MKE WA MWIJAKU ANATAKIWA NA WANA YANGA/ALLY KAPATA JIKO BUREE/SAFARI INAANZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 53

  • @elizabetty-rt7py
    @elizabetty-rt7py หลายเดือนก่อน +4

    Sisi yangaa atunaga jambo dogo, atupe mke wetu 🎉🎉🎉🎉 nawala atupimwi,💚💚💛💛💛💛💛

  • @nasskidy5471
    @nasskidy5471 หลายเดือนก่อน +9

    Mwijakuuu alihisi anatania wanasimba wenzakee ngoja aone yanga vile hatunaga utani

  • @richardrichope3528
    @richardrichope3528 หลายเดือนก่อน +7

    Mwijaku ameyatimba😂

  • @user-vj6py9tq9v
    @user-vj6py9tq9v หลายเดือนก่อน +6

    Wako sahihi ko hiyo ni kubeti kamwe apewe mke

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 หลายเดือนก่อน +5

    Mwijaku ndio akome kuropoka ovyo

  • @gregory6165
    @gregory6165 หลายเดือนก่อน +2

    huku magoma kakanyaga kuti bovu, huku mwijaku kayatimba, kule makolo wameliwa... Huu mwaka mtateseka bila kupumzika😅

  • @onesmoleonard74
    @onesmoleonard74 หลายเดือนก่อน +4

    Wananchiiiiii wapo serious au utani tu

  • @tester-kf5re
    @tester-kf5re หลายเดือนก่อน +1

    Ndio shida ya kutojitambua, suala la ndoa sio la mzaha, kisheria Mwijaku ni kama alimtaliki mke wake, maana katamka, na ndoa ni matamshi.

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu หลายเดือนก่อน +2

    Mke kwenye mpira kwanzia mke mme wote hawana Akili kabisa maana kwa mtu anae jua dini kabisa hawezi fanya upumbavu huo kabisa dunia sijui inatupeleka wap

  • @PILLIMASOUD
    @PILLIMASOUD หลายเดือนก่อน

    Utani mbaya jamani, tuwe na kikomo na vinywa vyetu, Ali hana kosa aende akabidhiwe mke, ndipo watu watajifunza, mke sio mchezo.

  • @marianamontoedi1318
    @marianamontoedi1318 หลายเดือนก่อน

    Seam mama manje

  • @terrence9477
    @terrence9477 หลายเดือนก่อน +1

    Mhakikishe polisi wanatangulia, mtaenda kufunguliwa mbwa huko

  • @Auame-v2d
    @Auame-v2d หลายเดือนก่อน +1

    Kachuwe kaka mjane maana sisi tumezika jana

  • @djsuletz5327
    @djsuletz5327 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 Dah dadek

  • @strawberryrachii12-xh5bq
    @strawberryrachii12-xh5bq หลายเดือนก่อน

    Kaka mwijaku kwanza kakosa na sio kukosa na pia hana we mkeo wa ndoa ukamlinganishe na thamani ya goli?kweli akapimwe kuna shida mahali

  • @SelemaniSelemani-bw4ps
    @SelemaniSelemani-bw4ps หลายเดือนก่อน

    Hakunaga utani kwenye ndoa, atoe mke huyo 😂

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv หลายเดือนก่อน

    Yanga bwana mpaka lahaaaaaa

  • @MatildaNgoty
    @MatildaNgoty หลายเดือนก่อน

    Iwe fundisho kwa waropokaji wote wenye tabia kma za Mwijaku

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 หลายเดือนก่อน

    Haya ndio mambo yanayotupa raha. Halafu majina yanafanana. Utani umenoga huo.

  • @zayneryassin6054
    @zayneryassin6054 หลายเดือนก่อน

    Eeeeh ivi watu wako serious 😂😂😂

  • @hildaelkana7132
    @hildaelkana7132 หลายเดือนก่อน +1

    Nchiii hiii jmn😅

  • @AmbrocePaul
    @AmbrocePaul หลายเดือนก่อน

    Ushauri wa Bure kabla hujaongea fikiri kwanza ndioo uzungumze mwijaku mdomo umekuponza

  • @DevotaMafwimbo
    @DevotaMafwimbo หลายเดือนก่อน

    Kweli,,ubayaubwela. Mwisho wa ubaya aibu

  • @johnsamwel3730
    @johnsamwel3730 หลายเดือนก่อน +1

    duuu kumbe ni inshu silisasi 😅😅🤣

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 หลายเดือนก่อน

    Jiji Lima mambo na vijambo

  • @user-vu8vy1rv2j
    @user-vu8vy1rv2j หลายเดือนก่อน

    Ali uyo mke wa mwijaku ushidilie vipasavio

  • @alidochi2889
    @alidochi2889 หลายเดือนก่อน

    Kwanza akatoe mahari

  • @joshuayoile6149
    @joshuayoile6149 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna mke gani ataruhusu huu upuuzi

  • @sumbaonline4002
    @sumbaonline4002 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂kama namuona Mwijaku na mimacho yake

  • @emmanuelzawadiel5320
    @emmanuelzawadiel5320 หลายเดือนก่อน

    Kweli Aly kamwe hajielewi na mashabiki wa vyura wote

    • @YusuphSaid-z5b
      @YusuphSaid-z5b หลายเดือนก่อน

      Mishabiki ya simba ndio haijielewi mbumbu una wekaje mke kwenye mambo ya mpira kama sio udunduka ndio maana rage aliwaita mbumbumbu

  • @japhetnziku3917
    @japhetnziku3917 หลายเดือนก่อน

    Umalaya tyuuu kuoa haaaa

  • @IssaSalumuMohammed
    @IssaSalumuMohammed หลายเดือนก่อน

    Atoe mke uyo axilete uxenge

  • @ibrahimsaleh7026
    @ibrahimsaleh7026 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku yakayakanyaga hhhhh

  • @Macamp312
    @Macamp312 หลายเดือนก่อน +1

    Hhaaaaaahaaaa

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sumbaonline4002
    @sumbaonline4002 หลายเดือนก่อน

    Hatunaga jambo dogo

  • @AishaBakari-qc5to
    @AishaBakari-qc5to หลายเดือนก่อน

    Hahahah😅

  • @MariaMsuku
    @MariaMsuku หลายเดือนก่อน

    😅😅😅

  • @edwardmaguluko6541
    @edwardmaguluko6541 หลายเดือนก่อน

    KAMA MASUD KIPANYA ALIMCHUKULIA HATUA ZA KISHERIA MWIJAKU KWA MATAMSHI YA MTANDAONI TU KWANINI ALLY KAMWE ASIJABIDHIWE MKE? MUME WAKE ALIONGEA ZAIDI YA MARA MOJA YANGA IKIPATA MATOKEO YASIYOKUWA NA PENALTY MWIJAKU AMKABIDHI ALLY KAMWE MKE WAO SI WALITANGAZA UBAYA UBWELA

  • @user-ox9wj6tu3c
    @user-ox9wj6tu3c หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉

  • @AnnaAnney-pc4ui
    @AnnaAnney-pc4ui หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @veronicalula2661
    @veronicalula2661 หลายเดือนก่อน

    Tunataka jiko letu

  • @joshuayoile6149
    @joshuayoile6149 หลายเดือนก่อน +1

    Watu mnapoteza muda kwa mambo ya kijinga..

    • @cryptoboy_5
      @cryptoboy_5 หลายเดือนก่อน +2

      ndyo yanayo furahisha mambo yako ya msingi kaa na familia yako myajadiri

    • @hidayahassan8014
      @hidayahassan8014 หลายเดือนก่อน

      Unateseka kwani

    • @EsterKindoli
      @EsterKindoli หลายเดือนก่อน

      ​@cryptoboy-5 😂😂😂😂

    • @MohamediHussein-o9b
      @MohamediHussein-o9b หลายเดือนก่อน

      Ubaya ubwela umemponza toa mke huyoo akaolewe Nakamwe mpaka Ali kamwe Ampe talaka alafu akae Heda
      Baada ya hapo ndo mwijaku atakua Na uwezo wa kumuoa Tena mkewe
      Kudadadeki

    • @flavianajohn5250
      @flavianajohn5250 หลายเดือนก่อน

      Kwanini nawewe unafwatilia mambo ya kijinga🤗🤗🤗🤗🤗🤗😊

  • @samsonsammyofficial3714
    @samsonsammyofficial3714 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🤣