Asante sana mungu akubariki tunateseka sana wagonjwa wa Kisukari madocta wanatuchanganya sana eti wanatuambia tusile tunda lolote lenye sukari .wewe umelezea kiusomi zaidi nitakutafuta
Anawapotosha huyo.yy anashauri mgonjwa wa kisukari ale tikitimaji,kitu ambacho madaktari wengine wanakataza na ndo ukweli.huweze kuwa na sukari nyingi mwilini,na bado unaiongezea.
Nadhani ni Bora kujaribu vyote na kuchagua kile kilichokupa matokeo mazuri Nadhani hata hao wanaoshauri tofauti na wewe kama wanawapa matokeo mazuri watu, sio shida Ninavofahamu ukila vizuri ndani ya siku7mpaka10 utapata matokeo na ukila vibaya vilevile utapata matokeo mabaya ndani ya mda mfupi
Habali Dr Mimi nilipimwa sukali wiki iliopita nikaambiwa Nina sukali ilikuwa inaonyesha 19,9 nikapewa vidonge vya mwezi na nikaambiwa kila siku tano nikapime samahani nilikuwa naomba namba Yako Dr Kwa ushauli zaidi samahani
Dr. Asante sana kwa somo zuri la tiba ya kisukari. Mimi ninahitaji hiyo UG CARE nipo Dar nitaipataje. Nimejaribu sana kukupata kwenye cm ila cm yako haijibiwi nifanyeje na gharama za hiyo UG care ni shs. Ngapi kwa dozi na nitahitaji dozi ngapi? Tafadhali naomba majibu.
Nakuomba umtafute Dr Boaz Mkumbo bingwa wa ugonjwa wa kisukari,ukifanikiwa kufika kwenye clinic yke,utanishukuru siju moja.nakuhakikishia Happiness utapona tena kwa vyakula tu.ingina TH-cam andika Dr BoazMkumbo MD.utampata.unapona
Asidanganye umma,mgonjwa wa kisukari huwezi na huruhusiwi kula wanga yoyote ile,wala matunda yenye sukari.mwili wko tayari umekinai sukari,bado unaumiminia tena sukari huez pona.miili yetu huwa haijui kupambanua sukari ya miwa,au ya embe au ya tikiki,sukari ni sukari ikishaingia mwilini ina madhara sawa.kwaushauri naomba utafute kitabu cha sayansi ya mapishi kwa wenye changamoto za sukari.kitabu cha Dr Boaz Mkumbo MD,utaelewa namaanisha nn.
@@rosemarysulle9288usimponde Mimi mama angu anaugonjwa wa sukar tangia 2015 alilazwa mloganzila tukaenda clinik akaruhusiwa kula vyakula vyote na akapewa sindano akatumuia . nashukuru Mungu kwa Sasa hatumii dawa yoyote na sukar yake tukimpims Tano kabla ya kula.kwaiyo kila mtu anasukar yake
Asante sana mungu akubariki tunateseka sana wagonjwa wa Kisukari madocta wanatuchanganya sana eti wanatuambia tusile tunda lolote lenye sukari .wewe umelezea kiusomi zaidi nitakutafuta
Asante sana nitaanza kutumia hivyo mungu akubariki nilikuwa naogopa sana papai
Nitakuja baba mungu akubariki
Asante sana
Safi sana Dr nitakupigia.
Dr hongera Sana.Nimekuelewa vizuri.
Shukrani
MUNGU akubariki naamini napona endelea na masomo
aksante sana
ASante sana doctor 🙏
Samahan dokta vip kuhusu sukari ya mimba
Wa nimefurahia funzo yako, nasikia nimepona ata sija jaribu thank you, mimi hapa uloss hope
Karibu sana
Asante sana Doctor
Doct mm nimekuelew lakn mbon mnatuchanganya sanaaa ww unasema mayai hayafai ila madocta wengin wanasem hayana tatizo wenvin wanasem ndiz hazifai ww unasema hazina tatizo nan tumuamini???
Anawapotosha huyo.yy anashauri mgonjwa wa kisukari ale tikitimaji,kitu ambacho madaktari wengine wanakataza na ndo ukweli.huweze kuwa na sukari nyingi mwilini,na bado unaiongezea.
Habari, naomba namba
0767 759 137 Dr. Nature
0767 759 137 Dr Nature
Doctor hizo mboga hazitakiwi kuchemsha
Unashauri vizuri sana sana namba ya simu tunaomba
Dr. Nature 0767 759 137
Nadhani ni Bora kujaribu vyote na kuchagua kile kilichokupa matokeo mazuri
Nadhani hata hao wanaoshauri tofauti na wewe kama wanawapa matokeo mazuri watu, sio shida
Ninavofahamu ukila vizuri ndani ya siku7mpaka10 utapata matokeo na ukila vibaya vilevile utapata matokeo mabaya ndani ya mda mfupi
Nimelipenda hilo somo
Ubarikiwe sana mtumish
Dr naomba hiyo product nitapataj
Habali Dr Mimi nilipimwa sukali wiki iliopita nikaambiwa Nina sukali ilikuwa inaonyesha 19,9 nikapewa vidonge vya mwezi na nikaambiwa kila siku tano nikapime samahani nilikuwa naomba namba Yako Dr Kwa ushauli zaidi samahani
Namba ya dr ni 0767759137
Naomba namba doctor nimekuelewa
0767 759 137
Dr me sukari yang iko chin nifanyaje ili iweze kua sawa
Tutakupatia namba za Dr umpigie kesho tafadhali
Naomba namba
0767 759 137
Naomba namba ya simu
naomba namba sim
0767759137
Dogo acha bangi
Dactari ukila tunda lenye sukari sukari inapanda inatakiwa ule kiasi gani
Namba za Dr. Nature hizi hapa 0767 759 137 mpigie tafadhali
Eeeee
What is stem cell and its effects
Na bei yake
Ugk nitaipataje niko mombasa kenya
Wasiliana na Dr Nature kwa namba hii +255 767 759 137
Nateseka nitakutafuta
Dr. Asante sana kwa somo zuri la tiba ya kisukari. Mimi ninahitaji hiyo UG CARE nipo Dar nitaipataje. Nimejaribu sana kukupata kwenye cm ila cm yako haijibiwi nifanyeje na gharama za hiyo UG care ni shs. Ngapi kwa dozi na nitahitaji dozi ngapi? Tafadhali naomba majibu.
Nakuomba umtafute Dr Boaz Mkumbo bingwa wa ugonjwa wa kisukari,ukifanikiwa kufika kwenye clinic yke,utanishukuru siju moja.nakuhakikishia Happiness utapona tena kwa vyakula tu.ingina TH-cam andika Dr BoazMkumbo MD.utampata.unapona
Naomba hiyo uG care na Bailey yake
Million Moja na lak tano.
0767 759 137
Nipe number yenyekujaa ya Phone📱
Namba ya dr ni 0767759137
Df
Dogo acha kudanganya wagonjwa.matunda yenye sukari acha hta karot acha kbsà
Ungewasiliana na Dr akujuze kwakuwa ni taaluma yake kuliko kumlaumu madam
Asidanganye umma,mgonjwa wa kisukari huwezi na huruhusiwi kula wanga yoyote ile,wala matunda yenye sukari.mwili wko tayari umekinai sukari,bado unaumiminia tena sukari huez pona.miili yetu huwa haijui kupambanua sukari ya miwa,au ya embe au ya tikiki,sukari ni sukari ikishaingia mwilini ina madhara sawa.kwaushauri naomba utafute kitabu cha sayansi ya mapishi kwa wenye changamoto za sukari.kitabu cha Dr Boaz Mkumbo MD,utaelewa namaanisha nn.
Dr kafanye tena tafiti kabisa ,matunda yasukari kama embe, ndizi, watermelon....yanapandisha sukari sana. Kale alafu upime glycemic
@@rosemarysulle9288usimponde Mimi mama angu anaugonjwa wa sukar tangia 2015 alilazwa mloganzila tukaenda clinik akaruhusiwa kula vyakula vyote na akapewa sindano akatumuia . nashukuru Mungu kwa Sasa hatumii dawa yoyote na sukar yake tukimpims Tano kabla ya kula.kwaiyo kila mtu anasukar yake
@@kautharjay5868 hapana nakataa kabisa.mgonjwa wa kisukari huwezi kumpatia matunda yenye sukari.
Dr please tel no
0767 759 137
Dr Nature
We wadanganye
Unapochangia kwa kusema wadanganye unamaanisha nini? Au kwa kuwa wewe unataka kutupatia ukweli upi..
@@GilbertMwashambwa-un4of Anawapoteza,fuata masharti yaDr Boaz Mkumbo,wengi wamepona kisukari.kwa hayo masharti ya vyakula vyake bado wanga ipo palele,,huezi pona.
kuwa mstarabu kila mtu na ujuzi wake na watu wanapona
@@kautharjay5868 huwezi ukawa una sukari sukari nyingi mwilini alafu unatumia vitu vyenye sukari tena.huo ni uongo asiwadanganye watu.
@@kautharjay5868 nimemkosoa kwa hoja.asiwapotoshe watu.
Asante sana nitaanza kutumia hivyo mungu akubariki nilikuwa naogopa sana papai