DAAH!! MANENO YA MWISHO YA PAUL MAKONDA KABLA HAJATOWEKA, ILIANZA HIVI KWA MAGUFULI NA IKAWA KWELI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • DAAH!! MANENO YA MWISHO YA PAUL MAKONDA KABLA HAJATOWEKA, ILIANZA HIVI KWA MAGUFULI NA IKAWA KWELI
    #paulmakonda #magufuli

ความคิดเห็น • 18

  • @TusekileSolomon
    @TusekileSolomon หลายเดือนก่อน +2

    Mungu amlinde paul makonda na kama anaumwa apone katika jina la yesu krito aneishi

  • @emmanuelmpanda2773
    @emmanuelmpanda2773 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ukulinde uwe salama kwajili yahaki

  • @EstherJerald-tc6ct
    @EstherJerald-tc6ct หลายเดือนก่อน

    Mmmmm sijui tunadanganywa au bado anaumwa kweli yaani hata familia mpo kimyaaaa
    Daaa ngoja tusubili lbd yupo uarabuni rip baba

  • @lampadshigonko3006
    @lampadshigonko3006 หลายเดือนก่อน +3

    HUYU JAMAA KAMA KAULIWA... Siku wakitangaza kifo chake patatokea taharuki kubwa... Na hapo ndo litakuwa anguko la CCM rasmi

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa kweli. Shetani ana wtt wengi kweli Tanzania. Sbb wanapenda saana kutangaza habari za uongo.

    • @UhuruMediaonline73
      @UhuruMediaonline73  หลายเดือนก่อน

      Aliongea haya nikama yanajirudia, maono ya mbali haya

  • @shanibaniyas6308
    @shanibaniyas6308 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢

  • @lampadshigonko3006
    @lampadshigonko3006 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa Gen Z wa Arusha si waandamane?

  • @nurdinmvellah4032
    @nurdinmvellah4032 หลายเดือนก่อน +1

    Unasema ni maneno mazuri kuhusu magu, je yalikuwa ya ukweli? Au ndo walio sababisha asiombewe Kama alivyo kuwa anatukumbusha kumuombea?

  • @melinalumambo3218
    @melinalumambo3218 หลายเดือนก่อน

    Mungu atuhurumie,maana alisema jaribu haritarudia Mara mbili

  • @user-ci9lj2vq9n
    @user-ci9lj2vq9n หลายเดือนก่อน

    Mpka mseme ukweliiii

  • @NeemaNey-mp2fi
    @NeemaNey-mp2fi หลายเดือนก่อน

    Mulitudanganya kwa magufuli kumbe mlimuua na makonda Tena mmemuua hapana hatukubali muwaachishe watu watoto wao na wazazi wao Bora mngemwacha tuu mm Kama mm Sina usingizi nawaza tuu Tanzania hii vip hatuelew kwa kwel

  • @ZakariaMsalilwa-oz7he
    @ZakariaMsalilwa-oz7he หลายเดือนก่อน

    11:17 lakini kwanii kilaklicho chema mbona hakidum

  • @DorcasiemanueliAmo
    @DorcasiemanueliAmo หลายเดือนก่อน

    Paulo makonda

  • @ConsolathaGilli
    @ConsolathaGilli หลายเดือนก่อน

    Embu tuelewe jembe ketu lipo wapi??

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 หลายเดือนก่อน

    Nyie viongonzi wa chama husika jichanganyeni tuu na likinzo ya makonda mkija kutanganza amekufa tuu olle wenu ck hiyo tunangoja tuu maana hata wakuu wa nchi wamesikia wananchi wanalalamika makonda Yuko wapi nyie mmenyamanza tuu ok tusubiri

  • @samsonogunde4508
    @samsonogunde4508 หลายเดือนก่อน

    Apotee Tu huyo