Masoud Kipanya Ambana Kamanda Muliro I Mashahidi Wataja Majina ya Polisi I Uchunguzi Sio Siasa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • #CloudsDigital tumekuwekea mahojiano ya Kamanda Maalum Mkoa wa DSM Muliro kupitia kipindi cha #PowerBreakfast

ความคิดเห็น • 403

  • @ymohammed963
    @ymohammed963 2 วันที่ผ่านมา +12

    Huwezi kumata polisi kwenye kesi ya polisi

  • @joycembogo7870
    @joycembogo7870 2 วันที่ผ่านมา +3

    Safi sana kipanya umemuuliza maswali maxuri sana

  • @michaelmwambije3603
    @michaelmwambije3603 7 หลายเดือนก่อน +19

    Inaonyesha huyu mlilo nimiongoni mwa watekaji mana kauli zake zinaleta ukakas pia ninacho kielewa Tanzania hatuna jeshi tunakikundi kimejivisha elementi ya kijeshi lakin kazizao ni kazin zao ni majambaz kiujumla tuna majambaz hatuna jeshi mungu ndo anajua

  • @ManyambaHh
    @ManyambaHh 7 หลายเดือนก่อน +16

    Mulilo mwenyewe ni mtekaji mkuu

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 7 หลายเดือนก่อน +17

    Hakuna kazi ngumu kama kutetea uongo...

  • @fdizzo
    @fdizzo 7 หลายเดือนก่อน +5

    Jeshi letu La polisi ni janga Aisee sijui limepatwa na nini!!!? Weledi sifuri. taaluma ukichanganya na siasa ni umekwisha masood kipanya uko vzr Sana kaka pamoja na team yako msichoke endeleeni ivoivo na endeleeni kuwaalika tuone panapo Vuja.

  • @nurumussa9107
    @nurumussa9107 3 หลายเดือนก่อน +8

    Kaka masoud umeuliza swali zuri Sana lakini Cha kusikitisha halijatolewa majibu sahihi, tunamuamini kamanda wetu mulilo na tunaipenda kazi yake hivo ni vizuri alichukue Ilo swali na kulifanyia kazi. Asante

  • @joshuakasemelo1675
    @joshuakasemelo1675 2 วันที่ผ่านมา +6

    Mlilo ana maanisha askali wake akitajwa kwautekaji yeyeanaandika kwenye failizake kwamba asikali siku hiyo alikuwa ametumwa mkoa furani ,hapo huyo anachunguza nini,ona anavyopindisha hoja watanzania tutaisha

  • @mikidadichisala6136
    @mikidadichisala6136 7 หลายเดือนก่อน +12

    Kama huyu anaetoa majibu hapa ni jeshi la polisi basi tunayo kazi kubwa

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 7 หลายเดือนก่อน +13

    Kama ujawai kupelekwa police uwez kujua omba yasikukute et uchunguz yani! mungu atusamehe

  • @suleymanimixkatafighter2669
    @suleymanimixkatafighter2669 วันที่ผ่านมา +1

    Hatuna taarifa za kutosha ila tuliowaamini na kuwathamini na kuwaona polisi ni sehemu ya ulinzi ila imani yetu kwao inatoweka kabisa wanatakiwa kuwa smart sio kutumia nguvu na vitisho sisi tunawathamini na kuwaheshimu na ni kweli kazi yao ni ngumu na wanapitia changamoto nyingi ,.Tunataka kuona ubora wa kazi zao na maarifa makubwa kuna sehemu hekima inahitajika sio nguvu

  • @maulidsumbuka6157
    @maulidsumbuka6157 วันที่ผ่านมา

    Mungu wa haki Tunaomba ikikupendeza...........raajuun

  • @matalo0551
    @matalo0551 3 วันที่ผ่านมา +2

    Natamani kujua Elimu ya Kamanda huyu, mana ninamashaka nae.....mana haelewi anachoulizwa

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 วันที่ผ่านมา

    Amakweli uongo wa polisi sio ukweli wa raia. Polisi ni chombo Chenye nguvu sana katika Jamii. Na wasii vijana wangu ambao wapo katika jeshi la polisi kueni waadilifu. Kwani kesho yenu amujui... Mwenyezi Mungu anawapenda wanaofanya uadilifu.

  • @RizwanAbdallah
    @RizwanAbdallah 4 วันที่ผ่านมา +3

    Maswali na majibu nivitu tofauti au Sina uwelewa

  • @Snuky54
    @Snuky54 7 หลายเดือนก่อน +2

    Masha Allah masoud umeuliza swali zuri sana

  • @navioma4882
    @navioma4882 4 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu bwana anakua kila kitu kinachoendelea😢😢 ila Mungu yupo

  • @yokoi3970
    @yokoi3970 7 หลายเดือนก่อน +11

    Hakuna kitu hapa aibu tu

  • @lizp6826
    @lizp6826 7 หลายเดือนก่อน +5

    Hamna kitu hapa Hana analojibu, mbambamba nyingi

  • @altonkanjolonga2380
    @altonkanjolonga2380 3 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana Masoud Ally Nyomwa

  • @FocusmachumuMwizarubi
    @FocusmachumuMwizarubi 3 วันที่ผ่านมา +2

    Hawa police watanzania tuchukuwe hatua kwa hawa police kwani tunaishi nao na sisi tukawauwe watoto wao na wazazi wao

  • @mayungarichard7443
    @mayungarichard7443 7 หลายเดือนก่อน +4

    Masud uko vizuri sana

  • @alexlazoro3530
    @alexlazoro3530 3 วันที่ผ่านมา +2

    Afande mrilo unatoa majibu mepesi kwenye watu ambao kwasasa wanauelewa mkumbwa sana unatuona watanganyika niwajinga sana wa kudanganya

  • @mikemutabuzi3665
    @mikemutabuzi3665 7 หลายเดือนก่อน +2

    Je afande anatushauri kwamba watakaokuja kuchukua watu wananchi waungane wawadhibiti kama hawatatoa vitambulisho?

  • @avitusmwemeziandrea7317
    @avitusmwemeziandrea7317 7 หลายเดือนก่อน +9

    Hakuna anachojibu afande, anazunguka tu. Swali liko wazi, kwenye hali ambayo askari anatajwa jina nini kinafanyika? Hatoi jibu, anazunguka.

    • @knight6757
      @knight6757 7 หลายเดือนก่อน

      👀

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kaz ya hawa watu ni changamoto

  • @AbelnegoChali
    @AbelnegoChali วันที่ผ่านมา

    Masoud ❤❤❤

  • @yonawilliam9419
    @yonawilliam9419 2 วันที่ผ่านมา +1

    Yani hawa wamebaki na mavazi tu lakini si kazi. Naumia sana kwa yanayoendelea. Waandishi mnatakiwa kujua uchunguzi hufanyika kama muhusika ni CCM ila raia wa kawaida ambaye hajihusishi na shuguli za CCM hanaumuhimu. Hapo nakubaliana na kauli za baadhi ya makada wa CCM wanaosema kesi ya mwanaCCM na wengine ni tofauti inaonekana kabisa.

  • @kaslali2039
    @kaslali2039 7 หลายเดือนก่อน +3

    Afisa ni dhaifu mno ktk kazi yake, anaonyesha uwezo mdogo sana ktk kuelezea kiupolisi hana uwezo wa kuwa mkuu wa police anaeleza kisiasa kabisa

  • @mage5371
    @mage5371 2 วันที่ผ่านมา

    Dah Mungu tusaidie tujue kwamba upo hata km huonekani kimwili🙏

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 4 วันที่ผ่านมา +2

    Bado hujajibu swali mzee acha kupuyanga

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 7 หลายเดือนก่อน +2

    Masoud muulize mpaka akujibu.😮😮😮

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 7 หลายเดือนก่อน +5

    Kusema kweli Mimi binafsi huyu kamanda huwa simuelewi maana naona kama ana udhaifu katika kusimamia watendaji wake,ye naona amebase katika siasa tu sio kuangalia majanga yanayosababishwa na jeshi la police Kwa wananchi!

    • @EmmanuelSimion-d3e
      @EmmanuelSimion-d3e 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna kitu kinaitwa Leadership (kiukweli kwa Tz viongozi wa Umma wanatakiwa kulitendea Haki hili NENO hasa Jeshi LA POLICE TANZANIA)

  • @abubakaranwar337
    @abubakaranwar337 3 วันที่ผ่านมา +2

    Atuna ima na polisi wa Tanzania ni kama majambazi

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kamanda mbona maswali unayoulizwa tofauti na majibu unayotoa

  • @JosephMwaipopo-px4wi
    @JosephMwaipopo-px4wi 3 วันที่ผ่านมา +1

    Bas ilikuwa haina haja ya kuzuia maandamano mngewasikiliza waandamanaji ili muwasikilize mpate taaliza ambazo pengine zingewapa ukweli juu ya hao wanaotajwa, kuliko hii ya kuzuia, inaleta sintofahamu,

  • @franknzowa22
    @franknzowa22 7 หลายเดือนก่อน +2

    Afande hapo naona kama Masoud Kipanya hajapata alichokuwa anahitaji hapo

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix วันที่ผ่านมา +1

    Shida polisi mkiwa mnakamata mhalifu hamkubali kupigwa picha kwanini hamuoni hiyo mnapoteza ushahidi toeni elimu kwa watanzania pindi wanapotaka kukamatwa

  • @Josephmwambe-r6n
    @Josephmwambe-r6n วันที่ผ่านมา

    Naamini mungu yupo na kila nafsi itaonja umauti aya yote mapito ya kesho. Mana ukipandacho duniani utavuna mbinguni mn naamini kila chozi la mnyonge litapata uponyaji kwa mungu.
    Muchungaji bola ni yule anaye wapa machungo bora mifungo yake bila kuwatesa

  • @ZuberiMjanja
    @ZuberiMjanja วันที่ผ่านมา

    Tunaenda wapi jamani mbona ss niwaamani kwann tusiezi amani yetu ,mungu ubariki tz nawatu wake emungu waazibu wanao ua watu bila hatia i

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 2 วันที่ผ่านมา

    Muliro unazunguka mbuyu sema ukweli mungu anakuona unafahamu Siri yote ya mauaji na utekaji sisi siyo watoto wadogo

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka masoud umemuuliza swali zuri lkn majibu yake ya kujitafunatafuna masoud kazi ipo samia na jeshi lake

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 4 วันที่ผ่านมา +2

    Jeshi la polisi limeoza

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 7 หลายเดือนก่อน +9

    Afande mbona anazunguruka tuu zuieni hicho kiti kwanza tuelewane

    • @sadiqadam7971
      @sadiqadam7971 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @lifeofbeed_2216
      @lifeofbeed_2216 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂 daaah

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @MenAbdy-ct1iz
    @MenAbdy-ct1iz 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kwanini hajibu swali mbona angekuwa kipanya katajwa angekuwa kakamatwa kwanini hawo hawakamatwi

  • @saidmasoud7701
    @saidmasoud7701 2 วันที่ผ่านมา

    Salute mwandish

  • @EmmanuelSimion-d3e
    @EmmanuelSimion-d3e 6 หลายเดือนก่อน +3

    Haya mambo bhana MUNGU atusaidie tu!

  • @starjay3052
    @starjay3052 2 วันที่ผ่านมา +1

    sisi tulichokiamua police 👮 akija mtani kwetu aondoki na mtu labda aondoke akiwa oi au amekufa sababu atuwezi kukubali ujinga huu sababu anaulizwa swali lengine anajibu swali lingine kabisa

  • @starjay3052
    @starjay3052 2 วันที่ผ่านมา +1

    vipi lipoti ya upelelezi mtekaji unajua roma alimanisha nini

  • @FatumaAbdallah-f8o
    @FatumaAbdallah-f8o 6 วันที่ผ่านมา +1

    Unajua mm ninacho kiona police ss mnatulisha chakula kimbichi saiz watu waogopa polisi kuliko mahakama bro police acha tu

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 3 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa hawajulikani lini watajulikana mbona tupo kwenye wasi wasi hatuna amani kilasikuwatu wanatekwa

  • @ndevuemcee3000
    @ndevuemcee3000 2 วันที่ผ่านมา

    Hii ndio sababu polisi hawezi kuchunguza kesi ya polisi waalifu, tu outsource hii kwa taasisi ya nje kufuatilia

  • @charlesmoshi1983
    @charlesmoshi1983 7 หลายเดือนก่อน +5

    Kuna mtu amesema askari fulani tunamjua na kulikua na cctv camera

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 7 หลายเดือนก่อน +4

    Yani katika watu siwapendi duniania ni polic wa tanzania maana awana hutuu kabsa alfu awa viongozi wao wanawatetea sana ila ingekuwa rahia kampiga polic yani watakamata mtaa mzima awa awana maana kabisaaaa

  • @Maarifasnr-gu6dp
    @Maarifasnr-gu6dp 3 วันที่ผ่านมา +1

    Bro masoud fanyeni mumpate waziri wa mambo ya ndani aje ajibu yote hayo ila kesi ya ngedere kumpelekea nyani .....

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix วันที่ผ่านมา +1

    Tanzania raia haruhusiwi kua na smg ni polisi peke yake kama sio police ni nani anae miliki silaha kama hizo basi kinacho takiwa toeni elim kwa watanzania iweje akija kukamatwa ajilizishe vip kua hawa ni polisi kweli

  • @allyomary2271
    @allyomary2271 7 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera sana kamanda murilo ila kwenye jeshi la police kuna tatizo kubwa sana hujma za ubambikiaji kesi kwa raia umekuwa kwa kasi sana chunguza hilo na chukua hatua

  • @mamalange2277
    @mamalange2277 7 วันที่ผ่านมา +1

    😂duh. Mungu atusaidie

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 2 วันที่ผ่านมา

    Kuna police wazuri, na Kuna police wabaya , muliro usitete nafsi za vijana wako. Muogope Mungu.

  • @vicentlyimo5974
    @vicentlyimo5974 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mmmmmh tunachamoto kubwa kwenye jeshi letu la police

  • @PhilipoMasaga
    @PhilipoMasaga วันที่ผ่านมา

    Majibu mepesi kabisa anatoa kamanda ila naisi wao Awana Mungu awa jamaa wanajipa cheo Cha mtoa roho utazani wao hawatakufa kumbe apa duniani wote niwakupita tu ifike mahari Viongozi mumuogope Mungu.

  • @Its_Goodluck
    @Its_Goodluck 7 หลายเดือนก่อน +1

    Safari ni ndefu sana na hata robo atujafika

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu hata haelewiki tangu kua kanda dar ni shida, mji upo ovyo ovyo

  • @abubakarsuleman1983
    @abubakarsuleman1983 7 หลายเดือนก่อน +10

    Uyu afande kisisiasa zaidi

  • @WhiteMgeni
    @WhiteMgeni 3 วันที่ผ่านมา

    Swali zuri kipanya ila majibu tofauti kabisa mmmmmmhuuuu

  • @Princewaweru
    @Princewaweru 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jeshi la police ni bado kizungumkuti

  • @damasmaleo4845
    @damasmaleo4845 3 วันที่ผ่านมา +1

    Unayemuulza ni muuska unatarajia jbu gani,

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 7 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu.Bwana ni Mropokaji na Hana Jipya ana Linda Jeshi lake

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 4 วันที่ผ่านมา +1

    Sio wanaamini wameona mzee acha kujikingia kifua mzee

  • @RemmyMringo
    @RemmyMringo 7 หลายเดือนก่อน +1

    Uchunguzi wa nn na unamchunguza nani acheni usaninii hata kamanda ana familia kazi yako isiwe laana kwako

  • @peterkisanga8089
    @peterkisanga8089 วันที่ผ่านมา

    Next please

  • @MiriamKalipa
    @MiriamKalipa 7 หลายเดือนก่อน +1

    UYO mlilo muongo kashindwa kukujib Na awezi kujibu ata akijatena apo studio

  • @robartifabiani
    @robartifabiani วันที่ผ่านมา

    Tunasafari ndefu sana ukicheki macho ya masoud anapata hasira kupitiliza😂

  • @caesar7745
    @caesar7745 3 วันที่ผ่านมา

    Murilo wimbi la watu kupotea ni kubwa sana haijawahi kutokea. Sasa kila swali unaleta siasa. Jamaa juzi anasema anakumbuka alipelekwa osystebay alafu akatupwa porini naye alijizima data. Hili ni janga ni bora muonbe msaidia kwa jeshi tusifanye mchezo maisha ya watu. Mo Dweji naye alijificha eti watu wanajizima data

  • @Entertainment-hg4ms
    @Entertainment-hg4ms 4 วันที่ผ่านมา +1

    Matako huyu, he is so an ethical /unprofessional .Hebu tupunguze matumaini ya hawa gangster wanavaa uniform za polisi ,wapo hapo kwa interest za CCM.
    Solution ni katiba itakayo badilisha mfumo wa jeshi kuanzia uteuzi wa IGP, ma RPC na OCD .
    Wawe wanaajiliwa na Mameua na siyo hapo wata save interest za Wananchi.
    Lakini kwa mfumo huu hakuna watakachofanya kinyune na mwajiri wao,Rais ,Waziri husika

  • @joannoel-g3r
    @joannoel-g3r 4 วันที่ผ่านมา

    Dah aisee Mungu tu aingilie kati viongozi wetu wawe na busara juu ya haya malalamiko ya wananchi kuna vitu vinajengeka kwa jamii vitatuathiri baadae

  • @MashakaShobo-cs5wj
    @MashakaShobo-cs5wj 7 หลายเดือนก่อน +5

    Kipanya unaokomavu sana kwenye utangazaji hongera ila huyo afande ni siasa tu

    • @petermgaya9693
      @petermgaya9693 7 หลายเดือนก่อน

      Mm kwangu Power break fast ikiisha nafungaga radio

  • @kalebiestomihi
    @kalebiestomihi 4 วันที่ผ่านมา +1

    hana.cha.kujibu huyo

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 7 หลายเดือนก่อน +1

    Polic mnazinguwa sana nyinyi

  • @jacksonsilaa415
    @jacksonsilaa415 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tutachukua picha kila tukio la police arrest report.

  • @MartinMwasyeba
    @MartinMwasyeba 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hana Majibu.

  • @isaiahmakenzi9243
    @isaiahmakenzi9243 2 วันที่ผ่านมา

    Duh Hamna kitu hapo ujanja ujanja tu

  • @MartinMwasyeba
    @MartinMwasyeba 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hawawezi jichunguza.

  • @starjay3052
    @starjay3052 2 วันที่ผ่านมา +1

    sasa sativa alifanya tukio gani mbaka mkampeleka kalakana

  • @jimmyhabarugira4232
    @jimmyhabarugira4232 7 หลายเดือนก่อน +4

    Haja jibu swali la Masud Kipanya
    Naona anakwepa swali 🤣

  • @iddyekanda6456
    @iddyekanda6456 วันที่ผ่านมา

    Anajaribu kukwepa maswali ya msingi lakini waelewa tunajua kuna ukweli anaoujua juu ya Askari wanaolaumiwa kuchukuwa watu kinyamera na kuwapoteza,na sikuwa wananchi wakichoka wataanza pia kuwapoteza askari

  • @isackignas1752
    @isackignas1752 7 หลายเดือนก่อน +4

    Tuendelee kushika tama

  • @shabaniiddi510
    @shabaniiddi510 4 วันที่ผ่านมา

    Yana awa jamaa wanajiona jiona sana sema mungu yupo ipo siku moja watapata uchungu ety watu wameenda South africa alafu wamebadilisha majina sasa ndio nn ww yanakuhusu nn wao wakibadilisha majina yao

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 4 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu ni muhuni

  • @KalondaSongolo
    @KalondaSongolo 2 วันที่ผ่านมา

    Leo mtekaji mkubwa anaojiwa 😂😂😂

  • @datiusprojestus4596
    @datiusprojestus4596 วันที่ผ่านมา

    Hiyo nikutaka kujitoa kwenye makosa kujifanya alikuwa sehemu nyingine na si sehemu ya tukio

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo ni trab na trat swali kingine jibu lingine

  • @bakarimahenge
    @bakarimahenge 7 หลายเดือนก่อน +7

    sasaivi tuwetunawapiga picha wakikamata mtu ili wakikataa tunawaonesha picha

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 3 หลายเดือนก่อน

      Ndio dawa

  • @fredgonga9470
    @fredgonga9470 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hayuko serious

  • @AloisMosha-uv2fu
    @AloisMosha-uv2fu 3 วันที่ผ่านมา

    Saws ongea ukweli

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jeshi la polisi mara nyingi halina ueledi kabisa

  • @hubman6780
    @hubman6780 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mara nyingi serikali na majeshi Huwa na lugha zao kikazi

  • @charleslukumai7875
    @charleslukumai7875 2 วันที่ผ่านมา

    Kuna sheria ya kutoa taarifa ya uongo polisi, walinzi wa Mbowe walieleza kubadilishiwa majina, na kuhamishwa vituo. Anasemaje kuhusu hayo?

  • @kiatu
    @kiatu 3 วันที่ผ่านมา

    Very sad polisi anatoa majibu ya ovyo hivyo.

  • @yusuphmruma1771
    @yusuphmruma1771 2 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 sawa kaburi la kila mmoja lipo karibu sn

  • @jumashimba9620
    @jumashimba9620 วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo mwananchi kukataa kukamatwa na polisi kama hawana uniform