ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

ASAGWILE LONGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2021
  • Natamani unite nami nikae na wewe Maisha yotee bwana ah nikufate nitembee na wewe siku sote bwana ah
    Usiwe mbali baba nakuitaji yahwe tusemezane mi na wewe mtetezi mfariji wangu niwe karibu na Wewe nichecheke nawe kyara mununu Wewe ni mumu Tata
    Baba ohh longa nami Bwana kama ulivyo longa na Musa longa nami Mungu wangu weeee
    CHOROUS
    Baba longa nami (Longa )
    babaa longa nami (Longa )
    Minataka nikusikie Baba Longa nami
    Longa heee
    VERS 2
    Njia zangu zimekua Ngumu nashidwa kupita
    Mbele kuna wanyama wakari naiona vitaa
    Sina taswira sina picha ni vipi nitavuka mimi bila wewe na hahahaha
    Kwako mi mtoto naitaji msaada mi mtoto
    Wewe ni baba wa upendo nitazame mwanao mi Mtoto
    BRIDGE
    Baba ohh longa nami Bwana kama ulivyo longa na Musa longa nami Mungu wangu weeee
    CHOROUS
    Baba longa nami (Longa )
    babaa longa nami (Longa )
    Minataka nikusikie Baba Longa nami
    Longa heee
    YAWE WEWE
    YAWE WEWE YAWE WEWE
    Kwako mi mtoto naitaji msaada mi mtoto
    Wewe ni baba wa upendo nitazame mwanao mi Mtoto x2
    Artist Asagwile mwasongwe
    Official Instagram @Asagwile_
    Facebook @Asagwile
    For booking :Athagwile95@gmail.com
    Cover photo by @Lenbrand_artwork
    Producer #walterchilambo
    Studio #lovemusicbrand
    Official Instagram page @walterchilambotz

ความคิดเห็น • 46