Chuki kwangu wazitia,na uhasama kwa wingi Bure unaninunia,na hasira nyingi nyingi Ni bure utaumia,ni bure utaumia Kwa ujinga wako mwingi Ni bure utaumia, ni bure utaumia Kwa ujinga wako mwingi
Ila wewe utulie,uondoshe chuki zako Tafadhali niachie mie si mgomvi wako Ni wengi walienae,ni wengi waloenae kati ya sahibu zako Ni wengi walienae,ni wengi walienae kati ya sahini zako
Hao hao ulonao,ndio mahasimu zako
Utulize wako moyo,mim si mgomvi wako
Ahsante Dada Nuru,Viva bi Dada
Viva Aunt Sabaha Muchacho(Mama Munira)
Allah karim rahim nimeteswa sanaaa
Jitulize wako moyo mie si mgomvi wako. Ahsante mama
Wallai sabaha wanimaliza na sauti yako,,,napenda sana nyimbo zako
Chuki kwangu wazitia,na uhasama kwa wingi
Bure unaninunia na hasira nyingi nyingi
Hao unowashitua mm sio asilan moyo wangu umetua na wala simtaman macho yakimteua bora nikae sioooooon
Chuki kwangu wazitia,na uhasama kwa wingi
Bure unaninunia,na hasira nyingi nyingi
Ni bure utaumia,ni bure utaumia Kwa ujinga wako mwingi
Ni bure utaumia, ni bure utaumia Kwa ujinga wako mwingi
👌🥰🥰❤️
Sweetie melodies ❤️
Ila wewe utulie,uondoshe chuki zako
Tafadhali niachie mie si mgomvi wako
Ni wengi walienae,ni wengi waloenae kati ya sahibu zako
Ni wengi walienae,ni wengi walienae kati ya sahini zako
Nimependa
Me penda shaaanaaa taarab za Swabaha
☺️☺️☺️
Wangu mm😘😘😘sante da Nuru!
Karibu ❤❤
Macho yakimchagua nibora nikae sioni hahahaha kitambo xanaaaaaa
Mashaallah
Asante
Napenda sanaa nyimbo zko aunty swabah
Axante
😘😘😘😘 sauti yako tu aunty yangu
Asante ❤❤❤