Tuombe jamani tutoe zakana sadaka lakini tukumbuke kwamba marco aliimba wimbo wamungu ni daktari wa moyo wake ila alivyoambiwa kwamba anaugojwa wa myo angeacha kufanyiwa upareshen akajikabidhi kwa mungu kwa maombi zaidi na mapastar wakamwombea kwa sababu alisema yesu ndiyo dakari wa moyo wake angeomba tu sana akaacha kufanyiwa uparesheni angepona
Kweli kabsa Pastor bila maombi, do silaha pamoja na fungu la kumi inakulida wachawi watakutengea mitengo lakn Haitafaulu juu yako,toa fungu lakumi Mungu atakutetea sana,sana
Mungu atusaidie maana hospitali nyingi madaktari na manesi wanatumiwa sana katika ulimwengu wa giza, unatengenezewa ugonjwa na wanakuelekeza hospital yao naumia sana juu ya marco moyo wangu unashindwa kuamini😭😭 kama Kamwita kwa wakati huu ila sina budi kumwachia Mungu hili
Tusimame na Mungu nakumtafuta Mungu kwakuwa anapatikana, na ansema tumtafute yeye na nguvu zake sasa haya ya Mchunguja nikweli kabisa tusilewe sifa shetani na mawakala wzake wapo kazini na vita nikali. Na hicho kitengo cha uimbaji ilikuwa nisehemu yake sasa atakubalije ufunguwe watu kwa nyimbo lazima atakushambulia tu, sasa hapo ndio utakapoitafuta madhabahu na baba wa kiroho mwenye nguvu za Mungu wa kweli. Kila hatua ina bita yake na maadui wanaanzia ngazi ya familia kama ilivyoandikwa adui waakaribu niyule wa nyumbani kwako, sasa hapa Mungu akupe macho yakumjua adui na kushughulika naye rohoni. Maana ukizijua silaha zake na mbinu zake ni rahisi kushinda sasa makanisa menngi haya ya kwetu mambo yenye nguvu ya roho mtakkatifu hawataki wanadai kanuni, sasa watu wanaangamia kwa kukosa
Kifo ni ya Mungu....let us allow God to do His will....it is sad but God allowed it for a reason. Kwani wachawi wana nguvu kushinda Mungu? Acheni kupoteza watu
@longliferose5905 Life is in God's hand....He is the creator of life. Jesus died when he was only 33 years ....but he had accomplished what he came to do. You can live for 100 years and still die without knowing your purpose in this world. God is the beginning and the end...Alpha and Omega....so instead of questioning God, we need to thank him for the gift He gave us while remembering that we are also on our way to the grave.
It's true that he acts in a hospital. It's good to sing songs that worship ano and praises God. I don't see why should the the singers sing other things other than the worship of God.
Waimbaji waangalie sana wanyenyekee chini ya mkono waMungu maana hata shetani alikuwa mwanasifa m,Zurich waombe sana kwa sababu shetani hafurahii huo uimbaji ambao upo ndani yako waimbaji wamtolee Mungu sadaka na waombe Mungu awaonyeshe madhambahu halisi inayo toka Kwa Mungu
Kiroho ile kuaga dunia siku 9 baada ya mkuki wa giza (shambulio la ghafla) kumdunga kifuani kumeniacha natafakari kama waliomuombea walilifukuza pepo la mauti na kumtamkia uhai kinabii! Nakumbuka nilipowaombea kinabii ndg Rugemalira na Kaka Mbowe mahamani kisha gerezani kilichofungua milango ni nguvu neno la kinabii. Sijawasahau Mo Dewji wakiwa na Babra, pia binti wa Alice John aliyekuwa anaishiwa damu kipepo pepo. Kwa hekima ya kishauri na neno la kinabii lilitimia. Miujiza na shuhuda ni nyingi siwezi kulimaliza. Naamini Zablon walipaswa kuwa wazi haraka na kutangaza ugonjwa wa Marko maana ufahamu na ujuzi wa kiroho hutofautiana. Nilizaliwa Msabato ila nimejifunza mengi, kimaombezi kutoka kwa baadhi ya walokole wakweli. Sio kila siku tuombe kinyonge nyonge na kusimama ukingoni Kingoni (njia panda) "... Wawezeshe madaktar....Kama ni kupenda kwako aishi basi aishi... Amina" Amini nakwambieni mfalme Hezekia hakuomba hivyo, angeomba hivyo angefariki. Kosa la madaktari lilikuwa kumjulisha Marko hali yake. Ni maadili yao ila kwa kufanya hivyo walimvisha vyazi la umauti kwa hofu bila kufahamu. Naiamini sayansi ila mara nyingi ninapokuwa nimejulishwa kumuombea mgonjwa aliye mahututi huwa sizisomi wala kuzizingatia sana tarifa za madaktari! Kama mhusika ni kijana au mtu anayehitajika sana kijamii / kiroho huwa naitisha uhai tu na kufukuza giza! Wengi wameishi kwa maombi bila gharama ! Na nashukuru wengi wao hata sadaka za shukrani kwa Nabii / mtumishi hawakukumbuka kutoa. Utumishi wa ukweli una majaribu yake. Simu +255746450753 Whatsapp +255782886744
Asante KWA kutukumbusha KWELI kwa Sasa HIV, tuombe San maisha yanatisha mmmmm mwanadamu WA Sasa nawaogopa kama ukoma ubarikiwe kwa KWELI MUNGU akupe maisha MAREFU amina.
Tupo kwenye ulimwengu mgumu sana uliojaa wivu, chuki na kukomeshana. Mungu atupe ulinzi sisi ambao yameshatuguza haya tunaelewa huyu mchungaji anachosema. Wachawi wanapenda sana kuuwa nguvu kazi yani vijana
Na alikuwa na nyota kubwa imbayo imekuwa imeengaa ilikuvunja nguvu za Giza,Sasa madhabahu ya mwovu iwezi furahiya hayo,badi turudi kwenye misingi ya Imani, ili maombi ya kwa wingi.Itampendeza Mungu
Wakati wa mungu huwa ni wakati sahihi mungu ajawahai kukosea wewe unafikili Mungu hakusikia maombi ya huyu Mrco au kupitia ndugu walokuwa wanamuombea unafikili Mungu akusikia kilio chawatu wake wakati wa mungu ukifika umefika hata yesu hata kama yuda asingemsaliti ili abaki hata kupasuka angepasuka tu mpaka agano lake litimie
Kile kinanishangaza alipokuwa akiendesha gari alishituka ..so meaning si mshituko wakaida na dio ivo akaenda...tuombe sana...devil is working for our lives
Anaweza asiwe amerogwa ila kuna familia mtu akifika umri fulani akapata mafanikio lazima afe....ndio mana tunahitaji kuomba sana na kujitoa kwenye madhabahu zinazotufatilia za kiukoo
Iyo ni kweli kabis nawaza kira mwenye kuimba nyimbo za MUNGU wawe macho Sanaa KAMA MUNGU anahinuwa sana na njo gisi shetani naye anahinuka tunaitaji Maombi sana
So sad 😢 and my condolences to Zebron Singers and family of late and pray God to give them all comfort and strength during this time of mourning. God rest his soul in eternal glory and peace 🙏🏼😭!
Una ujumbe mzuri kwa waimbaji na naamini huja maanisha Marco ameuwawa na wachawi. Kikubwa tujikite kwa Mungu tu. Mitume wakubwa waliuwawa hadharani wengine waliugua lakini haikumaanisha hawana Mungu nooo!! NI HERI TUFE KATIKA KRISTO
Talk to Appostle Yohana +254 722 744672
Got Story? Talk to us 0706 825 456
Amina
Asante sana Pastor
There is truth in what this man of God is saying....... Tuzidi kuomba Sana na kufunga..
Most Christian s don't understand the spiritual realm !
Huu ni ukweli uezi fanya jambo bila kujijengea madhabau na mungu, waumini SILAHA ni MAOMBI na SADAKA za ULINZI ni mhimu sana kwa maisha ya mtu🙌🙌
Amen 🙏🙏🙏
@@MaryBiyaki-t4y karibu 🙌
Exactly
Tuombe jamani tutoe zakana sadaka lakini tukumbuke kwamba marco aliimba wimbo wamungu ni daktari wa moyo wake ila alivyoambiwa kwamba anaugojwa wa myo angeacha kufanyiwa upareshen akajikabidhi kwa mungu kwa maombi zaidi na mapastar wakamwombea kwa sababu alisema yesu ndiyo dakari wa moyo wake angeomba tu sana akaacha kufanyiwa uparesheni angepona
Asikofu mungu akubariki sana somo linatugusa maana tunashambuliwa hatuna ulizi wa kiloho
Ubarikiwe sana Pastor kwa ujumbe mzito.
Ni kweli,kuna watu utumia uchawi kufanikiwa na kutumia nyota za wengine lkn Mungu ninani mwisho watashidwa tu,uwezi shida shetani nyinyi
Kweli kabsa Pastor bila maombi, do silaha pamoja na fungu la kumi inakulida wachawi watakutengea mitengo lakn Haitafaulu juu yako,toa fungu lakumi Mungu atakutetea sana,sana
@@PatriciaSidi-c4w sio kuomba omba tu ila kuomba maombi sahihi!
😢wangejua hangefanyiwa matibabu hapo tz,,kwa yote mungu ndiye anajua,,inauma sana wacha Marco apumzike kwa amani😢
Man of God you are speaking the truth God bless you
mtumishi amenena iyonikweri kabisa ubarikiwe namungu nambar Yako Mimi siku erewa unaweza kunisaidia nitayi pataje
😢
Mungu atusaidie maana hospitali nyingi madaktari na manesi wanatumiwa sana katika ulimwengu wa giza, unatengenezewa ugonjwa na wanakuelekeza hospital yao naumia sana juu ya marco moyo wangu unashindwa kuamini😭😭 kama Kamwita kwa wakati huu ila sina budi kumwachia Mungu hili
Kwa kweli mimi ninapombea mara nyingi huwa sizisomi sana taarifa za madaktari kwa vile nyingi zimekusudiwa kukatisha imani ya kiroho
Really God is giving you revelation 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 concerning what's happening in the world.
Point taken, thank you man of God
Merci monsieur pasteur pour la bonne parole vs ns parle,exactement il faut se séduire tout simplement a Dieu
Ni kweili kabisa mtuimishi WA mungu
Poleni Sana Zabron singers Kwa kumpoteza mmoja wenu mpendwa.Huzuni kubwa kwetu wote
Ni kweli walimkata watumie nyota yake mungu ni samehe na roho ya mtumishi wako unpublished kwa amani
My situation right now zmay God see me through
Umesema kweli kabisa baba tatizo hasa neno la Mungu kwa waimbaji ni kidogo sana na fungu la kumi hawatowi kama inavyostaili
@@annamakandawa7065 most singers confuse praise for entertainment
Thanks for this, quite insightful.
Hata Munish Faustine alisema japo kwa mafumbo💔💔💔
Inatakiwa watu wavunje madhabahu ya ukoo Na kujenga ya Mungu si waimbajitu👏
Tusimame na Mungu nakumtafuta Mungu kwakuwa anapatikana, na ansema tumtafute yeye na nguvu zake
sasa haya ya Mchunguja nikweli kabisa tusilewe sifa shetani na mawakala wzake wapo kazini na vita nikali. Na hicho kitengo cha uimbaji ilikuwa nisehemu yake sasa atakubalije ufunguwe watu kwa nyimbo lazima atakushambulia tu,
sasa hapo ndio utakapoitafuta madhabahu na baba wa kiroho mwenye nguvu za Mungu wa kweli. Kila hatua ina bita yake na maadui wanaanzia ngazi ya familia kama ilivyoandikwa adui waakaribu niyule wa nyumbani kwako, sasa hapa Mungu akupe macho yakumjua adui na kushughulika naye rohoni. Maana ukizijua silaha zake na mbinu zake
ni rahisi kushinda sasa makanisa menngi haya ya kwetu mambo yenye nguvu ya roho mtakkatifu hawataki wanadai kanuni, sasa watu wanaangamia kwa kukosa
Madhabahu haivunjwi unajitenga nayo mum
Unajitengaje?@@MiragorethLaswai
Yaani shetani kamuona ule bora tuh.....Mungu aifariji familia yake
True pastor
Kifo ni ya Mungu....let us allow God to do His will....it is sad but God allowed it for a reason. Kwani wachawi wana nguvu kushinda Mungu? Acheni kupoteza watu
Lakini si kukufa mapema
@longliferose5905 Life is in God's hand....He is the creator of life. Jesus died when he was only 33 years ....but he had accomplished what he came to do. You can live for 100 years and still die without knowing your purpose in this world. God is the beginning and the end...Alpha and Omega....so instead of questioning God, we need to thank him for the gift He gave us while remembering that we are also on our way to the grave.
Ni kweri kabisa nasio kwa waimbaji tu hata waombaji
Nimejifunza kitu hapa ni kweli lazima mwimbaji alindwe na madhabahu na sadaka dama
Kwa kweli mtumishi hebu angalia dr.ipyana anavoandamwa na shetani
Ni kweli kabisa baba yaan kwenye hii ulimwenguni enewe tuzidi kumuomba sana mungu
Ayub alirogwa na nani nayeye na Mungu alimtolea ushuhuda WA utakatifu wake.No man is so powerful to know the secret o God.
Kumbuka Mungu aliruhusu shetan ajaribu maisha ya Ayubu lakin alimpa sharti asiguse roho yake
Job ilijaribiwa lakini shetani hakuweza kununua na alilipwa kila alichopoteza
Ni kweli kabisa Askofu mdogo wangu amekufa tatizo moyo na alianza kuinuka kiuimbaji na ufundishaji muda mfupi tu akafa inaumiza saana!
Pole Sana
Pole Sana zabron singers kuondokewa inauma sana
It's true that he acts in a hospital. It's good to sing songs that worship ano and praises God. I don't see why should the the singers sing other things other than the worship of God.
Totally agree
Exactly mjungaji wachawi washidwe katika jina la yesu
Waimbaji waangalie sana wanyenyekee chini ya mkono waMungu maana hata shetani alikuwa mwanasifa m,Zurich waombe sana kwa sababu shetani hafurahii huo uimbaji ambao upo ndani yako waimbaji wamtolee Mungu sadaka na waombe Mungu awaonyeshe madhambahu halisi inayo toka Kwa Mungu
Pole sana zabron singers Mungu awafariji
This man have spiritual knowledge
Mnamkkumbuka Valentine Munakho? Got sick and died at Kenyatta Hospital I really liked his songs.
Sasa nikuulizie, hao waliokufa huko kwenu nao madactari walienda likizo?
Exactly apostle 😢
Jaman tuelewe neno mara moja inavyorudiwa yan mungu atuongoze
Mungu ndo ajuaye
You are right man of God
Point taken, very true
Ni kweli kabisa mtumishi wa Mungu,
Yani vifoo vya kusitukiza vimekuwa ving sana kwa waimbaji duh mungu atusaidie
Plain truth. God protect us. Blood of Jesus. Cover us all gospel singers
Kweli kbsaaa hata mimi hiki kifo hapana mchg umesema ukweli kbsaa ulimwengu wa giza unafanya kazi 😢
Polesana lakinitanzania nikuombatu yawezekana ileugojwa yamoyo banailogana sana iposiku mutagunduwa vizuri namutabakamata bachawi benyeku usika nakuloga bengine ilemagojwa kwasababu banaitumiya kamabale benye banalogasumutu
Iyo kweli baba,maaduyi ni wengi na madhabu ya mwovu,Eeeeeh Mungu tusaidiye tusaidiye ili tuishi kukesha kwa maombi
Umenena ukweli askofu🙋🏼♀️🇰🇪sector ya Gospel imechafuka kabisa wooi ithank God to be alive today
Mi nilichonote waimbaji wengi wanaomuabudu Mungu halisi wanawindwa hiyo ni kweli
Kabisa asee jamanii
Yaani kwa kweli asipokufa mtu anachezewa hadi ndoa kuvunjika hakina shusho, martha ,upendo nkone n.k ona jamani😢@@MarryUisso-d6l
Jamani sedekia😢 rose muhando aliwashinda kwa jina la YESU.
Ni kweli kurogwa kupo ila sio kila anaekufa karogwa. Kumbuka kuwa hata mchawi hufa, ns hata kwa mchawi poa huwa wanafiwa !
Kiroho ile kuaga dunia siku 9 baada ya mkuki wa giza (shambulio la ghafla) kumdunga kifuani kumeniacha natafakari kama waliomuombea walilifukuza pepo la mauti na kumtamkia uhai kinabii!
Nakumbuka nilipowaombea kinabii ndg Rugemalira na Kaka Mbowe mahamani kisha gerezani kilichofungua milango ni nguvu neno la kinabii. Sijawasahau Mo Dewji wakiwa na Babra, pia binti wa Alice John aliyekuwa anaishiwa damu kipepo pepo. Kwa hekima ya kishauri na neno la kinabii lilitimia.
Miujiza na shuhuda ni nyingi siwezi kulimaliza.
Naamini Zablon walipaswa kuwa wazi haraka na kutangaza ugonjwa wa Marko maana ufahamu na ujuzi wa kiroho hutofautiana.
Nilizaliwa Msabato ila nimejifunza mengi, kimaombezi kutoka kwa baadhi ya walokole wakweli.
Sio kila siku tuombe kinyonge nyonge na kusimama ukingoni Kingoni (njia panda) "... Wawezeshe madaktar....Kama ni kupenda kwako aishi basi aishi... Amina"
Amini nakwambieni mfalme Hezekia hakuomba hivyo, angeomba hivyo angefariki.
Kosa la madaktari lilikuwa kumjulisha Marko hali yake. Ni maadili yao ila kwa kufanya hivyo walimvisha vyazi la umauti kwa hofu bila kufahamu. Naiamini sayansi ila mara nyingi ninapokuwa nimejulishwa kumuombea mgonjwa aliye mahututi huwa sizisomi wala kuzizingatia sana tarifa za madaktari! Kama mhusika ni kijana au mtu anayehitajika sana kijamii / kiroho huwa naitisha uhai tu na kufukuza giza! Wengi wameishi kwa maombi bila gharama ! Na nashukuru wengi wao hata sadaka za shukrani kwa Nabii / mtumishi hawakukumbuka kutoa. Utumishi wa ukweli una majaribu yake.
Simu +255746450753
Whatsapp +255782886744
Ni muhimu kusoma kitabu cha MKUU WA WACHAWI AMGEUKIA KRISTO kimeandikwa na Prof. Ike Nathan Uzorma
Amina baba nashkru umefungua wengi.
Amen Mungu akupaliki Kwa kutufungua akili mtumishi Wa mungu
God bless u
Yaani unaogea ukweli mtupu pastor..
Good question...those patterns are not good
Kweli kabisa ni maroho za kutumwa
Alguém aqui pode me explicar por favor, em português o que este homem esta contar ?
Ukiwe kabisa pastor
You remember ambassador of Christ team?
N kweli saaana bwana askofu Aky Mungu tuhurumie
Ungejua. Vitakubwa aui isee
Kwawachungaji
Asante KWA kutukumbusha KWELI kwa Sasa HIV, tuombe San maisha yanatisha mmmmm mwanadamu WA Sasa nawaogopa kama ukoma ubarikiwe kwa KWELI MUNGU akupe maisha MAREFU amina.
Mungu akubariki baba
Kenya tumehusunika sana,sana na pdo tunalia Marco joseph
Mungu aturehemu.Umesema kweli .Mtumishi,na ushahidi wote.Who is your prayer partner,father? Tujiulize,
Tupo kwenye ulimwengu mgumu sana uliojaa wivu, chuki na kukomeshana. Mungu atupe ulinzi sisi ambao yameshatuguza haya tunaelewa huyu mchungaji anachosema. Wachawi wanapenda sana kuuwa nguvu kazi yani vijana
Lakini mm huwa najua mungu huwa Linda walio wake, ajafa mbali amepunzika, hata wachawi wakituuwa mwili roho zetu ziko hatakua hai
Na alikuwa na nyota kubwa imbayo imekuwa imeengaa ilikuvunja nguvu za Giza,Sasa madhabahu ya mwovu iwezi furahiya hayo,badi turudi kwenye misingi ya Imani, ili maombi ya kwa wingi.Itampendeza Mungu
Seek where there's God's grace and hide under it, listen to him 👆👆👆 again
Ni ukweli kabisa mtumishi wa Mungu
Kabisaaa mungu ni mwaminifu tutor shaka na shadska juu ata Ibrahim alitoa shaka mwanawe ,juu ukitoka tithe itozi kitu ,shadska ni ya mwimusana
Wakati wa mungu huwa ni wakati sahihi mungu ajawahai kukosea wewe unafikili Mungu hakusikia maombi ya huyu Mrco au kupitia ndugu walokuwa wanamuombea unafikili Mungu akusikia kilio chawatu wake wakati wa mungu ukifika umefika hata yesu hata kama yuda asingemsaliti ili abaki hata kupasuka angepasuka tu mpaka agano lake litimie
Jitahidi ujiombee, tengeneza madhabahu YAKO, mtu unapomuambia akuombee naye ana yake ya kukuombea wewe atakuweka ziada tu
Kama kawaida kazi yenu wa Kenya, kuiponda tz hawajui kitu, ila kwenu Kenya mazuri elimu vyote mnajua nyie, msitupondee Madactar wetuee
Kile kinanishangaza alipokuwa akiendesha gari alishituka ..so meaning si mshituko wakaida na dio ivo akaenda...tuombe sana...devil is working for our lives
Witches have no power over the power of God,,,Only God knows why,,,,,,we humans we speak out of our minds but no body knows,
mung akubaliki nimepoke ujumbe wangu amne
Fact
I sincerely pity anyone who thinks Apostle Yohana is a truthful man.
Wambie tena
He might not be truthful according to you, but he is saying the truth on this matter
@@philipwambua1789just his thoughts
Exactly, on this matter it's the truth@@philipwambua1789
@@philipwambua1789 God bless you my brother
Ukweli kabsaaa,,,,
Wakat mwngne Mungu Anawachukua wale wanaompendeza
😢😢😢😢 yaan waandishii ni huzuni kwakweli.
Mapya yanaibuka hata hajazikwaa
Ukweli kabisa
Kila madhabahu hotolewa sadaka hiyo ni kweli
Anaweza asiwe amerogwa ila kuna familia mtu akifika umri fulani akapata mafanikio lazima afe....ndio mana tunahitaji kuomba sana na kujitoa kwenye madhabahu zinazotufatilia za kiukoo
Mshungadji anaongea ukweli Kabisa,'Mungu atulinde kabisa tunabidi kukesha sana
Ukweli kabisa🙏🙏🙏🙏
Ukweli kabisaa 😢
Mungu nisaidie Mimi hakika
Truth spoken
Iyo ni kweli kabis nawaza kira mwenye kuimba nyimbo za MUNGU wawe macho Sanaa KAMA MUNGU anahinuwa sana na njo gisi shetani naye anahinuka tunaitaji Maombi sana
Hakuna nguvu za giza zinazoshinda kwa nguvu za Mungu,kwahiy kufa kwake ndiyo mipango ya Mungu,
Mpango wa Mungu ndio huwo?
Mungu husaidia mtu pale wewe nawe itakapo zama sana ktk misingi ya kushika sheria zake
@@RamadhaniHussein-sy5zx kama ni mpango wa Mungu mtu kufa ujanani alete maandiko
Ukweli kabisa mtumishi
Amen
Shalom. Huo nii ukweli mchungaji. Watu wanakufa video vyaa kutatanisha
Ni ukweli pastor Ezekiel hufunza sana abt sacrifice
So sad 😢 and my condolences to Zebron Singers and family of late and pray God to give them all comfort and strength during this time of mourning.
God rest his soul in eternal glory and peace 🙏🏼😭!
Una ujumbe mzuri kwa waimbaji na naamini huja maanisha Marco ameuwawa na wachawi. Kikubwa tujikite kwa Mungu tu. Mitume wakubwa waliuwawa hadharani wengine waliugua lakini haikumaanisha hawana Mungu nooo!! NI HERI TUFE KATIKA KRISTO
Wengine wanakuwa wameshamaliza kazi yao hapa duniani