Duh shekh mzima unashiliki kwenye kutetea watu waendelee kufanya zinaa tuna kwenda wapi jaman mara waganga mara hiv Yani mnataka tusieleweke kama wenzetu 😢😢
@@AtwifMabrouk mkijijenga nyie inatosha Sasa kama kwel Amna unafki ndan yenu kwann mnawaza sisi tutakavowachukulia jitaidini Kufanya Vitu kwa ajili yenu na Mungu weng.
Nawapa pole watanzania mnakwenda pabaya sana ndugu zangu. Badala ya kutazama maendeleo leonazungumzia na kushangilia malaya na mashoga alafu mnalalamika njaa. Duhhh poleni sana
Sunbhanallah wabihamndihi subhanallah laadhim. Inadikitisha kuona hawa tunawapa vipao mbele mashoga na watu maarufu wenye tabia zenye ukakasi. Kinachoniliza zaidi ni kuona uso wa Ustathi Mazinge apo 😢😢😢
Hamna Duwa Hapo man NAONA 😮 mabeni 🥁 sas Duwa na Nyimbo wapi na wapi Allah awalaani msiichukuliy dini kimachara Nyie Mbwa na huyo Roja lazima Afut hizo tattoo Zake Kwanza
Kiki tupu ,wenyewe wanaingiza mshahara wao,uwanja hauna watu zaidi ya waandishi wa habari na wasanii watatu tuu,pamoja na Shekhe😂. Tuseme Freemafon imeturoga Tz nzima basi kushindwa kuona wala kuelewa hii ni Content kama Content nyingine😅
Innalia wainna irey rajiuuun subbunn llah yaan mna gombn kisa mtu mwingine kabisa jaman mtikhan kweri dunia mtikhan kwakweli na ww shekhe unakwenda kushiriki mamb ya ajabu jamani duuh 😢😢😢
Halali ccm wanavyouza nchi,kweli kwakuwa na watu kama hawa kweli wanawaza upuuzi tu huku rasilimali za nchi zikiporwa,ona nacho hicho kishekhe kinaacha kufanya ya maana kinakazana na upuuzi upuuzi
Ila hata kama ni ndoa kwa jinsi harmonize alivyo mdhalilisha kajala kumuonyesha paula utupu wake hata ingekua ni mm ndo kajala nisinge rud,,, ila mazinge hapo unajidhalilisha usinge kubali muhadhara huo,, ww ni shekhe mkubwa unaheshimika sana
Kweli pesa makafatas yan watu wazima wanakalia kulipwa na kuhaibika hivo muda huo wangelisha familia zao ila umbea ndo chakula chenu 😂😂😂😂😂 uyo anaetrendiashwa kashindikana kote
Sheikh wetu mazinge tunakuombea mwisho mwema lkn huku unako elekea utafel Archana na hao vijana sio vby kuwalingania Ila angalia na ulinganiaj wako na sehem husikq
Hapa sasa ndo watu wanapoanza kuwaelewa zaidi wachokonozi kuwa hizi dini zote zinamashaka ndani yake shekhe mkubwa km huyu wakujishushie heshima mbele za watu kipumbavu kbx yani hella mbaya sana ila tuwape sikio wachokonozi wana jambo wale sio wakuwapuuza kbx
@@bintmrisho3526 ndiomana siku zote tunatakiwa kuomba mwisho mwema umaskini ulaniwe kabisa mazinge sikuhizi sijuwi amepatwa nanini Allah amsamehe amjalie mwisho mwema
Mazinge sio shekh jamani msibabaike na 1/23,.matayo kwenye biblia Huyo dini haijui vizuri ndo maana anafosi vitu vya kipuuzi vionekane vya maana amepiga pesa kwa sharifu feki hazijatosha amehadaika.na mwijaku
Mazinge Mazinge Mazinge....daahh hayaa , Allah atupe Khatma njema Binaadam sie HAKUNA MKAMILIFU
Mazinge hana kosa gan kaitwaa kama shekh na naongea maneno ya allah
Daah mazinge😢
Wacha kutetea ujinga ili na wew usiwe ktk wajinga@@abdullynasry2205
Daaa Vijana Watanzaniaaa Wengiii ni wa hovyooooo sana Basata Watazameni hawa Taifa hili ni letu soote Upuuuzi umekuwa mwingi sana
Kajara naona watu wengi wanataka warudiane harmonize naomba namimi watu wasiwuwane kwabule murudiane ❤
Shekh mazinge wew ni kiongozi mkubwa angalia sehemu u azoitwa zitashushia heshima yako
Kiongozi mkubwa wa nini muhunu huyu
Uyo sio kiongozi@@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
Mazinge ulikua ni mtego uo. Fikir kabla yakutenda. yani dah!! Mpaka aibu naona mimi😢😢
Mazinge hajawi kua shehe
😂😂😂😂😂nimekuwa nimepitwa😂😂😂😂jmn wausika wametulia huko wapuuzi ndo wanarushiana vumbii🤣🤣🤣🤣
Nilikua bz na mpira 😂😂sasa hizi ni gani😂😂😂
Ikiwa Kuna Ukweli Basi Kajala Hongera Kwa Kumtuma Mjumbe, Chukua 🎉🎉🎉🎉🎉 Yako. Wewe Ni Mkristo Unayejitambua.
Tanzania ni inchi ya kwanza Ku zaraulisha Islam.
Umeona eeeeh paka me nashanga ama hawajuwi dini
iki nn
Sanaa tu
Mazinge unaelikea kufeli shekh unapunguza sivi zako kwawapumbavu hao yako dini shekh
Kashafeli tayar
Kitambooo anaangaliaga ela sas hvi hamna shekh hpo
Utoto mtupu unafanywa na watu wazima. Wewe wostadhi gani kweli unahangaika na mahusiano ya kipuuzi ambayo hayana kichwa wala miguu
Huyu shekh anajidhalilisha na njaa
Sasa wewe kwa akilii zak bilaa mausianoo utaolewa vp chokowe
Eti nimetumia mil 30 kuweka picha bila idhinin ya mtu hailuhusiwi
@@RomanMwinyi asa matusi ya nini kaka kuolewa ni maamuzi ya mtu unatangaza wameludiana wakati mwenyewe hajui
@AishaMac Sasa kama ajui uyo shoga mwenyewe au
Hostadhi mazinge tulikuwa tunakuheshimu sana ila unadhalilisha dini acha njaa shekh😢😢
Yaani Mtu Akipotosha Biblia Na Kukadhibisha Ukristo Ndo Tayari Kashakuwa Shekhe, Dah!! Bado Hamjasema, Mpaka Mseme.
Daah 😢
Huyu sio shehe mbona inajulikana
Duh shekh mzima unashiliki kwenye kutetea watu waendelee kufanya zinaa tuna kwenda wapi jaman mara waganga mara hiv Yani mnataka tusieleweke kama wenzetu 😢😢
Hatari kwali
Mkijielewa nyie wenyew proud to be inatosha sheikh
@@SuzanMoshi-m1sAcha izo
Tupo Kwa ajili ya KUJENGA izo Style za Jealous Peleka KENYA
@@AtwifMabrouk mnajenga zinaa wapuuzi sana nyie
@@AtwifMabrouk mkijijenga nyie inatosha Sasa kama kwel Amna unafki ndan yenu kwann mnawaza sisi tutakavowachukulia jitaidini Kufanya Vitu kwa ajili yenu na Mungu weng.
Mpya ya mwaka 😂😂😂😂 kajala achana na huyu mabangi aende uko kwa majoice wowowo juma lokole asante 😂😂😂😂
Nawapa pole watanzania mnakwenda pabaya sana ndugu zangu. Badala ya kutazama maendeleo leonazungumzia na kushangilia malaya na mashoga alafu mnalalamika njaa. Duhhh poleni sana
Naifananisha tz na bollywood mnavo worship celebrities 😂😂😂😂😂
Kwa hii picha kajala ina fanya nini hapoooo
Mazinge mazinge mazinge mbona Kama unapotea mzee wangu Allah akupe mwisho mwema
Manabii walipita kwa watu wenye dhambi ili wawe wema Kwa hyo hpo inatakiw kutoa daaw
Ustadh tapeli
Try kenya at your own risk God is working for us mwijaku angetandikwa vizuri sana kwanza yule alitandika mwijaku nina zawadi yake😊
Njaa mbaya sana kweli shekhe mzima unahisishwa kwenye upumbafu kama huu hapo kapewa hela kasahau cheo chake Aibu sana
Sunbhanallah wabihamndihi subhanallah laadhim.
Inadikitisha kuona hawa tunawapa vipao mbele mashoga na watu maarufu wenye tabia zenye ukakasi.
Kinachoniliza zaidi ni kuona uso wa Ustathi Mazinge apo 😢😢😢
Mbona mnazima kamela jamaniiiii aaaaa😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂umeona ee
Mazinge unakokwenda siko kabisaa unajiaibisha wallah
Kabisa
Hamna Duwa Hapo man NAONA 😮 mabeni 🥁 sas Duwa na Nyimbo wapi na wapi Allah awalaani msiichukuliy dini kimachara Nyie Mbwa na huyo Roja lazima Afut hizo tattoo Zake Kwanza
😢😢😢😢 juma htl Sana kwan harmonize kakukosea nini
Inalilah wainailah raj'un😢
Duh..kumbe kiki zina pesa eeeh...bebeni 🎉🎉🎉🎉🎉yenu
Sheikh mazinge utuuzima wako unakupeleka vibaya kwa kweli. Ujafany nn apo mkuu😮😮😮
Mwenyew kajala.jitu zima anataka kulala na vitoto mwisho.ndio.huu anajizalilisha chefuuu
Kabisa mtu mzima hajielewi
Kajala bila Paula kumchukia harmonize Kajala angeludi fasta na husikute wazagamuana vizuri xana c anapenda ela
Kwan biHadija alikuwa na umri gani wakati anaollewa natume?
Kenge ww muache kajala mpuuzi ww
Mapenzi hayana umri ww mjinga.Mtume mwenyewe alioa mtoto mdogo na mtu mzima.
Ndio maana nikikosa bando nahisi homaaa 😂😂 lokole anakehelehele au anamtaka konde boy yeye jamani 😂😂😂😂😂
Harmonize mdogo wangu tunakupenda sana.lakini Kwa utoto huu utapoteza mashabiki wako wote.yani hauwezi pata mwanamke wa maana ukawa nae???
JUMA safi sana umetetea haki ya mwanamke wasi chafuliwe majina hovyo😂😂 kama ni kwelii kajala hataki basi na mpongenza kajala 🎉
Jamani hku kivumbi leo😂😂😂😂😂 kimenuka mbona wausika wenyewe hawapo watu wanauwana huku jmn😂😂😂
Yan kamera man bwana angekua mtu kacheza uchi stejin msingeziba ila watu wanapigana tena na nguo mnaziba😂
Kamera man ni mshamba tyu nae kaja kufata nini hapo kama so kutafuta pesa sa anaziba nini tusishuudie mikunjo
Cjaelewa na shekhe anafanya nin hpo
Msibaaa mkubwa ata jina alimfai kbs
Kiki tupu ,wenyewe wanaingiza mshahara wao,uwanja hauna watu zaidi ya waandishi wa habari na wasanii watatu tuu,pamoja na Shekhe😂.
Tuseme Freemafon imeturoga Tz nzima basi kushindwa kuona wala kuelewa hii ni Content kama Content nyingine😅
Waislam mmeona kiongozi wenu anavyojidharirisha hapo
Shatup
Kwani yeye ni binaadamu kama wengine havihusiani na dini
MAZINGE UMEFANYA KAZ KUBWA SANA MIAKA MINGI ILA SAIZ HIYO NJAA INAKULEKA PABAYA HESHIMA YAKO INAPOTEA
Huyu mazinge sijamuelewa bado 😮
Ila kajala ana matako aisee mimi napenda mwanamke akiwa na matako kama ya kajala na siyo kama ya posh
Yaani mazinge kazingua mno.
Innalia wainna irey rajiuuun subbunn llah yaan mna gombn kisa mtu mwingine kabisa jaman mtikhan kweri dunia mtikhan kwakweli na ww shekhe unakwenda kushiriki mamb ya ajabu jamani duuh 😢😢😢
Mazinge unafanya. Nn mzee dah ww shehe unaeheshimika afrika masharik wakristo weng wanakuogopa achana na mambo ayo
MWENYEZI MUNGU hajawahi kuacha kumdhalilisha mtu, Sheikh Mazinge huku ndiko ulikofikia. Bado udhalilifu utakukuta sana.
Halali ccm wanavyouza nchi,kweli kwakuwa na watu kama hawa kweli wanawaza upuuzi tu huku rasilimali za nchi zikiporwa,ona nacho hicho kishekhe kinaacha kufanya ya maana kinakazana na upuuzi upuuzi
Hili ni taifa la wajinga tupu.
Sasa huyu J.Lo anataka akitoka Malaika awe yeye au ?
Mbona hataki Harmonize apige misambwanda😅😅😅😅
Anataka kupigwa yeye anaona wivu
Duuh sheikh hiyo sehemu ilikua haikufai kabisa ila Allah akusamehe tuu
Af msipotoshe bhana waandishi nyie, hao wameshikana tu#tuwapangie sehemu wazichape vizuri!!
Kwani kajali mwenyw anasema je😂😂😂😂😂😂😂😂
Juma kaenda mwenyewe hata ajatumwa na kajala
Hataki shobo 😅😅😅
@@MwanaidiBaby anampenda tembo sababu amchune!
Allah akupe mwisgo mwemaaaa...
Mazing iZi Siku Auna kazi ya kufanya
We shekh umelipwa sh ngap adi ujidhalilishe kias hicho
Ata mm Sitamani Kajala Arudiane na Harmoniz
Ila kajala ana matako mazuri
Tuwaachie wenyewe kama wameoenda waowane
Huyo shekhe ame enda kuji dhalilisha tuu 😢😢 upuuz mtupu
Ila hata kama ni ndoa kwa jinsi harmonize alivyo mdhalilisha kajala kumuonyesha paula utupu wake hata ingekua ni mm ndo kajala nisinge rud,,, ila mazinge hapo unajidhalilisha usinge kubali muhadhara huo,, ww ni shekhe mkubwa unaheshimika sana
Maokoto ,almalu walbanun zinatul lihayatah dunia
Yakumuonesha utupu yalisha pita waka rudiana
Je na mume anayezini na mwanae wa kuzaa ee mama unateswa hapo ndani ..Acha tu wakipendana waendelee, Mungu wao anajua.
Mazinge sio sheikh ni mchambuzi wa maandiko
Etii harmonize aombewe dua kwa ibaada gani kwaza ata hukum za uislam hazi jui
Mazinge sikuizi unajishisha hazi baba angu walai unatetea maovu kila Kona adi kwa shalifu feki unatetea dooo mungu akusamehe
Yaani mazinge ameingilia utoto kama huu😂😂😂 nilidhani amesoma tokea ile time ya sharifu😂😂😂
Njaa
😂😂😂hela ngumu snaaaa bongo
Heri upigane ya Kiki BT upate hela
yani mazinge unaacha vtu muhimu unaend kufatilia vtu vya hovyo kweli...yan uyo mwnywe mnaempigia debe vtu vyake daily mnaviona. Dah huruma kwko SHEKH MAZINGE
😂😂😂😂😂kausha bana🎉🎉🎉
Uyo mazinge anafanya nini kwenye utumbo huo ?..... Halafu mkiitwa mashehe ubwabwa mnakasirika.... Jamani Mungu wetu ziponye nafsi zetu na tamaa🙏
ila huyu shekh wawap jmn mbona ana usenge mwingi hvy mambo ya dunia yanamuhus nn😅😅
Juma sijui sura yake ataiweka wapi huyu shoga mkosa haya 😂
Sh. Mazinge usishirikiane na wazinifu, unadhalilishwa
😂😂😂 Uzur wa bongo fanya vitu vya ovyo OVYO like this nd watu wa Tanzania wanavyo penda😂
Mazinge unazeeka vibaya sana yani sasahivi umepotea kabisa dini huijui tena😭😭😭
Kisa chakupigana nini 😢😢😢😢😢 kajala au mmeshiba sana?
Am proud to be Muslims 😅😅😅
Mazinge kafanyaje mazinge hana tatzo kikubwa kaitikia wito kwa maslahi yake Binafsi. Tatzo lipo kwa hao machoko wanao Force kiki
Kweli pesa makafatas yan watu wazima wanakalia kulipwa na kuhaibika hivo muda huo wangelisha familia zao ila umbea ndo chakula chenu 😂😂😂😂😂 uyo anaetrendiashwa kashindikana kote
😂😂😂😂😂😂et toeni picha ya kajala 😂😂😂😂😂😂
Sasa we mwanaume unatumwaj na mwanamke😂😂😂
Huyu ni #JumaLokole ama ni #MwajumaLokole😂😂😂😂
Miki nilikua sijawleqa 😮kha mazinge Leo Yuko kwenye jukwaa linalohamasisha ngono ya rabby tukubalie Toba zetu
Hvi mbona mliziba wakati zinachapwa😂😂
Yani wanaume na ndevu zenu mnafanya usenge au machoko kweli? hivi kuhangaika kote kisa mmakonde arudiane na K dah wasenge hawaishi
Sheikh Mazinge izo sio sehemu sahii za kuwepo mtu mkubwa kama wewe mzee wangu ona kila mtu kaonyesha bangi zake wamekuachia jukwaa
Amna sehemu sahh dini n popote
@josephbuttondo3025 elewa comment nduguangu usiwe mwehu apo nimeongelea dini? . Mtoto mdogo akili huna
😢mazinge mazinge mazinge unafanya nn hapo kama huna pesa njoo huku pemba tuchume karaafuu
Kweli kabisa
Hapo ndio mjue na nyie waislamu mnaviongozi wa hovyoooo vilevile
@@ZsbAlbarwanimazinge aisee anatuangusha sanaaa
We nae kila comment lazima uriply aya tumekuona @@NeemaSamson-ti8pc
Pemb wap mm mwenyew nip pemb sizion
Sheikh mazinge daah sijapenda
Uyujuma lokoleee wana sema siorizck ila na kamsuli siopouw
Shekh mazinge vp mbona unajizaririsha ivo hao wahuni tu
Proud to be ,manzige😂😂😂
😂😂😂
😅😅😅😅😅😅@@NeemaJanga
😂😂😂
😂😂😂😂😂mazinga umbwe🎉🎉🎉🎉😂😂
😂😂😂Juma iko kichwa sjakuelewa yni hpo ndo ushamipga mwijaku kichwa ama vp
Milioni 30 za mwijaku zileee😂😂😂❤
ndiyo mana simu amini shee yeyote na muamini mungu
Camera man jamn mbona pengine hatuoni 😂😂😂😂
Hizi njaa zitawauwa😂😂😂😂
Kabisaa ukubali kupigwa juu ya kiki
Wasenge nyie
Wote 😊
Sheikh wetu mazinge tunakuombea mwisho mwema lkn huku unako elekea utafel Archana na hao vijana sio vby kuwalingania Ila angalia na ulinganiaj wako na sehem husikq
Mazinge .ananjaa.inamsumbuwaaa.jamaniii
Hapa sasa ndo watu wanapoanza kuwaelewa zaidi wachokonozi kuwa hizi dini zote zinamashaka ndani yake shekhe mkubwa km huyu wakujishushie heshima mbele za watu kipumbavu kbx yani hella mbaya sana ila tuwape sikio wachokonozi wana jambo wale sio wakuwapuuza kbx
Juma Mungu azidi kuwa na wewe unapigania haki ya wanadamu wa sio weza kujitetea😢Mungu azidi kuwa nawe daima.
Kuwa na mashoga
Ucikute ni mipang y wat wamepanga kumzalilish sheh na kuishusha hazi dini😭😭😭😭
Juma good nimependa sana
Hawa ni wasani usikute hata wanaigizaa😅😅
Baba yangu sheikh mazinge unatudhalilisha waisilam umeenda kutafuta Nini hapo mzee wangu umekosea
Mazinge asaiv hana lolote
@@bintmrisho3526 ndiomana siku zote tunatakiwa kuomba mwisho mwema umaskini ulaniwe kabisa mazinge sikuhizi sijuwi amepatwa nanini Allah amsamehe amjalie mwisho mwema
Hakuna shehe hapo
Njaa haina u shehe
Ni kibaraka wa shetani.
Yan we juma kama choko
Usipende kujiona mkamilifu Mwijaku,umri wako na hao unaoshindana nao mbona tofauti sana? Pia wamekuacha mbali kimafanikio.
Mwijaku mshenzi tu ka tembo mnafik
😂😂😂😂Ati Katumia million 30😂😂
Mazinge sio shekh jamani msibabaike na 1/23,.matayo kwenye biblia Huyo dini haijui vizuri ndo maana anafosi vitu vya kipuuzi vionekane vya maana amepiga pesa kwa sharifu feki hazijatosha amehadaika.na mwijaku
Hapo kosalake nini mazinge mbina mnaaandika mambo kwa mihemko😊
😂😂😂 jaman umbea una2pita mbona mna2ziba hatuon tena!!😂😂
Wazichape tu
Kiukweli mlikosa kazi zakufanya nauyo juma sijui kama nimwenzetu