Glory be to God forever and ever Amen. Pole kwa uliyoyapitia mchungaji. Jacktan hakika unafanya jambo LA maana mno na Mungu mwenyewe atakulipa. Mungu ndio mchungaji wetu kwake Kuna usalama
Nilihangaika ndunia Nikaenda mpaka kwa waganga…kutafuta uzima wa milele! Mama yangu kawa mbaya, wote ndugu wakawa wabaya, baba pia akawa mbaya!!! nilichopata huko Kwa wanganga ni hasara yesu nipe uzima! That song popped up in my mind soon as I opened this page!! But Jesus Christ is our Master, Lord , savior, redeemer, THE ONLY WAY, THE TRUTH , AND THE LIFE!!! Glory to Him Name!!
😭😭😭😭😭😭😭 niliwahi kukaa kwa mganga miezi zaidi ya 8 lakini Yesu aliniokoa, asantee Yesu kwa kunitoa huko mimi sijui ningekuwa wapi mimi ahaaa inatisha😭😭😭😭😭

Amen
Haleluya mtumishi ubarikiwe kwa huduma kuu
Nilihangaika ndunia Nikaenda mpaka kwa waganga…kutafuta uzima wa milele! Mama yangu kawa mbaya, wote ndugu wakawa wabaya, baba pia akawa mbaya!!! nilichopata huko Kwa wanganga ni hasara yesu nipe uzima! That song popped up in my mind soon as I opened this page!! But Jesus Christ is our Master, Lord , savior, redeemer, THE ONLY WAY, THE TRUTH , AND THE LIFE!!! Glory to Him Name!!
Uliponywaje ? Ulitokaje huko? Share your testimony
Mama kweli ni mtu wamuhimu
Ee Pole sana mtumishi kwa masaibu. Barikiwa sana Jacktan unatuelimisha sana
Amen
Mungu ashukuriwe kwa kukutoa kwenye utumwa mzito
Glory to Jesus
😭😭😭😭😭😭😭 niliwahi kukaa kwa mganga miezi zaidi ya 8 lakini Yesu aliniokoa, asantee Yesu kwa kunitoa huko mimi sijui ningekuwa wapi mimi ahaaa inatisha😭😭😭😭😭
Pole sana Mungu atunusuru
Yesu anatupenda saaanaaa, ana upendo usiomithilika😭😭
Mungu ni mkuu .
Part 2 iwapi?
Inakuja punde