Haya maneno ni mawaidha na maoni tu kwa watu wengi tu hayakumlenga Mwijaku kimaudhui....haikuwa vyema kwa Mwijaku kumng'akia huyu bwana..hata wachezaji soka huongelewa hivi hivi na mwishowe mambo yakaisha kwa heshima na amani tu. Mwijaku afanye heshima tafadhali.
Tunajua haukurupuki, tunaiombea kp motors izidi kukua watanzania wapate ajira, in GOD we trust
Yn kaka masudi Huw nampenda sn. Maana Huw anaakili nyingi sana. Nampenda kibinadamu. Natamani CK mwanangu akija kuzaa amuit mtoto masudi.
Haya maneno ni mawaidha na maoni tu kwa watu wengi tu hayakumlenga Mwijaku kimaudhui....haikuwa vyema kwa Mwijaku kumng'akia huyu bwana..hata wachezaji soka huongelewa hivi hivi na mwishowe mambo yakaisha kwa heshima na amani tu.
Mwijaku afanye heshima tafadhali.
Masoud binafsi mi nakukubali sana
Mwijaku huyu Masood kipanya amekutaja wapi? Huyo afungwe haswa ndio asijichanganye next time!!