leo 😔

    • @caroline3442
      @caroline3442 5 ปีที่แล้ว

      Waaah!!! Ndoa ndoano

    • @loisegitau4897
      @loisegitau4897 5 ปีที่แล้ว

      move on girl kusoma sio mwisho wa maisha. he was not good for you.

  • @moulinemoulinr9136
    @moulinemoulinr9136 5 ปีที่แล้ว +1

    🙆🙆🙆🙆uuuuuiii watoto sita n kuna first wife,2nd pia chaiiii wanaume wengine jeuri sana

  • @sheilachisika8143
    @sheilachisika8143 5 ปีที่แล้ว +2

    Dar kizungu kizungumguti eti ku move on Ina maana gani 🤣🤣🤣🤣Nicolas Nikama kachanga

  • @nancynjogu4
    @nancynjogu4 5 ปีที่แล้ว +2

    Mambo yenu kwisha, no life, yenu ame move on,, nicholas jipage na life yako wolololo

  • @sheilachisika8143
    @sheilachisika8143 5 ปีที่แล้ว +3

    Dar nilifanywa kuozwa kiswahili kitukuzwe

  • @kingsdaughter2040
    @kingsdaughter2040 5 ปีที่แล้ว +1

    Wacosti ukiwa nao waaah ni neema

  • @bettyoluoch9774
    @bettyoluoch9774 5 ปีที่แล้ว +1

    Mateso ya upendo siwezi move on the guy ni pole hawa watu wapole ni wabaya sana

  • @phoebemukhwana3058
    @phoebemukhwana3058 5 ปีที่แล้ว +3

    I hate lies in relationship can't take my dear gal move on kabisa usirudi nyuma

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 5 ปีที่แล้ว +2

    Ukuyu najua hii kiswahili hamuelewi but ngojeeni kesho

  • @joyann985
    @joyann985 5 ปีที่แล้ว

    Nimeenda 💃💃💃

  • @ruthnjambi728
    @ruthnjambi728 5 ปีที่แล้ว

    Hahahaaa ata mungu anajua.Haki huyu mwanaume aki.😂😂😂😂😂

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 5 ปีที่แล้ว

    Wah nimechelewa na patanisho uongo husaidi mzee tembeza kiatu shugulikia ma wife wako hio ndio dawa ya uongo

  • @queenmayra115
    @queenmayra115 5 ปีที่แล้ว +5

    Men will always be men... Good girl go ahead with your life sometimes men doesn't deserve women love... To hell

  • @ulimacoxwagichohi
    @ulimacoxwagichohi 5 ปีที่แล้ว +4

    Huyu boy hajaiva kabisa ata anavyo ongea ,kingungumizi pia inachochea juu huyo dem ako kama wembe.

  • @JesusChristLovesUs4ever
    @JesusChristLovesUs4ever 5 ปีที่แล้ว +1

    Aliozwa kisha akajipandia mbegu...kwa hiyari si kulazimishwa

  • @marthaitira3966
    @marthaitira3966 5 ปีที่แล้ว +1

    Waah pole ndugu u move on with your life

  • @nomienomie7812
    @nomienomie7812 5 ปีที่แล้ว +7

    Nicolas you are not 32 yrs wewe ni ancestor,and you are soo disturbon

  • @monyivam9821
    @monyivam9821 5 ปีที่แล้ว +1

    Uongo nikitu baya sana kwa doa endelea na hao umetafutiwa na wazazi

  • @alexkabeho5609
    @alexkabeho5609 5 ปีที่แล้ว

    Wewe boss shugurikiya kwanza ao watoi please Huna haja ya mke mwengine

  • @eliabamayi4344
    @eliabamayi4344 5 ปีที่แล้ว

    Tabia mbaya sana mbona hukumuambia ukweli una watoto tisa na wanawake wawili???.!....

  • @maryann4134
    @maryann4134 5 ปีที่แล้ว

    Huyu mama amemeza CD ,waaaaaa

  • @chullakoi1508
    @chullakoi1508 5 ปีที่แล้ว +2

    Ulimpenda na hata chakula haukuwa ukimpea,Bure kabisa.

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 4 ปีที่แล้ว

    you moved on to where?????

  • @thomashezekiah4656
    @thomashezekiah4656 5 ปีที่แล้ว

    Jeuri mama hakuna makosa bila msamaha

  • @sabinamamaphiktoria7524
    @sabinamamaphiktoria7524 5 ปีที่แล้ว

    Doh....watoto hao wote na Ati uliozwa wote wawili...hio ndio mathara ya uogo kwa uhushiano.. kwishaaa

  • @serahbaraza2668
    @serahbaraza2668 5 ปีที่แล้ว +1

    Wacha ncheke nikiendelea kumisihi goroofa

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 5 ปีที่แล้ว

    Aki gidi muna kuanga na kazi kweli munaitaji mushahara nono 🙄🙄🙄🙄

  • @annnjogu972
    @annnjogu972 5 ปีที่แล้ว

    Wah aki wanaume..

  • @khamisijuma3167
    @khamisijuma3167 5 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa hawezani nahuyu Dem, Tena kuongea kwake pia hawawezi shikana

  • @clemmyamani7566
    @clemmyamani7566 5 ปีที่แล้ว

    Nimemwonea huruma huyu kijan kwasababu y kigugumizi

  • @winnemwangi3240
    @winnemwangi3240 5 ปีที่แล้ว

    Wacha watoto wa mwarabu waendele kunikula kitchwa kuliko kusumbuliwa na mwanaume

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 5 ปีที่แล้ว

    Kigugumizi

  • @phoebemukhwana3058
    @phoebemukhwana3058 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha deadly

  • @eddahnyongesa9819
    @eddahnyongesa9819 5 ปีที่แล้ว

    Wanaume ni Kama kinyonga

  • @zainafwenah7751
    @zainafwenah7751 5 ปีที่แล้ว

    Mambo ya meisha hapo.....

  • @roseirungo1950
    @roseirungo1950 5 ปีที่แล้ว

    Senge ya MwAnaume cheater 🤣🤣🤣🤣

  • @paulinenjoroge7953
    @paulinenjoroge7953 5 ปีที่แล้ว

    Aki wanaume wengine nigutee

  • @phoebemukhwana3058
    @phoebemukhwana3058 5 ปีที่แล้ว

    Ulimpenda but ungemshow ukweli from da beginning ata ka ni Mimi siezi

  • @leahjohn193
    @leahjohn193 5 ปีที่แล้ว

    huyu mtu nisubua sana hajielewi

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 5 ปีที่แล้ว

    huyu jamaa ni kimzigo haki

  • @aminanzavi4267
    @aminanzavi4267 5 ปีที่แล้ว

    Alikuwa ameficha ma bibi na Watoto tisa

  • @janenjoki4635
    @janenjoki4635 5 ปีที่แล้ว +1

    Wewe.mwaume.tuma.pesa
    Itakua
    Inainga
    Kwa.m.pesa.wacha
    Unginga

    • @pendoonyango6676
      @pendoonyango6676 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

    • @wakiama9609
      @wakiama9609 4 ปีที่แล้ว

      Njoki na pesa 😃😃😃😃mbeca mbere

  • @stecybeib948
    @stecybeib948 5 ปีที่แล้ว

    Waa

  • @maureenjannephar3507
    @maureenjannephar3507 5 ปีที่แล้ว

    32 with 10 kids nini problem kaka,

  • @mimsbaibemimskim9556
    @mimsbaibemimskim9556 5 ปีที่แล้ว

    uongo m baya that's my xhusb alikua anaingiza Madame box move on madam bwana siku izi ni stress lea mtoto forward ever jitoe mapema.

  • @realqueen9049
    @realqueen9049 5 ปีที่แล้ว

    😂😂ooh my God

  • @eddahnyongesa9819
    @eddahnyongesa9819 5 ปีที่แล้ว

    Wewe endelea kuoa ukiaja jangamsha akili

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 5 ปีที่แล้ว

    siamini nimeshika dog mkia lea na vile uwa niko mbele kama matiti

  • @mercynjeri6581
    @mercynjeri6581 5 ปีที่แล้ว

    Uongo....mtupu

  • @vivianjohn3593
    @vivianjohn3593 5 ปีที่แล้ว

    Ati unampenda Sana.. Satan ya mtu

  • @prayerchamber1600
    @prayerchamber1600 5 ปีที่แล้ว

    Wololo

  • @faithkarimi5685
    @faithkarimi5685 5 ปีที่แล้ว

    Lol 😂😂😂😂😂😂

  • @helenmwende6854
    @helenmwende6854 5 ปีที่แล้ว

    Be urself while ur in relationship wat's this now??? men really????

  • @roselineawinja6604
    @roselineawinja6604 5 ปีที่แล้ว

    Watu waseme ukweli wa miaka waache kudanganya, Nicholas hauko 32 wacha kudanganya

    • @tinahnaitwa9845
      @tinahnaitwa9845 5 ปีที่แล้ว

      Yani wewe unajuwa miaka yake🤣🤣

    • @roselineawinja6604
      @roselineawinja6604 5 ปีที่แล้ว

      @@tinahnaitwa9845 mtu ako na watoto Saba, Bibi watatu, huyo Ni mtu wa 32??

  • @loisegitau4897
    @loisegitau4897 5 ปีที่แล้ว

    Think before you talk brother, women are many but few can be wives, wazuri ni wadogo duniani.

  • @samsokes4085
    @samsokes4085 5 ปีที่แล้ว +1

    Never lie about ur past relationships especially marriage to ur current finance

  • @mumbibabzy6983
    @mumbibabzy6983 5 ปีที่แล้ว

    Yes unaacha dude Mpaka lashikwa ni ngungumizi