NI WEWE YESU WAKUABUDIWA [ BY POUL MWANGOSI]

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ส.ค. 2024
  • Ni Wewe Yesu Lyrics
    Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
    Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
    Utukufu na heshima
    Vina wewe Yesu
    Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
    Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
    Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
    Utukufu na heshima
    Vina wewe Yesu
    Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
    "Ufalme wako ni ufalme usiotikisika
    Hauna mwisho Bwana wala hauna mwanzo
    Utukufu na nguvu na enzi ni vyako Yesu"
    Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
    Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
    Utukufu na heshima
    Vina wewe Yesu
    Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
    Ni wewe Yesu wa kuinuliwa
    Ni wewe Yesu wa kuinuliwa
    Utukufu na heshima
    Vina wewe Yesu
    Ni wewe Yesu wa kuinuliwa
  • เพลง

ความคิดเห็น • 12

  • @osianakingdom203
    @osianakingdom203 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki sana sana sana

  • @myalanity5207
    @myalanity5207 ปีที่แล้ว +2

    Aaaamina saaana,nabarikiwa saaana na nyinbo zako mtumishi wa MUNGU

  • @Mwakasendile
    @Mwakasendile 9 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa sana

  • @mcswatch7848
    @mcswatch7848 ปีที่แล้ว +3

    Always on top sir thank you kudos

  • @noelngowitechnicalsolution
    @noelngowitechnicalsolution หลายเดือนก่อน +1

    Asanteni Sana kwa wimbo mzuri

  • @emmanuelmwaikambo5516
    @emmanuelmwaikambo5516 ปีที่แล้ว +3

    Powerful worship Instrumental hakika 👏👏👏🔥
    Ni wewe Yesu wakuabudiwa Utukufu na Heshima Zina wewe Jehovah
    Mungu wangu pokea sifa hizi na uzikubali

  • @edwardndeta-ei2kq
    @edwardndeta-ei2kq 3 หลายเดือนก่อน +2

    like that🔥💥

  • @everlastinggeneration9118
    @everlastinggeneration9118 ปีที่แล้ว +3

    Tafadhali naomba mtufanyie na instrumental ya alilipa deni zangu kwa gharama ya mauti 🙏🙏

    • @emmanuelmwaikambo5516
      @emmanuelmwaikambo5516 ปีที่แล้ว +3

      th-cam.com/video/44DTZ9UDu98/w-d-xo.html good worship ☝️ ALILIPA DENI ZANGU

    • @Mcdonaldtv
      @Mcdonaldtv  ปีที่แล้ว +2

      Noted

    • @Mcdonaldtv
      @Mcdonaldtv  ปีที่แล้ว +2

      ​@@emmanuelmwaikambo5516 thanks for sharing the link ubarikiwe sana

    • @emmanuelmwaikambo5516
      @emmanuelmwaikambo5516 ปีที่แล้ว +2

      @@Mcdonaldtv
      Asante sana Pastor McDonald.