Hee me nilijua kajenga mpya kupitia wasafi kumbe kafanya finishing Ukwel umeongea fela neno Asante ni muhim sana ilibidi aanze kukushukur wew mwenye wazo la kwanza kujenga iyo nyumba alafu arudi kushukuru wasafi kwa muendelezo
Bongo 5 rudieni kuitazama interview ya mbosso. Kiukweli mbosso amesema waziwazi kuwa ni nyumba aliyopata akiwa yamoto na yeye kwasasa ameifanyia maboresho na kuibadiri mwonekano
Mkubwa fella ana akili sana... Na anaona mbali sana uyu mzee ndio mana mungu anamuinua kwasababu hatafut sifa kama na wengine... Big up mkubwa fella baba wa wasanii qonki bongo...
Watanzania mkifanya mambo yetu tafadhalini masifa yenu yabaneni nyumba,gari siri ya mtu watanzania wasai mumepoteza heshima yenu mnaonekana nyuma kila wakati kwa mambo madogo.😂😂😂
Ww mtangazaji unazngua kwn mboso kajengewa hy nyumba akiwa yamoto ilikuwa n pesa ake sawa kajenga yy ingekuwa km mkubwa fella katoa pesa ake kumjengea apo ungesema mboso hajatenda lkn kajengewa kwa pesa ake atashukuru nn apo sasa hy nyumb n jasho lake mboso😆😆😆😏😏😏😏
Offer offer nunua au kopa mobisol solar watt 40,80,120,200 ikiwa pamoja na TV inch 21-43 na taa zake tukuletee hadi nyumbani pamoja na ufungaji ni bureeeeeeh wahi sasa offer hii ipo jirani kuisha.piga simu 0764325083/0654362426.
@@naamohamed9964 sasa hapo waandish wanazingua nn na wakat anayeongea na Mkubwa mwenyewe na anaongea kiswahili. Tatizo watanzania wengi hatusikilizi wala hatusomi.
hongera sana mkubwa fera uwaunajitaida sana ila shukurani ya punda mateke umekuwa unawapa maisha vijana ambao sisi turikuwa hatuwafahamu mwisho wa siku wanakusariti kiukweri ungekuwa unaweka mikataba watoto wengi wangekuheshim ukivunja mkataba unaripa pesa uriyotumia kuukwe ww unamoyo mzuri sana nimefika kwenye kituo chako mkoroshini nakupongeza sana broo uwekezaji kama ule unaitaji pesa unaitaji roo mzuri kama ww
Mwaka 2020 mwaka wa mafanikioi nami nitamiliki mjengoii amina
diwani mkubwa fela tz waige mwenendo wake kwakusakia vijana maendeleo na yyte mwenye kumsogelea(masha ALLAH)
Congratulations fella you're an icon
Unapo msaidia mtu usingoje shukrani
Kama una nkabali mbosso gonga like
Ipo siku ntamiliki mjengo
Inshallah
Amin in shaa allh
Utamiliki tu broo,ila usikate tamaa
2021 ni mwsho wa hawa waandishi makanjanja wanaofanya kazi ya kupika bifu na kugombanisha kila siku
Hahaha kwa niaba ya Mboso asante fella.... Imba na wewe
Hee me nilijua kajenga mpya kupitia wasafi kumbe kafanya finishing
Ukwel umeongea fela neno Asante ni muhim sana ilibidi aanze kukushukur wew mwenye wazo la kwanza kujenga iyo nyumba alafu arudi kushukuru wasafi kwa muendelezo
Wewe kwani unayo uliyoipata uliko sasa?
@@mwikamwika4851 bado tailiz tu. mwez ujao naamia
Amesema nyumb za fela alivokuwa akihojiwa
Bongo 5 rudieni kuitazama interview ya mbosso. Kiukweli mbosso amesema waziwazi kuwa ni nyumba aliyopata akiwa yamoto na yeye kwasasa ameifanyia maboresho na kuibadiri mwonekano
Ni kweli hata mm nimesikia tena kasema , tena alisema mkubwa Fela aliwakabidhi na akasema kabisa, watu wasijemrushia maneno bure baba wawatu
Kweli dada. Wandishi wachonganishi sana
Waandishi wanafki
Sanaa mkubwa fella naququbali sana
Sawa fella kweli wew ni baba
Mnyonyaji sn Fella
Content nzuri Bongo5...wasoma comment wenzangu nawapenda wote😍
Angelina baby jina lako zurii
Asante sana na endelea kuwa karibu nasi
acheni ajenge sabambu ametafuta maisha sana
Diamond
Mkubwa fella ana akili sana... Na anaona mbali sana uyu mzee ndio mana mungu anamuinua kwasababu hatafut sifa kama na wengine... Big up mkubwa fella baba wa wasanii qonki bongo...
Safi sana mkubwa fela
History & Kumbu Kumbu is the same thing fella
Wanafiki wengi, eti asanteeee kwa Corona, ignorance is expensive than education, kweli shule muhimuu watu wanaficha ukurumbembee kwenye dini
I hope hati za nyumba zao uliwapa? That not ibada like sadaka ni jasho lao japo ni ndogo kwa kazi waliyo fanya🙄
Fanya wema uwondoke usingoje hisani
Unafeli wapi fella kwani lazima utajwe na usipotajwa unapungukiwa nini acha uzee bx we ni mkubwa kiumri au busara ndio kidogo!!
Fella hajaomba kutajwa ila mwandishi ndo kataka kuitumia headline hiyo ambayo wala mzee wawatu hakulalamika
Mboso alisema nyumba alikabidhiwa na mkubwa fela ndio akimalizia kujenga hakusema ameanza kujenga mwenyewe midia zengine hata aaaaaaakk nonsense
Sasa hapo kuko tatizo nyumba nia mbosso pesa zilikuwa zake ni nguvu za mbosso
Kweli bwana
Mm nadhani rudi tu jamni mjasikilize alivohojiwa mbona kasema ile nyumba alipata akiwa yamoto band , mm nadhani hamjamsikiza vizur
Utalipwa na Mungu
Fela ww sio
Jamani kumbe amewajengea kweli mm nilisema uongo he
ashamshukuru allah inatisha ameandika na alhamdulilah rabil alamiyn wewe acha ufala ushukuruliwe kwa lipi na ashamshukuru alokuwezesha ww
Watanzania mkifanya mambo yetu tafadhalini masifa yenu yabaneni nyumba,gari siri ya mtu watanzania wasai mumepoteza heshima yenu mnaonekana nyuma kila wakati kwa mambo madogo.😂😂😂
Tumieni title za ukweli acheni ugombanishi😂
Wewe kila post umo😂😂😂hupitwi
Sijui wanafelig wp hawaaaa mapimbiii
Sunshine Africana jkkjkkklkkkkjjkkkkkkkkkkkjlkkjkkjkjjkkkjkkjkkkkkkkkkkakklk
Ww mtangazaji unazngua kwn mboso kajengewa hy nyumba akiwa yamoto ilikuwa n pesa ake sawa kajenga yy ingekuwa km mkubwa fella katoa pesa ake kumjengea apo ungesema mboso hajatenda lkn kajengewa kwa pesa ake atashukuru nn apo sasa hy nyumb n jasho lake mboso😆😆😆😏😏😏😏
Mkubwa ni mkubwa tu
Vizuri fella umeongea
Mbona fella anamzumzia mbosso tu na sio aslay, beka au enock? Nyumba ya enock ipo wap
Wote walipewa nyumba zao wengine waliuza sababu zilikua hazijakamilika
Kawazulumu huyo
Mkubwa Fella ametumia akili nyingi sana kujibu maswali ya kipumbavu.
Stupid question.
History na kumbukumbu kuna utofauti🙄
Saidi fella muongo mbona hawapi kina asileiy nyumba zao
Umesema kwl tujifunze kusema hasantee
Siyo hasante ni Asante
History na kimbukumbu ina tofaut gani?
Amekutaja jaman
*Lakini mziki sio ibada mkuu hata ukifa leo kama utakufa kwa kusimamia mziki itakuwa umekufa kwenye amali chafu*
Acha sifa bana
Mbeba mabegi mbona umeisahau
KIBAKA HUYU MWIZI WA TAIFA
Kichwa kinapotosha. Habari zakimbea ilimradi basi youtube waingize hela za matangazo bila kujali hadhari za kugombanisha watu! Nonsense!
Tenda wema usingoje shukurani.
Wht the difference between history and kumbukumbu
am askin my self same question?
Tumekuwa wengi wenye tatizo linalofanana, please anaelewa atufahamishe
Tends wema chapa mwendo wabongo hawakawii kukuona Fara
Najaribu tu kujiuliza "mwandishi ulikuwa unataka nini kuhusu hizo nyumba?
Offer offer nunua au kopa mobisol solar watt 40,80,120,200 ikiwa pamoja na TV inch 21-43 na taa zake tukuletee hadi nyumbani pamoja na ufungaji ni bureeeeeeh wahi sasa offer hii ipo jirani kuisha.piga simu 0764325083/0654362426.
Naomba namba zenu bongo5
0716265838
Sikilizeni vzr alivyosema mboso nyie
Watangazaji wengi wanaficha mawasliano yao, inakuwa kazi zenu sio za halali naogopa kukamatwaa au hajui umuhimu wakuweka mawasiliano?
Ni Jambo la busara kushukuru Kama Jambo lako Kuna mtu ameusika
Tenda wema pita kushoto
Subiri na kaburini useme wewe umeanzisha music
Hata Kama amewajengea bado Ni jasho lao, huyo mzee mjinga anaependa asifiwe yeye,ujinga
Yan anapenda sana kusifiwa
Si ndivyo alivyosema, mbona hua hatusikilizi halaf wepes kusema
@@kassimabdu5677 waandishi nao wanazingua
@@naamohamed9964 sasa hapo waandish wanazingua nn na wakat anayeongea na Mkubwa mwenyewe na anaongea kiswahili. Tatizo watanzania wengi hatusikilizi wala hatusomi.
Kama mtu mzima wa busara hakutakiwa kuliongelea Hilo,msikilize vizuri
Maswali ya kijinga sana
What's meaning of history and kumbukumbu🤣🤣🤣