The Family Music Tz-Mawe yatasema -Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2024
  • #Mawe yatasema
    #Thefamilymusictz
    Composer :Alkaza John
    Audio:IB pro
    Video :Josh shot it
    Instrumentation-Caleb Mgendi/Elisha Ngussa/Elias Lema.
    Vocal arrangement: Dennis Matisho
    email: thefamilymusictz@gmail.com
    Instagram: @familymusictz
    Facebook page: @thefamilymusictz
    Contact: +255 753 913 995
    Other Contact: +255 744 526 597
  • เพลง

ความคิดเห็น • 140

  • @user-jp8xw3bp3s
    @user-jp8xw3bp3s 4 หลายเดือนก่อน +20

    Kufika kesho nitakuwa nimeukariri maana sikwakuurudia rudia huku ❤❤wimbo una maneno mazuri ladha ss ya muziki unaweza usikiliza kuanzia asubuhi hadi jioni 😘😘

    • @elmasroj9712
      @elmasroj9712 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi Leo niko kanisani naona nachelewa kurudi kuusikiliza, yaani umejuta huu wimbo kutolewa naurudia rudia natamani kila mtu aone ninavyoufaidi 😅😅

    • @GraceOpany
      @GraceOpany 3 หลายเดือนก่อน

      Daaah aise huu wimbo jamani nimeurudia huku nishaukariri jamani aise mbarikiwe kabisa

  • @imanieva4435
    @imanieva4435 4 หลายเดือนก่อน +8

    This is a message I (and many others) needed to hear❤️‍🔥 love from 🇺🇸 🫶🏽

  • @kelvinshukuru6034
    @kelvinshukuru6034 4 หลายเดือนก่อน +7

    songa mbele hadi vileleni watu wamungu, twawapenda sana kutoka DR Congo mjini Goma.

  • @mathabolo3158
    @mathabolo3158 14 วันที่ผ่านมา +1

    Muda ndio huu sasa mkemee maovu

  • @atjesusfeetministers-rongo1297
    @atjesusfeetministers-rongo1297 4 หลายเดือนก่อน +4

    Tamu sanaa. Nataka mje kenya wangwana

  • @user-ze2ej7qh9o
    @user-ze2ej7qh9o 4 หลายเดือนก่อน +2

    Endeleeni kuachia kila Mwezi New Song... Tupo mkihitaji Mchango Tutatoa... . Nawapenda sana.... Hasa vocal arrengment mwl matisho mungu amtumie sana♥♥♥

  • @edwardfesto9418
    @edwardfesto9418 4 หลายเดือนก่อน +7

    A Strong Message... Beautiful Sounds... Decent Dress Codes... Keep up the Banner... And Much Thanks to Director JOSH.

  • @stevenbamba7489
    @stevenbamba7489 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nawakubali mno Family Music Tz, bonge la Song....kila muda unajirudia kichwani mno, very Inspirational Song. Maneno...voices....instrument....vidio !!

  • @calebzseneda1777
    @calebzseneda1777 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mwalim Matisho popote ulipo kunywa soda ntalipa💳
    That Kamelody😊👐👐
    Na ujumbe umefika

  • @lukeamayo4234
    @lukeamayo4234 4 หลายเดือนก่อน +4

    Wimbo mtamu jameni

  • @uaminifugospelmusic
    @uaminifugospelmusic 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awabariki sana kwa wimbo hakika mawe yatasema kama tusipo sema ujumbe umetufikia video nzuri sana tupo pamoja nanyi

  • @gloriousn6425
    @gloriousn6425 4 หลายเดือนก่อน +2

    Clean and calm voices , this is so heavenly . Hua hambahatishi
    Na Asante kWa kuiwakilisha VYEMA MBINGU
    MUNGU WA MBINGU NA NCHI AWAHIFADHI🇹🇿🙏🏿❤❤

  • @bymwasambili
    @bymwasambili 4 หลายเดือนก่อน +4

    2024 fav ....blessings

  • @ellyngussa201
    @ellyngussa201 4 หลายเดือนก่อน +3

    🙌🏻🙌🏻🙏🙏

  • @user-dx6xh2gz2m
    @user-dx6xh2gz2m 4 หลายเดือนก่อน +4

    Josh saluti kazi nzuri sana

  • @gloriadunstan7190
    @gloriadunstan7190 4 หลายเดือนก่อน +3

    Barikiweni sana sauti nzuri,dressing code na kila kisuri,glory to God,location nzuri sana as if mpo somewhere in Lushoto ....

  • @user-dx6xh2gz2m
    @user-dx6xh2gz2m 4 หลายเดือนก่อน +2

    From Burundi 🇧🇮 Niko nyuma yako brother Denis

  • @samwelmwazini
    @samwelmwazini 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa hii ndio FM ninayo ijua mimi😊😊😊

  • @barakageorge1300
    @barakageorge1300 4 หลายเดือนก่อน +3

    Blessings

  • @ElsaKimashi
    @ElsaKimashi 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤Mungu awabariki sana

  • @happynessmagesa1555
    @happynessmagesa1555 4 หลายเดือนก่อน +1

    Usiposema Mawe yatasema Ujumbe mzuri Mungu Awabariki mnooooo🔥

  • @Mswahili_
    @Mswahili_ 4 หลายเดือนก่อน +2

    This is a mesmerizing blend of intricate melodies and rhythmic finesse, complemented by a visually stunning video that elevates the entire auditory experience. Pure brilliance!
    Congratulations, Family Music

  • @eliasjerusalem3978
    @eliasjerusalem3978 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wimbo mzuri sana pia ninampongeza sana Projuza kwa kazi nzuri mixng ya kimataifa Bwana YESU awabariki sana ❤❤❤🎉

  • @jacobmangombe
    @jacobmangombe 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo solo guitar nina mapenzi nayo, halafu ninyi kama group mmekuja kivingine. Hongereni!

  • @deusdedithhenry1524
    @deusdedithhenry1524 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli tuzitaje dhambi kwa majina. WANA WA KIKE MMEVAA OVYO KWENYE VIDEO HII.
    Tuzingatie kupeleka injili safi kupitia hata mavazi. Mbadilike jamani.

  • @KamosaGervas
    @KamosaGervas 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mnanibariki sana family, na poleni sana kwa kuondokewa na mwimbaji mwenzetu, Bwana atupe nguvu tuvipige vizuri vita vya Imani ili asubuhi njema tukutane na Sila Tanda tukimlaki Bwana.

  • @eliakimnashon8808
    @eliakimnashon8808 4 หลายเดือนก่อน +2

    Message sent to me and delivered. Mbarikiwe sana

  • @jaredahago8510
    @jaredahago8510 4 หลายเดือนก่อน +1

    Powerful message na Uimbaji uliotukuka, tusonge mbele kama Vijana kuwaleta kwa Kristo na kuwavuta watu mbele zaidi...

  • @nellykavutha9926
    @nellykavutha9926 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amen..wonderful piece.

  • @johnamos746
    @johnamos746 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏
    Hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏

  • @frankgeorgemadiwa4855
    @frankgeorgemadiwa4855 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika mawe yatasema.....Wimbo umetendewa haki.Arrangements na instrumental yani imekaa

  • @Derrickbm
    @Derrickbm 4 หลายเดือนก่อน +2

    🙌

  • @ezekielmolleltz5284
    @ezekielmolleltz5284 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri sana hii, Mungu awatunze 🙏🏻👏

  • @upendoramadhan9222
    @upendoramadhan9222 หลายเดือนก่อน

    Wimbo unabariki huu mbarikiwe the family music 🎵

  • @user-si4pi6ek3e
    @user-si4pi6ek3e 4 หลายเดือนก่อน +1

    hakika mawe yatasema be blessed 🙏🙏

  • @davidelias3986
    @davidelias3986 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wow!! Beautiful song

  • @teresaomwenga9800
    @teresaomwenga9800 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏

  • @Rikozc
    @Rikozc 4 หลายเดือนก่อน +2

    Great vocals..Beautiful Melody...Lovely Rhythm..I like the guitar...Rejuvenated and refreshing every other time..Asanteni sana Family Music...Mungu azidi kuwatumia na kuwabariki

  • @DeborahIsaac-zx1eu
    @DeborahIsaac-zx1eu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mubarikiwe family music

  • @doug-otis
    @doug-otis 4 หลายเดือนก่อน

    i'm blest.I'mthanks for ministering well."The rocks gonna testify if we don't"

  • @andzacmachibya9227
    @andzacmachibya9227 4 หลายเดือนก่อน +1

    wow God bless you nabarikiwa sana huduma yenu

  • @maxwellvangulinja
    @maxwellvangulinja 4 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉Ameen Fam❤❤, Mungu atukuzwe Hakika tusipo sema Mawe yatasemaa

  • @ellenpeter1557
    @ellenpeter1557 4 หลายเดือนก่อน +2

    Beautiful sang. You're a blessing 😇

  • @PelvisNdagara
    @PelvisNdagara 4 หลายเดือนก่อน +1

    #maweyatasema what a nice song! Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri!

  • @ladymabamba1166
    @ladymabamba1166 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sana Mungu atusaidie mawe yasiseme nami Sasa nmeukalili maana sio kwa kuupiga tangu asb

  • @angeldaniel647
    @angeldaniel647 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki sanaa

  • @JohnsonKahungo
    @JohnsonKahungo หลายเดือนก่อน

    Barikiwen vijana tuseme watoke jagwani

  • @madidasasa
    @madidasasa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarikiwe

  • @reaganmtewele8880
    @reaganmtewele8880 4 หลายเดือนก่อน +1

    HONGEREENI SAANA NDUGU ZANGU MUNGU AWATIE NGUVU KATIKA KAZI HII ILA NELLY UMENIKOSHA SAANA ❤❤❤❤

  • @JumaMhombo
    @JumaMhombo 3 วันที่ผ่านมา

    Nabarikiwa sana😅😅😅8

  • @paulmpuma5423
    @paulmpuma5423 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo nilio kua ninausubil kwa ham kubwa ,,,,,
    Mbarkiwe sana

  • @chebetmotum769
    @chebetmotum769 หลายเดือนก่อน

    Nimeupenda wimbo huu watuliza moyo

  • @agatachaula3309
    @agatachaula3309 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo mzuri sana

  • @mabulakayanda9579
    @mabulakayanda9579 4 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @wilsonkudema2722
    @wilsonkudema2722 4 หลายเดือนก่อน +1

    Usiposema mawe yatasema

  • @mikemhina9656
    @mikemhina9656 4 หลายเดือนก่อน +1

    Here for the gestures😂🤲🏻🫴🏼😋

  • @suzannyinyimbe5090
    @suzannyinyimbe5090 4 หลายเดือนก่อน +1

    you guys be blessed with such a powerful message.

  • @mwlkabuka
    @mwlkabuka 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ushindi ni hakika!!

  • @user-zs8fk8wt9x
    @user-zs8fk8wt9x 4 หลายเดือนก่อน +1

    Aseeee mfek mbalii Sanaa...god 🙏 bless u

  • @rosenaabel
    @rosenaabel 4 หลายเดือนก่อน +1

    Powerful and strong lesson congrats wanna🎉

  • @lutemahindiakaje5046
    @lutemahindiakaje5046 3 หลายเดือนก่อน +1

    AMINA

  • @jaajmedia2118
    @jaajmedia2118 4 หลายเดือนก่อน +1

    Powerful song

  • @user-ym1xi9kh3b
    @user-ym1xi9kh3b 4 หลายเดือนก่อน +1

    But this song 🙌🙌🙌Be blessed so much Family Music ❤

  • @annamremi6551
    @annamremi6551 4 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉Mmebarikiwa

  • @NGT_Future
    @NGT_Future 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tumeufungua mwaka sasa.
    Asanteni sana Kwa kazi nzuri, Mungu awabariki.❤

  • @japhethgeriad4519
    @japhethgeriad4519 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi ndio nyimbo tunazohitaji kusikia sasa, nawashukuru Mmenigusa, ni muda wa kufanyia kazi sasa.
    Huu ni ujumbe wa saa ya Hukumu

  • @lilianmichael3402
    @lilianmichael3402 4 หลายเดือนก่อน +1

    mbarikiwe sana FM ❤ mnabariki wengi. Amen

  • @joanbwire1932
    @joanbwire1932 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo mzuri Sana

  • @hollolinabago
    @hollolinabago 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki sanaaaaaa🙏🏾🙏🏾

  • @emmanuelmaghinde5541
    @emmanuelmaghinde5541 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nabarikiwa sana na huu wimbo jamani, Mungu awabariki sana kwa kujitoa kwa kuifanya kazi yake.

  • @ZacharyNyaraja-oz6nh
    @ZacharyNyaraja-oz6nh 4 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiweni Sana Watoto wa MUNGU🎶🎤🙏

  • @agnesserasmi
    @agnesserasmi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu azidi kuwainua katika viwango vya juu zaidi❤

  • @joycelunyungu2956
    @joycelunyungu2956 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mbarikiwe sana

  • @user-eh7wf9kr5d
    @user-eh7wf9kr5d 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huu wimbo umenibariki sana mubarikiwe

  • @rachelraphael1355
    @rachelraphael1355 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabsriki sanaa tunawaombea

  • @jordanquotes4041
    @jordanquotes4041 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amina sana👏

  • @isaacmuttalogwa6834
    @isaacmuttalogwa6834 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie watu mnajua sana

  • @user-yt8ss1wk6w
    @user-yt8ss1wk6w 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tupo hapa kupata mziki mtam❤

  • @rebeccatugara7674
    @rebeccatugara7674 4 หลายเดือนก่อน +1

    Very beautiful item

  • @momylaviel
    @momylaviel 4 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaaaa

  • @triumphant_gospel_singers_555
    @triumphant_gospel_singers_555 4 หลายเดือนก่อน +1

    I like the message

  • @josephfalaghamoja7800
    @josephfalaghamoja7800 4 หลายเดือนก่อน +1

    Good

  • @sumayiandrea775
    @sumayiandrea775 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @msesesimbira2689
    @msesesimbira2689 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana watumishi wa Baba kwa kazi njema sana!
    Naomba kufahamu studio iliyofanya audio na iliyofanya video

    • @calebfelix7637
      @calebfelix7637 4 หลายเดือนก่อน

      Ib pro studio kwa audio, video ni director Josh

  • @franklineochieng3971
    @franklineochieng3971 4 หลายเดือนก่อน +1

    Good melody goood music.. total blessings😢. AMEN

  • @gndezy7549
    @gndezy7549 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki sanaaa

  • @kenanjustine165
    @kenanjustine165 4 หลายเดือนก่อน +1

    we are so happy for such amazing message from you all May God bless all of you guys

  • @user-sy4ir9ep2g
    @user-sy4ir9ep2g 4 หลายเดือนก่อน

    as you grow up you may take a chance that many days LB dominated

  • @joshuagecha2697
    @joshuagecha2697 4 หลายเดือนก่อน +1

    Good music

  • @user-mq3xp9ce7z
    @user-mq3xp9ce7z 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @ExcitedRedbackSpider-tu4ds
    @ExcitedRedbackSpider-tu4ds 4 หลายเดือนก่อน +1

    Am happy to see young people do this, keep going

  • @user-vp3oi4gv3f
    @user-vp3oi4gv3f 4 หลายเดือนก่อน

    Ameni wapendwa

  • @Boaznotation
    @Boaznotation 4 หลายเดือนก่อน +1

    Woooooow hallelujah 🙌🏽

  • @HLSVijibweniSDAchurch
    @HLSVijibweniSDAchurch 3 หลายเดือนก่อน +1

    The song is very good, the stones will say, surely if we don't say the stones will say, Fm be very blessed and may God continue to increase you in this work of the Lord. I am happy to see our daughter of Vijibweni SDA in this group. May the Lord protect you and make you successful in every personal thing. You have blessed me a lot. By Samuel Buhaga Vijibweni SDA Kigamboni

  • @EdwinChirandi
    @EdwinChirandi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarikiwe sana

  • @chaanokassala8080
    @chaanokassala8080 3 หลายเดือนก่อน +1

    God is good hii vibe ya hii nyimbo a day can't pass bila pita hapa

  • @tirizabenjamin5349
    @tirizabenjamin5349 4 หลายเดือนก่อน +1

    👏

  • @ThisisOumah
    @ThisisOumah 4 หลายเดือนก่อน +1

    This is beautiful. .. guitar on point .

  • @frevisionstudioztz5594
    @frevisionstudioztz5594 4 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaaa

  • @milcahchacha8645
    @milcahchacha8645 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amein