PART5:MCHAWI ALIEONGOZA NCHI 8 AFRIKA/NIMEUA WACHUNGAJI 620,NDUGU ZANGU 78/NIMEISHI GAMBOSHI MIAKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 80

  • @destinydesire3796
    @destinydesire3796 2 ปีที่แล้ว +5

    ooh GOD bless you servant's of JESUS CHRIST great job Good teachings

  • @philimonndinadyo2120
    @philimonndinadyo2120 2 ปีที่แล้ว +9

    Nimejifunza ktk ulimwengu was giza wanaumoja wa hali ya juu lakini kwa watumishi kunakubaguana sana kwahiyo mtumishi mmoja akikamatwa ilitakiwa kuombewa na watumishi wengine ili avuke hilio jaribu lakini haiwi hivyo kwasababu hatuna umoja wa kiroho

    • @annkim2690
      @annkim2690 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa hatuna umoja jamani

    • @elinisafibabarita
      @elinisafibabarita ปีที่แล้ว

      Uko sahihi kabisaa, wakristo kwa Ujumla yaani, mwenzenu anapigwa nyie humumsaidii kuombaa

    • @stevenstationary
      @stevenstationary 6 หลายเดือนก่อน

      Udhehebu ndo unatusumbua

  • @asonandimile5343
    @asonandimile5343 ปีที่แล้ว

    Barikiwa ndugu nipo kigoma nafuatilia shuhuda zako

  • @stanleywaweru1714
    @stanleywaweru1714 2 ปีที่แล้ว +2

    🤔🤔🤔🤔 najifunza mengi kutoka hizi shuhunda. Nimeingonja sana kwa hamu hii part 5, na zile zingine. God bless you in Jesus Name

  • @petermacharia4156
    @petermacharia4156 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni funzo,mwana wa Mungu yesu Kristo akutunze mtumishi.

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 2 ปีที่แล้ว +4

    Naumia juu wachungaji waliotendwa ukatili 😭😭ndio mwanzo wa kanisa kutawanyika.Sio HAKI hii ni ukatili sana.Ndio maana Yesu alimwokoa ni hatari sana duu 😭🙆😬🥺😤

    • @annkim2690
      @annkim2690 2 ปีที่แล้ว +1

      Nakwambia ameangusha watumishi wa Yesu kweli

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 10 หลายเดือนก่อน

      ​@annkim2690 Paulo Wa Pili huyo

  • @RebecaMaloda-xx2qm
    @RebecaMaloda-xx2qm 11 หลายเดือนก่อน

    Najifunza mengi Mungu ni mkuu Sana Cha kujifunza Kila Jambo lazima tumuulize Mungu

  • @mnyama8
    @mnyama8 2 ปีที่แล้ว

    Nimemwonea Huruma uyu Dada , kiukwel hakujua chochote kilichojificha , it was not her intention , lakin Mungu alikuwa kimya ,hakumstua kama anaelekea kupotea , UNAEZA KUDHANIA MAY BE MUNGU HAKUWA NA HAJA YA UHAI WA UYO DADA ,

  • @elizabethmuia9839
    @elizabethmuia9839 2 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe majibu megine hayakuwangi ya Mungu 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว +2

    Inakuaje watu wote wa Mungu kushindwa kuona hatari ya giza

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 ปีที่แล้ว

      @@jesuspower2390 Kwani utungaji umekuwa rahisi hivyo. Hadi atunge

    • @mnyama8
      @mnyama8 2 ปีที่แล้ว +1

      Yani hata Mimi nimewaza kuna shida mahala,Mimi nimejiuliza Kwann Mungu kwacha kiumbe chake kiangamie ,Richa ya ukwel kuwa yule Mdada alikuwa mwaminifu ?

  • @Patience.67
    @Patience.67 2 ปีที่แล้ว

    Yeah dawa ya shetani anytime umepata attack yoyote hasira chuki,wivu ,uzito,ndoto mbaya jambo ya kwanza anza maombi immediately,🔥🔥

  • @simonnsengiyumva1000
    @simonnsengiyumva1000 2 ปีที่แล้ว

    Safi ,nafatiliya nikiwa 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Meshackkussaja
    @Meshackkussaja 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii story ni konki sana ila inachelewa kuwekwa.

  • @mamananga2849
    @mamananga2849 2 ปีที่แล้ว +5

    Yalio mkuta mke wa masanja uwenda niwazee wakazi

    • @annaandrea2812
      @annaandrea2812 2 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa

    • @gladismahinya2769
      @gladismahinya2769 2 ปีที่แล้ว +1

      Swali langu ni hili ..Hao watumishi wenye nguvu za Mungu huwa wanasemaga wanamacho ya rohoni inamana je hao ilikuaje

    • @rosemarry2020
      @rosemarry2020 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kbs

    • @gladismahinya2769
      @gladismahinya2769 2 ปีที่แล้ว +1

      Inasemekana huyu dada dolkas alikuwa ananguvu ya Mungu kubwa sna kwa nini aliingia kwenye mtego kirahisi hivyo ...uchumba gani wamekutana sku moja na akakubari bira hata kumuuriza Mungu

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 2 ปีที่แล้ว

      @@annaandrea2812 hahaaahahahahaha

  • @annkim2690
    @annkim2690 2 ปีที่แล้ว +1

    Tumefunzwa na Baba Askofu kila kitu tuone kua ni shetani shetani

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 2 ปีที่แล้ว +3

    Hapo mekupata DM hilo swala la kuhairisha kusali kutokana na Makwazo kwangu nimekua nikilifanya sana inabidi nibadilike kwa kweli.

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 2 ปีที่แล้ว +1

    Biblia inasema ni wale tu waliochagulia kabla hata ya kuumbwa kwao ndio watakaoiona mbingu. Kuna mtu leo huenda ni mtumishi au muumini aliyeokoka kweli kweli! Lakini dakika za mwisho anakumbwa na jaribu lake anapotea. Na kuna mwingine unakuta kaishi maisha maovu ya anasa na unyama wa kila aina lakini kwasababu Mungu alisha mchagua kabla dakika ya mwisho kabisa Mungu anamuokoa.
    Kanuni za Mungu si rahisi km wengi wanavyodhani.

    • @annaandrea2812
      @annaandrea2812 2 ปีที่แล้ว +1

      Ee Mungu nisaidie nisiwe miongoni mwao wa kuishia kuzimu uwuiiii nikumbuke Bwana

  • @wemamanikana9791
    @wemamanikana9791 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu kaka aongeze sauti anapotoa shuhuda

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 10 หลายเดือนก่อน

    sifa zingine kama Hizi mmmh

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 2 ปีที่แล้ว +3

    Sasa huyu dada unasema alikuwa amesimama na Mungu kiwango Cha juu kwanini aliingia kwenye mtego kirahisi sana ,kwanini Roho mtakatifu hakumpa sign ya kumwambia kuwa huyu si sahihi? Pili kwanini Wewe ulikuwa mchawi unaingia kanisani kwa Yule dada unatoka bila kudhurika?

    • @hannapraise6885
      @hannapraise6885 2 ปีที่แล้ว +2

      Yan me mwenyew nawaza jmn huwez ingia kanisan Kama ni mtu mbaya ukatoka salama

    • @chamipeter778
      @chamipeter778 2 ปีที่แล้ว +2

      @@hannapraise6885 kwa mujibu wa shuhuda za watu wengi waliopita huko, wachawi huwa wanaingia sana kwenye makanisa ya kiroho ili mradi tu wakiwa na sababu inayowapa kibali cha kuingia huko

    • @khalidyasinkhalid5944
      @khalidyasinkhalid5944 2 ปีที่แล้ว +1

      Likitajwa jina la Yesu utasikia wachawi huteketea sasa huyu anaingia na kushiriki ibada mwanzo mwisho 🤣🤣🤣🤣🤣tunapigwaga na kitu kizito

    • @womanofsteel1402
      @womanofsteel1402 2 ปีที่แล้ว +1

      @@khalidyasinkhalid5944 Hapo na Mimi napata ukakasi Maana makanisa ya kiroho tuondoe Yale ya kihistoria Wanasemaga mchawi akiingia mle razima ajulikane ,Sasa huyu vip ?

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 2 ปีที่แล้ว +1

      Wanawake wengi pia huwa wadhaifu sana kwenye masuala ya mahusiano!! Ukiachana na nguvu za Giza hata ukawaida tuu unakuta mdada kaanzisha mahusiano na mume wa MTU au MTU mdogo kuliko yeye au hata MTU mkubwa kuliko yeye lakini hawezi kushaurika

  • @sospeterjustine3547
    @sospeterjustine3547 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza nikupongeze sana Davistar nimejifunza mengi kupitia shuhuda mbalimbali. Je mchawi anavyokunywa damu za watu hawapati magonjwa kama ukimwi na mengineyo? Naomba uliza swali hilo kwenye vipindi vijavyo

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 2 ปีที่แล้ว

      Mtumishi huko kuzimu ndio wanaoleta magonjwa hila zote za kidunia ni wao yaani wanaleta janga halafu wanaleta solution ya kinafiki

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 2 ปีที่แล้ว +1

      @@pericykiko6198 maelezo mazuri!!! Wewe ni mwalimu,?

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 2 ปีที่แล้ว +1

      @@highzacknnko9685 hapana Mtumishi nimchangiaji tu

    • @beatricempinga8224
      @beatricempinga8224 2 ปีที่แล้ว

      @@pericykiko6198 ndio,sitaki kuaminishwa eti Roho wa MUNGU hana nguvu ninachokua mimi MUNGU ndio mwenye nguvu km utamtumikia NA kumuhabudu ktk Roho NA kweli kweli awezi kukuacha eti shetani aje kirahisi rahisi hivyo akuuwe, noo where is holy spirit anaye kulinda, anaye kufundisha ambaye ndie mlinzi??? Sipokei kila story zikatuweka ktk hofuu, hofu NI zambi .

  • @Meshackkussaja
    @Meshackkussaja 2 ปีที่แล้ว +1

    Wasikilizaji tunachelewa kuipata

  • @rubefabi8366
    @rubefabi8366 2 ปีที่แล้ว +4

    Swali langu bado ni hili kwanini wachawi na waabudu shetani wote husikii wakipingana na imani nyingine yoyote isipokuwa ukristo tu? Nimefuatilia shuhuda nyingi nime sense jambo hili nini maoni yako mtazamaji mwenzangu?

    • @janengaga2928
      @janengaga2928 2 ปีที่แล้ว +3

      Ndio imani sahihi ya Mungu muumbaji.Hata wenyewe wanaambiwa wafatilie WATAKATIFU tu Ili kuwarudisha nyuma hawaangaiki na wasio mjua Mungu.majibu ndio hayo

    • @amirimbago8325
      @amirimbago8325 2 ปีที่แล้ว +1

      unataka maoni ili ubishane au ili uelewe, kwanza unambie unavyoelewa tofauti ya kujikinga na wachawi na kupingana na wachawi. nipe tofauti kati ya mtu anaejikinga na anaepambana

    • @siasia5469
      @siasia5469 2 ปีที่แล้ว +1

      @@janengaga2928! imani sahihi ya mungu muumbaji!

    • @khalidyasinkhalid5944
      @khalidyasinkhalid5944 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwajili ya kuomba vunjaaa bomowaaaa kuzimu. Badala ya kuomba Mungu akulinde yasikudhuru hayo ya kuzimu. Unazisha ugovi wa mawe wakati waishi nyumbaya kioo

    • @amirimbago8325
      @amirimbago8325 2 ปีที่แล้ว +1

      @@jesuspower2390 Sasa kwa mujibu wa hiyo simulizi, hao wanaojiita wamepewa mamlaka mbona mwisho wa siku wote wamepata madhara. uchawi upo na ulikuwepo..wewe kwa imani yoyote ulonayo omba kinga ya kuepushwa na madhara ya uchawi...sasa wewe unatuma makombora ya upako, wachawi wanakaa kamati wanakutafuna kama biskuti

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 2 ปีที่แล้ว

    Ukiokoka umetangaza vita na shetani mda wote uko mawindoni eeeh Mungu tusaidie nimejifunza kitu

  • @annkim2690
    @annkim2690 2 ปีที่แล้ว

    Nakumbuka last month shetani alinichorea mchora mkali Sana nikiwa kazi ghafla mbinu vuu nilituhumiwa kua kulikua na pesaa zimepotea namimi ndio muhusika do nanikaambiwa ni mapolice nitaitiwa mmm wachatu

  • @juliuskalama2746
    @juliuskalama2746 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo stori yakuangamiza huyo msichana inaniuma sana sikufrahia kabisa

    • @annaandrea2812
      @annaandrea2812 2 ปีที่แล้ว

      Yaani Mimi mwenyewe hii stori ya kuua. Watumishi zinaniuma sana halafu ni waaminifu kwelikweli

    • @joshuamakota6714
      @joshuamakota6714 2 ปีที่แล้ว

      Ni lipi ulilofurahia kwani ?

    • @joshuamakota6714
      @joshuamakota6714 2 ปีที่แล้ว

      Kumbe wewe kuna matukio ya mauaji baadhi unayafurahia ukiyasikia humu eeh??

    • @annaandrea2812
      @annaandrea2812 2 ปีที่แล้ว

      @@joshuamakota6714 Elewa meseji usikurupuke

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 2 ปีที่แล้ว

      Samson ulifurahia,

  • @drnow1528
    @drnow1528 2 ปีที่แล้ว +4

    Swali kwani shetani ana mbinu kuliko watu wa Mungu

    • @rubefabi8366
      @rubefabi8366 2 ปีที่แล้ว +2

      Mbinu ni neno la kivita. Unaweza ukawa na silaha bora kuliko adui yako lakini ukaanguka kwa kuzidiwa mbinu. Wakristo tuna silaha bora tatizo letu hatuna muda wa kujifunza mbinu za kivita. Mungu anisaidie.

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 2 ปีที่แล้ว

      @@rubefabi8366 akusaidie au atusaidie!!!

    • @rubefabi8366
      @rubefabi8366 2 ปีที่แล้ว

      @@highzacknnko9685 wote tunahitaji rehema na lazima sisi tukubali kwanza kujifunza

    • @annkim2690
      @annkim2690 2 ปีที่แล้ว

      Wanasema ukimtoa MUNGU shetani ako na nguvu lakini kawaida tulipewa jina la YESU