Mash allah lailat kanenepa kawa mzuri sana... Mama yangu mungu atakulipa mema duniani na akhera kulea mtt yatima mguu wako na mguu wa Rasul Mohammad swa mutaingia jannat firdous pamoja in sha allah..
Takbiiiiir😍Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Lailat Amepata Mama Bora wakufuta machozi yake Jaman tusishangae Sana huyu mtoto Ana Radhi za Mama ake ndio Mama anaendelea kumpa Faraja😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Alhamdulillah thumma Alhamdulillah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Mola wetu tupe Subra waja wako Nalia Sana nikimuona huyu mtoto Mim Ila natumia kwa Sasa Ata endelea kustareh NA Allah akujaze kher mama angu na barka katika Familia yako😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲MOLA AKULIPE KHER MAMA ANGU Alhamdulillah 😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Hapa ningekuwa mie ningekataa kuchukuliwa na hao ndugu ambao hawakuonyesha ushirikiano kipindi anamuuguza mama ake je yeye ndo watamsamini? Hongera lailatiy ulifanya maamuzi sahihi❤️❤️❤️
Mashallah 😘 mama kuna fungu lako Kwa Allah mama yangu naamini Hilo...pia Mimi nipo huku nje lakini mwanangu analelewa na mama Tu ambaye nimezoweya kumuita MA mdgo NI MTU wa kigoma wakarimu sanaa hongereni watu wa kigoma.😍😍😍🥰🥰😘🥰🥰
Maa shaa Allah mama Allah akulipe Kwa Nia Yako ila laylat anaakili zakipelee kaona ndug walishindwa kumsamin mama yake yy akienda kuish nao ndy watamsamini alijiongez saan Bora kapat mtu ambay alikuw karib na mama yake akiwa mgonjwa
ManshaAllah mama nakupa hongera unaimani sana yaani wewe ni mtu una din yako hasa nimekupena kwanza umemshukuru Allah na kusema Alhamdullah hakika Allah atakulipa ujira wako kumchukua Lailat yatima
Yoyote atakaekaa vizuri na wazee wake basi ahakikishe na yeye atalipwa hapa duniani na akhera ndio maana Layla kapata watubwema kutokana na wema wake tafauti na zabibu mitihani inamzidi kl siku
Mashaallah shangaz angu wa kigoma mungu akupe maisha marefu zaid kwa wema wako inshallah
Mash allah lailat kanenepa kawa mzuri sana...
Mama yangu mungu atakulipa mema duniani na akhera kulea mtt yatima mguu wako na mguu wa Rasul Mohammad swa mutaingia jannat firdous pamoja in sha allah..
Ammin yarab 😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Asante sana mama mungu akupe maisha marefu undelee kumlea Lailat
Mashallah Allah akupe kheri mama una fungu lako ukikaa nae vizuri
atapata msimamizi mwema wa kumfunza dini
Ma sha allah
Mama Allah akubariki na akuhifadhi
Kwa kumlea mtt laylat
Lailat amenenepa ma sha allah
Ma shaa Allah mama mungu awape Kila la heri
Allah akulipe KHERY duniani na akhera na awafanyieni wepe ktk maisha yenu
Amiin
Mashallaaaa kaka Zahir Allah Akujaarie Kila kher umsaidie huyu mtoto ni yatima nass tupo pamoja nawewe Kila hatua 🙏🙏🙏
Masha Allah Mama yetu Kwa kujitolea kumlea Laylati
Mashallah mashallah mama unaonekana tuu kama mtu mzury Allah atakulipa inshallah duniani na akhera yaarab
Gvjscnkskjgfvnm6s
Fhxafsvjbnfr Ervin gw jkchfğsjion%tt6
Mashaallah Allah azidi kumuweka huyu Bimkubwa akuzidishie Afya na kila lenye Kheri Inshallah 🙏
Mashaallah mama mungu akujalie kwa moyo uwo uwo allah akujalie afya njema
MashaAllah mama Allah akujalie kila lenye khery 🤲
Masha Allah mama mwenyezi mungu azidi kukusimamie
Mama mashaa الله tabaaraka لله. Tunashukuru mm yetu الله akulipe.
Mungu apewe sifa na wewe bibi upewe baraka nyingi na maisha marefu
Masha Allah , mwenyezi mungu akulipe kila la khr mama
الحمد الله
mama mtu wa dini anamkhofu Allah
Takbiiiiir😍Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Lailat Amepata Mama Bora wakufuta machozi yake Jaman tusishangae Sana huyu mtoto Ana Radhi za Mama ake ndio Mama anaendelea kumpa Faraja😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Alhamdulillah thumma Alhamdulillah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Mola wetu tupe Subra waja wako Nalia Sana nikimuona huyu mtoto Mim Ila natumia kwa Sasa Ata endelea kustareh NA Allah akujaze kher mama angu na barka katika Familia yako😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲MOLA AKULIPE KHER MAMA ANGU Alhamdulillah 😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Mwenyezi mungu akujaliye ndugu yangu unaroho nzuri akubarikeye kila la kheri
mashaallah mama utapata thawabu kwa kulea mtoto yatima
Uyu mama mwenyezi mungu ampe maisha marefu🙏🙏🙏🙏
Hapa ningekuwa mie ningekataa kuchukuliwa na hao ndugu ambao hawakuonyesha ushirikiano kipindi anamuuguza mama ake je yeye ndo watamsamini? Hongera lailatiy ulifanya maamuzi sahihi❤️❤️❤️
Umeonaeee Allah amempaa mlenzi haswa ...waha wana moyo mzur mno
Ni kweli
@@aminaamiri7684 hakikaaa
@@saramjindo6770 naam
maa shaa Allah mama mwema .Mungu akuhifadhi
Amin
Maashaallah mama Allah akuzidishie Iman Yarabb umtunze huyu binty
mashallah mama mungu akujalie kila.la kheri..mungu atwapa kila mutakacho inshallah
Mungu akupe moyo huo huo Mama 💞
Allah abariki hii familia 🤲🤲🥰
Mashallah bi mkubwa unaongea vizuri sana Mungu akubariki
Mungu akubariki mama inshaallah mungu atakulipa wema wako mama mdogo wangu msikie mama uyo ndio mama yako
Ila zahir Mungu akujaze zaidi na zaidi
Mashaallah mama endelea kuwa na huo moyo wakumsaidia huyo mtoto
Wafadhili wa mamshule wamfadhili Lailath kuhusu Elimu
Mama Allah akulipe Pepo akupe kivuli ciku ya kiyama
MashaAllah MashaAllah MashaAllah
Mashallah 😘 mama kuna fungu lako Kwa Allah mama yangu naamini Hilo...pia Mimi nipo huku nje lakini mwanangu analelewa na mama Tu ambaye nimezoweya kumuita MA mdgo NI MTU wa kigoma wakarimu sanaa hongereni watu wa kigoma.😍😍😍🥰🥰😘🥰🥰
Asante
Assante,kigoma hatuna rohombaya
Kigoma ila huyu mmanyema
MAASHAALLAH MAASHAALLAH MAMA LAILAT MLEZI KWA SASA ALLAH KARIM
Maa shaa Allah mama Allah akulipe Kwa Nia Yako ila laylat anaakili zakipelee kaona ndug walishindwa kumsamin mama yake yy akienda kuish nao ndy watamsamini alijiongez saan Bora kapat mtu ambay alikuw karib na mama yake akiwa mgonjwa
Mama ubarikiwe amen 🙏.
Mashaallah allah akupe nguvu zaidi za kuwasaidia hao yatima ishaallah
Maa shaa llah tabarakah rahman Mol wetu mlez mjaalie bint hyu na mam hyu na umpe moyo huo huo wa kumtunza bint hyuu
Mashallah mama yetu hongera sana ndungu akujalie 💖💖💖💖💖💞afya njema inshaalah lailatu mtoto wako mtunze sana asome .dua njema kwako
ManshaAllah mama nakupa hongera unaimani sana yaani wewe ni mtu una din yako hasa nimekupena kwanza umemshukuru Allah na kusema Alhamdullah hakika Allah atakulipa ujira wako kumchukua Lailat yatima
Allah akujalia kila lakher
Mama mungu akubariki inshaallah mungu atakulipa inshaallah
Mashallah Mama anaroho nzuri Allah akuhifadh
Hongera mama
Maashaallah umefanya vizuri hata ingekuw ni mim ningemchukua shukuran wisilam ndo inavyo takiana
Mashaallah mamaangu M/Mungu akuzidshie
Maa shsa Allah Allah akuzidishie msma😍😍😍
Masha Allah,mungu akupe moyo wa iman mama yetu
MashaAllah mama Allah akupe kher nalaitat amenawir
Mama anaonekana ana malezi mazuri sana mungu akusimamie
Mashalla I like this mum she is very good
mashallah tabarrakallah
Tuendeleeee kumsaidia jmn tusimwache huyu bint 😭😭😭 Tuendeleeee kumshika mkono jmn tusimwache
Maashallah mungu akusimamie mdogo wetu
Mama mungu hakubariki sana
Mmungu akubariki***
MashaAllah Allah akubarik mama ❤
Awesome mama 💐
Lailat msichana mzuri najua mtu hawezi choka kukaa nae,mtoto mwenye heshima na hekima,Soma kwa bidii Lailat wetu
Mashaallah mama Allah akubariki sana
Mashallah kheri mama Allah atakulipa zaidi
Mashalaa mama etu
Mungu amumbariki huyu mama
Mashaallah
Mungu ajalie Laila bbi
ela kubwa 1500 mama
😄
Maashaallah
Namsapoti mama kumlealayt hatamie sikupenda etinduguwamchukue mbonakipindi mama yake anaumwa walimtenga
Mama pole na kumulea Leland sababu ni binti mdogo asije akabakwa na kumuharibia utichana wake
Wamuache hapo Anasoma jamani
Yoyote atakaekaa vizuri na wazee wake basi ahakikishe na yeye atalipwa hapa duniani na akhera
ndio maana Layla kapata watubwema kutokana na wema wake tafauti na zabibu mitihani inamzidi kl siku
Nikweli kabisa
Yaani zabibu kala hasara sana kakosa mama na bwana
@@jazeerajuma5014 muombee dua
@@fatmamucha4419 Mimi hata nikimuombea Dua itamfaa nini wakati hakumsikiza mama yake?
@@jazeerajuma5014 yule anawez akaambatana na laana bila kujijua
Kama engekua kuna uwezekano nyumba ya laila ingekodishwa ikesha ikaboreshwa ikajengwa vizuri mwenyewe itakuja kunfaaa
Angepata shule ya kiislam akasoma ingekuwa vizuri. Nyumba yake ikakodishwa na kuhakikisha hela yake inakaa na mwenyewe
Wapangishe ili apate huduma zakemuhim
Namuomba niishi nae jaman kah
Anaishi nauyo mama
Nahisi hiyo nyumba ya lailati ingekodishwa ili ipatikane hela ya kusaidiya hapo.mpaka pale itavyokuwa vyenginevyo basi itarudi mikononi mwa lailati
Mungu akupe umri mrefu mama yetu kwa kurea laylat bint yatima malipo kwa mungu
tayari amepangisha kuna waty
Mama kama mtuwakigoma maskini