MWIJAKU: WAZEE WA YANGA WAMENIOKOA/ALI KAMWE AMENIPA PRESHA SANA/NIMEKOMA KUMUWEKA MKE WANGU BONDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • Tumepiga Story na MWIJAKU
    ````````````````````````````````````````````````````
    Facebook Page @chazymedia
    instagram @chazymedia
    Tiktok @chazymedia
    ``````````````````````````````````````````````````````````````
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 189

  • @MoosaMzinga
    @MoosaMzinga หลายเดือนก่อน +4

    Wewe akili hunaaa.......kwanza weww sio mtanzaniaaa pumbavu

  • @franktarimo271
    @franktarimo271 หลายเดือนก่อน +5

    Hakuna baya hapa wala msipaniki. Huu ni utani wa mpira na haina shida. Binafsi nimemkubali mwijaku kwa hili

  • @ThandieMamela
    @ThandieMamela หลายเดือนก่อน +2

    Sida saaaaana 😂😂😂❤❤❤

  • @sophiamkwavi4729
    @sophiamkwavi4729 หลายเดือนก่อน +7

    Hujielewi kabisaààaa ukubwa wa ndevu tuu ila kichwa box

  • @CainArmak
    @CainArmak หลายเดือนก่อน +1

    Daah Hili halinaga point kwenye maisha yake cjui linaishije

  • @user-dq1lm2be2u
    @user-dq1lm2be2u หลายเดือนก่อน +5

    Sijui lina laana maana linaropoka tuu jinga kweli

  • @user-nm1ll8gu4n
    @user-nm1ll8gu4n หลายเดือนก่อน +2

    Kuahid tu kutimiza aaaah

  • @chekazone255
    @chekazone255 หลายเดือนก่อน +1

    Wap ww 😂😂😂 wew ni mwehuuu

  • @shaameshaame2837
    @shaameshaame2837 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo mke angekuwa na elimu ya dini usingemkuta nyumbani. Ndoa ya dini ya Kiislam haitaki maneno maneno ya kuiongelea kwenye mambo ya kipuuzi, waone wenye elimu zaidi uliulizie hili jambo usije ukawa umetoka kwenye ndoa

  • @omaryhilaly5894
    @omaryhilaly5894 หลายเดือนก่อน +8

    Hujitambui mjinga umekosea baado unaongea ujinga pumbavu

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 หลายเดือนก่อน

    Mwijaki Mwijaku Mwijaku, Acha hizo usimung'unye maneno, hujitambui chunga ulimi wako. Usifanye UTANI na mambo kama hayo.

  • @rukundorwiza5223
    @rukundorwiza5223 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku his very intelligent! He knew very well that simba was going to lose the game! And he take it advantage for free publicity

  • @user-ju8tl7ug6b
    @user-ju8tl7ug6b หลายเดือนก่อน +1

    Huyo sio mkeo umefanya makubaliana kwenye mashahidi kaka mrejee mkeo umemuacha

  • @paschalkayoka3945
    @paschalkayoka3945 หลายเดือนก่อน

    Hahahaha uko vizuri

  • @user-vv6oj5eh6z
    @user-vv6oj5eh6z 29 วันที่ผ่านมา

    Wewe msenge tuuuu

  • @ArRahman-ih1pi
    @ArRahman-ih1pi หลายเดือนก่อน

    Wala hujakoma ww mpk likukute jambo 👌

  • @dennisngonyani1795
    @dennisngonyani1795 29 วันที่ผ่านมา

    ""KUWA MAKINI KUNA SIKU UNAWEZA UKAJIWEKA BOND NA UKAOLEWA WEWE""

  • @devotabashome1090
    @devotabashome1090 หลายเดือนก่อน

    Dah

  • @user-zl5mt6lk4n
    @user-zl5mt6lk4n หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 yaan mwinjaku jaman 😅daah

  • @ayshausman5898
    @ayshausman5898 หลายเดือนก่อน +1

    Wwwww chizi sana wajisanya unadini

  • @chekazone255
    @chekazone255 หลายเดือนก่อน +2

    Yaan vile tu unavyoongea unaonesha tu akili huna 😂 toka apaa

  • @user-tp2lq4bd7o
    @user-tp2lq4bd7o หลายเดือนก่อน

    Wewe jinga tuu

  • @awazioga1823
    @awazioga1823 หลายเดือนก่อน +4

    Mtu wa hovyo kabisa pumbavu

  • @joycelinenathanael2542
    @joycelinenathanael2542 หลายเดือนก่อน

    Jamani mwijaku akapimwe ana afya ya akili

  • @minnahhers7437
    @minnahhers7437 หลายเดือนก่อน +3

    tafuta maneno ya hekima kwa kusema ...unasema mpaka unapitiliza ..punguza kusema

    • @user-vz4xv7lg3x
      @user-vz4xv7lg3x หลายเดือนก่อน

      Ushauri wa maana sana huu

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 หลายเดือนก่อน

    Kweli akili hakuna kabisaaa

  • @user-wu9fs2dw5x
    @user-wu9fs2dw5x หลายเดือนก่อน +1

    Kweli hili jinga halina akili Yani anayoongea pumba tuuu

  • @user-lo3vb1oc3z
    @user-lo3vb1oc3z 29 วันที่ผ่านมา

    We ni mjinga sana,nauzee wote huo akili aifanyi kazi.

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 หลายเดือนก่อน

    Huyu Wachu kachanganyikiwaaaaa😂😂😂 kwa maneno haya hali akili hata mojaaaaa😂😂😂

  • @saraphinalupondo1115
    @saraphinalupondo1115 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali ata watu wakuponde

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 หลายเดือนก่อน +1

    Mteja wa Mirembe Hospital

  • @user-cd8ge8mx7p
    @user-cd8ge8mx7p หลายเดือนก่อน

    Ulishakoseaaaa omba msamaha yaisheeeeee😂😂😂😂

  • @user-fw2jk3mx7g
    @user-fw2jk3mx7g หลายเดือนก่อน +18

    Kwa sasa huyo sio mkeo kutokana na kauli yako kwani kumuweka rehani mkeo tayari umeshamwacha huyo inatakiwa ukamrudie kwasheria ya imani yako

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 หลายเดือนก่อน +2

      Wacha kudanganya watu ww.. nia yake haikuwa serious.. alikuwa ktk hali ya utani.. hata sheikh mazinge Leo kamwambia maneno ya hekima na si kama yako..

    • @abdulfattahiddisaid15
      @abdulfattahiddisaid15 หลายเดือนก่อน +2

      Katika dini hakuna matani

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 หลายเดือนก่อน +2

      @@abdulfattahiddisaid15 Inategemea nia yake ilikuwa ni ya dhati au ya matani.. na Allah pekee ndiye anayejuwa nafsi zetu.. usitake kufanya dini yetu ikaonekana ngumu sana Kwa kutuletea Sheria zako

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 หลายเดือนก่อน

      @@abdulfattahiddisaid15 kwani kapewa talaka tatu mpaka asiwe Tena mke wake? ikiwa talaka moja au mbili bado wanaruhusiwa kurudiana sembuse kauli za porojo za mpira? we vp wewe.. ally kamwe Kisha msamehe.. mke mwenyewe Hana mpango wa kumwacha mumeo wake.. na mume mwenyewe kasema hakuwa serious.. na Sheria au sababu za kumwacha mke ktk uislam tusha elekezwa.. ww Baki ukiumia wenyewe washa sameheana na wanapendana.. we unaumia kama vile labda unamtamani mke upewe wewe au.... 🤣🤣 pole sana..🤣🤣

    • @yusuphmkenza3019
      @yusuphmkenza3019 หลายเดือนก่อน

      achana na swala la nia hapo shekhe kusema utamuachia mke mtu furan ni sawa na kumtaraka na mambo miongoni hayan utan ni taraka

  • @majutojackson5718
    @majutojackson5718 หลายเดือนก่อน +2

    Alichofanya mwijaku ndio utani,Simba na Yanga ni watani huu ndio utani

  • @user-rg3ir1os7u
    @user-rg3ir1os7u หลายเดือนก่อน +1

    Umeiba misemo ya watoto wa kimakonde pumbavu😂😂😂😂😂

  • @ibrahimayoub8972
    @ibrahimayoub8972 28 วันที่ผ่านมา

    Hili limwijaku ni lipumbavu Sana, halina akiri vizuri

  • @AbuujureyjKhaniy
    @AbuujureyjKhaniy หลายเดือนก่อน

    HILII KWELIII PUMBAVUUUU

  • @AbdanKhaif
    @AbdanKhaif หลายเดือนก่อน

    Weye ni mpumbavu sana, hujielewi sana kubwa lkn fala (KLF)

  • @user-uv6ul1vj3j
    @user-uv6ul1vj3j หลายเดือนก่อน

    Yan kama lizuzu Yan

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 หลายเดือนก่อน

    Mwenyewe umemtowa kiteteya

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 หลายเดือนก่อน

    Afya ya akili huyu 😂😂😂😂😂

  • @aishaadam9933
    @aishaadam9933 หลายเดือนก่อน +1

    Nyoooko

  • @AlbertNyemba-r5k
    @AlbertNyemba-r5k 29 วันที่ผ่านมา

    Ila ukumbuke kulipa deni..

  • @hassankalush7513
    @hassankalush7513 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwijaku fala kweli Ila yuwajifanya mjanja kweli Ila ndivyo chawa ili uwezekuishi

  • @tausislim2252
    @tausislim2252 หลายเดือนก่อน

    Cjawai kumkubali mwijaku
    Ndio kwanza leo

  • @sankeykajange353
    @sankeykajange353 หลายเดือนก่อน

    Hata waandishi nao wanapoteza muda wao kumuhoji huyo zuzu.

  • @AmanaHassan-cy4fi
    @AmanaHassan-cy4fi หลายเดือนก่อน

    Alafu Wewe Mwijaku si Msomi mzuri wa Quran...
    Sasaa ni Kweli hujui kuwa kwa sasa huna Mke...!!!
    Na kama upo naye si Mke tena bali una Dhiinii...
    Uzuri Dini yetu Tukufu hainaga Kupepesa na wala utani wa hivo... Hizo trending cjui nn zote hazikurejeshei Mke Mdhinifu Mkubwa Wee.

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 หลายเดือนก่อน

    Safi mwijaku ila usimweke shemu kuwa sehemu ya kamali yaani lehani

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 หลายเดือนก่อน

    Hili jinga hatariiii 😂😂😂😂😂 hapa linamponda MAZEE Magoma

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 หลายเดือนก่อน

      Hilo uendapo upepo linaunga na Aibu halina wala alijali chochote

  • @maratochacha5308
    @maratochacha5308 27 วันที่ผ่านมา

    😂😂🎉🎉

  • @MichaelRaphaer
    @MichaelRaphaer หลายเดือนก่อน

    Ndio ukome

  • @user-vl4ky3tc2m
    @user-vl4ky3tc2m หลายเดือนก่อน

    Ovyooooo

  • @DouglasChuwa-ec7mv
    @DouglasChuwa-ec7mv หลายเดือนก่อน

    We nishoga change doa

  • @user-de4sv1yn2t
    @user-de4sv1yn2t หลายเดือนก่อน

    Nchi hii inawatu wa hovyo sana😂😂

  • @dietrichoswald34
    @dietrichoswald34 29 วันที่ผ่านมา

    Wewe usifanye masihara na mambo ya yasiyo ya masihara !

  • @dignachami7382
    @dignachami7382 หลายเดือนก่อน

    Hili jamaa la hovyo kabisaa

  • @user-dy5xt2zn2d
    @user-dy5xt2zn2d หลายเดือนก่อน

    Yan ili lijibaba choko Sana jitu Zima ovyo mume wa aina gan fala

  • @JOSEPHGERALD-k5b
    @JOSEPHGERALD-k5b หลายเดือนก่อน +1

    Doto magari nimeanza kumuelewa

  • @RahmaKhalfani-qp3vc
    @RahmaKhalfani-qp3vc หลายเดือนก่อน

    Ila mwijaku nakuomba ulejee tena mkeo kwasheria ya llah isemavyo

  • @user-mf9bj5uo8b
    @user-mf9bj5uo8b หลายเดือนก่อน

    Umeenda mpaka hijja,mwenyezi Mungu akusamehe.

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo mwijaku ni Alhaji

  • @jabiraxmed7898
    @jabiraxmed7898 หลายเดือนก่อน

    Huyu mpuzi sana

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani หลายเดือนก่อน

    Mwijaku uwe na heshima kwa maneno yako kuwa na hekma wewe mwenyewe ulianza uwe na heshima kwa Ali kamwe

  • @FlorahKahemele
    @FlorahKahemele หลายเดือนก่อน

    Hivi huyo mnamuelewa kweli maana Mimi cmuelewa

  • @user-dy5xt2zn2d
    @user-dy5xt2zn2d หลายเดือนก่อน

    Uyo mke ndugu zake wamekuchukuliaje au ndo walewale

  • @user-kg2tm2eq7q
    @user-kg2tm2eq7q หลายเดือนก่อน

    Anazugaa et anapima😂😂 mamaee famasiala nin acha uboya hv huoni aibu

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 หลายเดือนก่อน

    Wewe Unechemka tu Chawa mpuuzi

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np หลายเดือนก่อน

    Mwijaku jitathmini kiakili kabisa kwanzia sasa

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 หลายเดือนก่อน

    Sasa MZEE MAGOMA katrend kapata ubalozi wapiiiiiii?????? MAKAMANI 😂😂😂😂 AU??

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e หลายเดือนก่อน

    Mwijaku anaongea kama mtu wa kufezeleka tu 😂

  • @janejoel2465
    @janejoel2465 หลายเดือนก่อน

    Huyu sio nzima

  • @adolffTeobardiChimbala
    @adolffTeobardiChimbala หลายเดือนก่อน

    jamaa chizii kweli hili 😂😂😂😂

  • @abdallahussi2978
    @abdallahussi2978 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa taahira

  • @MahamuduLiwowa
    @MahamuduLiwowa หลายเดือนก่อน

    Mwijaku akapimwe akili kwanza jamani tafazali

  • @SarahNambela-m1v
    @SarahNambela-m1v หลายเดือนก่อน

    Wewe ni kolo sana

  • @Jennyjonh
    @Jennyjonh หลายเดือนก่อน

    Msenge wee, kwanza huyo mkeo nae akibak kuwa naww Bac nayeye akili hana, maana huwez kunidharahu kiasi hicho

  • @AbdallahShaweji-c7r
    @AbdallahShaweji-c7r หลายเดือนก่อน

    Kuna situation utapelekewa moto

  • @minnahhers7437
    @minnahhers7437 หลายเดือนก่อน

    acha maneno ya kuropoka ropoka ovyo we si kijana kwa rika lako ni baba weka heshima huwezi fanya jambo kama hilo...ni kama umejivua kwenye ndoa kwa kumgawa mkeo

  • @angelmauja1846
    @angelmauja1846 หลายเดือนก่อน

    Em ukiongea vua hyo miwani tyone kama utapata ujasir kuongea madudu kila siku

  • @javanjav8417
    @javanjav8417 หลายเดือนก่อน +1

    Mambo mawili umejifunza au bado?

  • @Dulajuma
    @Dulajuma 28 วันที่ผ่านมา

    Msimlaumu maana anajinad ana digirii ya ujinga thaman ya mke haijui au huajamuowa anaishi nae tuu?

  • @farahali6041
    @farahali6041 หลายเดือนก่อน +1

    Umemeza dawa lakini mana sio mwauchizi uwo

  • @rajabnabil2497
    @rajabnabil2497 หลายเดือนก่อน

    Halafu bdo kuna waandishi wanamhoji kichaa hizi Media nyengine bhana

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o หลายเดือนก่อน

    Kipanya anasubili maokoto

  • @user-dy5xt2zn2d
    @user-dy5xt2zn2d หลายเดือนก่อน

    Weee akili auna punguza sifa

  • @SeifHashim-r1j
    @SeifHashim-r1j หลายเดือนก่อน +1

    Ww chizi boss wako mo mbona hajamuweka dada yake bondi

  • @fettymo2055
    @fettymo2055 หลายเดือนก่อน

    Ww mwijaku lazima umrejee huyo mwanamke huruhusiwi kuishinae

  • @AliJuma-eg8tq
    @AliJuma-eg8tq หลายเดือนก่อน

    MAKA MATEMBEZI

  • @hamisihemedi1099
    @hamisihemedi1099 หลายเดือนก่อน

    Usijaribu kucheza namwanamke fungandoa naukome kabisa

  • @neemaisrael688
    @neemaisrael688 หลายเดือนก่อน

    NYOOOOO

  • @user-wu9fs2dw5x
    @user-wu9fs2dw5x หลายเดือนก่อน

    Huyo mkeo mwenyewe hana akili

  • @endrewalfred8333
    @endrewalfred8333 หลายเดือนก่อน

    Ngoja akusikie magoma akushitaki kwa kumzalilisha umlipe fidia

  • @dalmasokoth4190
    @dalmasokoth4190 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku umemdhalilisha Sana mkeo na kama anaendelea kuishi na wewe kuna mambo mawili ama amekwama hana pa kwenda au ametumia busara kuendelea kuishi na mtu asiye na akili kama wewe mwijaku.

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 หลายเดือนก่อน

    Una Bahati usifanye hivyo..... MASHABIKI wa mpira huwajui, walishajaa jangwani , wangekuja nyumbani kwako , wangevunja fensi na MBWA ungemkuta maiti na mke angechukuliwa, ungemlilia Mama Samia akusaidie, USIRUDIE TENA

  • @PauloSeyai
    @PauloSeyai หลายเดือนก่อน

    Me mshabiki wa simba ila jamaa hana akili

  • @petermwijage9882
    @petermwijage9882 หลายเดือนก่อน

    ivi wewe kweli ulifikiria heshima ya binadamu unaweka mkeo kanakwamba ni bidha,

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 หลายเดือนก่อน

    Hakili na mdomo chunga

  • @user-fo9jw2gb2h
    @user-fo9jw2gb2h หลายเดือนก่อน

    Wanaeweka Bondi wakezao ninawasiwasi na ukosefu WA kinga mwilini Ali ameangalia ilo

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid หลายเดือนก่อน

    Jua huyo mke kidini huyo mke wk ameachika niswa kumtandikia talaka mke ww kumbe mwisilamu sijwi zehebu gani ktk dining ya kisilamu hamuna ujinga huo

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z หลายเดือนก่อน

    Punguza miemko bro ifike kipind ukue sio kila kitu unakifanya kichawa chawa😂😂tu huo n uzalilishaj wa kijinsia kwa Wanawake hasa mkeo iyo kaul si pow badilika

  • @devotamutayoba9373
    @devotamutayoba9373 หลายเดือนก่อน

    Mtu mzima ovyooo