Ukitaka kujua umaskini upo weka hiyo harusi kisha alika watu chakula sa 7 siku yyte utaona jinsi ya watu hali zao zilivyo duni. Usiweke kadi acha yyte apate kula. Wao wanapiga kofi hawajui wakiondoka wanaenda kula nini wenzao tyr msosi upo na baget.
Mama hebu sema kweli kwani hicho unacho kisema Allha atakwenda kukuuliza umepotosha,wazanzibari walio wengi wao ni masikini hao nulio waona ndio wanao kula kwa urefu wa kamba yao kwenye serekali
Hata wanzanzibar wenyew Wana Rani hii vidio kwani wengi wao maskin hali mbaya kabisa usidanganyike na vidio Moja mtandao na aliakuwa unaona hali ya wanzibar mungu akuhidi we mama etu😢
Shida wanapima hali za watu Kwa kuangalia maisha ya wachache wakati asilimia kubwa za harusi zetu zinaendeshwa kikawaida mnoooo wengine hufika hadi kufunga ndoa na kupanda gar za abiria
Mama samia mimi na kupenda sana sana hapo ulipo na hitaji mpaka kwa Allah ukapewe cheo tena ili nizidi kufurahi kwa mujibu navyo kupenda basi fanya siku uwatembelee raiya wako kila nyumba ekesha uje kutowa hesabu ya kweli kabla hajafika siku ya kukutana na muumba bingu na aridhi
Wallahi masikini wapo hohe hahe na kiukweli hali ngumu ila hizi harusi zina mengi zinqsababisha mpka migogoro ya kifamilia bibi mkubwa njoo mtaani na mashamba uone hali za watu usibaki mtandaoni tu
wazaznzibar wanapenda saaana sifa za jarufu,kujionesha kumbe wanadhiki ajabu hasa hapa Unguja huoni upuuzi huo Pemba kabisa watu wako bize kushughulikia shida zao
Mama hizo ni mila na uswahili harusini hakuna atakae aonekane wa nongo.kila mtu umeremere japo nguo za mkopo na kuomba..na mazawadi ni hivyo hivyo kila mtu hapendi kujishusha mbele za watu japo.mkopo lakini hatoe tu kwa sababu hakuna atakae kuitwa maskini lakini masikini wapo wengi tu..umaridadi uficha umasikini ndio maana yake mama wetu kipenzi.
Ukoloni ukigombea urais unapata.. aje wa bara awe rais hapo kama mnaweza kumuacha???afu hapo ukijichunguza hata wewe sio kwenu uliza chimbuko lako utapata majibu
KILA NCHI INA WENYEWE ISIPOKUWA NCHI YA ZANZIBAR? @UrassaPaschal KENYA ya WAKENYA, UGANDA ya WAUGANDA, TANGANYIKA ya WATANGANYIKA. ZANZIBAR ni ya NANI? KISWAHILI ni Cha JULIUS NYERERE na sio ZANZIBAR.
sio kwer tanganyika hakuna ubaguzi huo kama uko bara fanya uchunguzi utajuwa niwa zanzbar wangap wanaishi kwa amani bar walimu madakitar maporisi wana jeshi wafanya biashara madereva wa marori nama basi pamoja na laiya wa kawaida ❤❤❤❤ tanganyika ❤❤❤ TANZANIA
@@bahatiisaimbega88-md1mwMLIOZALIWA 2000 MMESOMESHWA KUWA KUNA TANZANIA, kwa hiyo mpaka ukija kufaham historia ya mambo yalivyo kuwa jasho limekutoka mkufunzi.
Ndio maana mnatukamua makodiii na unajua Samia kma watu ktk harusi zao wanakopa kama nyie ikiisha harusi wanajipanga kulipa madeni, chengine tunaojua historia hakukua na mapinduzi 1964 baada karume ucku wa 12/1/ 1964 sultan alikimbia na kupewa hifazi ungereza hvyo hakuna damu iyo mwagika ila ilimwagika alipo uliwa karume 1972 ndio mapinduzi kiongoz wa nchi
Walimpindua Mzanzibar mwenzao kwakua alishika dolla kutoka kwa sultan wakaona Zanzibar itaongozwa na Mpemba. Uhuru wa zanzibar ulikuwa 1963 ambao hawausherekei kwa sabb waliuzika na wanasherehekea mauaji. Ndio mana hawataki kuondoka madarakani.
Zanzibar masikini tupo wengi sana Mama angu
Mapinduzi yameleta laana nchi inanuka njaa na umasikini hao wanaofanya hizo harusi ni kujionyesha tu kwa pesa za michango na kukopa
Wnaa madeni mpk bs
Wewe mama unatutafutia dhambi za kukusema bure bora tu ukae kimya,wajizimisha data kama vile huoni kama watu wana maisha magumu.
Ukitaka kujua umaskini upo weka hiyo harusi kisha alika watu chakula sa 7 siku yyte utaona jinsi ya watu hali zao zilivyo duni. Usiweke kadi acha yyte apate kula.
Wao wanapiga kofi hawajui wakiondoka wanaenda kula nini wenzao tyr msosi upo na baget.
Zanzibar ina umasikin uliopitiliza tunanjaa hadi tunahama tukiwa bado tunapapenda
Hakuna maskin sote matajir km ndio mtazamo wako,km watu 100 wanafanya jambo kwenye harus tuliobakia milion mbili hutuangalii
Ni hatari sana, aliyeshiba hamjui mwenye njaa, harusi watu hujipanga kabla kupeleka zawadi lakini haimaanishi wapelekza zawadi ni matajiri,
Hizo zote sifa wakitoka hapo wamejaa madeni
We inakusu nini sasa si wenyewe wameamua ata kama wataishia mafeni
@@staanstaan8722Kwani wewe comment yake inakuhusu nini? 😂
Mtihan sana
Mama hebu sema kweli kwani hicho unacho kisema Allha atakwenda kukuuliza umepotosha,wazanzibari walio wengi wao ni masikini hao nulio waona ndio wanao kula kwa urefu wa kamba yao kwenye serekali
Hata wanzanzibar wenyew Wana Rani hii vidio kwani wengi wao maskin hali mbaya kabisa usidanganyike na vidio Moja mtandao na aliakuwa unaona hali ya wanzibar mungu akuhidi we mama etu😢
Mama kama unaangalia umaskini kupitia harusi fanya kama mzee Magu utaona wananchi wako hali zao utajiuliza jamani kwani tunafanya nini hasaa??
Shida wanapima hali za watu Kwa kuangalia maisha ya wachache wakati asilimia kubwa za harusi zetu zinaendeshwa kikawaida mnoooo wengine hufika hadi kufunga ndoa na kupanda gar za abiria
Amempiga dongo Mwinyi kwa kuvuruga pesa kumfanyia mwanawe harusi ya kifalme.
Harusi hizi nyingi huwa zinakumbwa na matatizo
Nikweli kabisa kuna msemo usemao MWENYE SHIBE HAMJUI MWENYE NJAA.Daah!
Kweli kabisa
Mama samia mimi na kupenda sana sana hapo ulipo na hitaji mpaka kwa Allah ukapewe cheo tena ili nizidi kufurahi kwa mujibu navyo kupenda basi fanya siku uwatembelee raiya wako kila nyumba ekesha uje kutowa hesabu ya kweli kabla hajafika siku ya kukutana na muumba bingu na aridhi
Wallahi masikini wapo hohe hahe na kiukweli hali ngumu ila hizi harusi zina mengi zinqsababisha mpka migogoro ya kifamilia bibi mkubwa njoo mtaani na mashamba uone hali za watu usibaki mtandaoni tu
Mama Rais wangu naomba nisaidie niezeke 2 pagala langu🤚🙏🙇
Hp haoni nenda insta yke
@nasrachaya Xawa mungu anaweza tenda 🤚🙏 ntaingia Instagram yake nimuombe Rais wangu🙇🙏
Kwa hyo hali zetu za Zanzibar tunaambiwa hapa sisi matajiri😂😂
Ndio matajiri kwa fahari zifanyikazo.
wazaznzibar wanapenda saaana sifa za jarufu,kujionesha kumbe wanadhiki ajabu hasa hapa Unguja huoni upuuzi huo Pemba kabisa watu wako bize kushughulikia shida zao
Hao ndio wanzanzibar sifa Tu
Hukuna maskini Umefkiria au umesematu 😢
Hakuna, maskini zanzibar😂
Haswaaa
Harusi hizo hata zikimalizika mtu anamaden makubwa na nimeshuhudia binafsi watu wakidaiana mpka kufikishana police
Mama hizo ni mila na uswahili harusini hakuna atakae aonekane wa nongo.kila mtu umeremere japo nguo za mkopo na kuomba..na mazawadi ni hivyo hivyo kila mtu hapendi kujishusha mbele za watu japo.mkopo lakini hatoe tu kwa sababu hakuna atakae kuitwa maskini lakini masikini wapo wengi tu..umaridadi uficha umasikini ndio maana yake mama wetu kipenzi.
Umasikini wetu siyo kwenye furaha ukitaka kujijua maskani umwa ulazwe
Love mam samia
Hao watu wanene 😂😂😂 wakubwa mushaelewa bila kusahau na wenye vikoba wanaume tuamkeni baneni hela 😂😂😂
Maskini wapo wengi
Love you Zanzibar yangu
Sio harusi zote watu wanopewa vitu
Kwa zanzibar ni chache sana
Harmonize kukubaliwa na CCM kuroga kazi za Diamond na Wasanii wake na Wasafi media kwenye youtube..ni Aibu Africa 😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Zanzibar ni nchi yenye utamaduni wake tuacheni jamani
ZNz ni matajiri 😂😂😂 sana san mama
Miye sisemi yangu macho
1:38 🎉 1:51
MATUNDA YA MAPINDUZI
✝️ MATUKUFU ✝️
Mapinduzi yametuletea Ukoloni wa Tanganyika, Ubaguzi na Mauwaji kwa Waislam wa Zanzibar.
Ukoloni ukigombea urais unapata.. aje wa bara awe rais hapo kama mnaweza kumuacha???afu hapo ukijichunguza hata wewe sio kwenu uliza chimbuko lako utapata majibu
KILA NCHI INA WENYEWE
ISIPOKUWA
NCHI YA ZANZIBAR?
@UrassaPaschal KENYA ya WAKENYA, UGANDA ya WAUGANDA, TANGANYIKA ya WATANGANYIKA.
ZANZIBAR ni ya NANI?
KISWAHILI ni Cha JULIUS NYERERE na sio ZANZIBAR.
sio kwer tanganyika hakuna ubaguzi huo kama uko bara fanya uchunguzi utajuwa niwa zanzbar wangap wanaishi kwa amani bar walimu madakitar maporisi wana jeshi wafanya biashara madereva wa marori nama basi pamoja na laiya wa kawaida ❤❤❤❤ tanganyika ❤❤❤ TANZANIA
@@bahatiisaimbega88-md1mwMLIOZALIWA 2000 MMESOMESHWA KUWA KUNA TANZANIA, kwa hiyo mpaka ukija kufaham historia ya mambo yalivyo kuwa jasho limekutoka mkufunzi.
Ndio maana mnatukamua makodiii na unajua Samia kma watu ktk harusi zao wanakopa kama nyie ikiisha harusi wanajipanga kulipa madeni, chengine tunaojua historia hakukua na mapinduzi 1964 baada karume ucku wa 12/1/ 1964 sultan alikimbia na kupewa hifazi ungereza hvyo hakuna damu iyo mwagika ila ilimwagika alipo uliwa karume 1972 ndio mapinduzi kiongoz wa nchi
Walimpindua Mzanzibar mwenzao kwakua alishika dolla kutoka kwa sultan wakaona Zanzibar itaongozwa na Mpemba. Uhuru wa zanzibar ulikuwa 1963 ambao hawausherekei kwa sabb waliuzika na wanasherehekea mauaji. Ndio mana hawataki kuondoka madarakani.
@@LUBAINAMOHDRAJAB swadakta hii wanaendelea kuwa Fanya wananchi kuwa wajinga wasijue historia z nchi zao ili waendelee kuvitawala visiwa
Bara shilingi mia mtu hakupi
1:38
Ujinga