SAMIA ALICHOMWAMBIA ROMA KWENYE WIMBO WAKE WA NIPENI MAUA YANGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
  • SAMIA ALICHOMWAMBIA ROMA KWENYE WIMBO WAKE WA NIPENI MAUA YANGU

ความคิดเห็น • 595

  • @marcusfonfokitenge3389
    @marcusfonfokitenge3389 ปีที่แล้ว +24

    Nakupo ngeza sana Roma nipe liké yangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @ChemoclasscRongino
    @ChemoclasscRongino 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama unamkubali roma gonga like😅😅

  • @robbyboy898
    @robbyboy898 ปีที่แล้ว +6

    Message sent. Mwenye Masikio na asikie na mwenye macho ataona baali mwenye mpumbavu na azidi kuwa mpumbavu. 🙏🙏🙏🙏🙋‍♂️

  • @Eflahimjohn
    @Eflahimjohn ปีที่แล้ว +24

    Roma wewe ni zaidi ya mwana sheria mungu akulinde na mengi kwasababu kichwa kisichokua na akiri nimzigo kwashingo😂🎉

    • @PaulineAnderson-m9c
      @PaulineAnderson-m9c ปีที่แล้ว

      Na tunaomba mungu amlindee Kwa ukweli wakee ,,,❤

    • @PaulineAnderson-m9c
      @PaulineAnderson-m9c ปีที่แล้ว

      Aki mungu ,mungu atupe watu kumi kama hao alafu tujueee

    • @JoycePoul-l8y
      @JoycePoul-l8y ปีที่แล้ว

      Mungu akulinde Roma nakubali kazi yako

  • @MarkoKasige
    @MarkoKasige ปีที่แล้ว +13

    Kama viongozi hawataki hayo yasemwe bas wabadilike kwan mbn hakuna ulazma wa wao kufany mamb mabaya an yasiyofaa. Walitumikie taifa ipasavyo🔥🔥

  • @SaidstaphanoSaid
    @SaidstaphanoSaid ปีที่แล้ว +3

    Acheni kumulalamikia Roma yup sawa2

  • @DionAfrican-sl3ih
    @DionAfrican-sl3ih ปีที่แล้ว +118

    Kama umetumia MB za Bure gonga like......mashabiki tunamjua Roma kuliko mchamnuzi😀😀😀

    • @bennychristopher8187
      @bennychristopher8187 ปีที่แล้ว +4

      Hahahahaaaa kaka nikweli amekula MB zetu za bule

    • @dorcusmollel
      @dorcusmollel ปีที่แล้ว +3

      Ndo maana wanafungiwaga account kwasababu ya kuongea upuuzi ye mwenyewe sidhani ata kama anaelewa alichokiongelea

    • @efajuforeal8740
      @efajuforeal8740 ปีที่แล้ว +1

      Mwandishi anaongea kama amekula vitunguu

    • @jumam.ngallawa2657
      @jumam.ngallawa2657 ปีที่แล้ว +1

      Eti LOMA😂😂

    • @jumaally8567
      @jumaally8567 ปีที่แล้ว +1

      Alafu sijapenta mchambuzi akiwa lafudhi yake ikiwa sio ya kiuandishi kwenye R anaweka L sasa inaboa kichizi .alafu anatulisha matango Pori😩😩

  • @Elias-j3n
    @Elias-j3n ปีที่แล้ว +10

    ❤❤❤hongera roma kwa kuelimisha watanzania tunazidi kuteseka tu hatuoni chchote kwenye hii nchi wanaonufaika wachache xn❤❤❤tunakupenda roma

    • @SamwelKadoga
      @SamwelKadoga ปีที่แล้ว

      Thanks Roma zidi kuxema ukwel tz. Mpaka know hujatoka USA maana Ata mm mda c mwngi nitahama nchi.

    • @sarahkimu1351
      @sarahkimu1351 ปีที่แล้ว

      Akiongoza tena,mama ntahamia sudani nikafe Kwa vita

    • @sarahkimu1351
      @sarahkimu1351 ปีที่แล้ว

      Viongoz lazima wachukie Sabab yanawahusu

    • @vocalistgang3125
      @vocalistgang3125 ปีที่แล้ว

      Unaambia bongo ki kubwa uzima tu

    • @lodajovinaly1789
      @lodajovinaly1789 ปีที่แล้ว

      Roma umefanya maamz mazr xn.nawapongezen xn.mmewachana makavu.hii nchi inako erekea sio.hata mie nachagua andaz siwez kuchagua ccm.

  • @KelvinAmos-ow7pf
    @KelvinAmos-ow7pf 8 หลายเดือนก่อน +2

    Roma hai kwako blother pamoja sana nipe likes zangu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @amonhongeraitvkwataarifamz2156
    @amonhongeraitvkwataarifamz2156 ปีที่แล้ว +11

    Daima viongoz wa Tanzania hawatki kuambiwa ukwel. Roma kasema ukwel. Aongeze wimbo mwingne. Pamoja Roma

    • @JaphetKaboko
      @JaphetKaboko 6 หลายเดือนก่อน

      taarifa mpya

  • @daviddaudi7387
    @daviddaudi7387 ปีที่แล้ว +14

    Safi sana kaka roma wewe ndio unasema kwel na kama hawajafanya kwanini waumieee 😂😂😂😂 imeumaa kaka kama ikiwezekana toaa wimbo tena kama huuu tena walieee

    • @zachariamalugu7867
      @zachariamalugu7867 ปีที่แล้ว +2

      Roma pekee ndo huwa anawambia ukweli viongozi ili wajifunze kutokana na makosa yao wanayo yafanya

  • @majeed4775
    @majeed4775 ปีที่แล้ว +2

    Roma mwache aitwe roma no one like u broo big up take thumb 👍

  • @GivenyCharlz-ge5eh
    @GivenyCharlz-ge5eh ปีที่แล้ว +9

    Wao Roma umesema kweli toboa serikali yetu haijui tunayo pitia wananch raisi magufuli tu ndo alikua sahihi na maisha ya wananch bigger up roma

  • @DadyMaombi
    @DadyMaombi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Roma ali kaa, nakujipanga vizuri kutowa hiyo song, hakili anazo kweli kweli 🙏✍✍

  • @zuwenashabani4072
    @zuwenashabani4072 ปีที่แล้ว +2

    Roma asante,.huwezikufananishwa na akina Mrisho Mpoto(mjomba)kazi yao kusifia na kufumbia macho maovu .wao kila kiongozi akijawanaegemea kwake nakuonakama aliepita akukidhi haja.

  • @MussaSalamanda-vz5no
    @MussaSalamanda-vz5no ปีที่แล้ว +25

    Acheni atusemeebhana nyimbo imetikisa tanzania❤❤❤

    • @MhojaSospeles-m1e
      @MhojaSospeles-m1e ปีที่แล้ว

      Roma uko sawa kaza dana buti mimi na kuunga mkono kaka

    • @MhojaSospeles-m1e
      @MhojaSospeles-m1e ปีที่แล้ว

      Msema ukweli mpenz wa mungu endelelea kutetea jamii kaka

  • @LilianSilas
    @LilianSilas 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kaka me nimtoto wa miaka 12 lakn huwa nakuelewa kupita maelezo nataman niwe kama wewe kaka umetisha sana🤜♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️💐

  • @raphaelstephano6134
    @raphaelstephano6134 ปีที่แล้ว +4

    Namkubali sana Roma, wimbo alioutoa wa Nipeni maua yangu umegusa penyew Mungu amlinde na kumpigania,

    • @kulwamtoro5062
      @kulwamtoro5062 ปีที่แล้ว

      Ndo kazi ya sanaa safi sana Roma

  • @peteruzia8313
    @peteruzia8313 ปีที่แล้ว +6

    Saf kwanza nampa pongezi roma kuongea
    Nakuja kwenye point moja kwa moja .1. Kusoma hujui jata kuangalia picha huwezi ?? 2.usilolipenda wewe usimtendee mwenzako
    Kwa hyo hata tusipotendew haki tusiseme mhu mgu kwani kila mtu ana haki ya kuongea. 3.mungu hana kigeu kigeu je yanenaje maandiko ya Mungu.
    Jamani jaman lisilowezekana kwa binaadam kwa Mungu wetu lawezekana. Acheni upendeleo. Selekali ya awamu ya 5 nani
    Na ya sita nani lazima tumuogope.Mungu. anatuona.amen
    Mungu haziakiwi.

  • @ameria2332
    @ameria2332 ปีที่แล้ว +3

    Roma unafaa kuiongoza nchi,wakati ujao ugombee au sio wanacomments.👋👏👏

  • @annasamwel1461
    @annasamwel1461 ปีที่แล้ว +1

    Naupendasana ,,tumpe mauayake🎉❤❤❤

  • @saraphinaabell2849
    @saraphinaabell2849 ปีที่แล้ว +2

    Roma Yuko vizur Sana ila sema mwenye haki huwa hapewi haki yke panapo stahiki mwacheni Roma awasemee wanyonge♥️♥️♥️♥️💪💪.

  • @Jestontv
    @Jestontv ปีที่แล้ว +6

    Wakija kufungia Ngoma hii toa konki zaidi y hii yaan kama moto na waunguee, nipeni maua yangu🎉🎉🎉

    • @kuluthumujarafi1100
      @kuluthumujarafi1100 ปีที่แล้ว

      ♥️♥️♥️♥️♥️Roma sema baba viongoz hawa wapo tuu hawajui mapito wanayopitia wananchi

  • @SerafinaMwaipaja
    @SerafinaMwaipaja 4 หลายเดือนก่อน +2

    Roma anastahili pongezi kiukweli.

  • @dinochamwene5332
    @dinochamwene5332 ปีที่แล้ว +3

    Ni wimbo wakiarajati km nyimbo zingine2,,hukuna baya nimaono2 bigup broo

    • @FrankJuma-i8m
      @FrankJuma-i8m 4 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤xn.

  • @LamekElikana-ci1nv
    @LamekElikana-ci1nv ปีที่แล้ว +2

    Brother tutetee wanyonge usiogope kufa maana site njia ni moja na bongo wasaniii wa kiume n watatu pekee Roma ney wa mitego na one six

  • @MagembeDaudi-zv4db
    @MagembeDaudi-zv4db ปีที่แล้ว +6

    Hiyo mwamba iko good
    Kazi ya roma.
    Haina makosa.😊

  • @AngelaNicolaus
    @AngelaNicolaus ปีที่แล้ว

    Roma gud gud ,I wish you to a leader of tz ,ata kama umahamaa endelea kukosoa huo utopolo unaofanywa il tusonge ,nakusapot ccm na andaz nachagua andaaaziiii

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 ปีที่แล้ว +9

    Kazi ya Muheshimiwa Raisi ni nzuri. Nashukuru kwa Amani tulionayo Tanzania 🇹🇿

  • @SaitotiSaaniu
    @SaitotiSaaniu ปีที่แล้ว +2

    Sema broo hyo ni sawa

  • @BarikiMihogo
    @BarikiMihogo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu huyabadirisha mashauri ya mataifa, Mungu huyatambua makusudi ya watumishi, macho yake Mungu huwaelekea wenye haki na masikio yake husikia kilio chako!!!! Roma simama Mungu yuko pamoja nao waipendao kweli.

  • @mussaalex9236
    @mussaalex9236 ปีที่แล้ว +3

    Wew mwenyewe mchonganishi roma yuko vizuri

    • @RhodaSwai
      @RhodaSwai 2 หลายเดือนก่อน

      Loma tutetee wanyonge❤ too

  • @JasiliMashauli
    @JasiliMashauli ปีที่แล้ว +10

    Umeupiga mwingi roma maisha maref nakutakia🎉

  • @florahmviombo7103
    @florahmviombo7103 ปีที่แล้ว +7

    Roma umetoa kitu kaka mungu akulinde wew na familia yako

  • @farajindege5732
    @farajindege5732 ปีที่แล้ว +11

    Roma mungu akupe umri mrefu ili uzidi kutuamsha wananchi.

  • @silvachengula5216
    @silvachengula5216 ปีที่แล้ว +3

    Upo vizur sana Roma waambie

  • @AdamSaidi-hq2zd
    @AdamSaidi-hq2zd ปีที่แล้ว +4

    Hata mimi panapo uhai Nina mpango wakuhamia walau zanziba pindi mama akiongoza tena hii nchi.
    Bgap Roma mwenyezi mungu akulinde akupe umuri mrefu.
    Naumia pia Amin.

  • @YarediCharles-ql3of
    @YarediCharles-ql3of ปีที่แล้ว +16

    Roma anaumia sana na nchi mwacheni awasemee wanyonge👍

    • @derickcowly6681
      @derickcowly6681 ปีที่แล้ว +1

      Saluti Roma mwana jeshi arudi nyuma mbele kwa mbele jeshi la mtu mmoja

    • @benjaminmussa-li1ei
      @benjaminmussa-li1ei ปีที่แล้ว

      Me naona roma yuko saw anavhokiimba

    • @ameria2332
      @ameria2332 ปีที่แล้ว

      Roma magufuli mdogo, asante kaka ubarikiwe sana🙏

  • @AngelaNicolaus
    @AngelaNicolaus ปีที่แล้ว

    Roma gud gud ,I wish you to a leader of tz ,ata kama umahamaa endelea kukosoa huo utopolo unaofanywa il tusonge ❤

  • @WesleyOmwoyo
    @WesleyOmwoyo 19 วันที่ผ่านมา

    The man whom I respect most

  • @sultanhamad4924
    @sultanhamad4924 ปีที่แล้ว +11

    Roma unastahili kuwa mkuu wa hii nchi naamini ukipewa hii nchi lazima tusonge mbele jamaa sio mnafiki na wanafiki anawajua yupo juu sana ki sychology,viva ROMA viva

    • @festomagoda
      @festomagoda ปีที่แล้ว

      Kwri mzeee roma ni jiniaz

    • @khadijambaruku3731
      @khadijambaruku3731 ปีที่แล้ว

      tuache umbamba mbamba.....mwanaharakati ni mwamba anasemaga kweli alafu akirudi nchini watamteka Tena Yan...nimemusi nyimbo zake za kiharakati kam Ile SAY TANZANIA

  • @EmmyKilleo-j9h
    @EmmyKilleo-j9h ปีที่แล้ว +2

    Nampenda sana ROMA popote alipo anisikie na mimi😊

  • @avitusjovin
    @avitusjovin ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubalik roma vigogo wa selikalin wanajijua sema ndo washoroga wasingoke madalalan

  • @MartinCizazihalirwa
    @MartinCizazihalirwa ปีที่แล้ว +1

    mwanangu Roma wewe n'a nay wa mitego mungu awalinde kwa sababu hamuwasemei wa tz tu Ila munawasemeya Africa nzima wanangu.asanteni

  • @MulambaOmari
    @MulambaOmari 7 หลายเดือนก่อน +1

    I accept you brother for your work

  • @AmiHaji-r4h
    @AmiHaji-r4h 6 หลายเดือนก่อน

    Mgosi mwenzangu usiogope toa nyimbo kali kama hizo,2pop1 kak🎉❤

  • @adamjumuiya8209
    @adamjumuiya8209 ปีที่แล้ว +2

    Nakubali Sana we roma nikichwa cha manaana kbs

  • @MartinNaaby
    @MartinNaaby 2 หลายเดือนก่อน +1

    Roma kurudi tz ni kujipoteza kama mwanzo alitekwa sasa hv cjui atafanywa nini baki huko huko kaka

  • @OlivaryKavishe
    @OlivaryKavishe 2 หลายเดือนก่อน

    Roma Yuko sawa kabisa mwanaharakati makini kama lack dube

  • @BuruhaniMkoty
    @BuruhaniMkoty ปีที่แล้ว +4

    Daaaa kakaaa hongela sana

  • @estar33-h2z
    @estar33-h2z ปีที่แล้ว +1

    Bongo bhana ukisema kweli wanakusema endelea kusema kweli broo💯

  • @AnnaMwagisa-vl9qv
    @AnnaMwagisa-vl9qv ปีที่แล้ว +18

    Vzur sana Roma ikiwezekana njoo hapahapa tanzania ukaimbe live mbele yao nimtu wamungu namungu akulinde Roma

  • @KideliMalanda
    @KideliMalanda 4 หลายเดือนก่อน +1

    Msema kweli ni mpenzi wa mungu Roma mungu akulinde

  • @SaidstaphanoSaid
    @SaidstaphanoSaid ปีที่แล้ว +1

    Namuomba Sana mung ampiganie Roma asizurike kwakifpi namkubari San san

  • @JacksonDonatus-kk1uj
    @JacksonDonatus-kk1uj ปีที่แล้ว +2

    Hahahaaa remote ya msoga,,,roma big up sana kka

  • @Magwizadaniel1962
    @Magwizadaniel1962 ปีที่แล้ว +4

    Kaka uposahihi sana mdau mkuu❤❤❤❤❤

  • @ottomarandu1113
    @ottomarandu1113 ปีที่แล้ว

    Roma mkatoliki mwenzangu respect kaka umenene na basata wakifungia Ngoma hii itakuwa Wana jambo lao. Ila Ngoma hii inaelimisha sana na walipoamkia wao we ushaamkia kitambo..Kaka ukirufi watakutesa we wachane ukwel.

  • @janethvedasto
    @janethvedasto ปีที่แล้ว +3

    Ni mwamba kati ya miamba walio shindikana Namtakia maisha yenye kheri na Baraka Zaidi

  • @anselmoonolius
    @anselmoonolius ปีที่แล้ว +7

    Roma ni mtu aisee👏👏👏👏🍎❤️

  • @AmiHaji-r4h
    @AmiHaji-r4h 6 หลายเดือนก่อน

    Mgosi mwenzangu usiogope toa nyimbo kali kama hizo,2pop1 kak🎉

  • @elizabethosward7172
    @elizabethosward7172 ปีที่แล้ว +10

    Mungu akulinde kwa ajili yetu

  • @EvalineMbonea
    @EvalineMbonea ปีที่แล้ว +1

    Msemakweli sikuzote nimbaya lakin yulemuongo ndiekipenz Cha watu uko sawa kakayangu

  • @johnchuwa2888
    @johnchuwa2888 ปีที่แล้ว +8

    Mwamba umetisha sana❤❤❤❤❤

    • @stanleykiangio221
      @stanleykiangio221 ปีที่แล้ว

      😂🎉😂😅🎉😅🎉 😂,😊😂😅🎉😅🎉😅 ,,,
      , ❤🎉😂❤🎉

  • @BarakaOlesamwel
    @BarakaOlesamwel ปีที่แล้ว

    Daa@aaaaa natamani ningekua malaika nikupe miaka 1elfu il sauti yako haitakua ya bure kbx ❤❤

  • @athumanikamtoi1693
    @athumanikamtoi1693 ปีที่แล้ว +5

    Tunakutakia maisha malefu blaza uzidi kufanyayako kwalengo lakuwatetea. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌿

  • @egidipatrick5063
    @egidipatrick5063 ปีที่แล้ว +11

    Mwamba muacheni atusemee🇹🇿🇹🇿🙌

  • @Devilinintungwawc2vk
    @Devilinintungwawc2vk 5 หลายเดือนก่อน

    Roma that my nakukubali xana brother and 1 we ni moto mama samia suluhu kuma yake anazingua

  • @JumanneNtibara
    @JumanneNtibara ปีที่แล้ว +2

    Msimu huu ni msimu mzuri sana kwa kilimo cha mpunga nak.....
    Mngejielekeza ata huko ili mkuze uchumi weni na wa familia zinu, kuliko kushida mukiangaika na mitandao
    Mkifatilia mambo yasiyo kua na maana.
    "Ivi wewe ulichokifanyia utafiti au ulichokisema cha maana ni kipi katika clip yako" ???
    Endelea kuhangaika na mitandao utakula mitandao

  • @OfficialBarati
    @OfficialBarati ปีที่แล้ว +1

    Asikuambie MTU bongo kikibwa uzima tu maana katika hii nchi Bora andazi tuu kuliko kituu

  • @BINMAGWATE
    @BINMAGWATE 4 หลายเดือนก่อน

    Wimbo haujavunja maadili ila kasema kweli kabisaa

  • @annakillian3937
    @annakillian3937 ปีที่แล้ว +1

    Broo. Umetishaaa. B

  • @safiamwagiro2435
    @safiamwagiro2435 ปีที่แล้ว +2

    🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 chukua maua yako kaka napenda Sana kazi yako

  • @KibadeniSwila
    @KibadeniSwila ปีที่แล้ว +1

    Ndio Roma endelea kutufikishia ujumbe wanyonge kipaza saut Machinga na mama ntilie kitaa ni tabu tup

  • @boniphacesubi9589
    @boniphacesubi9589 ปีที่แล้ว

    Wandishi wa bongo wapuuzi sana, andika ulivhonacho au unachoweza kuzungumzia, sio brabra2 wimbo Kila MTU anaujua hainahaja ya kurudia

  • @omaryiddi7454
    @omaryiddi7454 ปีที่แล้ว +1

    Wewe hukijui kiswahili Loma, lais, tumewaajili, huna lolote zaidi ya kuiharibu lugha yetu rudi darasani ukajifunze upya vinginevyo kalime migomba ulikozaliwa, ROMA ni jina kubwa kioo cha wapenda haki usilichafue kwa kuliita LOMA

  • @Rasuliabduli
    @Rasuliabduli 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli maana mama anauza mali za tz lakini kwao zanzibar hagusi najuato roma hawawezi kumpenda kwasababu ana wachana makavu nasiku zote usikubali kuficha uvundo

  • @EddyKalalu-ke3sc
    @EddyKalalu-ke3sc ปีที่แล้ว

    Umetishaaaa sana broo

  • @danielmnyampa1063
    @danielmnyampa1063 ปีที่แล้ว

    Pongezi kwake mana kuisema kweli nchi yetu tz co jambo la kitoto. There is no one like roma......❤❤🎉😂😂

  • @reginamashauri3884
    @reginamashauri3884 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sna roma mkatoloki aya sasa mbona wajamkamata huko aliko mbona kijana was chatting amehukumiwa jera kumbe masiki anaonewa sana

  • @Samuelmolel.3331
    @Samuelmolel.3331 4 หลายเดือนก่อน

    tunakukubali brother good bless your

  • @IbrahimDizonga-rq3xz
    @IbrahimDizonga-rq3xz ปีที่แล้ว

    Nakubali Roma up vizri

  • @dvanybraity4580
    @dvanybraity4580 ปีที่แล้ว +1

    Roma Hana baya , kwenye wimbo Hamna baya pengine ta anzania itakomboka mungu ibariki Tanzania

  • @JANUARYMANYAMA
    @JANUARYMANYAMA 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mawazo ya. Wasanii yapewe kipaombele Tanzania tuna uhuru wa kuongea kama kuna kitu kizur tukichukuwe tufanyie kazii

  • @SaimonAshley-f9m
    @SaimonAshley-f9m ปีที่แล้ว +1

    Kaka umetiasha sana

  • @SahraHalifa
    @SahraHalifa ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂Roma ahsante sana mung azidi kukuweka

  • @johnchuwa2888
    @johnchuwa2888 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana.hii inamaana kubwa sana.tqnzania

  • @saimonmizingo7485
    @saimonmizingo7485 ปีที่แล้ว +10

    Msanii kioo cha jamii bhana wametekenywa wametekenyeka na ukifungiwa wimbo huu nchi yetu itakuwa haina demokrasia

  • @MosabiManga
    @MosabiManga ปีที่แล้ว +1

    Kwa sababu jeshi ndo Kila kitu katika Nchi na wamekaa kimya yawezeka a mambo Yako vizuri tutulie

  • @NyemoMsele
    @NyemoMsele ปีที่แล้ว

    Mwamba unatisha Sanaa pamojaa kwa ujumbe mkalii watakuerewaa tuu unacho maanisha ipo sikuu maneno yako wataja kuerewa nikipi unahitaji tuishi ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @melitalaunoni4018
    @melitalaunoni4018 ปีที่แล้ว +4

    Roma tunakupenda Sana shikilia hphpo

  • @RashidJuma-y8p
    @RashidJuma-y8p 2 หลายเดือนก่อน

    Ninaupenda Wimbo wa roma mauwayangu

  • @jemedarikalimasi5754
    @jemedarikalimasi5754 3 หลายเดือนก่อน +1

    Viongozi was ccm wengi mafara sana Ila tunaomba mungu awatangulie kama alivyo mtanguliza magu maana hawataki kukosolewa

  • @ThysonAsinath
    @ThysonAsinath ปีที่แล้ว +1

    Tusemehee
    Acheni ubabaishaji
    Roma🌹💖👊

  • @albanomgaya6122
    @albanomgaya6122 ปีที่แล้ว +8

    Anaitwa Roma sio loma

    • @sarahmgalama3503
      @sarahmgalama3503 ปีที่แล้ว

      Hahahaaa

    • @frankmngeja-lf3ss
      @frankmngeja-lf3ss ปีที่แล้ว

      Watanzania hatuna umoja,, ata wandishi wahabali mulifikilie hili kwani mukiangalia mama samia hanakazi anayo fany hatuoni kipi anachokemea vitu vinapanda bei yeye amekaa tu ,,,, roma pamoja sana nyimbo hii imewagusa ,,,wa tanzania badilikeni msema kweli nipenzi wamungu

    • @frankmngeja-lf3ss
      @frankmngeja-lf3ss ปีที่แล้ว

      Watanzania hatuna umoja,, ata wandishi wahabali mulifikilie hili kwani mukiangalia mama samia hanakazi anayo fany hatuoni kipi anachokemea vitu vinapanda bei yeye amekaa tu ,,,, roma pamoja sana nyimbo hii imewagusa ,,,wa tanzania badilikeni msema kweli nipenzi wamungu 🏯🏯🏯

  • @yogeshnegi5722
    @yogeshnegi5722 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Roma nakukubar nhivo 2 Sina uwezo tuzo inakuhusu🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀

  • @gabrielthadeo
    @gabrielthadeo ปีที่แล้ว +1

    Kwani kaongea uwongo ni kweli kabisa usiopingika kati ya CCM na andazi kipo bora ? Bora andazi

  • @menejamelaumolell1885
    @menejamelaumolell1885 ปีที่แล้ว +1

    Roma big up ❤❤❤❤

  • @mariamomary7655
    @mariamomary7655 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo nchi hii mnapendaga kusifiwa hatakama upuuzi ,Roma endelea kutusemea

  • @GwamakaAmsyanGwamakamsyani
    @GwamakaAmsyanGwamakamsyani ปีที่แล้ว

    Okay umetisha roma

  • @CharlesmBituro-is5uh
    @CharlesmBituro-is5uh ปีที่แล้ว +1

    Roma mama Yuko sawa ila walio chini yake wanafanana wao hawakuzaliwa na masikini ila cku Yao ipo