Habari Dada Asante kwa mafundisho mazuri na swali ulisema mayai unaweka mojamoja na kupiga mbona umeweka mayai yote ukapiga pamoja hapo inakuaje au unachanganya mayai maziwa sukari na kuvipiga pamja hi inakuaje? Hapo nachanganyikiwa
*kwamahitaji ya vifaa vya keki aina zote tucheki gazzo cake materials tunatuma mikoani tunafanya delivery tuna patikana kariakoo dar es salaam tupigie +255677712349*
Asante mziwanda bakers nimejifunza keki ya ndizi na imekuwa nzuri sana,God bless you ❤
Barikiweni sana Mziwanda Bekary.Mungu awajalie mfikie malengo yenu.
Endeleeni kurudisha Zakaria na Sadaka kwa Mungu wetu.
Asante sana.
Upo vizuri sana dada unafaa kuwa walimu SoMo limeeleweka ❤❤❤
Nimepika imekua Tamu sana. Asante
Nimepika nimependa sana, asante sana, banana cake has become my favourite cake nimepika mara mbili sasa
Wow ❤
Huyu hapa huyu mziwanda nakupenda buureee ubarikiwe mno kipenzi nimejifunza vingi
Unapika vizuri sana
Asante ngoje nijarobu mana sijui kupika keki kabisa
Amazing nimetengeza cake tamu kupitia haya maelekezo
Asante sana @mziwanda unaweza kuweka mafuta badala ya blueband
Nimeipenda pia unafundisha vizuri
Nimeipika na nimeipenda kweli ahsante
I like the way unavofafanua , nmeelewa asante sana
Uko vizuri
Mashaa Allah jamani nakupenda Bure dada Mungu akubariki sana
Asante Sana darasa lako zuri Sana. Nitakupa mrejesho
Hongera
Nataka kujarbu n nzur
Nzuri sana naomba kipimo kikubwa chake.
Fully Watched your recipe .. Nicely prepared very delicious. Thanks for sharing the recipe. Let's continue supporting each other.❤️
Am glady darling, thank for your message
Supper
Jaman nimejarbu hii recipe namepata cake tamuuuu jaman aksante mpenz,
Mashaallah nimeipenda
Amiin shukran
Good mama na Mimi naenda kuthubutu kufanya
💪💪unipe mrejesho hapa please
Nzur sana
Mashaallah cku njema kwako pia inshaallah
Amiin my dear
Mashallah tam sana
😋
👌
Habari Dada Asante kwa mafundisho mazuri na swali ulisema mayai unaweka mojamoja na kupiga mbona umeweka mayai yote ukapiga pamoja hapo inakuaje au unachanganya mayai maziwa sukari na kuvipiga pamja hi inakuaje? Hapo nachanganyikiwa
Asante sana
mashaallah
Be blessed mumy...
Amiin dear
Yaaas👌
Wa pili😋👌
Je ulivyoweza margarine uliyoiyeyusha unaweza kuweka mafuta ya kupikia ya maji ya kawaida au lazima uyeyushe margarine?
Ma sha Allah..chai nshapika mimi😋😋👌👌
Leo wa kwanza💕
Habari dada na hyo vanila extract nayo ni lzima?manake kama sina nikitengeneaa keki.haitoki au ?
Napenda kujifunza ila sjui pa kuanzia
Nice cook what if hauna oven
Jaribu bila oven
banana hiyo kupika kwa mkaa dk ngapi?
Je kama huna siagi waweza kutumia mafuta ???
Naomba unisaidie kujua natakiwa kuongeza vipi vipimo vingine kwa banana cake ya unga wa grams 500 please help me
Unaweza kupika kwenye microwave?
Hapana
Good
Karibu
@@mziwandabakers8297 asenta jmn Mungu akubarikii
Cjajua shda n nin,nmejitahid kuchanganya vzur nkabake kwa oven lkn haijatoka vzur,haijachambuka imeshikana cjui nmekosea wap?!
Baking powder
Keki ya nusu unatumia ndizi ngap
Nitaribu
Ahsante usipoyeyuasha siagi kuna shida gani?
Shida nikupata kimiminika
Najisikia furaha Kwa mafunzo yako Mungu akubariki akuzidishie Kwa kila kitu
Umepika vizuri sana ila muwe mnatuonyesha izo baking pods zilivyo kwenye makasha majina yanatuvuruga asante
Haya dada ni baking soda na baking Powder
Ukienda dukani ulizia za keki kabisa zipo maalumi tena zinakuwa zimechorw kek
Natamani kufanya biashara hiyo yakek je inalipa
SUKARI KIAS GAN HUJASEMA
Kama huna siagi je
Huweki vipimo mbona
NapendA unipikie zege
La kihepe??😄
Namba yako ya Simu naomba
Jamani mi mbona siwezi Kila nikijaribu zinatokea Kama ugali
Relax kisha pika kwa kuzingatia vipimo na sheria zake
@@mziwandabakers8297 sawa love
mungu akubarik madam
*kwamahitaji ya vifaa vya keki aina zote tucheki gazzo cake materials tunatuma mikoani tunafanya delivery tuna patikana kariakoo dar es salaam tupigie +255677712349*
Silazima mayai?
Yeah waweza weka maziwa mgando