SAUDIA IMEWARUHUSU MAKAFIRI KWENDA HIJJA |SHEIKH ABDUL RAUF AL MUNAWIY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 144

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akubariki sana sheikh wetu kwa ufafanuzi juu ya unafiki na ukafiri wa kishia

  • @abduliashiru9394
    @abduliashiru9394 3 หลายเดือนก่อน +4

    Awa mashia wanazingua sana kwakweli, Shekhe wangu Allah akulipe khery Duniani na Akhera.

    • @d15355
      @d15355 3 หลายเดือนก่อน

      mashallah atamlipa kheri ya fi dunyahi khizyun wa fi akhera tuzo ya moto kwa kuwakufurisha waislamu wanaomsujudia Allah na kutamka la ilah ila Allah

    • @ibrahimselemani-nq2nc
      @ibrahimselemani-nq2nc 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@d15355shia ww

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 3 หลายเดือนก่อน


      Mashia n makafiri wallah sio waislam

  • @muhamadismail-my1do
    @muhamadismail-my1do 3 หลายเดือนก่อน +1

    احبك في الله

  • @BukhayrMtoi
    @BukhayrMtoi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Allaah amuhifadhi sheikh wetu

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wameruhusiwa pia kwa sababu mmekubali kuwa Allah ni mmoja na Muhammad ni mtume lakini mmeficha ukafiri na ushirikina mifukoni mwenu. Ahsante sheikh

    • @rashidabasi7940
      @rashidabasi7940 3 หลายเดือนก่อน +1

      Jawabu linaduibitisha kua Shia ni Muislam. Sasa hayo mengine ya umadhehebu mnayatoa wapi.

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 3 หลายเดือนก่อน

      Shia sio waislam

    • @omarjr1791
      @omarjr1791 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kama sio waislamu ni dini gani

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 3 หลายเดือนก่อน

      @@omarjr1791 hawa mashia hata wao wenyewe wanaenda kichwa mtungi mafundisho ya uislam hawana wanamafundisho yao ambayo yako tofauti

    • @abuubaya7614
      @abuubaya7614 3 หลายเดือนก่อน

      Shia ameficha ukafiri upi!?

  • @mussamalekela2107
    @mussamalekela2107 3 หลายเดือนก่อน +1

    بارك الله فيكم ..استفدنا كثيرا علي هذه الاجوبة

  • @KhamisTwenye
    @KhamisTwenye 3 หลายเดือนก่อน +1

    Allāh Akuhifadhi mwalim wangu

  • @abdisarat1835
    @abdisarat1835 3 หลายเดือนก่อน +5

    Leo vita ya palestina wanao watetea ni shia sioni haja ya lawama tuwashie mwenyezi Mungu.

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 3 หลายเดือนก่อน +3

    Majibu yenye ilmu,yenye mantwiq,anaeweza ajibu

    • @mussabendera1751
      @mussabendera1751 3 หลายเดือนก่อน

      Mashiaaaaa

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 3 หลายเดือนก่อน

      Shia hawez kujibu​@@mussabendera1751

  • @abubakarrashid956
    @abubakarrashid956 3 หลายเดือนก่อน +2

    HAPA SHEIK AMESEMA VIZURI KUWA MTUME SWALA ALLAHU ALEIHI ALIISHI NA WANAFIK, LAKINI HAKUWAITA MAKAFIRI IWEJE MIMI NA WEWE TUWAITE MASHIA MAKAFIRI

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 3 หลายเดือนก่อน

      Mashia Itikad yao sio itikad ya uislam tubakie na hili maana hata Kama wamefananishwa na wanaafiq muhim n kua Wana itikad yao na waislam Wana Itikadi yao tofaut, ni halali kwao KUSEMWA sio waislam na kumbuka sheikh amezungumzia kadhia ya wao kuruhusiwa kuingia Maka na sio kuhusu itikad yao. Na ukitaka kufaham msimamo wa sheikh kuhusu mashia tafuta audio zake zinazo husu mashia.

  • @AL-WAARITHUUNTZtv
    @AL-WAARITHUUNTZtv 20 วันที่ผ่านมา

    Hayo majibu niyakwako wew sii yashia

  • @abdallajuma0587
    @abdallajuma0587 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mashia ni makafiri

    • @muhammadnassibu7706
      @muhammadnassibu7706 3 หลายเดือนก่อน

      جزاك الله خيرا استفدنا بهذا الردود قوي ويشفي صدور قوم مؤمنين

  • @rashidabasi7940
    @rashidabasi7940 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mubaki na madhehebu yenu.. Mim nabak palepale. Ukiwa Muislam wewe ndugu yangu.. na Shia ni Waislam.
    Asanten Shia pia kwa kuwatetea Suni huko Gaza.

    • @AbuuSiiriin
      @AbuuSiiriin 3 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe ni mwehu2

  • @user-mt6ql3cd5p
    @user-mt6ql3cd5p 2 หลายเดือนก่อน

    Tatawakufurisha wale tuliopishana kwenye usuliddin na haifai kwawale tuliopisha kwa furuiddin (hivyo ndiosheria inavyotaka)

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi mungu ndio hakimu tumuachie yeye

    • @mussamalekela2107
      @mussamalekela2107 3 หลายเดือนก่อน

      Tafuta haqqi ukhuti na uifuate sio kumuachia mwenyezimungu! Ushia na uislam ni vitu viwili tofauti.

    • @lailafakhihaji
      @lailafakhihaji 3 หลายเดือนก่อน

      Allaah ndie ajuaye zaidi ni maoni

  • @abdulazizi5011
    @abdulazizi5011 3 หลายเดือนก่อน

    Ninyi mtaishia kuwaona mashia ni makafiri wao Imani Yao aijua Allah nakazi kubwa waifanyayo ni kuulinda uislam na hao mnao wadhania kuwa ndo waislam wamebaki wakitetea maslahi Yao ya kidunia kwa kuyalinda maslahi ya maadui wa uislam na waislam. maslahi yao

    • @khalfanothuman9988
      @khalfanothuman9988 3 หลายเดือนก่อน

      Soma ndini yako akhii utabainikiwa

  • @user-po9wi5lh1o
    @user-po9wi5lh1o 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kati ya mashia na wale ambao wanashilikiana na myahudi nani kafili

    • @mussamalekela2107
      @mussamalekela2107 3 หลายเดือนก่อน

      Ushia wenyewe kauanzisha yahudi sasa sijui unasema nini! Hiyo kujitia kugombana ni sawa mtu kung'atwa na mbwa wake anaemfuga

    • @wazirihamisi6484
      @wazirihamisi6484 3 หลายเดือนก่อน

      Mashia ndio makafiri

    • @abuuabdirrahmaan4132
      @abuuabdirrahmaan4132 3 หลายเดือนก่อน

      Ni mashia wenye ukafiri mkubwa kuliko mayagudi

  • @MkindiRama-lp6hy
    @MkindiRama-lp6hy 3 หลายเดือนก่อน +2

    Elimu hizi hazina maana yoyote mnashabikia tu nani anajua mwisho wake tujitahidi kutenda mema tuombe mwisho mwema

    • @omarymbonde6748
      @omarymbonde6748 3 หลายเดือนก่อน

      Huo wema unatenda vipi na huna elimu?

  • @Muswlih
    @Muswlih 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mashia ni mijikafiri

    • @abubakarrashid956
      @abubakarrashid956 3 หลายเดือนก่อน

      TOWENI DALILI KUWA MASHIA NI MAKAFIRI, JAMANI DINI YETU NI DINI YA DALILI

  • @jumakabunda9064
    @jumakabunda9064 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hao wengine wanao kufurushwa na mashia lakini sio mashia wanaenda Haji kamakosa ni wakina nani Usalafi ni janga katika Uwisilamu

    • @nurdinikisoma5452
      @nurdinikisoma5452 3 หลายเดือนก่อน +2

      Haujitambui

    • @wazirihamisi6484
      @wazirihamisi6484 3 หลายเดือนก่อน

      Utaukumbuka usalaf ukiwa ktk thakalat lmaut

  • @BukhayrMtoi
    @BukhayrMtoi 3 หลายเดือนก่อน

    Majibu ya maana kabisa haya

  • @LautaroIshak
    @LautaroIshak 2 หลายเดือนก่อน

    Neno unafiki na ukafir linatamkwa sana na Watu lakin hawaji uzito wake

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 3 หลายเดือนก่อน

    SAUDIA HAIWEZI KUWAZUI NYINYI MAKAFIRI WA KISHIA KWASABABU ZA KISIASA

  • @HamadHamduni
    @HamadHamduni 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mashia ni makafiri tu.

  • @abdulazizi5011
    @abdulazizi5011 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hoja uloijenga ya suudia kutoa viza kwa kutowajua watu sio kweli mbona wanapo wabaini kiibada mbona hawawatoi katika ardhi inayo zingatiwa kuwa Haram? Hata hiyo saudia mnayo itetea kuwa ni ya kiislam hamuoni wayafanyayo? Ili muwe waadilifu nendeni katika vyuo vyao mkasome kuwepo kwa saudia na nchi ya Jordan ni kwa maslahi ya nani? Kasome hitoria ya kuondoka kwa utawala wa uthumania.

  • @munyumunyama8365
    @munyumunyama8365 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ushia ni ukafiri

  • @darajanida
    @darajanida 3 หลายเดือนก่อน

    shekh wangu ogopa sana kumuhukumia ujkafiri mtu anaetamka shahada

    • @ibnhamduun3173
      @ibnhamduun3173 3 หลายเดือนก่อน

      Nan aliekwambia mtu akitamka shahada ndio hawez kuwa kafiri? Hujui kuwa wanaoritadi ni wale wanaotamka shahada.

    • @darajanida
      @darajanida 3 หลายเดือนก่อน

      kwani ndugu yang niipi maana yakurtad

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 3 หลายเดือนก่อน

      Kafiri hata mtu akitamka shahada tuu akaacha swala kuswali hukumu unasema ni kafiri kwenda kuhiji so tija ww laiti ingekuwa ukafiri wa shia usingesema pumzika ndugu wacha watu wawaambie ni bora wao kumuita kafiri aisha mke wa mtume??

    • @darajanida
      @darajanida 3 หลายเดือนก่อน +1

      mim nadhan huja nifaham ndugu yangu ila hayo mim ndo maoni yang kuwa mtu akitamka shahada hakufurishwi

    • @munyumunyama8365
      @munyumunyama8365 3 หลายเดือนก่อน

      Soma din yako vzur wew

  • @Binfuad
    @Binfuad 3 หลายเดือนก่อน +1

    Shekha upo vizuri lkn serekal ya Saudia sio dawlat tawheed

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 3 หลายเดือนก่อน

      Doula tawheed mpende msipende ndipo alipozaliwa kipenzi cha allah mtume muhammadi mchukie mfanyeje hilo ndo hakki

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 3 หลายเดือนก่อน

    Naam

  • @AbdulmujibuAhmedi
    @AbdulmujibuAhmedi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashia makafiri munaebda kwa kufosi

  • @AL-WAARITHUUNTZtv
    @AL-WAARITHUUNTZtv 20 วันที่ผ่านมา

    Sio maimamu wao hao ndio maimamu wakiislm yanaabighu almawada mkango 77

  • @mohammedsalehmahdi4128
    @mohammedsalehmahdi4128 3 หลายเดือนก่อน

    hiyo sijawabu ni kichekesho ya ulamaaussuu

  • @TwahiliSamli
    @TwahiliSamli 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashia ni makafiri tu ona yalioyofanyika mazishi ya rais wa iran

  • @saidramadhan4516
    @saidramadhan4516 3 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi makafiri khaswaaa…waislaam gn mnatukana maswahaba wa Mtume???wailsaam gn mnasema Quraan haijakamilika???Pia mchungaji wenu anakataa kuwa nyinyi ni Waislaam.Upooo???

  • @AL-WAARITHUUNTZtv
    @AL-WAARITHUUNTZtv 20 วันที่ผ่านมา

    Huna jibu unajitetea

    • @wajawemaonlineTV
      @wajawemaonlineTV  20 วันที่ผ่านมา

      Hatimae umekuwa kafiri subhana allah
      Kisha vijipesa unavyo pewa ndo umetoka kwenye uislaam Allah akuongoze

  • @wakujawakuja310
    @wakujawakuja310 3 หลายเดือนก่อน

    Umesema masuni Wana itikadi kua mashia makafiri na juu ya ukafiri wao wanaenda Hijja na umesema mashia wanaitikadi kuwa masuni ni makafiri lakini juu ya ukafiri wao wanaenda Hijja, basi tutafute zehebu ambalo alija guswa na kuitwa kafiri ili tulifuate maana ilo ndio litakua sahihi, kama sihivyo basi itakua mazehebu yote ni makafiri natija wanao enda Hijja ni makafiri, na ndio utapata kuwa makafiri wanarusiwa kuhij.

    • @ibrahimselemani-nq2nc
      @ibrahimselemani-nq2nc 3 หลายเดือนก่อน

      Co masun wao wanasema cc makafiri na waliobaki hawasemi hao ni makafiru

  • @ImamuDossa
    @ImamuDossa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mshia ni makafiri tu.Kama hawamuheshimu Abubakar (r.a)kwa nini sisi tuwaheshimu.

  • @hamynas
    @hamynas 3 หลายเดือนก่อน

    HUYU SHEIKH ANAYETOA HOTUBA UKIACHILIA MBALI HICHO KITAMBAA KAVAA MABEGANI,HIYO KOFIA YAKE YA UBWABWA NA VIJIDEVU VYAKE TIMBERLAND HANA KITU CHOCHOTE KICHWANI ZAIDI YA UZUSHI

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 3 หลายเดือนก่อน

    Je, yajuzu kumuita mwislamu mwenzako kafiri kwa kuto fwata thehebu lako ? . Pili swali langu je, mtume wetu MOHAMMAD (S.A.W) alitufundisha ama tatizo ndani ya uwislamu ni nyie mjiitao masheikh?

  • @user-mt6ql3cd5p
    @user-mt6ql3cd5p 2 หลายเดือนก่อน

    Dawlat- tawhid inatungua dron za Iran zisipige Israil, ametoa misaada ya chakula kwa mayahudi amewanyima wapalestina, ametunga sheria nchini make ukiitaja Vijaya au kuonesha hisia za kuichukia Israil jela miaka mitatu.

    • @wajawemaonlineTV
      @wajawemaonlineTV  20 วันที่ผ่านมา

      Kwan makafiri si tunaishi nao vizuri tena kwa Amani kwahiyo wamekuwa Waislaam
      Hii ni Hasara kubwa kwako na walio kusomesha

  • @user-mt6ql3cd5p
    @user-mt6ql3cd5p 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni mijazba yakijinga mimi ni sunni, mashia wamegawanyika makundi zaidi ya 100 sio wote waliotoka kwenye missingi ya dini huwezi kukufurisha wote. Hata upande wetu kunawatu suala la tauhid ambalo nilakiakida limefanyiwa ijtihad na mtu mmoja na amepata vigawanyo vitatu haijawahi tokea tangu Dunia imeumbwa.

    • @wajawemaonlineTV
      @wajawemaonlineTV  20 วันที่ผ่านมา

      Mimi sikushangai wewe kwa haya majibu yako na shangaa walio kufundisha wewe sunha inaonekana misingi ya hii dini hauijui hii ni hasara kubwa sana
      Allah akuongoze

  • @Sobo740
    @Sobo740 3 หลายเดือนก่อน

    Tena saudia wanafanya makosa mengi ya kipumbavu

    • @wajawemaonlineTV
      @wajawemaonlineTV  20 วันที่ผ่านมา

      Wewe unae fanya mazuri tuonyeshe
      Hahaha eti kipamba we unafanya mangali yalio nje ya dini kabisa
      Hapa ni hasara tupu

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chapa chapa,kma mlkua hamjui huyo ni mwanafunzi wa sheikh qasim mafuta

  • @alimohd3
    @alimohd3 3 หลายเดือนก่อน

    Iko wapi Ile kamba tuliyotakiwa tushikamane nayo,ni uislamu au madhehebu yetu?

  • @user-jy4pm3hh9s
    @user-jy4pm3hh9s 3 หลายเดือนก่อน

    Dini umeletewa na wao afu usiamin dini za watu jiamin ww

  • @SaidJuma-ru7vm
    @SaidJuma-ru7vm 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa mujibu wa majibu yako Sheikh Shia ni waislam na ndio maana wanapewa visa lakini pia Mahujaji wanaotoka kila sehemu wanajulikana madhehebu yao....! Sasa ikiwa mnaungana na Shia Ishnaashiria kuwachukulia Shia Ismaiia ni makafiri ina maana mpo pamoja kiitikadi,kwa kifupi huna hoja Sheikh

    • @wajawemaonlineTV
      @wajawemaonlineTV  20 วันที่ผ่านมา

      Hivi nyie ni waislaam kweli msikilize sheikh vizuri usimzushie
      Hasara tupu hapa

  • @user-qm4qd8yk2x
    @user-qm4qd8yk2x 3 หลายเดือนก่อน

    maana ya ahlulbeiyt ni watu wanyumba ya mtume sasa swali langu huu wimbo ambao mashia hutuimbia Kila siku yaani ahlubeyt kwani hidini ni ya watu wa nyumba ya mtume pekee?????? kwamaana saazote ni ahlulbeyt ahlulbeyt ahlulbey. sisi twataka kufata alitokuja nayo mtume sio TU kusifu ahlulbeyt

  • @shafikakrabi8490
    @shafikakrabi8490 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mshiaa najuwa kuwa iran Tehran hakuna hata msikiti mmoja wa kisunni kila ijumaa masunni wanaswali katika mabalozi za kiarabu. Lakini ajabu utaona makanisa na makanisa na masigogi ziko Irani mji wa asfahan wote anakaa mayahudi

  • @user-ui1qs9yl1n
    @user-ui1qs9yl1n 3 หลายเดือนก่อน

    asilimia 95.5 ya waislam hawajui kuandika wala kusoma so usipoteze time kuongea na hawa mashetani remember mkidis tunadis shenzi type

    • @Makikokasongo
      @Makikokasongo 3 หลายเดือนก่อน

      We hovyo kwelii akili kisoda mwajikuta wasomi lakini mana ujinga wa kiwango cha lami

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 3 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo hata mkatoliki anaweza kwenda Hija

    • @nurdinikisoma5452
      @nurdinikisoma5452 3 หลายเดือนก่อน +2

      Akiandika kwenye viza kua yeye ni muislamu anaenda

    • @wajawemaonlineTV
      @wajawemaonlineTV  3 หลายเดือนก่อน +1

      Akijita muislam anakenda umeelewa vzr mwalim wang apo

  • @user-er9bz1zy6i
    @user-er9bz1zy6i 3 หลายเดือนก่อน

    Acheni kuitana makafiri mnaleta faraka ktk dini.

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 3 หลายเดือนก่อน

      Ndiyo hojjah gani hiyo mashia ni makafiri

    • @suleimanhafidh1957
      @suleimanhafidh1957 3 หลายเดือนก่อน

      Kasome

    • @ibnhamduun3173
      @ibnhamduun3173 3 หลายเดือนก่อน

      Mashia ni makafiri mtake msitake

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 3 หลายเดือนก่อน

      Makafiri ndiyo uislamu kuna vitenguzi ukivitenguwa unakuwa kafiri hata ukitamka shahada kuna vitenguzi sawa na mtu akachukuwa udhu kuswali arafu akatokwa na upepo si lazima achukue udhu tena

  • @najaributest
    @najaributest 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hujajibu suali unazunguka tu bwana mkubwa

    • @mchizisoo3953
      @mchizisoo3953 3 หลายเดือนก่อน +1

      Jibu lipo hapo hujasikia.. Shariti ni uislam huulizwi madhababu yako.. jibu la pili Saudia inawafanyia mualama mashia kama Wanafiki. (dalili kama alivyo wafanyia Mtume Mohamad swalalau alehiy wasalam.. Wanafiki )

    • @najaributest
      @najaributest 3 หลายเดือนก่อน

      @@mchizisoo3953 kwa hio sharti la saudia ni uwe muislamu ndo unapata visa ya hijja kwa hio ikiwa wanapewa visa maana yake ni saudia amewatambua na kukubali kuwa ni waisalam

    • @abdallahdataguy
      @abdallahdataguy 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@mchizisoo3953 jazaakallahu khair

    • @ibrahimselemani-nq2nc
      @ibrahimselemani-nq2nc 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@abdallahdataguyduh hadi huruma someni dini yenu basi

  • @user-er9bz1zy6i
    @user-er9bz1zy6i 3 หลายเดือนก่อน

    MTU ambae sio muislaam hawezi kwenda hijja. Kwahiyo kila anae kwenda hijja ni muisalam. Acheni kabisaa kuchafuana au kuitana majina mabaya ktk dini mnaleta mfarakano

    • @user-qe8xp6ii1u
      @user-qe8xp6ii1u 3 หลายเดือนก่อน

      Mfarakano upu sasa au Wanafiki ni waislam au sio walidai Uislam Mbona walisemwa vibaya sasa na kuingizwa Motoni.

    • @munyumunyama8365
      @munyumunyama8365 3 หลายเดือนก่อน

      Nenda kasome dini yako....

    • @ibnhamduun3173
      @ibnhamduun3173 3 หลายเดือนก่อน

      Mashia ni makafiri wew ongea utakavyoongea sis tutaendelea kuwachafua

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 3 หลายเดือนก่อน

      Ww unaetetea utakuwa mshia au msufi ndo vibaraka wa mashia wale sisi atuwezi kuwa umoja na watu walomtukana bi asha mke wa mtume kumuita kafiri mzinifu Wakati aya za quruani mwenyezi mungu alimtoharisha kwa kusema kwao urongo watu aya zipo mpk leo tunazisoma zilizomtaja kwa wema aisha ukisema aisha mzinifu basi umeishuku quruani imesema uongo basi kama ni hivyo na kuhijji so sababu ndugu ushia tunatamka wazi ni makafiri hilo halina shaka kabisa nguruwe wa motoni hawa

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 3 หลายเดือนก่อน

      Makafiri ndy kuhijji so hojja wao mbona wamemkufurisha ni asha mke wa mtume na afsa kumuita aisha mzinifu na kafiri nasisi tunasema shia ma habisi ni bora ya nguruwe so mashia,bora ya mkristo so mshia, awawezi watukana maswahaba wakabaki kwenye uislamu mtume kasema tena haifai kuswali nyuma yao wala kuoxesha binti zenu kwao wala wakifa kwenda kuwaswalia wala kushirikiana nao katika dinni tunatamka wazi shia makafiri ndy ilo lipo wazi

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa mbona mnasema makafiri shia ni waislam kwa kutamka shahada sisi tu hukumu ya nje ya ndani haturuhusiwi kutoa hukumu hiyo kwahiyo tu balanc mambo

  • @hamynas
    @hamynas 3 หลายเดือนก่อน

    SHEIKH UBWABWA UMEONGEA NENO NIMESHANGAA SAANA..UNASEMA OOH DOLA YA SAUDIA NA VIONGOZI WAKE MUNGU AWAHIFADHI...HIVI QURAN IMESEMAJE KUHUSU WAFALME WANAPOINGIA KATIKA MIJI?WALE VIONGOZI WA SAUDIA SIYO WAFALME WALE?MPUMBAVU SAANA WEWE SHEIKH UBWABWA

    • @Sobo740
      @Sobo740 3 หลายเดือนก่อน

      Uyu sheh kazidisha mahaba kwa saudia mpk anashindwa kuruhusu akili yake ifanye kazi

  • @muhamadismail-my1do
    @muhamadismail-my1do 3 หลายเดือนก่อน +1

    احبك في الله

  • @muhamadismail-my1do
    @muhamadismail-my1do 3 หลายเดือนก่อน

    احبك في الله