Kunawakati sisi tunauchukulia ukristo kama jambo la kawaida tuna mazoea sana ni mbaya tutafia dhambini kama watoto wa kuhani heri richa ya kujuwa ukweli lakini waliouiza Mungu atusaidie barikiwa sana waimbaji kwa ujumbe makini.
Nafurahi sana kuomwona dada rose akimtumikia Bwana maan ni muda mrefu tangu tumepotezeana baada ya kumaliza kidato Cha sita am stil happy to see you MUNGU na awabariki hosana
sending you people lots of love from Uganda. I really like the arrangement of the story line and pro Ephraim thanks be to God for the elaborate work indeed.
Namba yetu ya kupokea vocha na michango kwa ajili ya kikundi ipo kwenye discription ya nyimbo zetu hapa TH-cam wewe tuma tu hiyo vocha kabla hata hatujamuomba jackline 😂😂😂😂
Mubarikiwe Sana hossana family singers kwa kazi nzuri na yenye ujumbe makini Sana kwa kweli mfike mbali sana
Amina Sana
Tuendelee kuombeana katika kazi hii 🙏🙏🙏
Amina
Nawapenda sana Hosanna. Jackline I can't wait kuamshwa asubuh kuimba bwana asubuhi kuchaa ❤😂🙏🙏Hosana mfike mbali asante kwa kuniandalia mwanakwaya 🎉
Wanakwaya wanaendelea kuandaliwa 😂😂😂😂
😂😂🙈
Kunawakati sisi tunauchukulia ukristo kama jambo la kawaida tuna mazoea sana ni mbaya tutafia dhambini kama watoto wa kuhani heri richa ya kujuwa ukweli lakini waliouiza Mungu atusaidie barikiwa sana waimbaji kwa ujumbe makini.
Tuzingatie ,, God be with u kwa Hubiri makini
Tusipuuze Kama Wana wa kuhani 😂😂😂
Amina mebarikiwa Sana
Mungu awabariki sana Vijana kwa kutumia sauti zenu kwa kutoa ujumbe wenye mibaraka Amen napataje flash ya nyimbo zenu
Tuwasiliane kwa 0764618040
WIMBO MZURI SANA HUU
unazungumza ukweli mchungu ambao ni kweli upo hata kanisani
Ni motoooo bravooo hossana family singers 🔥🔥🔥utukufu mbinguni
Amina
❤❤❤❤❤ ni motooooooo hii nyimbo dah
Endelea kubarikiwa
Mashemeji mmeupiga mwingi mashemeji❤️❤️
😂😂😂😂 Amina Sana 🙌🙌🙌
❤❤❤❤Mungu awatangulie mmeupiga wa kutoshaaa
Amina Sana
Ubarikiwe
Maua yenu Hosana singers mmeupiga mwingi.....mfike mbali ❤❤❤
Mungu atusaidie woteee huko mbali tufuke pamoja na wewe na iwe Ni mbinguni 🙏🙏😂
Nafurahi sana kuomwona dada rose akimtumikia Bwana maan ni muda mrefu tangu tumepotezeana baada ya kumaliza kidato Cha sita am stil happy to see you MUNGU na awabariki hosana
@@JohanesNkize Rose yupo anatumika vyema na tunajivunia kuwa naye ndani ya hossana endeleea kutuombea🙏🙏🔥
nimeipenda hiyo bit Iko vizuri. nawatakia huduma njema watumishi wimbo ni mzuri
Endelea kubarikiwa 🥰🥰
Aminaa Sana Mbarikiwe Hossana Family Msonge mbele kwa kazi ya BWANA, Bravo kwa mtunzi na waimbaji wote, wimbo wenye ujumbe makini kabisa
Ubarikiwe pia rafiki yetu
Tuzidi kuombeana katika kazi hii
Mbarikiwe Sana watu wa Mungu. Ujumbe umefika.
Amina
Tunashukuru kwa mrejesho huu
sending you people lots of love from Uganda. I really like the arrangement of the story line and pro Ephraim thanks be to God for the elaborate work indeed.
continue to be blessed more and more, convey our greetings to our other friends in Uganda
Ujumbe📌
Instrumental🔥
Vocals 🔥
Video graphics 🔥
Mbarikiwe sana!
Barikiwaaaaaaa
Wasogezee wengine mbaraka huu ,😂
Jina na la Bwana litukuzwe kwa kazi nzuri ndugu zangu katika Kristi HOSSANA SINGERS
Amina
Tuliosubiria hii kitu mikono juu
😂😂😂😂
Mbarikiwe sana kazi nzuri sana
Amina
Stay blessed
Kazi nzuri
Amina
Mbarikiwe sanaaaa kwa wimbo mzuri
Mungu awabariki sana 🙏👏👏
Ubarikiwe pia
Waiting ❤
Amina Mbarikiwe Sana
Amina
Mungu awabariki sana
Aminaaa
Ameeeeeeeeeeen, nawapendaaa 😍
Ubarikiwe piaaaa
God bless hosana choir you did better to raise and shine the world through amazing christian song
Be blessed too 👍👍
The best Gospel song in town...
Stay blessed
Amen mbarikiwe na ijili yenu njema🎉❤😊
I really love this song God bless you mfike mbali
Amina Sana
Much blessings
Amen . God be with u Hossana Family
Nice job Hassana Family Singers 🎉🎉🎉
Be blessed 🤩
@@hossanafamilytz273 Amen
Jmn i really love dis song ❤❤mmejua kunikosha watu w mungu #HOSANA @kuhani
Tunabarikiwa na mrejesho huu 😂😂
Good leader ship 🎉🎉🎉huyo binti yangu kaanza kuimba kwaya!!!! Alie fanya iyo kazi❤kuna vocha yako. Muone jackline akupe no yangu 🥰🥰🥰🥰
Namba yetu ya kupokea vocha na michango kwa ajili ya kikundi ipo kwenye discription ya nyimbo zetu hapa TH-cam wewe tuma tu hiyo vocha kabla hata hatujamuomba jackline 😂😂😂😂
Ntampa mkonon
😂😂😂😂😂😂 ukuje Sasa zoezi umpatie
@@hossanafamilytz273 nishaambiwa mazoez j3 nakuja 🙏👍👍
@@sabatoelia312 karibu Sana 😂😂😂😂😂 Kwan unaimba sauti ya ngapi tumuandae mwalimu kabisa kwa ugeni
❤penda sana
waooo kazi nzuriii
Aminaaaaa
Aminaaaaa
Mungu akubaliki sana jaman
It's awesome, amazing and NYC hosaana singers👏👏👏 be blessed for this art..❤❤❤❤
Amen , be blessed too 🥰🥰
Mnajua mnajua mnajua tena. Mungu azidi kuwainua
😂😂😂 utukufu una yeye atoae vipaji 🙏🙏🙏
Mungu awainue zaidi♥️
Mbarikiwe kwa kazi nzuri hfs Tz
Amina Sana
Kazi nzurii wapendwa Mungu awabariki na azidi kuwatia nguvu🙏
Amina 🙏💪
Hossana mmebarikiwa🙏🏼
Tunawabariki wengine piaaa
Kazi nzuri Hongereni Sana Hossana singer's
Harmony imenibariki
Alto 🔥🔥
Composition Nzuri
Amina
Tunakupenda Sana
Be blessed ,,,,,,,,,@Hossana singers
Amina
Mungu awabariki sana young people
Amina
😅😅 nabarikiw san
Mbarikiwe sana.
Aminaaaa
,,, Nice song Mungu awabariki sana,,
Amina ubarikiwe pia anord
@@hossanafamilytz273 thanks alot,,,
Am blessed with your song may the Almighty be with you all
Be blessed too ♥️😍
🥳🥳
Haleluya 💐💐💐💐💐💐
Asifiwe Bwana
Nzuri hii.
Endelea kubarikiwa
❤ mbarikiwe sanaaa
Amina Sana butoke media
Mbarikiwe piaaaa
Inapendeza sana
Mungu awabariki sana kwa uimbaji.
Ubarikiwe pia kwa uimbaji wetu ☺️🥰🥰🥰
Beauty beauty ❤😌
😂😂 asifiwe Mungu
Mbarkiwe msonge mbele
Kwa neema ya Mungu tunaomba tusonge mbele pamoja na wewe 💪💪💪
Be blessed 🙏
So Great
Good song💐🤗
My almighty God bless you so much
Be blessed too musa
Powerful message
To God Be the Glory
Mnaupiga mwingi
Utukufu kwa Mungu 🙏🙏
❤
🔥🔥🔥🔥
Barikiwa
🎧👍🙏
🎶
🙏🙏
🙏
Oooh nice mwenyew nilingoja Sana hiii
Imefika Sasa
Endelea kubarikiwa
🙏🙏🙏
Hossana mmebarikiwa🙏🏼
Umebarikiwa piaaaaa 😂💪
❤
Waooo kazi nzuri Sana ♥️♥️🌹🌹🌹
@@mariamhamis4323 aminaaaaa
❤