Cheko la huyo kaka mwenye surual nyekundu linanipaga raha jmn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kipande na mama van’dame tulieni hahahahahahahahahaaa(cheko la kaka sasa)🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Keep up the good work joti na crew yako❤️❤️
Ila joti nikipaji kutoka kwa Mungu,ila huwa nikiwaza eti kuna kifo duuu,napata homa gafla tutapata pengo kubwa sana,Mungu azidi kukupa nguvu na hekima na maisha marefu
Congrats kwa joti he based on reality na team yake kuanzia Sopa to kipande mpka wote😂😂😂😂😂😂😂😂😂et wape yoyote wachague wana hel za kununua,,,naomba niulize huyo kipande kachapia ivi ni kweli au makusudi akitutwaa badala ya akitutia
huyu jamaa anawezea sana nafasi ya mtu mwenye pesa anauvaa uhalisia vizuri sana,Pongezi kwa timu yenu mnatuburudisha sana mashabiki zenu
Hahahahaha, Mtapata tabu sana munaotegemea Mali za Urithi, Tafuta kwa jasho lako, hebu gonga like hapo km hutegemei Mali za urithi
Asia Sleiman ssna2
Tendawemaniakiba
Kweli sana walahi
Kwa kweli
kabisaa joti anajua sana
Wa kwanza mm Leo.. gonga like kama umekubali kazi ya Bro 💪🏾..
Pablo Sun sana2
Joti ni hatari sana kwa hizi kazi za kuchekesha❤️❤️
Joti tutakufungulia kesi kwa kuvunja watu mbavu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sana joti unaweza 😅😅😅😅😅😅😅😅
jaman mbona mi sipati like
Kufa
haha
Maregesi Amos
kanunue fala ww
🤣🤣🤣🤣tatzo ushamba
wangapi wanakerwa na kuskip matangazo kama mm gonga like hapa
Ramadhan Urassa 👌👌👌😂
"Wape wanywe wanauwezo wa kuchagua soda hawa.. kwan wamenunua" 😂😂😂 HII KAULI konki sana Nyoko zako joti
Hapa pakavu baba..hahaha...sasa ndo kikao kinakalika..watu wachambe koo..Hahahaha!!
@@nicholausmbilinyi3587 q
Ahahahah SHATI KAMA MGANGA WA KIENYEJI 🤣😂🤣😂😂
Kila mtu na Mkojoo wakeeeee😂😂😂😂
Yule mwenzenu nilimpendelea mashada..hahahah
Ahh we kaa hapo na dera lako ilo😂😂😂😂kama unacheza kiduku joti 😂😂😂😂
Jahkey Renson jamani niache
@@reyneramin4496 😂😂😂😂😂😂😂yani bado nikiwatch iyo part nacheka na vile amevaa dera zuri😍😍
Nimekusalimia jirani 😘
@@mwambirekwamboka9525 nimesalimika jirani 😍😍😂😂😂😂
Hahahaaa
I like your walking style Babu, please guys likes zenyu zinanipa nguvu msininyime na mm pia
🤣🤣🤣🤣joti ,kipande anajiita nani insta yy kizaz jeur mwenzangu namkubali hata huyo bonge la mama namkubali insta yke anajiitaje joti tuambie
Mimi nina mkos sipatag like wala nini
Baki ivyo ivyoo
itakua na ww hua aulike
Sawa asante
Shenzi kabisa Joti. Wew ni hatari bro
kama unatamani ufanikiwe had kwenye familia baba yako akupokee hvyo...! gonga like hapa❤
Joti kiazi sana 😂😂 ndomana napendaga ku koment kabla sijacheki ...
kaaa na dela lako Hapooo.... ahahhaahaha
Mzee wa shinyanga si ulishafariki ww ukamuachia nishai a.k.a big tyme buku jero...
From botswana but I understand dis guys...
😂😂😂 Sitaki Like Ya Mtu Yeyote
Cheko la huyo kaka mwenye surual nyekundu linanipaga raha jmn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kipande na mama van’dame tulieni hahahahahahahahahaaa(cheko la kaka sasa)🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Keep up the good work joti na crew yako❤️❤️
inaonekana wengi bado mnaishi kwa baba zenu maana mumekalia kuomba like tu hizo like tupeane tuliondoka kwa baba zetu tu mnaanzia kwangu
Ebana noma sana naombeni like basi nami leo zamu yng
Kumamae kama unataka like fanya kaz yako tukupe like
geem
Utakuja uombe mboo ufirwe
Kweli mwenye pesa si mwenzako walahi
_County 001 GONGA LIKE HAPO TUKISONGA MBELE . team 254 🔨_
Jaman mnionage namimi bax like kama unamkubali babu etu
Good boy
Jot hatar sana! Gusa picha yng kusho ili usikilize nyimbo zangu. Asanten!!
nyinyi nmewatoa kwenyee kiuno chang* likeee jaman
Shati kama mganga wa kienyeji😂😂😂😂joti wewe
Kila mtu anamkojo wake, yule kaongezewa ufundi😂😂😂😂😂
😁😁😁😁😁😁 hatari
Wanachagua soda wana elaaa 😁😁😁😁😁😀😀🔥🔥👏
Aisee Joti/Nishai huyu SOPA anajua sana yan🙌🙌🙌
Wabongo mnatabu Yaani baada ya kucomment kama umeikubali kazi Hiyo mnakaa mnaomba likes kama mtu akilike comment yako Unalipwa.....😂😂😂😂😂
A Gaddafy wana kera ,yani wana chefua
Majinga kweli
@@MissChristinaErick ushamba mwingi
@@lailatjohn5947 wengine wanadhani wako insta Ama fb huku 🤣🤣
😀😀😀😀😀😀
Huyu baba ako na upendeleo 🤣🤣🤣🤣
Yani joti na kipande nikiwaona nacheka kabla sijamalizia😂😂😂😂😂😂😂hakuna siku washaelewana😂😂
Mwamini Shakalili kaswida yangu.chukua muda kama ulivyochukua huku kwa jambo LA kheri th-cam.com/video/VEbezgrNzHw/w-d-xo.html
Kweli kabisa
wanafarakana kinoma Hahah
😂😂😂 Lete vinywaj tuchape KOO,,,,Ww utapak hvyohvyo na mshat wako Kama mganga wa kienyej
Hahahahhaha joti mtu hatari sana aisee kila siku ndiyo anazid kuongeza kasi anataka kuuza nyumba watu wakajitegemee huko....
Jamaniii nampenda sana mama vandame yaani huo ubonge wake Dah ananimalizaaa sanaaa! Kazi nzuri sana funzo pia tuchague watoto kisa pesaaa haifaiii
Ila joti nikipaji kutoka kwa Mungu,ila huwa nikiwaza eti kuna kifo duuu,napata homa gafla tutapata pengo kubwa sana,Mungu azidi kukupa nguvu na hekima na maisha marefu
Best comedian i ever seen.....u do comedy based on realities and we laugh & replay🙌
eee jamani joti😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌salut broooo keep it up
Fungua zote hizo ninywe Kama umesikia gonga like
Hatari sanaaaaa. Kunjua roho iyo wewe hahahahahahahahah
#Kila #mtu #ana #mkojo #Wake😀😀😀😀😀😀
Sopa kiboko eti vikao vya ushauri wa maisha lazima kuwe na vinywaji
Namba one koti hakuna mwingi👍 👍👍👍
Kalete vinywaji tuchambe koo.... Sharab saana braza jotii.
Kweli ktk family nyingi mwenye uwezo huwa anasikilizwa sana
Congrats kwa joti he based on reality na team yake kuanzia Sopa to kipande mpka wote😂😂😂😂😂😂😂😂😂et wape yoyote wachague wana hel za kununua,,,naomba niulize huyo kipande kachapia ivi ni kweli au makusudi akitutwaa badala ya akitutia
Jot you have made my day
Big up sanaa
Nakukubali brother
...Mtoto Joti maku mjueee...!..Eti kila mtu KOJO lake tofauti....!
Haya CHAMWIYAGO KIDALA MELA MATE UCHITE...!
Joti baba mzuri sana....lazima utafute Pesa ukiwa baba ylke...safi SNA Joti😂😂😂😂
Sopa huwa nakukubar sana,,,, ukiwa kam mtu mweny fedha...
Joti ni zaidi ya kipaji, nakukubalee sanaaa
Akitoka mzee majuto anafuatia joti kwa uchekeshaji tanzania
Baada ya malehemu mzee majuto, jot hana mpinzani kwa sasa
🤣🤣 kila mtu anamkojo wake 😀😀
Kwamba kila mtu anakipimo chake ana kojo lake hahaha hahaha daah joti shikamoo aiseeeeh😂😂😂😂😂😂
Hataree
Hahahaaaa, naongea na nyumba, nyumba nataka nikuuze😂😂😂😂
Watu wachambe koo 😂
Nakubar sana jot unaweza
Meku kunjua moyo uishi maisha marefu😂😂😂😂aya akiuza nyumba awarudishe viunoni sawa
Wa kwanza mm jmn like zenu kwa brother joti 😂😂😂
swali linakuja kwenu sasa heeheee.verse ya sister p kitambo hiyo😂😂
Unajua kaka nakukubali sana
2021 twende sawa kama unamkubali jot😁😁😁
Maskini jeuri😁😁😁😁😁😁
Wa kwanza ku-like hhhhh
Joti ni hatar yaan hyo jamaa wakati anaongea na sim kila akitaja hela anaitikia ehe😂😂😂
JotiLegend....tunaihitaji haya mashati aisee
Kamanda langu mwenyewe JOTI MTU Hatareee... Aya wale wat wangu wakua subscribe musiache kupitia na kwangu.
Mutramagic Tv hii hatar zaidi ya gono bila socks
Mutramagic Tv e
Umeanza vizuri imeisha vibayaaa sijaona ulicho elimisha wala kuchekeshaa baba gn huna busaraaa una unza nyumba watoto wako wakaishi wapi
Much love from +974 ...sijui kiswahili lkn nampenda Joti
Bwana mkubwa wewe ninyoko zaid yanyokos
Hapo joti umetisha kweli
Sichok kutazama hii clip🤣🤣 babu unakelaa ujuee
Mzee Wa shinyanga !!!!😂😂😂😂😂#Wasukuma kma nawaona vile
joti namkubali sana akiigiza kama babu 😂😂😂
Dah watu hamlali?
Joti ni. Baraa kwa vichekesho yuko juu🤣🤣😄😃😄😄
This is a reality, wazazi wengine wanapendelea wenye $$$$. Nikizaa mtoto kijana ntamuita Joti 🤣🤣🤣🤣. ❤️ 😍 from #NJ
Kila mtu ana mkojo wake😂
kamama unamkubari joti usikose ku like hapa🔥🔥
Ongea ww maskin jeuri🤣🤣🤣
Joti na Sopa mnaniua mbavu zangu jaman ety 'fanya kama unaongea na mimi' 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ongea masikini jeuri😅🤦🏿♂️
Daaahhh kweli ukiwa unapesa unadhalaulika
🔥🔥🔥🔥💯💯💯joti
Ongea masikini jeuri😂😂😂😂, nan aliyesikia mchapio wa kipande 😂😂😂huyu mzee alikuwa akikutwaa aibu badala ya huyu mzee alikuwa akitutia aibu
From Oman mkojo wake wa tofauti hahaha kama umeipata gonga like na comments
@Ali Ali ndo nini hio ndugu au ushantukana mana hamchelewagi waswahili kwa kutukana badala ya kitafuta pesa mnataftana
Kama Kali....gonga like
Nakukubali sana joti
Ila haya mambo yapo jaman 😊
Haya ongea..ongea maskini jeuri...funguka roho wewe mwanangu...hahahaha
dahh kipande yupo vzr anajuaaa dahh
Ukiwa na baba kama huyu anaekuweka roho juu juu muda wote utashangaa mwisho roho inadondoka unakufa.
Sopa nakupenda Sana brazah unajuw😂😂😂😅
Mhhh na leo nimechelewa nipeni hata like tu sasa nafanyeje