ROMA Ajibu Kuhusu Kushindanishwa na na NAY | ROSTAM Haijafa ,Stamina Katemwa kwenye Album

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 129

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 ปีที่แล้ว +4

    Roma yupo juu sana. Ney ananiboa pale anapozidisha mbwembwe hadi kumkufuru mungu

  • @Princewaweru
    @Princewaweru ปีที่แล้ว +12

    Wote wana sina tatzo nao respect Ney respect Roma ❤ aman kwao watu hawa

  • @hkmeme5437
    @hkmeme5437 ปีที่แล้ว +19

    Roma ni rapper mkali kuliko ney wa mitengo

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 ปีที่แล้ว +3

    nampenda uyu kaka jmn...❤❤❤ i wixh km vile arudi ila naogopa mafiraun we2 wa bongo...😔😔💔💔💔

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 ปีที่แล้ว +6

    wote nawakubali sana.watetezi wa jami na vizazi vijavyo

  • @jacilygabriely6840
    @jacilygabriely6840 ปีที่แล้ว +2

    Acheni masihara ROMA anatisha NEY haoni ndani. Roma 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Worldunite
    @Worldunite ปีที่แล้ว +5

    Roma na Ney wote wako poa, ni sauti ya wananchi

  • @Aboodjan4-
    @Aboodjan4- ปีที่แล้ว +12

    Mnachanganya bhana.
    Hapo kuna msemaji wa rai na msemaji wa masela 😂😂😂

  • @favouroriginal4120
    @favouroriginal4120 ปีที่แล้ว +3

    Roma rapper mkubwa sana, ney, stamina pia nawakuubali sana

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 ปีที่แล้ว

    Ney mnamkubali Sana siyo muoga ira kwautunzi na isia baba ivani au Roma mwamba kuliko Ney

  • @strangerskenya254
    @strangerskenya254 ปีที่แล้ว +8

    Salute Roma

  • @kelvinnzuki8948
    @kelvinnzuki8948 ปีที่แล้ว +9

    Roma akirudi bongo atagombea urais😅😅

  • @johanesgeorge1958
    @johanesgeorge1958 ปีที่แล้ว +3

    Noma sanaa

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu ปีที่แล้ว +1

    Roma big up yupo very nicely tatizo la nay nyimbo nyingi matusi

  • @issackchalahani1235
    @issackchalahani1235 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu Akulinde sana na wale wana wa ibilisi shetani wanaotaka kukuangamiza Roma Mkatoliki.

  • @moramtanga-dar7372
    @moramtanga-dar7372 ปีที่แล้ว

    Ahhhaa roma your ze one hkuna kma roma bongo ap

  • @floriannkwita4672
    @floriannkwita4672 ปีที่แล้ว +1

    Kitu msicho jua Mdogo wangu Roma mkatoliki ni mbunge wa wanainchi wote watanzania ndie msemaji wetu kuliko wabunge wasifiaji tu ,ndani ya bunge na mawaziri wanaotetea nakutuambia tuhame inchini Burundi,wakati wait wanajiandaa na kampeni kuliko kuwatetea wanainchi huku wakimsingizia mama yetu mpendwa ,Roma ujumbe umefika

  • @stanleykariuki3691
    @stanleykariuki3691 ปีที่แล้ว +1

    Roma mzee wa kazi man

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 ปีที่แล้ว +13

    Ngoma nimeipenda. ila roma njoo uone watoto . Kitambo sana

    • @akramibrahimu3500
      @akramibrahimu3500 ปีที่แล้ว +1

      Uwa wanaendaa kuniona nakurudii tz ipo siku atawahamisha wotee ashapta uraia

  • @stivenjiduki6606
    @stivenjiduki6606 ปีที่แล้ว +5

    Hahaaa ney,roma ukichanganya na stamina unapata wasemaji wazuri san 😁😁

  • @LameckNamavinga
    @LameckNamavinga ปีที่แล้ว +1

    Mungu akusimamie roma

  • @millermlowe8156
    @millermlowe8156 ปีที่แล้ว +2

    Wote wasemaji Nyinyi mnao sema ney msemaji kwakua yupo Tz na Roma yupo nje shida ni Nani mwenye maneno makali Yan kwenye usemaji yupi ana fafanua na yupi ana semea mafumbo ndo shida ilipo kufafa nua sio mchezo ndomana hayupo tz sio lahisi kama mnavo zani { lakin only the best hao wote NI wamba na ni watetezi wa wanyonge big up mazee

  • @xadygenious414
    @xadygenious414 ปีที่แล้ว +5

    Best recognize others 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏. @roma

  • @ezekielloylepayon5042
    @ezekielloylepayon5042 ปีที่แล้ว +2

    Roma ndio msemaji mkuu wa wananchi ila nay yeye anamkufuru mpka Mungu

  • @sautiyanoti5242
    @sautiyanoti5242 ปีที่แล้ว +3

    Nakubali

  • @mudywaya328
    @mudywaya328 ปีที่แล้ว +3

    Ney ndomsemaji

  • @georgebidance1399
    @georgebidance1399 ปีที่แล้ว +2

    Wote na wakubali. Lakini NEY yuko nyumbani

  • @swazi-bmzwabusarawysd8083
    @swazi-bmzwabusarawysd8083 ปีที่แล้ว +2

    Big up bro Roma tupo apa 15 years natamani kurudi ila familia mzee baba na mambo ya miko....umenielewa

  • @mansooral-sagafy4702
    @mansooral-sagafy4702 ปีที่แล้ว +4

    sasa nay anamsemea nani??/ Muache roma aitwe roma uyo ndo msemaji wetu

  • @omarynguli5910
    @omarynguli5910 ปีที่แล้ว +2

    Movie ndiyo kila kitu

  • @dannyfundi9982
    @dannyfundi9982 ปีที่แล้ว +1

    Nataman Sana nchi hii watu wanchi hii tubadirike Sana mashanging wa ccm waishe wataishaje ukweli hatusem jmn jmn nimependa Sana huu wimbo

  • @saliathnassoro9864
    @saliathnassoro9864 ปีที่แล้ว

    Wote wanaweza bhana

  • @mweroruwa6339
    @mweroruwa6339 ปีที่แล้ว +1

    Roma noma wallai

  • @babudingi-gd7pz
    @babudingi-gd7pz ปีที่แล้ว

    Viva roma namku bari

  • @JemsiSakala-ws8eg
    @JemsiSakala-ws8eg ปีที่แล้ว +1

    Good 💪🙏

  • @ibnimasoud8228
    @ibnimasoud8228 ปีที่แล้ว

    Mmmmmmm nimependa saana

  • @MELKIADIMWANGOMO-ed5bg
    @MELKIADIMWANGOMO-ed5bg ปีที่แล้ว +5

    So poa ngoma kal

  • @pepynomfugale9311
    @pepynomfugale9311 ปีที่แล้ว

    Kiukweli toka mr president, zimbabwe, mathematics, , nk
    Roma mkali sana

  • @amosicharles4499
    @amosicharles4499 ปีที่แล้ว

    Wote mungu awalnde🙏

  • @simontamba2189
    @simontamba2189 ปีที่แล้ว

    Sauti ya Mungu Sio lazima ije kwà viongozii wa Dini tuu

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 ปีที่แล้ว

    Ney yuko vizuri kwa sababu sio muoga na ajakimbia

  • @lucymtuka3199
    @lucymtuka3199 ปีที่แล้ว +1

    Roma wewe ni mzalendo wa kweli

  • @BashirYusufu-yr1or
    @BashirYusufu-yr1or ปีที่แล้ว

    Roma umeuaa achieve ngoma nyingine
    Polisi Wana taka madereva wakasome wakati wao wanaendesha magari namaste hawajasoma achieve vyombo tunakuhitaji sana

  • @AlphaxardBitaro
    @AlphaxardBitaro ปีที่แล้ว

    Jamani nchi yetu Ni Uhuru acheni watu waikosoe serikali ili wakumbuke wajibu wao ko serikali ikubaliane na Hilo isichukie maana vijana ndo taifa wanazungumza ili kuliweka taifa sawa

  • @msunguebasto4370
    @msunguebasto4370 ปีที่แล้ว

    me nampa ney roma sio mwanamuzk

  • @Secondborn_
    @Secondborn_ ปีที่แล้ว +3

    Huyu boya atakuwa anasoma huko

  • @RamadhaniAthuman-kk4gl
    @RamadhaniAthuman-kk4gl ปีที่แล้ว +1

    Roma ndio mtu ya tozo aliyasema leo unayaona ni mtu mwenye maono kama babu magu tumpende loma anatufumbua ujinga wetu sisi watanzania hata spika wa bunge ndugai kaona mbali wasiowapenda hao sisi wananchi tuwapende ndio bola hao wanaochukiwa 'na wenzao

  • @veronicasammueliryoba5178
    @veronicasammueliryoba5178 4 หลายเดือนก่อน

    Roma bigup

  • @leonardmartine662
    @leonardmartine662 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @RamadhaniAthuman-kk4gl
    @RamadhaniAthuman-kk4gl ปีที่แล้ว

    Maisha wanayoishi hawakumbuki wanyonge mwigulu kuna kauli aliisema juu ya tozo hivi kama ni binadamu unaweza kusema hivyo je ukipewa ulaisi si utatunyonga kuweni na fikra sisi nchi ni yetu wewe mwigulu uchunguze

  • @jumamusa4252
    @jumamusa4252 ปีที่แล้ว

    sana kamanda

  • @OctavebtzOctaveoctave-zd2ez
    @OctavebtzOctaveoctave-zd2ez ปีที่แล้ว

    Woote respect kwao

  • @bonifaceferdinand566
    @bonifaceferdinand566 ปีที่แล้ว +2

    Roma ni zaidi rapper bongo,hata angekuwa anafanya mziki marekeni bado angeonekana uwezo wake

  • @SefuOmar
    @SefuOmar 5 หลายเดือนก่อน

    Mambo vpRoma

  • @LekumoLukumay-sb2ys
    @LekumoLukumay-sb2ys ปีที่แล้ว +1

    Roma na nay wapo sawa hawaogopi

  • @amoh1629
    @amoh1629 ปีที่แล้ว +3

    Wote wako hot 🔥🔥🔥 sana

  • @patriciatumain172
    @patriciatumain172 ปีที่แล้ว

    Both Roma na neywamitego

  • @AzizaMohhamed
    @AzizaMohhamed 2 หลายเดือนก่อน

    Woteee miee na wakubarii bwanaaa wotee Mia miaa

  • @favouroriginal4120
    @favouroriginal4120 ปีที่แล้ว

    Haswa akipewa nchi roma anaweza kuiongoza

  • @wingstarmsanii9862
    @wingstarmsanii9862 3 หลายเดือนก่อน

    Wote wakali for sure😢😢😢😢😢

  • @everlynenyanganyi5598
    @everlynenyanganyi5598 ปีที่แล้ว

    Roma mkatoliki ni king

  • @christophaelia7174
    @christophaelia7174 ปีที่แล้ว

    Roma yuko juu zaid

  • @mgayamgaya1673
    @mgayamgaya1673 ปีที่แล้ว +1

    Mwenye NYUMBA kasharudi

  • @mgishaavith639
    @mgishaavith639 ปีที่แล้ว +2

    🤝🏿

  • @kubwalaodancers
    @kubwalaodancers ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @wasilajonas8395
    @wasilajonas8395 ปีที่แล้ว

    Wewe roma hatari

  • @hashimmauzo4776
    @hashimmauzo4776 ปีที่แล้ว

    Wote hawafai mmoja ana kisese

  • @Baddlah2011
    @Baddlah2011 ปีที่แล้ว

    Roma

  • @barakajoseph2234
    @barakajoseph2234 ปีที่แล้ว

    Ney ni msemaji jasiri haogopi chochote but wote ni wasemaji tosha

  • @patrickrobert1614
    @patrickrobert1614 ปีที่แล้ว

    Wote hao ni maginius

  • @simontamba2189
    @simontamba2189 ปีที่แล้ว +1

    Wote

  • @pascojm6816
    @pascojm6816 ปีที่แล้ว

    Roma mnyama

  • @halima2286
    @halima2286 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤

  • @emmanueldaud8371
    @emmanueldaud8371 ปีที่แล้ว +2

    Me naamini wote ni wakali wanatusemeaa

  • @marshymohdy392
    @marshymohdy392 ปีที่แล้ว

    Hiyo Tamthilia zaidi ya Isidingo mpaka apatikane mpampambanaji na tufike kwenye ukweli na Nchi yetu home boy Kaliua so poa dude lile 😅😂simwengine Don_nikiwa Kaburu Pande za Cape Town nikiwa km mpambnaji na sio mzamiaji ila kuishi km mwenyeji ni lazima akili mingi mbongo hajawai shindwa popote Duniani ukikuta ka give up muangalieni upande wa pili

  • @johnsonmarick45
    @johnsonmarick45 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣😅😁 Be blessed #VIVAROMA

  • @salehekisome4776
    @salehekisome4776 ปีที่แล้ว

    ROMA

  • @wazirighambade8119
    @wazirighambade8119 ปีที่แล้ว +4

    Namkubali lkn ney shujaa kabaki nyumban anawasemea

  • @promptnews9095
    @promptnews9095 ปีที่แล้ว

    Wote wako sawia, na wanaheshiamanea, sidhani kuna haja ya kubainisha yupi bora

  • @AllyRashidi-ps9ng
    @AllyRashidi-ps9ng ปีที่แล้ว

    Wote wasemaji ,ila roma yuko juu

  • @PeterMsafiri-x8o
    @PeterMsafiri-x8o ปีที่แล้ว

    Saruti kwa roma mkatoriki

  • @ObadiaMdemu-uh7yg
    @ObadiaMdemu-uh7yg ปีที่แล้ว

    Lama mwamba

  • @dannyfundi9982
    @dannyfundi9982 ปีที่แล้ว

    Roma siyo muoga Kama ney miwawili tu ndyo ninachofikiri

  • @hamzajafari4133
    @hamzajafari4133 ปีที่แล้ว

    Roma unajifanya ujui, ila mastor ya ukwel nimeinjoi show

  • @saimonmizingo7485
    @saimonmizingo7485 ปีที่แล้ว

    Jitoe mwamba tuone ukatili wa uongozi wetu namanisha rudi nyumbani tuone wanakufanya nini tena

  • @saidbakari2408
    @saidbakari2408 ปีที่แล้ว

    Et Roma umeua thana

  • @UstadhHamiydu
    @UstadhHamiydu 8 หลายเดือนก่อน

    Vp

  • @fredyfrank2756
    @fredyfrank2756 ปีที่แล้ว

    Wote ni wasemaje lkn Roma ni Zaid

  • @HamisiLilo-ov8sr
    @HamisiLilo-ov8sr ปีที่แล้ว

    Ote pw

  • @roncarlaulenti5900
    @roncarlaulenti5900 ปีที่แล้ว

    Wote wasemaji

  • @dizzonofficial2600
    @dizzonofficial2600 ปีที่แล้ว +3

    Ngoma naogopa kupiga redion tcra wasinifate vp clouds mshapiga na mm nilizeee 😂😂

  • @mpinaskid9316
    @mpinaskid9316 ปีที่แล้ว +1

    Naomben kujua nauli ya kwend marekan😀😀

  • @lilchampion1960
    @lilchampion1960 ปีที่แล้ว

    Nay n mkali Kwan Roma ako na ngoma gap za kutetea wanainchi

    • @iddykidito6441
      @iddykidito6441 ปีที่แล้ว

      Roma ana ngoma nyingi za utetezi kuliko ney mfatilie

    • @lilchampion1960
      @lilchampion1960 ปีที่แล้ว

      @@iddykidito6441 haaahaaaha umesahau nay time aliachia walisema

  • @tanzmaica
    @tanzmaica ปีที่แล้ว

    Roma ni mkalii ila ney ni strong

  • @rabiahamadi5866
    @rabiahamadi5866 ปีที่แล้ว +3

    Mkimbizi huyo

    • @gilmangeorge366
      @gilmangeorge366 ปีที่แล้ว +2

      Mkimbizi mama yako aliyekimbia aliyezaa nae akaenda kwa baba yako alee mimba

    • @walterngowi5835
      @walterngowi5835 ปีที่แล้ว

      Mpuuz wewe wivu tu ndio unakusumbua 😎😎

    • @martinemaganga5253
      @martinemaganga5253 ปีที่แล้ว

      Jamaa anasoma masters ndugu

    • @fredyndunguru5448
      @fredyndunguru5448 ปีที่แล้ว

      ​@@gilmangeorge366hhahah nakubalii

  • @AmanRamadhan-kg9ts
    @AmanRamadhan-kg9ts ปีที่แล้ว

    Mwamba hafanani nayoyote

  • @lemonadesoldier1377
    @lemonadesoldier1377 ปีที่แล้ว

    Roma ni mkali Ney akajambe Kwanza

    • @emmanueldaud8371
      @emmanueldaud8371 ปีที่แล้ว

      Xemaa wote ni wakali usipendelee bro

    • @africanpioner4090
      @africanpioner4090 ปีที่แล้ว

      @@emmanueldaud8371 hawezi kukaa meza moja ubora wa flow na mistari ya ROMA huyo NAY hagusi namkubaki ila ROMA MZIKI MWINGINE KAKA

    • @brightonshoo6312
      @brightonshoo6312 ปีที่แล้ว

      Hujitambui wewee ,, utakua unalinganisha mbaka macho yako wewee

  • @magneticofficialtz
    @magneticofficialtz ปีที่แล้ว +3

    th-cam.com/video/_3GnLUSGZWA/w-d-xo.html
    Duh roma ashapata kademu kakizungu

  • @oshonixytz4505
    @oshonixytz4505 ปีที่แล้ว

    Huyu amataka kuja kugombea mie nimemuelewa kitambo anaonekana kabisa ni mwana siasa sio mwana harakati huyo

  • @frenkamosi-sz1gr
    @frenkamosi-sz1gr ปีที่แล้ว +1

    lbra umeuwa 😂😂😂