GnG:PT:S03E18: PATANISHO: Kila ninapokosa pesa mke wangu hunifukuza kwangu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 178

  • @helenmwende6854
    @helenmwende6854 5 ปีที่แล้ว +9

    mungu patia sammy job iko na doo aweze kusupport well his family na huodoe kiburi kwa mama moses

  • @mariyanegoodone172
    @mariyanegoodone172 5 ปีที่แล้ว +6

    Naona hii patanisho ikiokowa Sammy..Nakuombea mungu akufungulie mke mwema soon

  • @kamellincitizenkenya129
    @kamellincitizenkenya129 5 ปีที่แล้ว +20

    Wenye tunatumia Wi-Fi ya mwarabu piteni hapa 😂😂😂😋😋😂😋😂😂😂😂

    • @roseirungo1950
      @roseirungo1950 5 ปีที่แล้ว

      Nyie Team Hamam mnafanyanga kazi saa ngapi subiri nivutie manyarafu simu☎☎☎☎😂😂😂😂😂😂

    • @joycemwaura3830
      @joycemwaura3830 5 ปีที่แล้ว

      Tupo

    • @roonegeorge7967
      @roonegeorge7967 5 ปีที่แล้ว

      Nko

    • @kamellincitizenkenya129
      @kamellincitizenkenya129 5 ปีที่แล้ว

      @@roseirungo1950 tuko chonjo sweety 😍😍😍😍😍😍😍😍

    • @zainafwenah7751
      @zainafwenah7751 5 ปีที่แล้ว

      Nmefika

  • @margaretamoit4097
    @margaretamoit4097 5 ปีที่แล้ว +5

    God bless you Gidi umeokowa that kind boy

  • @missblessedbellablessed
    @missblessedbellablessed 5 ปีที่แล้ว +2

    🤗atleast kuna wanawake wanatesa wanaume vile wanaume wanatesa wanawake

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 5 ปีที่แล้ว +14

    watu wa huruma uteswa sana niko moja wao najua what this man going through 😢😢😢😢😢😢

  • @marymutie3320
    @marymutie3320 5 ปีที่แล้ว +15

    Mama Moses l don't think you're genuine you're pushing your husband away. And you might loose him mama Moses. And baba Moses wake up try to be a man don't allow mama Moses to take advantage of your politeness.may Almighty God. help you two

  • @phoebemukhwana3058
    @phoebemukhwana3058 5 ปีที่แล้ว +1

    Hehehe maneno ya mwisho hahahh made ma nyt

  • @paulinepolly7999
    @paulinepolly7999 5 ปีที่แล้ว +1

    You both need deliverance !!! Seems beautiful couple Just a little misunderstanding !! Very nice man unlike many deadbeat men.

  • @cyrusgachaotrending0017
    @cyrusgachaotrending0017 4 ปีที่แล้ว

    Mama moses is crazy si atoke pia a hustle ara!!!!!!

  • @janenjeri4058
    @janenjeri4058 5 ปีที่แล้ว +14

    Mama mose jua malipo Ni hapa duniani,wewe pia unaweza enda job msaidiane majukumu watoto ni wenu yote

  • @njeshkaris8957
    @njeshkaris8957 5 ปีที่แล้ว +3

    😭😭aki wanawake wengine husubua watoto wa wenyewe huyu kijana ako nashida kweli wewe kijana jajaruka aki umekuliwa chapata

  • @paulinenjoroge7953
    @paulinenjoroge7953 5 ปีที่แล้ว +6

    Enyewe kuna wanaume wazuri bt huyo mwaume amekaliwaa chapati

  • @naliakasandra5884
    @naliakasandra5884 5 ปีที่แล้ว

    Pole mose..Gost unachekea dhambi

  • @eunicewambui2916
    @eunicewambui2916 5 ปีที่แล้ว +12

    Wenye Wi-Fi ya bure wako wapi

  • @KalenjinEntertainment
    @KalenjinEntertainment 5 ปีที่แล้ว +8

    Mimi na kisirani yangu nipewe huyu mama mose wiki moja tu

  • @essiewajojis7918
    @essiewajojis7918 5 ปีที่แล้ว

    Woooie that man sounds humble bt madam ananjiona mjaja sana.mkikosana mnanyenyekea na mnasolve problems na heshima c utumwa mama mose na inakaa hujawai fanya kazi coz hujui pesa huisha nkt

  • @avlinmoloj4902
    @avlinmoloj4902 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mwanamke ni moto wa kuotea mbali, mkali kama pilipili

  • @nancyruoruo1025
    @nancyruoruo1025 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimemiss mutura aki😂😂😂😂😉

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mwanaume ni mjinga sana ,,,,,,,niajy unaeza kaliwa hivi na bado unaomba msamaha huyo mwanamke ako kwako juu ya pesa but sio love mchape kofi moja tu azimie akiamka hapo atakua anakuosha mpaka miguu ngui

  • @naomimuiruri918
    @naomimuiruri918 5 ปีที่แล้ว +6

    Huyu mama the way she sound she has a sugardady somewhere

  • @amaa6353
    @amaa6353 5 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mwanamke Angeoleka Turkana.

  • @fiddiggokirimi9630
    @fiddiggokirimi9630 5 ปีที่แล้ว +1

    Mama mose ungeolewa meru. Ungejuta. Wameru no apologies kwanza na ni wewe umekosa. Ur lucky.

    • @alisaalis9218
      @alisaalis9218 5 ปีที่แล้ว

      Huyu mwanamke n kama Malaya,Ako hapo sababu ya pesa

  • @agneswanjihia1383
    @agneswanjihia1383 5 ปีที่แล้ว +1

    Hao niyako mzee toa shauti bwana🤣

  • @annieann0012
    @annieann0012 5 ปีที่แล้ว +1

    😣😣😣baba umekaliwa woie😣😣🙄😏🙄

  • @yahabibiyahayatiyahayuni7339
    @yahabibiyahayatiyahayuni7339 5 ปีที่แล้ว +1

    Wa nne nikisikiliza patanisho team hamam kujeni huku tusikilize patanisho

  • @roseirungo1950
    @roseirungo1950 5 ปีที่แล้ว +1

    Kijana life is too short to be stressed Nisubiri nimalizane na shughuli Za Hamman nije tuoane 😛😛😛😛😛 Lakini pia kwangu mapenzi bila hela lazma vita baridi upatane nayo😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @mariyanegoodone172
      @mariyanegoodone172 5 ปีที่แล้ว

      Rose Irungo Unataka kutafuta yeye gud girl hahahs

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 5 ปีที่แล้ว +2

    wanaume ni waongo wote😂😂😂😂

  • @carolmamakebritney5266
    @carolmamakebritney5266 5 ปีที่แล้ว +3

    Sammy amekaliwa chapati walai

    • @asdlyne2120
      @asdlyne2120 5 ปีที่แล้ว

      Yaani hiyo ni chapati

  • @marykalei8147
    @marykalei8147 5 ปีที่แล้ว

    Mungu aki wasaidie

  • @nomienomie7812
    @nomienomie7812 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu moja hii ni ghasia ya mwanaume,imewekwa chini ya kitanda haina say

  • @sweetmumwake9729
    @sweetmumwake9729 5 ปีที่แล้ว +3

    Aki kaka Enda hapo kwa Nyumba yako naubebe kile niyako bora usahidie watoto wako..Naukaae nahamani moyoni Juu hapa nichapati umemaliza sammy

  • @edmuts8874
    @edmuts8874 5 ปีที่แล้ว

    Waaah...c Mungu unibariki na mwanaume naeza kalia hivo na aniombe msamaha bado🤔🤔

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 5 ปีที่แล้ว +3

    wooiye ata kununua mtura ni balaa🤔🤔🤔🤔

  • @ruthnjambi728
    @ruthnjambi728 5 ปีที่แล้ว +1

    😁😁😁😁🙆🙆🙆boy shoud

  • @everlynmanigamaniga818
    @everlynmanigamaniga818 5 ปีที่แล้ว

    Hivyo ndio kunaendanga, MTU mpole anapewa mke ovyo, mke vile vile anapewa bwana mkorofi. Kwaiyo Mungu Tu atusimamie kwa hizi nyumba

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 5 ปีที่แล้ว +3

    Mtura ya 20 inafanya Ghost anacheka hivi😂😂😂😂😂 eti haikuwa na doo

  • @سالمالسعدي-ز9ج
    @سالمالسعدي-ز9ج 5 ปีที่แล้ว +2

    Uyo mwanamke labda ako na mtu kando anamtia kiburi heshimu mumeo huko mwanaume mzuri usije ukalilia chooni cku moja

  • @mikedaniels1922
    @mikedaniels1922 5 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nakwamia hapo kwa "mama mose mi nakupenda na wanaume wote ni waongo" walai tena nishukishwe nxt stage

  • @jacintacyrus9616
    @jacintacyrus9616 5 ปีที่แล้ว

    Leo wacheni nicheke Ru😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shirumewairimu9672
    @shirumewairimu9672 5 ปีที่แล้ว +1

    Aki this gal nikama my big siz ametia bwanake baridi kwa mwili....kuna day bwana yake ali call my mum saa tano ya usiku eti amekuta my siz amehana na kila kiti amemwachia nguo zake na besheni ya kuiga macho asubuhi😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @aliced9475
      @aliced9475 5 ปีที่แล้ว

      She is doomed to hell what goes round comes round

  • @dimariahhanning6106
    @dimariahhanning6106 5 ปีที่แล้ว +4

    its really sad for aman to work 4 the whole week and you give all the money to you wife after some days she asks the money again untill the man is chased away.hiyo ni kukaliwa kitumbuo

  • @bettyoluoch9774
    @bettyoluoch9774 5 ปีที่แล้ว

    Pole bro huyu mwanaume mungu anipe yawa Ghost hahahahaha

  • @catewambui9528
    @catewambui9528 5 ปีที่แล้ว

    Surely hawa wanamme hua wapi na vile nmechoka na kua single mama..wen one is good unapatana na mwanamme bure but huyu mama ajue sku izi ni kila mtu ahussle wasaidiane waskume maisha..searching for one🙈

  • @swashabdul
    @swashabdul 5 ปีที่แล้ว

    Ghost acha Za Ovyo Bana.....😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 3 ปีที่แล้ว

    Haiyaa,hapa Thika???

  • @aminanzavi4267
    @aminanzavi4267 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimekwama Hapo kwa mutura

  • @flornce123oganda8
    @flornce123oganda8 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂ety wanaume wote n waongo😅😅😅na ww c mwogo pia au

  • @zainafwenah7751
    @zainafwenah7751 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu dada nimsumbufu sana

    • @cathiebrown8932
      @cathiebrown8932 5 ปีที่แล้ว +1

      True and not hardworking

    • @zainafwenah7751
      @zainafwenah7751 5 ปีที่แล้ว +1

      @@cathiebrown8932 na anapenda kutangatanga

  • @carolinemwangi7617
    @carolinemwangi7617 5 ปีที่แล้ว +1

    Mmh huyu jamaa kakaliwa

  • @aggycherry9400
    @aggycherry9400 5 ปีที่แล้ว

    Aiii hapa kuna kukaliwa kaa-ngumu naona,mama Mose tunza bwanako good men are hard to find.Challenges are there but hii yenu ma Mose usilete pressure mob.

  • @ianmule4197
    @ianmule4197 5 ปีที่แล้ว

    Yaani me nifanye kazi na nipeane pesa yote

  • @esthernzisa6284
    @esthernzisa6284 4 ปีที่แล้ว

    Sirikili walisema schools ni bure. What happened ?

  • @vivianjohn3593
    @vivianjohn3593 5 ปีที่แล้ว

    Aki mungu

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 5 ปีที่แล้ว +4

    Tuko ndaaani ya Al Rayyan kama kawa

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 5 ปีที่แล้ว

    umekaliwa chapoo!!!!!!!!!!

  • @violetvayo8358
    @violetvayo8358 5 ปีที่แล้ว +3

    Kaa mwanaume kwani hiyo nyumba niya nani?

  • @trusilangolo9032
    @trusilangolo9032 4 ปีที่แล้ว

    Woi haki ningepewa Mzee kama huyu

  • @latifa5360
    @latifa5360 5 ปีที่แล้ว +1

    Sammy amekalia chapo aky mnpe number huyo chali

  • @missmuchiri7537
    @missmuchiri7537 3 ปีที่แล้ว

    This woman oooh,, you will regret

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 ปีที่แล้ว

    Kweli mama mosse umemkalia chapati mume wako

  • @mwazikitoko3937
    @mwazikitoko3937 5 ปีที่แล้ว

    Hapo sielewi nani ameoa mwingine, nani mwanamke ndio bwana kwa nyumba, eeee mungu nipe mwanaume kama huyo nitampa heshima sana, huyo mwanamke ni shetani.

  • @bantuvoicemuchaikinuthia2536
    @bantuvoicemuchaikinuthia2536 5 ปีที่แล้ว

    Ondokea noma kaka

  • @yahabibiyahayatiyahayuni7339
    @yahabibiyahayatiyahayuni7339 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamume mzuri huyo but bibi ni kichwa

  • @leahwanjiru3336
    @leahwanjiru3336 5 ปีที่แล้ว

    Sammy kuja unipede mistakufukuza ntakuheshimu ka bwanangu

  • @mimsbaibemimskim9556
    @mimsbaibemimskim9556 5 ปีที่แล้ว

    pole matatizo inapata watu jikaze n ujipange hapo hakuna wife material ooh I rem nlikua napitia hayo mapito nikashindwa kuvumilia heli wee mama mose ujishugulishe sio kungoja mwanaume so sad ati kama huna pesa usikuje kweli umepata mtu wa kukalia but malipo ni hapa tu I wish nimpate utamtafuta umkose

  • @salahdin9591
    @salahdin9591 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂🤣🤣🤣 Baba Mose is coward and amekaliwa chapati.

  • @cindyaudy2307
    @cindyaudy2307 5 ปีที่แล้ว +1

    lol witchcraft is real oh :D ...such a nice dude though :(

  • @helenmwende6854
    @helenmwende6854 5 ปีที่แล้ว

    nlikosea wapi ,mungu nipe mume kaa sammy ntamtuza poa

  • @ulimacoxwagichohi
    @ulimacoxwagichohi 5 ปีที่แล้ว +2

    Giddy panga tukutane mm nataka hiyo sauti yako tu.

  • @roz8347
    @roz8347 5 ปีที่แล้ว

    boy shaod 😢namuhurumia

  • @nancypretty7576
    @nancypretty7576 5 ปีที่แล้ว +1

    27 and 30 plus 3 kids and 7 years in marriage so it means hii marriage ilianza kama wako teens

    • @swashabdul
      @swashabdul 5 ปีที่แล้ว

      Not exactly.... they were mature enaf

    • @bantuvoicemuchaikinuthia2536
      @bantuvoicemuchaikinuthia2536 5 ปีที่แล้ว

      I'm doing the math too...In any case..The woman is pathetic... ata siskizi tena

    • @mystyjakanyango4079
      @mystyjakanyango4079 5 ปีที่แล้ว

      Tafuta mtoto was daraja ya pili akufundishe isabati ya kimsingi..

    • @nancypretty7576
      @nancypretty7576 5 ปีที่แล้ว

      @@mystyjakanyango4079 hiyo yako imekufikisha wapi?? Na daraja ni nini au mwalimu wako wa kiswahili alikufia mlangoni??

  • @aminanzavi4267
    @aminanzavi4267 5 ปีที่แล้ว +1

    Usikuewe unanifukuza kwa Nyumba

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 ปีที่แล้ว

    pole boy child unapitia magumu but simama kama head of the house...watu wahuruma mko wapi

  • @softymoha5484
    @softymoha5484 5 ปีที่แล้ว

    Maskini mosee....mwenyezi mungu akusaidie haki. Mama mose kuwa na utu life nikusaidiana, usimfanyie hivo mume wako pliz ni Baba ya watoto wako, ju unaweza msukuma hivo one day umufukuze na aende na asirudi saa utaanza tena kulalamika bwanako amekukimbia? Wamama tuwaheshimu waume wetu jameni

  • @euniceevans7780
    @euniceevans7780 5 ปีที่แล้ว

    Huyo summy hukuenda . men conference 😂😂😂aki Mama mose umemkorogea mme wako ukakilia hadi chapo!!? Wooi poor son of a woman,

    • @thomaskenyanyanyaata9575
      @thomaskenyanyanyaata9575 5 ปีที่แล้ว

      Eunice hope uliona number yangu nichart tujuane mi si fisi am just being polite tu love freinds by the way .... and i want to start with u madam boss come on

  • @davidkaruga1941
    @davidkaruga1941 5 ปีที่แล้ว

    Wewe mwanaume kubavu sana huyo bibi atakukalia utajua hujui

  • @sheillachisika2600
    @sheillachisika2600 5 ปีที่แล้ว

    Dar mama mose kusungumkuti na we mwanaume acha kua chizi fresh Aii.

  • @madamboss348
    @madamboss348 5 ปีที่แล้ว

    Sammy pole

  • @bantuvoicemuchaikinuthia2536
    @bantuvoicemuchaikinuthia2536 5 ปีที่แล้ว

    Men are good

  • @blesdgal379
    @blesdgal379 5 ปีที่แล้ว

    Hapa ndio na support mother in law ..aingilie Kati..yaani mtu afanye job wk mzima akupe doo zote achukue only 60bob..alafu umemubadilishia simu mkebe ukachukua yake. .ladies plz msifanyie watoto wa watu hivi

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 5 ปีที่แล้ว

    Hehehehe eti jua mko wawili mimi niambiwe hivyo aki......????? Kesi baadae

  • @nurumwangaza8581
    @nurumwangaza8581 5 ปีที่แล้ว

    Gidi jamani ati amekaliwa kwa chapati,mama mose wacha kufukuza mme wako kwa nyumba huyo mwanaume anakupenda sana.

  • @mwambivincent9032
    @mwambivincent9032 5 ปีที่แล้ว

    Huyu mwanamke nipewe Siku tatu na hii hasira Niko nayo atarudi laini

  • @ianmule4197
    @ianmule4197 5 ปีที่แล้ว

    Yaani Ata nikikula mtura bbi lazima anjue

  • @mamayao9816
    @mamayao9816 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwanaume shenzi tena fala taka taka umekaliwa chapati

    • @alisaalis9218
      @alisaalis9218 5 ปีที่แล้ว

      Sasa unamtuzi aki,mtu mpole anashida kweli

  • @Susanwanjiru1989
    @Susanwanjiru1989 5 ปีที่แล้ว

    Mama mose bembeleza mzee wako

  • @herbertmoriangoakaraurau8203
    @herbertmoriangoakaraurau8203 5 ปีที่แล้ว

    Marriage issues with money is very tricky. A husband is supposed to provide and when he doesn't provide enough makes a woman this arrogant. I feel bad for this guy coz he seems to be a nice guy and hardworking one but the wife ako na underlying issues. To all men if you don't make enough don't get involved with such women and have 2-3-4 kids. Mwanaume ni bills

  • @aishaamohamed453
    @aishaamohamed453 5 ปีที่แล้ว

    Aki haraam malipo nihapa hapa lakini hatujui nyuma yapazia mola ndio hakimu wahaki ila yatia huruma huyu mumeo

  • @annejane1311
    @annejane1311 5 ปีที่แล้ว

    Mapenzi ya pesa jameni pooooh

  • @diananafula2165
    @diananafula2165 5 ปีที่แล้ว +1

    Aki wakati Nataka mwanaume Kama huyu na sipati

  • @King-Jack-ryan
    @King-Jack-ryan 5 ปีที่แล้ว

    😵😵😵😵😵

  • @moulinemoulinr9136
    @moulinemoulinr9136 5 ปีที่แล้ว

    hi ni kurogwa sipendi wanaume wapole hivi huyu mwanamke ako na bwana mwengine

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 5 ปีที่แล้ว +1

    NUMBER 3🤔

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 5 ปีที่แล้ว +1

    huyu amekaliwa uji wooiye wanaume wahurumiwe jameni awana roho kubwa

    • @nancyruoruo1025
      @nancyruoruo1025 5 ปีที่แล้ว

      Huyu mwanaume mpole sana.....amekaliwa chapo aki

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 5 ปีที่แล้ว +1

      @@nancyruoruo1025 uji sio chapo kuna wanawake sumu haki

  • @joycemwaura3830
    @joycemwaura3830 5 ปีที่แล้ว

    Kama mwanaume akikosa doo mwanamke anamnyamazia hiyo sio mapenzi mbana

  • @hfjdjhj7831
    @hfjdjhj7831 5 ปีที่แล้ว

    Maisha ya pesa ni ngumu

  • @chullakoi3608
    @chullakoi3608 5 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa ni bure kabisa hii ni ujinga vyenye hukuangi kama wanaume wengine ndio unakaa mjinga wake up wacha kutuebisha shenzitype.

  • @graceberg3144
    @graceberg3144 5 ปีที่แล้ว

    she should look for work. ati ulinunua mutura. that is childish. never marry a broke man.

  • @mariachannelke9769
    @mariachannelke9769 5 ปีที่แล้ว +2

    Aki nipe we no. Yake nimlipie hio 500 ya exam